HOFU YATANDA , VIONGOZI WA CHADEMA TEMEKE HAWAJULIKANI WALIPO

  Рет қаралды 8,027

MwanaHALISI TV

MwanaHALISI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 46
@mathayomwashambwa1238
@mathayomwashambwa1238 2 ай бұрын
Uchaguzi huenda ukawa mbaya kuliko wakati wa kupitishwa bila kupingwa....kumeanza kuchangamka mmm! Ugali mbaya sana
@hamisimuhunzi7916
@hamisimuhunzi7916 2 ай бұрын
poleni sana makamanda
@acariusamos6228
@acariusamos6228 2 ай бұрын
Pole sana makamanda people's
@duniakidogo8516
@duniakidogo8516 2 ай бұрын
Wapo wale wa CCM waliosema kama wapo watu <a href="#" class="seekto" data-time="389">6:29</a> wanaomkosoa mama watapotezwa. Ànzeni nao hao
@Abdul-oc1ul
@Abdul-oc1ul 2 ай бұрын
Kwn polisi wako mitaani nyongeni na familia zao
@sagandamalechampullo659
@sagandamalechampullo659 2 ай бұрын
POLENI SANA MAKAMANDA, TUPAZE KELELE
@jescageorge-fv8yt
@jescageorge-fv8yt 2 ай бұрын
Polen sana mkamanda
@AlfredMatemu
@AlfredMatemu 2 ай бұрын
Wanaosema maigizo siku wakitekwa watayaona hayo maaigizo
@TomasiklistophaMwinuka
@TomasiklistophaMwinuka 2 ай бұрын
Poleni sana makamanda wetu
@Uhuru1234
@Uhuru1234 2 ай бұрын
Polisi wanashida gani nchi hii jamani?
@sagandamalechampullo659
@sagandamalechampullo659 2 ай бұрын
CCM WANESHA SEMA JESHI LA POLISI WASIWAINGILIE WAKIANZA KUWAKAMATA NA KUWAPOTEZA,
@jumakisailo8496
@jumakisailo8496 2 ай бұрын
Jamani serikali ya ccm hivi kwanini Kila ikifika uchaguzi Hali inakuwa hivi tatizo ni nini..!!? Tuseme ni uwoga wa kupoteza madaraka au kuna nini hasa..? Jamani sisi wananchi tumechoka na haya matukio yanayoibuka Kila uchaguzi unapofika. Hofu inatanda kwa sisi wananchi na kibaya zaidi serikali ya ccm na jeshi letu la polisi wanakuwa kimya hawasemi chochote . Binafsi nakerwa sana na haya matukio ila sina jinsi kwa vile mimi ni mnyonge. Ewe mwenyeeZimungu sikia kilio chetu sisi wanyonge na ufanye kitu kwa hawa wanaofanya matukio wananchi tuwe na Amani.
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 2 ай бұрын
Serikali hii Haina tofaut na Ile nyingine
@raymondnlelwa427
@raymondnlelwa427 2 ай бұрын
Hivi polisi wameishiwa mbinu kabisa kupambana na uhalifu hadi wanateka watu na kuwapoteza. Warudisheni hao watu mliowateka vinginevyo Mungu anakwenda kuwaharibu muda mfupi ujao. Nawatahadharisha kwamba mnaenda kuharibiwa kwa aibu na mtakiri kwa ulimi wenu kuwa ninyi ndo wapotezaji wakubwa wa watu nchi hii. Ninyi mtakuwa kama mashetani sasa!!!
@mariaanthoniangowi9376
@mariaanthoniangowi9376 2 ай бұрын
Kaka hizo no mbina za kutisha Wana chama semi na Wananchi Kwa ujumla Ili waogope nawashindwe kupitia kura. Lakini nose me tu, serekali ya Samia inatisja kilo última na ubiko
@raymondnlelwa427
@raymondnlelwa427 2 ай бұрын
Andika ujumbe vizuri basiii
@JekobuNgwara
@JekobuNgwara 2 ай бұрын
Jamani tuwatafute izilaeli
@EliaHiluka
@EliaHiluka 2 ай бұрын
Nini kifanyike kama wanaotekwa ni wapinzani tu kwanini ccm hawatekwi
@JacksonMartin-pb2vq
@JacksonMartin-pb2vq 2 ай бұрын
Sasa brother mbona ujasema kama mlienda polisi kuuliza wewe unakimbilia kutoa taarifa sasa wametekwa wakati unajua walipo
@estachengula3902
@estachengula3902 2 ай бұрын
Raisi tusaidie tunaishi kwa hofu sana wewe mkuu wetu Samia tunakuomba haya yasitoke
@maryamabdullah9169
@maryamabdullah9169 2 ай бұрын
Mama hana msaada maana keshawaambia Majeshi wajipange na Uchaguzi wa Mwakani kwa hio wamekusudia vibaya
@ThomasAlute
@ThomasAlute 2 ай бұрын
Mkuu wa polisi wa Tanzania ni shida yaani hafanyi kazi yake kwa weledi
@EmanueliWildausoni
@EmanueliWildausoni 2 ай бұрын
Nyie mnaosema ni maigizo nawaona ni machiz kwenye ziara ya makonda hamjaona mamia ya watu watu wametekwa subirn yawakute hv yule jamaa wacc aliyesema wakiwapotza wasiwatafute mbona haulizwi??
