INATISHA SANA! Joka La Ginimbi Limeanza Kuharibu Mali Zake Magari Yanaungua Kafala Lazima Itoke Tena

  Рет қаралды 348,554

Hot Chamber

Hot Chamber

3 жыл бұрын

Пікірлер: 386
@harunigaluza6950
@harunigaluza6950 3 жыл бұрын
Ewe mola wngu nijalie rizki ya halali bora nitoe jasho langu kwa kupata rizki ya heri pili anijalie mwisho mwema in shaa Allah
@rahmahassan3235
@rahmahassan3235 3 жыл бұрын
Amiin yarabii amin
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 3 жыл бұрын
Apumzishe ,Allah Ndo Muhukumu.
@evancemwakyusa2617
@evancemwakyusa2617 3 жыл бұрын
Heri kuwa masikini!! Kuliko Tajiri wa mikataba Kama ni hivi.
@meckgushasha8896
@meckgushasha8896 3 жыл бұрын
Vijana jihadharini na nguvu za giza pambana na mali ya halali ukitaka mali shika jembe ukalime Mungu atakubariki kazi ya mikono yako
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 3 жыл бұрын
Mali ya jembe ni tabu my mikono inaota sugu, vjana hawataki wanataka kula bata.
@pogwamzalendotz8682
@pogwamzalendotz8682 3 жыл бұрын
M/mungu tunakuomba sana tujaalie mwisho mwema katika maisha yetu.
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 3 жыл бұрын
Àamiin.
@fajarfajar7855
@fajarfajar7855 3 жыл бұрын
asalam alaikum vipi daa
@fajarfajar7855
@fajarfajar7855 3 жыл бұрын
Amiin
@shadyamustafa1668
@shadyamustafa1668 3 жыл бұрын
@@fajarfajar7855 Allah tujalie rizike ya halali
@lovvy854
@lovvy854 3 жыл бұрын
Ameen
@HamisiMdabuo
@HamisiMdabuo Жыл бұрын
Mwenyezimungu amlaan zaid mali ambay haijahusishwa na allwa
@magrethcharles7203
@magrethcharles7203 3 жыл бұрын
Dada punguza maneno nenda kwenye key point
@euniceapina6797
@euniceapina6797 3 жыл бұрын
anaboh hataki kuenda kwa point she is still beating around the bush
@azizayassin3623
@azizayassin3623 3 жыл бұрын
Anachefuuuuuu sana kwa kweli
@rebeckaitolya7535
@rebeckaitolya7535 3 жыл бұрын
Lakini wapendwa ktk bwana hkuna mwenye ushaid Kama ginimbi alikuwa kwa chama hcho tumuache apumzike ili tucvune dhambi
@victorialucas9094
@victorialucas9094 3 жыл бұрын
kwel kabisa
@wsoseneu2493
@wsoseneu2493 3 жыл бұрын
Mtapend mali mtasahau makambur ya allah nip mwish mwema kdg kiw kizr minitarizika😭😭🙏🙏🙏
@joiceqtr4215
@joiceqtr4215 3 жыл бұрын
Mungu wangu tujalie mwisho mwema na atujalie mali ya halali na Mungu ndiye msiriwake na malizake YARABI tunusuru RIP AMINARABILALAMIN
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 3 жыл бұрын
Àamiin.
