Hizi Ndizo Sababu za Kifo cha Ivan Done wa Zari the Boss Lady

  Рет қаралды 434,056

Global TV  Online

Global TV Online

7 жыл бұрын

Usiku wa kuamkia tar 25 ya mwezi Mei mwaka huu 2017 aliyekuwa mzazi mwenza wa Zari the Boss Lady "Ivan Semwanga" maarufu kwa jina la Ivan The Don alifariki dunia katika hospitali ya Steve Biko iliyopo jijini Pretoria nchini Afrika Kusini, alipokuwa akipatiwa matibabu.
Visit globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1
Ivan alibahatika kupata watoto 3 kwa Zari na alikua mfanya biashara mkubwa pia aliisaidia sana jamii pale alipota nafasi ya kufanya hivyo, baada ya kifo chake Global TV imeamua kufuatili kwa makini na ku-kuletea sababu zinazodaiwa kuwa chanzo cha kifo hicho, ifuatilie video hii mpaka mwisho kujua yote.
Visit globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1
Katika tuzo ya mfungaji bora, Msuva alifungana na Abdulrahman Mussa wa Ruvu Shooting, wote wakiwa na mabao 14.
Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…
/ uwazi1
/ uwazi1

Пікірлер: 87
@zuuniece6635
@zuuniece6635 7 жыл бұрын
Mungu awape subra familia yake Ivan na amlaze pema mungu amempenda zaidi
@prettyakoth4306
@prettyakoth4306 7 жыл бұрын
ahsante sana Kelvin shayo! nimekua nikingojea taarifa kutoka kwako
@claireanne8504
@claireanne8504 7 жыл бұрын
ahsanteni Global Tv kwa ujumbe wa kifo cha Ivan...wa kuhukumu acheni Mungu atahukumu mwenyewe....R.I.P Ivan
@leylayusuf435
@leylayusuf435 7 жыл бұрын
Allah amlaze maali pema peponi pole sana wafiwa Allah awape subra kwa kipindi hiki kigumu
@antoinekatembo8520
@antoinekatembo8520 4 жыл бұрын
Leyla Yusuf amiin amiin!
@nassorokigaga2091
@nassorokigaga2091 7 жыл бұрын
Ahsante sana Global TV tunasubiri mengi kutoka kwenu
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 7 жыл бұрын
Thankx *Global tv online* kwa habar
@Rahmamatengo6114
@Rahmamatengo6114 6 жыл бұрын
Yote ni mipango ya mungu kila nafsi itaonja umauti siku yako ikifika hakuna jinsi tutakwenda tuu
@nurahfedrickkiluko9412
@nurahfedrickkiluko9412 7 жыл бұрын
rip mola akuepushe maadhabu zakaburini pumzika kwa Aman Amin
@mohamedumri9611
@mohamedumri9611 7 жыл бұрын
Sisi binadamu tuko na bidii sana kuhukumu ya wenzetu,.ukichungulia sana utakuta hatujihushi na yetu ndio familia zinaumia.
@annemmbone8326
@annemmbone8326 7 жыл бұрын
pole TO the family thanks KWA mtangazaji
@mammiesjeyb3
@mammiesjeyb3 7 жыл бұрын
r. I. p
@fatmaomar8497
@fatmaomar8497 4 жыл бұрын
Watoto wa ivan wamefanana sana na nillan
@feronandsulubu6711
@feronandsulubu6711 3 жыл бұрын
Manaake babake na nillan
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 2 жыл бұрын
Maan ake ni mdg wawo
@saveranestory3682
@saveranestory3682 7 жыл бұрын
rest in peace the don#ivan
@davidtarimo8083
@davidtarimo8083 7 жыл бұрын
rest in peace
@happysam251
@happysam251 3 жыл бұрын
But zari angetulia na huyu bwanake labda mambo yangekua mazuri tu....anywy God obove all
@lipalasaleh6793
@lipalasaleh6793 7 жыл бұрын
thank global
@janewacera7812
@janewacera7812 7 жыл бұрын
