Nimependa maneno ya KIIMANI ya baba levo.Mungu akuzingire kwa nguvu zake in Jesus name Amen
@rehemadani36004 жыл бұрын
Sema kamanda
@godhelplatia30444 жыл бұрын
Ahaaa baba Levo umenifurahisha sana,urithi wa matisheti na majinsi ahaaaa hakika hotuba inatia moyo pamoja na majaribu
@fubanjenjele5214 жыл бұрын
Huyu jamaa ni mchekeshaji sn Baba level bhana, piga Kazi mzee baba
@jaderkyser9389Ай бұрын
2024 saivi Jamaa anakula Kuku kwa Mrija ❤. Usimkatie Tamaa mtu yoyote kwenye Maisha yake.. Hujui Kesho Ya mtu yoyote ila Mungu tu.
@hassanjuma62544 жыл бұрын
Kama kuna mtu amegundua kuwa BABA LEVO anapenda elaaa, gonga like zangu, mana uyu jamaa akijitikisa tu, kinua mgongo icho hapo.
@moha90434 жыл бұрын
Babalevo💪💪🇸🇦🇰🇪🇸🇦💪🇸🇦
@theuniversetv28702 жыл бұрын
Leo hii chawa wa diamond,,live changes very quickly jamn
@gracemakiwa51832 жыл бұрын
Baba levo hapo kwenye Biblia bado Sana kaka yaaan nimeishia kucheka
@hadija8464 жыл бұрын
Pamoja sana kamanda✌️💖💞😍
@moodychanday92204 жыл бұрын
Badala ya kuhuzunika badala yake wanacheka 😂😂😂 acha nami nicheke mana c kwa kifua kulia Puh!!! 😂😂
@mobaisa17044 жыл бұрын
ttz msimuliaji anaslimulia huzun kwa kufurahisha
@amanirubondo41204 жыл бұрын
Bulevo baba nakupenda sana mtu wangu
@elianifaaluka47904 жыл бұрын
Amen imani yako tu
@gavanashy31974 жыл бұрын
Nimekuelewa sana baba Levo ...
@rukiamwakinyo53244 жыл бұрын
😂😂😂😂🤣🤣levo si mtu nzur
@kibonaamenye68784 жыл бұрын
aliye mwelewa huyu jamaa anacho waeleza wananchi wa kata yake, anisaidie
@juhudiacademy21704 жыл бұрын
KIBONA AMENYE sijaelewa kabisaa
@jonathanmlinda25804 жыл бұрын
Hahahahaa
@fatumamaiga84964 жыл бұрын
Hata mie sjamuelewa
@lillianeriksson81834 жыл бұрын
Safi sana kamanda
@swaggerizedninjagoseprocom85234 жыл бұрын
Hatariiii sanaaaaa
@uwezoamani59344 жыл бұрын
Sana2 mchawi utamjua2 huwa haishiwi sababu jiwe juu ya jiwe levobaa mchaka mchaka si tunakuambin imeishaio D S M
@moseskaduma23044 жыл бұрын
Hapo unaongelea familia yako au nin maana sielewi kitu huwezi kukusanya watu kwa lengo la kuyanadi maisha yako
@harountuesday96684 жыл бұрын
Pole sana.
@jovinejaphet16754 жыл бұрын
Huyu nae kiongoziii😁😁😁😁😁😁😁
@kulwayusufu58822 жыл бұрын
Nakubli xan kiongoz wang
@mabularashidi3214 жыл бұрын
Mwishowako 2020
@deluxermahyono52904 жыл бұрын
Kwafaida ya nanani hata umkamie?