@michaelotieno1787
@michaelotieno1787 3 жыл бұрын
Life is upon anyone to choose their is freedom to decide.....ukipata hela uko secret society only God knows let the man 🙏 RIP
@fatmaali4921
@fatmaali4921 3 жыл бұрын
Maiti haiongelewi vibaya mtu amekufa asha kufa muachien mungu amuhukumu huyu mja wake sie binaadamu sote hatuujui mwisho wetu tuombe tu mwisho mwema na yy tumuombee allah ampunguzie adhabu za kabur basi ndo kubwa letu hili
@dontcometrue7666
@dontcometrue7666 3 жыл бұрын
Duuuh mungu ni mungu tu hata uwe na pesa vipi kufa ni utakufa tuuu tumuombe mungu awe nasi siku zote
@marthagolani1597
@marthagolani1597 3 жыл бұрын
Tumjueni mungu kwa nguvu zote angemjua mungu ingekuwa raha sana
@careenmshairi2969
@careenmshairi2969 3 жыл бұрын
Ww dad ambay una tangaza acha umbey ulikuwepo wakat ana tafut pesa zak jamn ww muogop mungu usimuukum mtu angal ww huja hukumiwa.
@maryjonh311
@maryjonh311 3 жыл бұрын
ivi ajaacha mtoto?
@mwanaishahussein2635
@mwanaishahussein2635 3 жыл бұрын
Jamani turidhike na tulicho ruzukiwa na ALLAH sio kujidhalilisha nafsi😏😏😏🇰🇪
@salmaramadhani3707
@salmaramadhani3707 3 жыл бұрын
Khullnafsi Dhaikhatul Mauti Usinihukumu Mtu Kabla hujahukumiwa
@deborahjoseph838
@deborahjoseph838 3 жыл бұрын
Pumzika kwa amani,tafuteni pesa mtu akitafuta kwa bidii mnaongea sana akikaaa mnamsema wanadamu mnachosha . Allah atupe mwisho mwema
@Neema408
@Neema408 3 жыл бұрын
Uongo tuu alipokuwa ajafa mbn yote ayakuwepo Leo kafa imekuwa mambo mengi jamanii muachen marehem apumzike kwa amaniii
@lailachaka5334
@lailachaka5334 3 жыл бұрын
Pliz msihukumu mtu coz vile mwamwaogea ndio mwampa uzito kwa kifo chake muombeni ili mungu ampokele vizuri. Vile mnavyo ongea ndio mwamzidishia adhabu plz si vizuri sote tuwapita njia
@rahmahassan3235
@rahmahassan3235 3 жыл бұрын
Kwakweli wanazidi kumpa mzigo mzito kwa ALLAH mtu akifariki msipende kuongelea mabaya yake
@jaclinedavid1356
@jaclinedavid1356 3 жыл бұрын
Wafu wamo makaburini.Mhubiri 9:5-6.wanasubiri ufufuo na hukumu.Hawapo mbinguni,motoni wala toharani.Wokovu ni kupitia kwa Yesu Kristo pekeee.Nje na hapo,hakuna wokovu.maombi hayafuti matendo ya mtu.akishakufa,historia yake imefungwa
@alwattanchinga
@alwattanchinga 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/eJiweK2rbJ2Mbpo
@lailachaka5334
@lailachaka5334 3 жыл бұрын
@@rahmahassan3235 kweli kabisa
@lailachaka5334
@lailachaka5334 3 жыл бұрын
@@jaclinedavid1356 Adhabu huwanzia kaburini mpka siku ya kufufuliwa ndio wambia usimuongele akieye kufa mabaya hata Qur'an nimeleza hiyo nikumuombea tu kwa Allah amsamehe madhambi yake na amuepushe na Adhabu ya kaburi na moto wa jahannam Amiin
@zainulikibaya6777
@zainulikibaya6777 3 жыл бұрын
Mungu nijarie pesa za halali
@rosenelima8618
@rosenelima8618 3 жыл бұрын
Mungu ajuaye yaliyo zirini na yaliyo wasi,mungu atujalie mwisho mwema na atusamehe
@wowo1546
@wowo1546 3 жыл бұрын
🎺🎺 hata wewe pia una Joka chumbani kwako🇹🇿🤔
@aminaali8427
@aminaali8427 3 жыл бұрын
Hii ni Africa,ukiwa tajiri uko freemason,ukiwa maskini umerogwa,sasa watu wafanyeje
@paccomabula1456
@paccomabula1456 3 жыл бұрын
Hahahahahaaa
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 3 жыл бұрын
😁😁😁😁😁
@morineakinyi1116
@morineakinyi1116 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@Virginia-zh4on
@Virginia-zh4on 3 жыл бұрын
Aki watu hawaeleweki 🤣🤣🤣🤣
@lovvy854
@lovvy854 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣waa Africa matumbiri🐒🐵🐵
@luluauma1886
@luluauma1886 3 жыл бұрын
Life is a choice.