R I P
@teddykimei4395
@teddykimei4395 7 жыл бұрын
R.i.p
@officialmologa
@officialmologa 7 жыл бұрын
fresh kevoo
@faidhaally3380
@faidhaally3380 7 жыл бұрын
R l.p.ivan
@muhammedsaid6214
@muhammedsaid6214 7 жыл бұрын
MY LOVELY TWINS
@charlesmasalakulangwa1944
@charlesmasalakulangwa1944 7 жыл бұрын
daaah r.I.p ivandon
@bintmaulidy8002
@bintmaulidy8002 7 жыл бұрын
r.I.p ivandon
@annymsupa5175
@annymsupa5175 7 жыл бұрын
rip
@jerrynessndyamukama7839
@jerrynessndyamukama7839 7 жыл бұрын
R.I.P Ivan
@herrypalanjo6793
@herrypalanjo6793 7 жыл бұрын
R.I.P
@sarahmunga5885
@sarahmunga5885 3 жыл бұрын
The music is very high
@marypendo5338
@marypendo5338 7 жыл бұрын
MUNGU wangu duh!poleni sana jamani may he rip
@rosetenga4333
@rosetenga4333 7 жыл бұрын
Mary Pendo . i
@mariamfritsi9761
@mariamfritsi9761 7 жыл бұрын
Ukapumzike kwa Amani,Ivan.27.05.17.
@ambrosiamlinga8402
@ambrosiamlinga8402 3 жыл бұрын
Diamond awe mwangalifu, aone kilicho mtokea lvan
@jacklinengozi1122
@jacklinengozi1122 3 жыл бұрын
My thoughts too.
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 7 жыл бұрын
R.I.P Ivan sote njia ni hiyo.
@frankmdemwa9101
@frankmdemwa9101 7 жыл бұрын
R I.P ivan
@janengota8686
@janengota8686 7 жыл бұрын
Rip Ivan
@RomwardWM
@RomwardWM 6 жыл бұрын
Huyu Zari Siyo Mwema
@nahnasra1935
@nahnasra1935 7 жыл бұрын
inasikitisha sana
@Chris-cb2dj
@Chris-cb2dj 7 жыл бұрын
may his Soul rest in peace
@barbaramarius5418
@barbaramarius5418 7 жыл бұрын
Chris 11
@christinahaule9726
@christinahaule9726 7 жыл бұрын
s.l.p
@sakinaabdallah7713
@sakinaabdallah7713 3 жыл бұрын
Kitu ambacho sîelewi binadamu ni kua sasa zari kazaa vipi nillan n'a Ivan wakati ambapo she is first born ni tiffa kwa diamônd Léo iwapo upo mfananisho aina hiyo is mean watoto wa zari wamemchukua zari kwa hiyo nillan Pia amechukua zari n'a diamond jamani hamuna hâta àkili wîvu tu mbele
@nancyg8664
@nancyg8664 Жыл бұрын
Ni kwel
@EcoEssence_wellness
@EcoEssence_wellness 7 жыл бұрын
Sorry
@dadabibiye
@dadabibiye 7 жыл бұрын
This is so sad.indeed just enjoy life coz it is too short...But however money will never buy life....
@bbyrey2089
@bbyrey2089 7 жыл бұрын
R.I.P mbele yak nyuma yt, Allah ampunguzie adhabu ya kabur
@juliejapheth6587
@juliejapheth6587 7 жыл бұрын
May your Soul RIP.
@maggykavata9439
@maggykavata9439 5 жыл бұрын
hii dunia tunapita tuuu..
@blakelyqueendancingchallen7460
@blakelyqueendancingchallen7460 5 жыл бұрын
😢😢😢😢
@AminaKetsane
@AminaKetsane 6 жыл бұрын
Iu
@kagabotv9573
@kagabotv9573 7 жыл бұрын
Kifo hakina sababu
@tabibulois3812
@tabibulois3812 7 жыл бұрын
Malele
@dkensmopainvevo3683
@dkensmopainvevo3683 7 жыл бұрын
i umetupa habari kiufasaha sihitaji mwengine asimulie
@flomrembowakenya5524
@flomrembowakenya5524 7 жыл бұрын
Rest in peace ivan i thought u are still asleep u will wakeup again to see u with your sons
@estherjones4357
@estherjones4357 7 жыл бұрын
life is short R.I.P
@starcollocollothedon784
@starcollocollothedon784 7 жыл бұрын
pumzika salama
@Tanzania..cashauro
@Tanzania..cashauro 5 жыл бұрын