@goodlucktemu31494 жыл бұрын
Kabla ujafa nipe laki yangu ninayo kudai #babaLevo
@asanteyesu46324 жыл бұрын
Muombe Mungu akupe hekima
@joramchristian40424 жыл бұрын
Fisiem watapata tabu sana wenye akili wapo upinzani acha wabaki na mbulula wao Respect Baba Levo 🤝
@eventelias35664 жыл бұрын
Viongozi ndio mjifunze sasa sio mnaamlisha watu kirahisi tu wafungwe mnaona jela kama jando huyu kakaa miezi tu leo imekuwa story.
@Rugemalilatv19944 жыл бұрын
Anapiga story na wanakata wake hivo ndo vizuri yupo karibu nao
@husseinkonz51924 жыл бұрын
Uliyataka mwenyewe wacha yakukute
@elishakayagwa93714 жыл бұрын
Mmmh sijakuelewa baba levo
@kingwatabata42304 жыл бұрын
Daah kweli wapinzani amna kitu😢
@mussanassoro552 Жыл бұрын
Leo umekuwa chawa promax
@amberrose40584 жыл бұрын
Apo Kwa Daniel pataaamu
@edwardmsongelwa54554 жыл бұрын
Jaribu KUA mkweli na ukweli utakuweka guru sasa usi changanye mambo Fanya unayo stahili kufanya kwa wananchi wako hilo ndio muhimu
@deosebaruhanga41534 жыл бұрын
Hapa kwani ndo anaongea sera za chama chake kwa wapiga kura????je ukivunja sheria wakufanyie sherehe?hawa wananchi nao vilaza tu wangeisharudi majumbani!!hivi watanzania wanataka haya kweli?
@shibilitimedia33124 жыл бұрын
Na cha ajabu anatanguliza masilahi ya familia yake
@loner_wolf4 жыл бұрын
Cjakuelewa Mkuu.... Pumba tupu yaan. Kigoma Kazi ipo
@masoudomary92094 жыл бұрын
Tatizo watu wengi hawaijui siasa,,, hapa anaongea utumbo na watu wanachekelea
@Cryptocurrency_Tanzania4 жыл бұрын
kilichofanya ufungwe ni kusemaa au kumpiga askari wa usalama barabarani...... me ni mpinzani ila hiko hapana mzee...
@masasirichard27094 жыл бұрын
Hahahahaha! Kwelii
@raphaelsamwel26404 жыл бұрын
Huna akili angempiga askari mahakama kuu wangemuachia???
@abdilahijumanne14154 жыл бұрын
Umewakusanya mzee
@salymkitumbika86444 жыл бұрын
Unaelezea mshahara na namna yakutumia huku wananchiwako wananjaa unanianhushaa
@zaiiomary89704 жыл бұрын
Baba lev wew unaniacha hoi na historya yako😂😂🙏
@sagandamalechampullo6594 жыл бұрын
Safi sana kiongozi, tunaomba Viongozi 3 tu, wa kuwa kama wewe Kigoma na Magharibi kwa ujumla
@happymsaki17204 жыл бұрын
Usijiombee kifo ndgu yngu
@calvinkitaly93764 жыл бұрын
Pamoja sana
@tomathsalamba75514 жыл бұрын
kila mwanasiasa mungu mungu mungu huyu jamaa sijamwelewa naomba msaada wenu poleni kwa. usumbufu
@milhajiabdallah16814 жыл бұрын
Na bado utapelekwa tena kumbe
@runyotafrancis37724 жыл бұрын
Mshahara au posho??
@paulkisatulusana11424 жыл бұрын
Ndo maana ukifanya makosa utajutie
@paulmangombe68034 жыл бұрын
hambu hambu wa lyaga nyawanga
@amberrose40584 жыл бұрын
Nakubali mkuu wangu
@damariszuckschwert94894 жыл бұрын
Hiyo story ya Daniel ya kuuwa nyoka kwa kutumia lami na nywele mbona sielewielewi? Wacha nikaitafute kwenye Biblia yangu.
@gizakazeno16884 жыл бұрын
Sera?
@fatumamaiga84964 жыл бұрын
Mbona ckuelewi?