@maryiammohammed4254
@maryiammohammed4254 3 жыл бұрын
Allah amsamehe
@makongoronyerere2595
@makongoronyerere2595 3 жыл бұрын
Hichi kidada kimbea mbea iv, joka lenyew htulion umbea umbea2
@lulually6722
@lulually6722 3 жыл бұрын
Tamaa humponza kichwa malipo ya dhambi mshahara wake ndio huo alikuwa Hana mke wala mtt ndio Mana kajitoa kafara mwenyewe na siku alikuwa anaijua ndio Mana alilewa sana kuchomoka kwake kwenye gari ilikuwa awatoe wenzie kafara yy asevu lkn wp yy ndio walikuwa wanamuhitaji na ile hakuchomoka kachomolewa kusudi wale wasiotakiwa wameteketezwa na moto lazima alipe alichokila
@mwantimazdombo6049
@mwantimazdombo6049 3 жыл бұрын
meneno mengi unamalizia watu bundls
@Neema408
@Neema408 3 жыл бұрын
I'm shook dear
@happysam251
@happysam251 3 жыл бұрын
Lakini familia ya ginimbi ingekubali tu hizo sherehe zifanyike koz hayo pia ni masharti wanapewa sasa wakikosa kufanyiwa hivo watapewa adhabu ngumu sana huko kuzimu na fimbo nyingi pia watachapwa
@vivianswtel3799
@vivianswtel3799 3 жыл бұрын
Tuonyeshe io room pali joka iko.ata ndo maana nimefungua ii page nione io joka kama niukweli
@jackiephyll1250
@jackiephyll1250 3 жыл бұрын
🤣😂🤣
@tressamakunzo2203
@tressamakunzo2203 3 жыл бұрын
Utaona sasa hujawaelewa wabongo wanapenda view nying kwenye hamna
@vivianswtel3799
@vivianswtel3799 3 жыл бұрын
@@tressamakunzo2203 waaaa apo umesema ukweli...yani mtu anaongea nikama io joka iko ukweli mimi nilikua najitayarisha kuona
@lulually6722
@lulually6722 3 жыл бұрын
Kachomolewa kwenye gari kimiujiza wangekuwa hawamtaki wangemuacha na yy ateketezwe na moto lkn taget yao ilikuwa ni yy kawakosea kujirusha kulikuwa kwingi kakiika masharti ndio Mana imekula kwake
@marydalotta7941
@marydalotta7941 Жыл бұрын
Kuzimu ya mateso inangojea Mali za shetani, Mungu akuweke mahali unapostahili. 💀☠️🙈
@abdullahrashed4817
@abdullahrashed4817 3 жыл бұрын
tumewachoka na mahabari zenu
@daud405
@daud405 2 жыл бұрын
hii ni kweli mm niliwahi kuiona hapo kwake
@OmarMohamed-tp4uf
@OmarMohamed-tp4uf 3 жыл бұрын
Ilo joka nipeni mm lini tapikia pesa na mm ama mpaka niwe freemasonry
@judithmelvinealuchio8968
@judithmelvinealuchio8968 3 жыл бұрын
😂😂😂weeh omba mungu atakupa rafiki yangu hata ukichelewa mungu hatakuwacha
@OmarMohamed-tp4uf
@OmarMohamed-tp4uf 3 жыл бұрын
@@judithmelvinealuchio8968 inshaAllah wacha tu ombe mungu tuuuu cozy Ata nikipewa joka nitashindwa kulimiliki yanikufata miko
@linetjuma8007
@linetjuma8007 3 жыл бұрын