@Ibrahim-ne3in
@Ibrahim-ne3in 2 ай бұрын
Nyie jiteken tu hakuna shida
@maryhando227
@maryhando227 2 ай бұрын
Nyie mtaogea mpaka lini chukueni hatua.
@SaidAlly-uh4qw
@SaidAlly-uh4qw 2 ай бұрын
Acheni drama za kitoto hizo
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 2 ай бұрын
Watz tubadrike tuache uoga nchihii niyetusote hakunamwenyehatimiliki, mapolisi watz nimakada waccm wanakula sahanimoja namafisadi wanchihii
@EzekiaMtwale
@EzekiaMtwale 2 ай бұрын
Alafu wapo wasiojitambua wanasema eti wanajiteka?! iv mtu anaweza jiteka na kujipiga Risasi?! mtu kama hujatekewa huwez jua uzito wake!
@yonassngonye3759
@yonassngonye3759 2 ай бұрын
Unondolism wa Chadema unaendelea
@HASSANWAZIRIGAO
@HASSANWAZIRIGAO 2 ай бұрын
Kwanza Temeke Hakuna Ngome ya Chadema Kule Nguvu ni Cuf ndio Mpinzani Mkuu wa Ccm hata Mkutano hamjai Acheni Uongo
@abbyadams8691
@abbyadams8691 2 ай бұрын
Acha ujinga wewe watu yupo serious we unaendekeza uchawa na njaa yako. Hovyo kabsa
@zuchuNosha
@zuchuNosha 2 ай бұрын
We mbwa mwitu Marajó ya Bibi yako why unaongea upuuzi kwani kutweka watu Kila siku we huvisikiii? Acha ujinga wako hii watu wanatekwa tekwa ovyo ovyo tu.au ingekutachi pindi babá yako ema mama nahisi ungeamini kwamba hivi tendo vipo
@MawazoKitumbo
@MawazoKitumbo 2 ай бұрын
Mbwa wewe ndoo mnahalibu nch
@JeradiMaulidi
@JeradiMaulidi 2 ай бұрын
Nyiechadima tumechoka nacelles kelelembakalini
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 2 ай бұрын
Wewe Mhehe kama angelikuwa ndugu yako au mwanachama wenu mbona nchi haikaliki jamani muwe na hofu ya Mungu kwa nini lakini hamjiamini shida uroho wa madaraka mmeshajua kutupiga sasa mnafikiri wakipata nafasi za uongozi watalipiza visasi na kufilisiwa huu ni ubinafsi kwelikweli
@zuchuNosha
@zuchuNosha 2 ай бұрын
We mbwa mwitu IPO siku atatekwa babá yako au mama yako we Kila siku watu wanatekwa tekwa ovyo ovyo tu afu wewe, unaongea upuuzi kama huna chá kukoment kaa kimyaa chizi wewe
@maryhando227
@maryhando227 2 ай бұрын
Nyie itisheni maandamano nyie mtatekwa yote.
@JeradiMaulidi
@JeradiMaulidi 2 ай бұрын
Hivihinitazania au
@MohammedAwadh-gq9si
@MohammedAwadh-gq9si 2 ай бұрын
Mjue kuna shida chadema,mjitafakari IMA mnauhalifu na mnajificha kwenye chama,
@malikidaudi2517
@malikidaudi2517 2 ай бұрын
KAMA NI MHALIFU KWA NINI ASIKAMATWE ETI NI KIONGOZI WA CHADEMA ASIKAMATWE HATA KAMA NI MHALIFU NYIE MNATAKA KICK TUUU KWA WANANCHI ILI MHURUMIWE MPEWE KURA
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 2 ай бұрын
CHADEMA TENA WAKO KWENYE MAIGIZO FILAMU INAENDELEA MPAKA 2030😢😢😢😢😢
@kazimilykulwa2516
@kazimilykulwa2516 2 ай бұрын
Nimaigizo sivyo hongera sana
@daudimchileg307
@daudimchileg307 2 ай бұрын
Kwamba wamejificha au, mbona kama nawe ndio hamna.
@NasraHaruna-e3h
@NasraHaruna-e3h 2 ай бұрын
Hamna kitu hapo boss​@@daudimchileg307
@abdallaahabdallaahibrahim6719
@abdallaahabdallaahibrahim6719 2 ай бұрын
Yakimkuta mmoja wa familia yako useme hivyo hivyo
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 2 ай бұрын
Sawa ni maigizo Mungu atajibu
Хасанның өзі эфирге шықты! “Қылмыстық топқа қатысым жоқ” дейді. Талғарда не болды? Халық сене ме?
09:25
Демократиялы Қазақстан / Демократический Казахстан
Рет қаралды 354 М.
兔子姐姐最终逃走了吗?#小丑#兔子警官#家庭
00:58
小蚂蚁和小宇宙
Рет қаралды 12 МЛН
Mom had to stand up for the whole family!❤️😍😁
00:39
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 93 МЛН
Хасанның өзі эфирге шықты! “Қылмыстық топқа қатысым жоқ” дейді. Талғарда не болды? Халық сене ме?
09:25
Демократиялы Қазақстан / Демократический Казахстан
Рет қаралды 354 М.