HALELUYA sifa na Utukufu ni kwa Yesu, hili neno la enjili nililetewa Jana niliandike kwa kupitia neno ya Bwana Yesu.. yani Kiukweli viongozi ni pasua kichwa wengi wanafanya uongozi kwa vile wapendezwavyo wote, watu wa Mungu wananyimbo moja, nilipokuwa naoga Jana nikaleteqa hili somo, na leo nimelisikia kwa Mtumishi wetu mzuri wa BWANA WA MAJESHI,