Joka kama inatema pesa shida yenyu ni nn, wacheni ginimbi ampuzike masikini ndyo wana tunga hizo maneno.akuna kitu kama hizo
@priskilakenedi9440
@priskilakenedi9440 3 жыл бұрын
Hilo joka liko wapi mbona hamlioneshi linalotema pesa likiwa ndani ya chumba
@lucyshirima4701
@lucyshirima4701 3 жыл бұрын
Waandishi wa abar mungu anawaona jmn Ila hyo mambo yapo Sana tu
@bablojakitalambo504
@bablojakitalambo504 3 жыл бұрын
Wewe mama mbn aueleweki unaludialudia maneno
@Emmamusiccmb
@Emmamusiccmb 3 жыл бұрын
*Tafadhali kwa heshima na taadhima nakuomba angalia video ya wimbo wangu mpya kwa kugusa picha yangu hapo pembeni lakini pia naomba subscribe kwenye channel yangu ili niweze kumonitize channel yangu hii* Ahsante sana
@nabiiprosper6505
@nabiiprosper6505 3 жыл бұрын
Hhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhpoo
@husseindiliwa6364
@husseindiliwa6364 3 жыл бұрын
Joka liko.wap
@hayesamaarufu9053
@hayesamaarufu9053 3 жыл бұрын
Hebu waulize
@ginafy5840
@ginafy5840 3 жыл бұрын
Wanahabari na umbea😂😂😂, endeeni hilo joka basi pia nyinyi liwatemee pesa.
@banzacharles2944
@banzacharles2944 3 жыл бұрын
Wa africa bhana ukiwa tajiri ni freemason ukiwa masikini ni umerogwa
@hannahmwaura2463
@hannahmwaura2463 3 жыл бұрын
Sasa shida yenu wanahabari ni nini... ata kama alikua kwa hicho chama Kuna haja gani kuongea saana..hayo yote ni yake na Mungu wake..... Pumzika kwa Amani ginimbi. ..
@shamsahassan2586
@shamsahassan2586 3 жыл бұрын
Lisemwalo lipo jamani,,hiyo hali c yakawaida,,sometyms uwongo unafanana naukweli
@vincentmokenye4465
@vincentmokenye4465 3 жыл бұрын
Umeona
@happysam251
@happysam251 3 жыл бұрын
Yaani hii nayo iko wazi na hivi ndivo shetani ameanza kuchukua pesa zake duuu
@alwattanchinga
@alwattanchinga 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/eJiweK2rbJ2Mbpo
@fredichaki4868
@fredichaki4868 3 жыл бұрын
Nikweli kabisa yani
@octaviomasawe5371
@octaviomasawe5371 3 жыл бұрын
Jamani atakama tunasema wafrika tuna Imani potufu ukiangalia mwanzo mpak mwisho Kam muelewa unaelewa
@florachogo5537
@florachogo5537 3 жыл бұрын
mungu tusaidie tulidhike na tulichonacho
@stumaihumurandayishimiye7235
@stumaihumurandayishimiye7235 3 жыл бұрын
Utajiri mukubwa niwakumujuwa mungu basi
@johhnymasunga4137
@johhnymasunga4137 3 жыл бұрын
Dah!!
@tynerzshoo8688
@tynerzshoo8688 3 жыл бұрын
mtangazaji unarudia rudia sana maneno jaman mnh
@stevensosipita5673
@stevensosipita5673 3 жыл бұрын
Waandishi swali hilo joka liko wapi?jamani?mbona hivyo?
