Hizi Ndoto Zina Onyesha Nyota Yako Inatumika Kwingine! PT3

  Рет қаралды 4,128

REV PETER NJIHIA

REV PETER NJIHIA

Күн бұрын

Пікірлер: 32
@tumainimwakisile4855
@tumainimwakisile4855 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu yaani nimejifunza mambo mengi naomba mungu anipiganie kwa kweli.
@daudmariyam2350
@daudmariyam2350 2 жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe mtumishi Mimi ninaotaga ndoto nazina tokea kweli namaranyingi ni ndoto mbaya na zinatokea je kweli
@anettekandole8335
@anettekandole8335 2 жыл бұрын
Amen 🙏 from Australia 🇦🇺
@rosemkama509
@rosemkama509 Жыл бұрын
Me ninandoto inanisumbua Sana inatokea nikiwa ninafahamu Ila mwili wangu unakuwa muzito kunyanyuka nanapana Na kitu ninanitaka kufanya mapenzi japo ninakishinda pambambano langu linakuwaga katika Hali ya maombi nakuamuka Lakin nikiludi kulala inarudi Tena imekuwa mara Kwa mara nahisi kama niteso kwangu
@missttruth1334
@missttruth1334 2 жыл бұрын
Be blessed all!
@wardasalim2801
@wardasalim2801 2 жыл бұрын
kuota gari lori bili kukudodokeya piya mm nakwepa piya mm Niko na mutoto mudogo
@JoshuaKortom-lk4se
@JoshuaKortom-lk4se Жыл бұрын
Mercy William nami mchungaji naota nimevalia nguo ya mtu mwingine but iyo nguo ilikuwa Ni kidogo kwangu sijui maanake Ni nini
@revpeternjihia
@revpeternjihia Жыл бұрын
kzbin.infoa7wcyqi2fUg?feature=share
@dayemukalai3427
@dayemukalai3427 2 жыл бұрын
Asate sana Kwa ufafanuzi wa ndoto
@dayemukalai3427
@dayemukalai3427 2 жыл бұрын
Nakupata vizori
@mundelejudith3940
@mundelejudith3940 2 жыл бұрын
Kisha kani eleza kama anipikiye chakula nika katala akini nili ogopa sana yeye siyo rafiki wa sana papa
@dorrislukinja2703
@dorrislukinja2703 Жыл бұрын
Ata mim iyo ya kukata pesa . umenikuta.baada.ya kukata akantumia jini la kunifunga
@mundelejudith3940
@mundelejudith3940 2 жыл бұрын
Papa mimi namaliza loto apa njuzi njuzu tu rafiki yangu akini tume achana hatu angeyi tena naenda kwake kwandoto nakuta anava nguwo yangu ya mweusi wakati alini ona akani karibisha akini nili shituka kumu ona anava nguwayangu
@daudmariyam2350
@daudmariyam2350 2 жыл бұрын
Naomba uniombee sana mtumishi jina langu naitwa Miriam daud nipo oman
@daudmariyam2350
@daudmariyam2350 2 жыл бұрын
Je mtumishi nifanyeje kwa ndoto kama hizi ninazo ota nazo zinatokea sijawahi ota ndoto nzuri hata Moja ikatokea
@daudmariyam2350
@daudmariyam2350 2 жыл бұрын
Niliota tarehe 29 :7_2022 nimepoteza pesa zangu na tarehe 31 :7-2022 nikaibiwa pesa zangu zote . Na Sasa naanza upya kutafuta pesa
@ireneshabani7775
@ireneshabani7775 Жыл бұрын
Na kufata papa mtumishi
@rosesaid1488
@rosesaid1488 Жыл бұрын
Naomba unisaidie hii ndoto nikiota mtoto wangu amekufa baada akamka
@wardasalim2801
@wardasalim2801 2 жыл бұрын
kuota unapewa dollar unakabiziwa na mtu unajuwa inamanisha nn
@tumainimwakisile4855
@tumainimwakisile4855 Жыл бұрын
Je mchungaji ukiota rafiki anakupatia pesa lakini unakupatia ndogo kuliko ulio nayo mkononi.
@beatricekyando4574
