Barikiwa Reverend nimekuelewa sana navuka kwa jina la Yesu
@asta.tanotdoor72 ай бұрын
Amen mtumishi.
@veronica-vx6fb2 ай бұрын
Mungu akulinde na akupe miaka mingi🙏🙏🙏❤
@shelindion2 ай бұрын
Ameeen
@veronica-vx6fb2 ай бұрын
Asante sana daddy Mungu akubariki sana nimesaidika🎉🎉🎉
@hellenmwenda49712 ай бұрын
Amen Mungu akubariki baba 🙏
@dorcasmdorcasdorcasm2 ай бұрын
Amen
@marymuekemutua93942 ай бұрын
Amen Amen 🙏
@annahmutune48662 ай бұрын
AMEEN, mwalimu juzi nlikuwa ninaomba mara nikiendelea kuomba mara radi ikapita mbele yangu pia nikiendelea kuomba tena nikaona miguu miwili kama ya mzungu ilikuwa Safi Sana 🙏🙏 but nikiomba hayo maombi ilikuwa nimetoka Kufungua mfungo wangu🙏🙏naomba hii tafsiri ya hii maono 🙏🙏
@faithmwende31502 ай бұрын
Mungu akubariki Sana dad nashukuru Mungu hizi ndio ndoto nimekula nazo mwanzoni Wa mwaka Huu zote nimeziota btwn January and April na nikweli nmeona Mungu june
@allymuntu46432 ай бұрын
Thanks again
@BeatriceMulama-vr8xp2 ай бұрын
Amen.
@MarygorethMlamka2 ай бұрын
Ndugu yangu aliota anakimbizwa
@RoseRichard-xm4if2 ай бұрын
Ameen
@hellenmwenda49712 ай бұрын
Nimeota mjomba aliyekufu anatembea yuko njiani nikasema na huyu si alikufa alikua na mwenzako wakawa wanenda zao mimi nikaenda na shuhuliza zangu sikushuhulika nao
@paulsonda49012 ай бұрын
Vipi ukiota kuhusu mshumaaa kwa mfano umeona watu wamewasha mishumaa au wewe umewàsha mshumaaa unauangalia inakuaje?? Vip ndoto za mshumaa