@mosozifamily76334 жыл бұрын
Kwa viongozi hawa kigoma. .mjini maendeleo 0 😂😂😂😂😂
@anneapollo8904 жыл бұрын
Mosozi Family umeonee hakuna lolote walilolifanya kazi kuongea hovyo
@hanifahassan91384 жыл бұрын
Nilijua umesoma qur. Ani
@amosaruta224 жыл бұрын
Kwanza jina lako unaitwaga nani
@hezronsanga23844 жыл бұрын
Hufai kua kiongoz nenda kalime hata michicha huna swaga
@jumaigembemakula36984 жыл бұрын
Huyu ni msanii ukiona watu wanamsikiliza ujue wamemisi show Na hapo ni show kweli kweli
@eventelias35664 жыл бұрын
kweli asee
@hassanjuma62544 жыл бұрын
Baba levo, bangi, Ilaa nakukubali mana ghafla umekuwa kama comedian ivi, ilaa chama changu ni CCM, endelea kutoa darasa.
@oyay28213 жыл бұрын
Story teller
@frankkaiza36584 жыл бұрын
Pambana kijana chukua jimbo kwupe peeeee una subir kuapishwa2.....!!!!!!!
@boniphacetabu29034 жыл бұрын
Rudi kwenye mziki mjomba tumekumisi sana kwenye game la mziki
@karimswai11404 жыл бұрын
Uyoo hapana mziki labda akalime mafuta uko ya mchikichi
@nebarthmoses65044 жыл бұрын
nimeambulia kujua mshahara wa diwani
@kelvinibrahim18284 жыл бұрын
uko v winzuriwambiye
@adammjomba71124 жыл бұрын
Abubakari kisuju mshahara wa baba Levo wa 3.5 ni bora kuliko huo udalali wako unaopata 3 5 kwa nusu sasa. Ujue kwamba udalali sio kazi ni utapeli uizi na balaa chungunzima .wapi kumeandikwa udalali ni kazi? Madalali wote ni waizi tu kutwa nzima mnakaa ktk vijiwe .usiku mnabadilika kukaba watu na wanawake kwa jumla . Leo unalinganisha udalali na udiwani;?
@sponsor78822 жыл бұрын
Heri angebaki gerezani
@wencesilausfidel7144 жыл бұрын
Fanya kazi mzee
@emmanuelndahan98154 жыл бұрын
JKT kutoka saa9 ad 4usiku
@venitarugemalila9290 Жыл бұрын
Hahaaaaa urithi
@sakayonsakihunga34964 жыл бұрын
Sijaelewa lengo la mkutano huu nnn
@saidomar85024 жыл бұрын
Kwel
@jeffgaston69534 жыл бұрын
Chizi wew
@paschalewamtaa7264 жыл бұрын
jamaaa komedy saana
@fikirimoshi71524 жыл бұрын
Jamani mm sina coment maana maneno mulio mpa yanamtosha
@zefrinhendric40114 жыл бұрын
Bwege wadanganye hao
@nickomlimbila2174 жыл бұрын
GEREZAN HAMNA BIA 😀😂
@paschalmichael27304 жыл бұрын
Hata waje na vumbi la Congo ,baba levo hang'oleki ng'o
@husseinsansa8304 жыл бұрын
Aaàà so kwakunivunja mavu
@Basagamp44 жыл бұрын
B Levo Baaaàaaaaaaaaaah
@naslee10104 жыл бұрын
Mpaka kifua kinasema paaaah😂😂
@Goshenmichaell7 ай бұрын
Kabla ajawa chawa
@mgawerevocatus85824 жыл бұрын
Jamani si nasikia wapinzani hawaruhusiwi kufanya mikutano? Au huyu ni ccm?
