Duuuuuuuuhhhh.....kweli magufuli chuma kudadek... asanteeee mzeee kwa mambo kama haya baba kaa ikulu miaka yoteeee... leo nimenyoosha miko juu kwa magu. Sisi ndo tunataka hiv bana weka wachina hapo kwenye reli mambo yaendeee....mwanza to isiaka
@luhanyamipawantobi68884 жыл бұрын
Ulikuwa hujanyoosha tu
@joharimrisho89174 жыл бұрын
Tunakushukuru sana mzee wetu kwa kazi yako nzuri mungu ibariki tanzania mungu mbaliki Raisi wetu magufuli
@starjay30524 жыл бұрын
aminia John pombe mitano tena 🙏🙏🙏
@starjay30524 жыл бұрын
china 🇨🇳 nawakubali sana najua watufanyia mambo mazuli kama kwao aminia John pombe magufuli aminia China 🇨🇳 kazi ni moja tu bongo kama mbele sasa tunaiona tz mpya
@lifestylelove92074 жыл бұрын
Wachina ni mashetani nao pia umakini tyu unahitajika
@temkezatv43814 жыл бұрын
Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI
@emmanuelchaplingi90504 жыл бұрын
Safi tu
@raymond_anthony954 жыл бұрын
Mpaka 2030
@fortyyellu99714 жыл бұрын
Peleka reli mzeeee peleka reli bila uwogaa tunata tukwee chuma ya umeeeeeeeee sieeee......hahahahaa
@mkamafalles56344 жыл бұрын
Wizara angalieni na barabara ya Sengerema kamanga barabara zote tu ndani ya wilaya yetu ya Sengerema ni mbaya sana
In Kenya we are busy with hustler/dynasty, disobeying the Head of State syndrome,(Yangu kumi, yako kumi), reckless political speeches spewing hatred and disharmony.
@rodneyagesa18514 жыл бұрын
In Kenya we can chew gum as we walk. Things are still going on fantastically well.
@ilynpayne74914 жыл бұрын
Magufuli ndio raisi wangu miaka yote
@yahyamajidyahyahilalal-har87624 жыл бұрын
Yaani hata huyu waziri wa China anaeleza Maendeleo ya kwanza ni miundombinu anathibitisha hata kwao walianza hivyo. SASA HAWA UTOPOLO WA CHADEMA WANASEMA MAENDELEO YA WATU BILA MIUNDOMBINU KWANZA. HUU NI UZWAZWA KWELI
@josephemmanuel31754 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@kassimomar75894 жыл бұрын
Nice
@josephemmanuel31754 жыл бұрын
Mwanza isaka je tabora vipi hapo
@jonathannelson73923 жыл бұрын
Nampongeza Rais Magu, ila nauliza inaanza lini ili tuanze kuomba kazi? Ajira tunamwomba nani?
@petermalema28893 жыл бұрын
Mtingo huooo,,,ma TX mikono juu
@geremiahanthony21534 жыл бұрын
Wazee wa mitingo kama nawaona
@nightwishisthegreatestband63554 жыл бұрын
Why china tho?
@mbongo4life4 жыл бұрын
It’s a Reli to no where .. kwa nini wajenge mwanza -isaka wakati kuna gap kati ya makutopola na mwanza? Kwa nini wasimalizie kwanza huku kutoka makutopola kwenda mwanza.
@mkude4 жыл бұрын
Kipande cha kutoka makutopole awamu ya tatu makutopora isaka kwahiyo panajengwa mwanza to isaka halafu inaonganishwa isaka to makutopora,ni wazo zuri tumuombee Rais wetu apate pesa aonganishe isaka makutopora.
@eaglecrown11014 жыл бұрын
Yote heri shida nn
@SA-xj8hc4 жыл бұрын
Reli hii si inayojengwa na Waturuki ? ! Sold out!
@nightwishisthegreatestband63554 жыл бұрын
Phase ya kwanza ilijengwa nao. Na hivi haujui ychumi umeshuka dunia nzima kwasababu ya corona. Lakini bora angechagua japan.
@eddechriss26644 жыл бұрын
SGR ifike pia Singida mjini, pia ingependeza kipande hicho zipewe kampuni za wazawa wakiwemo Suma JKT
@uledimtumwa24064 жыл бұрын
Jiografia hairuhusu,endeleeni na mabasi.
@raymond_anthony954 жыл бұрын
@@uledimtumwa2406 😅😅😅😅
@mgasathedon15794 жыл бұрын
Kwani singida imesha fika?
@eddechriss26644 жыл бұрын
@@mgasathedon1579 bado haijafika ila watakapo jenga phase ya 3 itapita nazani yatakuwa maeneo ya itigi, manyoni kuelekea tabora ila sio Singida mjini
@eaglecrown11014 жыл бұрын
@@eddechriss2664 usijari italetwa Hadi town. Ni wazo zuli Sana kuuchangamsha mji wa singida maana umepooza kweli
@highthemetv78574 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/h5TGdKd3qZpmrLM 👆👆👆👆👆👆👆👆 Kama ni muoga usifungue 😭tazama wanawake wanavyotobolewa viungo vyao 😨 bila huruma gusa link