@beatricekyando4574 2 жыл бұрын
Kuiota mme wako anakupa pesa usingizini naanakutuma ukamnunulie dawa naunakataa naanasema nitakulipa hela inini
@julietaatanasioatanasiolon2715
@julietaatanasioatanasiolon2715 2 жыл бұрын
Mchungaji naomba maombi maana kila nifanyalo aliendi kila wakati naota nakimbizwa na wadudu mbalimbali mara paka nyoka ng,ombe naota sana nafanya mapezi na watoto wadogo au mtu nisie mjuwa sasa mimi nifanyaje naomba ufumbuzi na maombi
@lucasgasper5235
@lucasgasper5235 2 жыл бұрын
Mi niliota mwehu ananipa hela noti za 5000 maburungutu ya mifuko miwili imejaa karibu milion 15 kwenye ofisi yangu then nikaondoka na zile hela pale ofisini
@julietaatanasioatanasiolon2715
@julietaatanasioatanasiolon2715 2 жыл бұрын
Tangu niwe na mume wangu biashara zangu aziendi ugomvi kila siku napia naomba maombi kwani sina laha namaisha yangu
@oliverjames4173
@oliverjames4173 2 жыл бұрын
Ministeera ni mtumishi naomba niongee kazi isonge mbele
@wemapaul674
@wemapaul674 2 жыл бұрын
Mimi nimeota gari limenidondokea lakini nikakwepa nini maana yake
@cosmakomba7772
@cosmakomba7772 2 жыл бұрын
Kutokana na mambo ninayo pitia kuusu ndoto na kwa macho yananikatiza tamaa mchungaji maombi yako kwangu tafadhali
@milkanyambarora7325
@milkanyambarora7325 2 жыл бұрын
Pasta niliota mama rafiki akipewa msaada Mimi sikupewa na nilikuwa mahali pale
@susanmusera7495
@susanmusera7495 2 жыл бұрын
Mchungani naomba uniombe Nina shida ya pressure inanisumbua sana
@jacklinelulu5556
@jacklinelulu5556 2 жыл бұрын
Ukiota unasoma darasani wakati ulishamaliza hadi chuo inamaanisha nini?
@revpeternjihia
@revpeternjihia 2 жыл бұрын
@Jackline Lulu ndiyo mafunzo ya Leo Usiku ,nitakuwa live saa mbili usiku. Karibu Sana na subscribe Kwa channel hii.
@femidamaila4451
@femidamaila4451 Жыл бұрын
@@revpeternjihia Mimi niliwahi kuota wakati Rais Magufuli Yu hai ,,,alinipa pesa ila haikuwa pesa ya Kenya wala ya Tanzania ila kwa Sasa Alisha kufa je kuna tatizo hapo? Pia Mimi nimekuwa nikiota kila siku haijalishi ni usiku au mchana , Nilikuwa naziandika ila ilifika wakati nikaacha yaan Nina ndoto nyingi sana ata idadi yake haijulikan ni kila siku naota ukitokea cjaota kwa wiki labda siku mbili au tatu ni mara chache sana nikose kuota,
UKIOTA UNAONA MIGUU YAKO AMA YA MTU MWINGINE INA MAANISHA NINI?
1:32:11
ЛУЧШИЙ ФОКУС + секрет! #shorts
00:12
Роман Magic
Рет қаралды 11 МЛН
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 69 МЛН
MAGIC TIME ​⁠@Whoispelagheya
00:28
MasomkaMagic
Рет қаралды 22 МЛН
NDOTO 3 HIZI ZINA KUELEZEA UMESHINDA HIYO VITA.
10:52
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 1,4 М.
NDOTO ZINAZO ONYESHA HAUTAENDA MBALI MAISHANI
48:00
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 291
KESHA - LAANA AMBAZO ZINA SABABU
3:13:55
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 141
E361 Navigating the Bible: The Pentateuch
44:18
Saddleback Church
Рет қаралды 266 М.
ЛУЧШИЙ ФОКУС + секрет! #shorts
00:12
Роман Magic
Рет қаралды 11 МЛН