@deluxermahyono52904 жыл бұрын
Inakuuma saaana yaani eti
@mgawerevocatus85824 жыл бұрын
@@deluxermahyono5290 Soma swali kwa upya kisha ujibu
@lewiskinoni15074 жыл бұрын
Mgawe Revocatus ni diwani anaongea na wananchi.. Angekuwa sio diwan asingeruhusiwaa
@otmarykiowi41324 жыл бұрын
Mikutano inaruhusiwa, kila mtu afanye kwenye eneo lake la kazi.
@otmarykiowi41324 жыл бұрын
Mikutano inaruhusiwa, kila mtu afanye kwenye eneo lake la kazi.
@paulnghaburi40584 жыл бұрын
Cjaelewa kitu apa
@husseinjuma86174 жыл бұрын
Baba Levo kwa hili umezingua sn
@johaally6694 жыл бұрын
Mh nishida sana hawa watu nishida huyu njaa kali watakao kupa kula yao niwapuuz kama ww🤔🤔🤔
@edwinjohn22264 жыл бұрын
Sera zingine bwana hivi huyu atapigiwa kura tena?
@deluxermahyono52904 жыл бұрын
Anafurahi na watu wake ni km ule ujinga wa Pombe kwa walevi wenzie
@rajabhussein37184 жыл бұрын
Me mwenyewe kula yangu baba levo
@erickkasavaga26464 жыл бұрын
Unataka apigiwe nani, we sarange
@piushappyness2264 жыл бұрын
Harafu mnasema mnazuiwa mikutano hapo upo chumbani kwako?
@deluxermahyono52904 жыл бұрын
Katani kwake na hao ni watu wake acha wivu
@piushappyness2264 жыл бұрын
Sina wivu waache uongo
@paulebby15524 жыл бұрын
Pius Happyness mikutano ya siasa ambayo katibu wa ccm na polepole wanafanya wakati wao ni viongozi wa chama ndo vyama vingine vimekatazwa kijani bana
@piushappyness2264 жыл бұрын
@@paulebby1552 kwahiyo hapo sio mkutano ni msibani au
@piushappyness2264 жыл бұрын
@@paulebby1552 kwahiyo hapo sio mkutano ni msibani au
@abdulmalickupete90154 жыл бұрын
Kwa hiyo hujilaumu kwa makosa yako halafu unaongea utumbo tu
@philibettofilovitali39134 жыл бұрын
Pole
@jasonbeezy71914 жыл бұрын
Dah story ya Daniel na nyoka itakuwa ya bibria sio biblia
@patrishadickson33654 жыл бұрын
matishet majinz hahaha
@jimmycatamollel82174 жыл бұрын
Kama viongozi wa Act ndo Hawa ccm ni mbele kwa mbele
@Rugemalilatv19944 жыл бұрын
Kiongozi mwenye ukaribu na watu wake ccm hawapiti hapo
@jeffgaston69534 жыл бұрын
Na umekonda mjinga wew unaongea uchizi
@allyngazi24434 жыл бұрын
Baba unakipaji cha u comedy pia .
@KingaziJr4 жыл бұрын
Wa tz nishida
@sulaimanabdallah40884 жыл бұрын
Huyu awadanganya sikia mazungumzo yake huyu apewe ubunge asaidiwe tu apewe ubalozi wa serekali wa mitaa
@lilfit51064 жыл бұрын
I know this guy he can bring fun in his speech 🤣🤣🤣😂😂😂
@majaliwabwitonde77494 жыл бұрын
Unasema nini? Unataka upige mtumishi halafu uachwe?
@lennyyusuf2554 жыл бұрын
Danieli na joka hamna story kama hiyo kwenye bibilia baba levo asubuhi tayari keshakunywa gambe, zinamdanganya
@mrschura31344 жыл бұрын
Kama unamkubali baba Levo. Nipe like zakutoshaa.wadau
@kashindisimon52654 жыл бұрын
Ni Biblia andiko gani hilo mheshimiwa?nahisi unachanganya mambo hiyo ni hadithi katika Quran sio bible