@bibianayona4348
@bibianayona4348 3 жыл бұрын
😂😂😂😂
@believesalatiely1514
@believesalatiely1514 3 жыл бұрын
waongo ty hawa mbka wanauz
@thomacmoric7809
@thomacmoric7809 3 жыл бұрын
Mungu tuepushe na baraa za duniani
@masungwasalumu1278
@masungwasalumu1278 3 жыл бұрын
Hakuna utajiri uliopo hapa Duniani usiokua na Madhabau iwe ya Mungu au ya shetani na madhabahu ya shetani huwa haidumu ni FEKI Madhabahu ya Mungu ni Original
@believesalatiely1514
@believesalatiely1514 3 жыл бұрын
Yann saiz ukipata hela unamajoka😂😂🙌🙌achen useng bna kuen na elimu bac
@wowo1546
@wowo1546 3 жыл бұрын
Diamond pia ana Joka ndani kwake🇹🇿🤔
@JohnWilson-uk7om
@JohnWilson-uk7om 3 жыл бұрын
Kama kuna njia fupi ya utajiri Kwa nn umie kichwa sasa wakati kufa lazima hatujui tu jinsi yakujiunga ingekuwa rahis wabongo tunavyopenda starehe mm ningekuwa milionea kufa nimeandikiwa
@sophieramadhan1550
@sophieramadhan1550 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@innobugobola1694
@innobugobola1694 3 жыл бұрын
Uongo tu alipokuwa ajafa mbn ayo yote ayakuwepo Leo kafa imekuwa Mambo mengi jmn muachen marehem apumzike kwa Amani!! et kila mmoja mmoja wapo Nww
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 3 жыл бұрын
Tukishakufa kila mtu anasema lake.Mungu ndoanatujua vizuri jamni
@happysam251
@happysam251 3 жыл бұрын
Wueee!!! na hivi ndivo lucifer huchukua Mali zake hayo magari yote yatachomeka hadi majumba pia heee!!!...Mungu tusamehee ss binadamu jamani siku ya kiama tutajibu nini jamani 😭😭😭😭
@qdady_tz7016
@qdady_tz7016 3 жыл бұрын
Allah ana sema usiongee kitu usicho kijua 2muachie allah ndie muweza
@lulually6722
@lulually6722 3 жыл бұрын
Na mali zote zitateketea kwa sababu Hana wakurithi Hana mke wala mtt mali zinarudi kwa wenyewe
@elinaoyiso9081
@elinaoyiso9081 3 жыл бұрын
No weapon against God shall prosper... free mason sio suluhisho, turn to God our saviour
@fatmamwatamba5881
@fatmamwatamba5881 3 жыл бұрын
Mmmh mnatubowa bwana Nenda kwenye point Mnaongeya utumbo tu,mnarudiya maneno hayo hayo ilimradi tu mchukuwe wakati😬😬😬😬
@lucymasawe5453
@lucymasawe5453 3 жыл бұрын
Mmmmm
@linetwambui9852
@linetwambui9852 3 жыл бұрын
Mungu ndiye hakimu
@sefumohamed2416
@sefumohamed2416 3 жыл бұрын
lahasana kufa
@dawhiteschola8847
@dawhiteschola8847 3 жыл бұрын
Anaonekana kabisaaa nimwana chama wahaooo mafreemos 🚴🚴🚴🚴🏃🏃
@ruwailaomar6501
@ruwailaomar6501 3 жыл бұрын
Simlaumu sana sababu huyu jamaa sio muislamu
@joycemaina6232
@joycemaina6232 Жыл бұрын
Mimi naoba gari Moja nko Kenya niazime .
@janefferwangui4511
@janefferwangui4511 3 жыл бұрын
What a young soul😢may your soul rest in peace 🙏
@zakyahya4645
@zakyahya4645 3 жыл бұрын
Nipo zang apa nakunja nguo za warabu nasafisha hamam za warabu natafuta changu cha halali
@sylfiailavonga9867
@sylfiailavonga9867 3 жыл бұрын
Tia bidii dada
@zakyahya4645
@zakyahya4645 3 жыл бұрын
@@sylfiailavonga9867 inshallah najitaidi
@julianacharles6014
@julianacharles6014 3 жыл бұрын
Kweli usimuulize mtu utajiri kaupata wapi Lol😨
@mudathirmiungu2044
@mudathirmiungu2044 3 жыл бұрын
Pesa zinaraha ake Wakikujadili jua wamekukubali .
