Waandishi wa TZ ndo Huwa wanatengeneza migogoro kwenye vilabu nimegundua kutokana na maswali hapa
@ThomasAssey-uq2ur9 күн бұрын
Ukweli bado uwepo wao ni tatizo Uwezo na maono yao ni dhaifu hivyo ni watu dhaifu wanabebwa na mtu mmoja mgongoni zamani akiwa Hanspope aliwabeba na sasa Mo dewji Hawa ni wababaishaji tuu Pia kuwa ns nguvu kwenye bodi ni mawazo ya washamba wa mifumo ya kisasa wanahitaji kuelimishwa
@anithawidambe754310 күн бұрын
SIMBA HAINA MIGOGORO WALA UGOMVI. SIMBA WANA USHIRIKIANO SANA
@MahaSaeed-hf3gs10 күн бұрын
Ndo media za bongo Kwanza hata hajasema hivyo Mzee wa watu wamekata vipande vipande ili tyuuuu watimize lengo lao
@Phinvan_tz10 күн бұрын
Nyie ni wachambuziiii au wapelelezi mbona hamueleweki
@kisiwaPanza10 күн бұрын
Yaani Mnafeli Sana Ninyi Watangazaji Maana Maswali Ya Kiuchochezi Sana Kila Mtu Anashangaa Pitieni Na Hizo Komment .. Jirekebisheni Yaani Mnataka Mtu Akosee Muanza Kumuanuka Mitandaoni.. Ila Alhamdulilah Mmekutana Na Mtu Mwenye Akili Nyingi.. Hamkufanikiwa..
@johnmollel691510 күн бұрын
Mzee hataki kutukanwa huyu 😂😂
@MwangaMatuhula10 күн бұрын
Mimi kama Mwanga tajiri cuts ninacho jua kuhusu ushabiki unaweza kuongea chochote kutokana nahali uliyonayo muda huo😂😂
@JacksenBernard10 күн бұрын
Hawa kama wametumwa hivi wanalazimisha vituuuuu
@MahaSaeed-hf3gs10 күн бұрын
Ili wapate umbea ndo walichokalia
@mosesgeorge397410 күн бұрын
Nadhani kikeke anastahili kuwapa shule kubwa sana ya namna ya kuwahoji watu na hasa watu wazima
@hajistembo650610 күн бұрын
Aya yote yalishapita kwasasa yana haja gani mnataka mzee ateleze kuongea muanze kuchochea migogoro nina mashaka na taaluma zao