Nifirimasoni hiyoo
@cityhouse331
@cityhouse331 7 жыл бұрын
DONE??????
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 2 жыл бұрын
Ss habr ya huzun na mzik wapi na wapi
@olukusi5045
@olukusi5045 7 жыл бұрын
toeni hio nyimbo inaudhi sana..nkt!
@nazalove4391
@nazalove4391 3 жыл бұрын
kumbe corona ilianza siku nyingi
@annewetungumusuya9213
@annewetungumusuya9213 7 жыл бұрын
Thanks global tv this is te really news others is jz a propaganda
@ayesingaroger6513
@ayesingaroger6513 6 жыл бұрын
..
@rosemarybenjamin5866
@rosemarybenjamin5866 7 жыл бұрын
jamni daaa CIO vizur
@sangojohanes4018
@sangojohanes4018 7 жыл бұрын
Rosemary Benjamin. kwli
@fbr5113
@fbr5113 7 жыл бұрын
He went so soon, he is only 40 yrs, too too young. R.I.P. Mungu ndio mkuu wa yote
@patricknjoroge2567
@patricknjoroge2567 7 жыл бұрын
Potezea Wazushi shuhudia mwenyewe rip
@angelonesmo2491
@angelonesmo2491 7 жыл бұрын
Bwana awatie nguvu wapendwa wa kaka huyu
@theopistakajuna2619
@theopistakajuna2619 3 жыл бұрын
Bora tumekuelewa wazushi et zar ndye alimuua mume wake achukue mali
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 2 жыл бұрын
Huyo ni mristo naona mslaba tu picha yake
@pichunakichuna2111
@pichunakichuna2111 3 жыл бұрын
ARD you sure ? He was gimimbi homie
@happysam251
@happysam251 3 жыл бұрын
Ivan was the best friend to ginimbi
@alisianacreth8508
@alisianacreth8508 6 жыл бұрын
Dangote na wewe upon njian
@nancyg8664
@nancyg8664 Жыл бұрын
Mbona hajafa mpk leo
@noutraakimana6237
@noutraakimana6237 7 жыл бұрын
hawuna roho
@talabumauategonew2240
@talabumauategonew2240 7 жыл бұрын
lRP haivani poleni sana family ya haivani na watoto wa haivani mbele yk nyuma yetu hinalilahi wahina liwajinuni
@annemmbone8326
@annemmbone8326 7 жыл бұрын
pole TO the family thanks KWA mtangazaji
@mohamedumri9611
@mohamedumri9611 7 жыл бұрын
Sisi binadamu tuko na bidii sana kuhukumu ya wenzetu,.ukichungulia sana utakuta hatujihushi na yetu ndio familia zinaumia.
@emmanuelngomanziza4279
@emmanuelngomanziza4279 7 жыл бұрын
R.I.P
@ericklaiton7041
@ericklaiton7041 7 жыл бұрын
R. I. P
@saadnahoda707
@saadnahoda707 4 жыл бұрын
R.I.P
Omugagga omuto Ivan Ssemwanga afudde
5:43
Bukedde TV
Рет қаралды 42 М.
EXCLUSIVE: Zari afunguka baada ya msiba wa Ivan The Don
18:22
Millard Ayo
Рет қаралды 954 М.
39kgのガリガリが踊る絵文字ダンス/39kg boney emoji dance#dance #ダンス #にんげんっていいな
00:16
💀Skeleton Ninja🥷【にんげんっていいなチャンネル】
Рет қаралды 8 МЛН
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 35 МЛН
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 10 МЛН
WASANII HAWA NI NDUGU WA DAMU KABISA UMESHAWAHI KUJUA??
10:15
THE THIRD TV
Рет қаралды 584 М.
Ivan Semwanga's last party
1:01
Daily Monitor
Рет қаралды 35 М.
When A Gang Leader Confronted Muhammad Ali
11:43
Boxing After Dark
Рет қаралды 4,9 МЛН
The Amazing MYSTERIES of CATS in Islam
13:33
Virtuous Islam
Рет қаралды 386 М.
ПИЩЕВОЙ ВАНДАЛ НАКАЗАН
0:20
МАКАРОН
Рет қаралды 2,9 МЛН
Matt Kills Dexter's Deer | Dexter: New Blood S1E1 | #Shorts
0:51
Clashed PR
Рет қаралды 23 МЛН