@gsmtzinfogsm8601
@gsmtzinfogsm8601 3 жыл бұрын
Umbea
@careenmshairi2969
@careenmshairi2969 3 жыл бұрын
Hap ndipo tunapo mkoseag mungu wetu kwaiy kila mwenye pesa ni kazitowa kwa shetan muogopen ata huy mungu kwaiy mnamaanish mungu awez mbarik mtu akaw na pesa nying kam za ginimbi jamn heeee.wanadam .jamn nabo una muhukum mtu ingalikuwa ww hujuw kesh yak.au hujuw at uyo boss wak ambay una fany kaz kwak pes kato wap acha izo bwan haipendez
@elizabethwainaina2899
@elizabethwainaina2899 3 жыл бұрын
Nani aliona njoka lenyewe likitema pesa
@theblackagood9381
@theblackagood9381 3 жыл бұрын
Acheni kupotosha jamiiii jamon nyieeee wandishi @Kwani wewe unafikr kua CEO unalipwa miamia! Mbon ma CEO akina diamond majumba yakifahar anayomilik au ndo mtu akifa mnaanzisha zogo achen ushambaaaaaaaaa huo
@sylviah9666
@sylviah9666 3 жыл бұрын
Diamond platinumz hope you are hearing all these about evil wealth
@Noah-zt5zf
@Noah-zt5zf 3 жыл бұрын
Yes i have heard enough of these rumours
@roseatieno6691
@roseatieno6691 3 жыл бұрын
I hope so . And that's why they together with Zari since they sail in the same boat .
@joycemwambe3494
@joycemwambe3494 3 жыл бұрын
Yatawashinda na nyivu zenu jamani tuchape kazi tu yote yanawezekana
@sylviah9666
@sylviah9666 3 жыл бұрын
@@joycemwambe3494 Hebu jiongeze aiseee....Tumia akili .....namwonea wivu mtu nisomfahamu? Mtu nisoishi Naye? Mtu nayemwona kwenye screen tu....jiongeze
@mwanajumasaid1983
@mwanajumasaid1983 3 жыл бұрын
Yarabby tupe mwisho mwema
@estherandati2362
@estherandati2362 3 жыл бұрын
watu jamani iko wapi joka
@shanijames6377
@shanijames6377 3 жыл бұрын
Wanachoitaji hapo ni story tu
@christabelathiambo3038
@christabelathiambo3038 3 жыл бұрын
Kweli kabisha dada
@zahrasalim5533
@zahrasalim5533 3 жыл бұрын
Thambi muna beba nyinyi subhana Allah yeye na mola wake
@rahmarajab3688
@rahmarajab3688 3 жыл бұрын
Mungu atuepushie na tamaa za kijinga,
@farajafaraja2372
@farajafaraja2372 3 жыл бұрын
Uposahihi mkubwa wangu
@JohnWilson-uk7om
@JohnWilson-uk7om 3 жыл бұрын
Hiyo sio tamaaa pesa ngumu kufa lazima
@eddxtv6076
@eddxtv6076 3 жыл бұрын
Hayatuhusu na ww kaombe hilo joka
@jumakapola419
@jumakapola419 3 жыл бұрын
Punguza maneno ayo mbona wakiwa masikini amemi acheni upumbavu
@charlesmapunda5905
@charlesmapunda5905 3 жыл бұрын
We dada ilo Joka litakua lako kama umeliona huku kwa Ginimbi mbona hulionyeshi unaongea maneno mengi kama umefumaniwa, Tafuta habari zenye uakika sio kusema kila kitu Eti wanasema,mara inasemekana mara uenda alisema kila kitu ulichoongea huna uhakika sasa ndo uandishi gani huo Acha ufala
@ratifasimba9631
@ratifasimba9631 3 жыл бұрын
Ww ulishuhudia hiz mambo unazo zisemaa au ufinyu wa akili
@roseatieno6691
@roseatieno6691 3 жыл бұрын
Dark power unauza roho yako ndio ukisea kutoa basi wachukuwa roho yako. Dirty money ndio hiyo .
