HOJA MEZANI | Mustakabali wa safari za mabasi baada ya ujio wa safari za treni (SGR)

  Рет қаралды 2,215

UTV Tanzania

UTV Tanzania

Күн бұрын

Wiki iliyopita Rais Samia Suluhu alizindua rasmi safari za treni ya kisasa ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma ambayo mbali ya ubora na uzuri wa mandhari ya ndani pia inasifika kwa kutumia muda mfupi wa safari ikilinganishwa na mabasi ya abiria.
Je, ujio wa usafiri huo unaathari gani kwa biashara ya mabasi ya abiria na una tija gani kwa wasafiri kwenye kutafuta unafuu wa nauli lakini kusafiri kwa muda mfupi?
Mjadala huu umewekwa mezani hii leo na hapa unachambuliwa ukiongozwa na Goodluck Paul na Hilda Phoya wakiwa na wageni wao.
Imeandikwa na @Sharifa Galimbe
Imehaririwa na @MosesKwindi

Пікірлер: 4
@abdulpagali7476
@abdulpagali7476 Ай бұрын
Let's enhance intermodal (airways, marine, rail, road, waterways) seamless transport systems to promote national integration and trade in Tanzania
@danielmandia7447
@danielmandia7447 Ай бұрын
usafari wa mabasi ikifika msimu wa likizo wanatunyanyasa. treni ya umeme isambae nchi nzima
@tanzanite9944
@tanzanite9944 23 күн бұрын
Kuna ndege siku hizi na kila mkoa kumejengwa kiwanja cha ndege. kwani kwenu ni wapi?
@rasnchimbi
@rasnchimbi Ай бұрын
Kuwepo usafiri wa usiku kumesaidia🤔
Robert Kiprop wins Nairobi City half marathon
46:16
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 10 М.
The Joker kisses Harley Quinn underwater!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 43 МЛН
Самое неинтересное видео
00:32
Miracle
Рет қаралды 1,4 МЛН
Incredible Dog Rescues Kittens from Bus - Inspiring Story #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 37 МЛН
KADANGANYA
10:21
Joti TV
Рет қаралды 273 М.
The Joker kisses Harley Quinn underwater!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 43 МЛН