@alfaweston5772
@alfaweston5772 3 жыл бұрын
Jaman kwann tusilizike na tulicho nacho
@emmyyahya8358
@emmyyahya8358 3 жыл бұрын
Asameehewe
@johariharuna5573
@johariharuna5573 3 жыл бұрын
Hayo anayajua mwenyewe
@gracemakenzi6515
@gracemakenzi6515 3 жыл бұрын
Unarudia maneno wew af acha umbea na uongo
@patriciawaisaac4885
@patriciawaisaac4885 3 жыл бұрын
Hakuna za bure za bure ni Mungu pekee anapea
@marthamoses3599
@marthamoses3599 3 жыл бұрын
😢
@elizabethwainaina2899
@elizabethwainaina2899 3 жыл бұрын
Naomba mutuonyeshe nyoka mwenyewe
@simonmkumbo3838
@simonmkumbo3838 3 жыл бұрын
Unarudia rudia mpaka unachosha.
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 3 жыл бұрын
Joka liko wapi?
@moshimgaza5642
@moshimgaza5642 3 жыл бұрын
YALLAB nijalie mwisho mwema
@mwathijoshuajoshua1549
@mwathijoshuajoshua1549 3 жыл бұрын
Asili yamwanadamu ameumbwa kwakupenda Mali lamuhimu nimali yako utaitafuta kwanjia gani Mali tutaziacha hapahapa duniani tumuogo mungu.
@maryamomar5911
@maryamomar5911 3 жыл бұрын
Fact
@pioustrevol3468
@pioustrevol3468 3 жыл бұрын
Kila m2 ataongea lakwake katika mafanikio ya m2, Ila wanangu tukumbuke kula Kwa jasho, co wote tutakua na pesa au utajiri Ila pambana kadiri ya uwezo wako, lidhika na ulichojaaliwa huwez Fanya kaz ya jero upate million unapewa unachostahili Ila sio unachotaka.
@victoriankanue7849
@victoriankanue7849 3 жыл бұрын
Upo vzr broooo
@pioustrevol3468
@pioustrevol3468 3 жыл бұрын
@@victoriankanue7849 ulchopewa na bnadam kinaweza ondoka mda oote Ila akikupea Sir God Amin iyo n mpk unarud kwake 😁😁😁
@athmanmhesa5047
@athmanmhesa5047 3 жыл бұрын
Hakika mungu mungu yupo hizi ndio mwisho wa maisha ya kishetan
@sakinaabdallah7713
@sakinaabdallah7713 3 жыл бұрын
Wee ni vijifikira vidogo hivyo
@piensianamalindi99
@piensianamalindi99 3 жыл бұрын
E mola msamehe...
@ruadruad1073
@ruadruad1073 3 жыл бұрын
Vitu za short cut havidumu heri kuchukuwa njia mrefu ili ufaulu
Summer shower by Secret Vlog
00:17
Secret Vlog
Рет қаралды 9 МЛН
Hizi Ndizo Sababu za Kifo cha Ivan Done wa Zari the Boss Lady
6:41
Global TV Online
Рет қаралды 433 М.
BONGO STAR SEARCH SEASON 11 EP 1 Part 2 | ARUSHA AUDITIONS
17:25
BongoStarSearch
Рет қаралды 901 М.
Jinsi ya kutengeneza ice cream nyumbani bila kifaa maalum cha icecream
4:21
Summer shower by Secret Vlog
00:17
Secret Vlog
Рет қаралды 9 МЛН