Huyu sasa ndiyo kiongozi wa kweli wa kiroho siyo wale wanafiki wauza udongo na maji sijui mafuta utapeli mtupu ! Ahsante sana Father Kitima ungekuwa mnafiki ungeamua tu kujinyamazia! Infact, nchi hii kwa Sasa inahitaji akina Kitima wengi!
@mossessamwel1839 күн бұрын
🤝🤝Mungu akupe maisha marefu, safi sana
@denisnjaila218212 күн бұрын
Asante sana baba Padre hqya ni madini yanapaswa kuwekwa kwenye mitaala ya elimu, tuokoe taifa
@njanjimlwale8 күн бұрын
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu kwa kuelimisha Watanzania. Tumekua na viongoz wengi wa dini lakini baadhi ya waliowengi wamekua machawa ni ajabu sana. Binafsi nakuonbea Mungu akulinde uishi milele ili waovu wanaopotosha watu eti tusichanganye siasa na dini Hawa ndio Waovu wa kulaaniwa kabisa
@ChristmasMaheri12 күн бұрын
Candid scope,honest to my country.We deserve great country.
@EricUbalijoro-x1l12 күн бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
@aloujouasumwisye55312 күн бұрын
Asante sana padri Kitima kwa uwazi na mafundisho yako jamii yetu. Wengi wanajidanganya kuwa vyama vya upinzani ni dhambi
@peternyambui749212 күн бұрын
Asante sana baba Padre Kitima
@HekimaSalama12 күн бұрын
Wewe ni mtu wa mungu
@maryfranknamkumba918212 күн бұрын
Ni kweli kabisa Baba Mtumishi Wanauana hovyo huko msumbiji. Very very sad indeed 😭😭😭
@josephsokhia12 күн бұрын
Wachungaji wengine wanijifanya wapo kiroho sana kumbe hakuna kitu bora kitima wewe ni Mtumishi wa Mungu aliye hai
@PhilipoMwita-b2x12 күн бұрын
Anasema kweli mbona akina mwamposa na wengine hamsemi kwamba wapo kiroho
@aloujouasumwisye55312 күн бұрын
Wengi ni wanafiki na wamefungamana na ccm kuwakandamiza wanainchi wakisubili kusifiwa na watawala hali wanainchi wamechoka ile mbaya. Maisha magumu sana, issue ya dp world ona walivyoisia bungeni huku wanainchi wamepandishiwa tozo nyingi pale bandarini
@jeremiahblazio478111 күн бұрын
Hii ndio kuwa kiroho naoijua mm
@mbaralekutarasa750412 күн бұрын
Eeee Mungu Baba mlinde na uzidi kumpa maono na hekima mtumishi wako huyu ili taifa hili likakombolewe
@MasudSalum-o4o11 күн бұрын
Asante padri kitima sasa msikilize kiongozi wotu Sheikh Mohammad Abu Idd unatamani kulia machozi ivi huwa hawajui au makusudi tu
@johnkessy496610 күн бұрын
Hongera sana Padre Kitima. Penye ukweli sema na usiogope. Mungu kupo pamoja nawe.
@mikehenryjohn622111 күн бұрын
Asante Baba Kitima, Naomba Kanisa Katoliki litoe Waraka kama haya yanayoendelea kukata wagombea wa Upinzani Wakristo wote wasiende kupiga kura
@eliaskangabo77912 күн бұрын
Hongera kwa mafunzo yenye msingi kwa taifa
@GodfreyMwamaso10 күн бұрын
Asante padri kuna shekhe mmoja anawatetea CCM wanaohujumu uchaguzi wanawaondoa wagombea wa upinzani kiunjanja ujanja halafu wanataka kupigiwa makofi
@hamisially-c4x5 күн бұрын
Gd sana mzee
@sturmiusbs11 күн бұрын
You are indeed very right. It goes further if you see an evil and keep quiet and refrain from warning the evil door. The evil doer will perish in his/her own sin. But God will hold you accountable for not warning the evil doers.
@sturmiusbs11 күн бұрын
Ezekiel 3:18 "When I say to a wicked person, ‘You will surely die,’ and you do not warn them or speak out to dissuade them from their evil ways in order to save their life, that wicked person will die for their sin, and I will hold you accountable for their blood".
@MjuniLaulian12 күн бұрын
Safi sana padri
@alexkatabi295112 күн бұрын
May Good blessed you
@VitusMgungile12 күн бұрын
Asante mwenyemacho aone
@PaulRPaul-z1q12 күн бұрын
Stay blessed Pastor Kitima
@saviomlelwa12 күн бұрын
Always stay blessed fr kitima
@aloycemisigalo398311 күн бұрын
Umeongea vitu muhimu sana baba padre, wewe ni Lulu katika taifa letu, nakutakia maisha marefu ili siku moja tuweze kufaidika na hekima ulio nayo.
@richardhezron258810 күн бұрын
Hatuna siraha wala Lungu kaziyetu ni kuongea kuelimisha jamii jamii ikiamka wakubwa watakaa chini
@nicodemusdanieli12 күн бұрын
Hongera baba wenye kusikia wamesikia
@Furahinikatkabwana12 күн бұрын
Asante baba
@FortinathaMvikule-cm1im12 күн бұрын
Mungu Akulinde kwa faida ya watanzsnia
@mbagalacharambe11411 күн бұрын
@@FortinathaMvikule-cm1im mungu hata siku moja hawezi kumlinda Shoga MTu anaye filwa
@ToureMassawe11 күн бұрын
Mungu awabariki sana mapadri wote kwa kusema ukweli
@PaulRPaul-z1q12 күн бұрын
Stand up with justice being witnesses for God. And then even if it is against your own people. (Quran 4:135)
@paulfrancis189712 күн бұрын
Well said
@DEOGRATIASHenerico-j1x10 күн бұрын
Mungu, hakupe faraja, farhar, kituma
@KhatibuMshana-wy9pf12 күн бұрын
Kitima mungu akubariki Kwa matamko yako ,
@JamesSitta-b9s12 күн бұрын
Safi sana baba kitima
@EstermsuyaMsuya12 күн бұрын
Wellsaid father..Sema.ukweli.tuwe huru
@reginaldmapunda670211 күн бұрын
Tusisahau pia kuwa Mauaji makubwa ya raia Rwanda na Burundi viongozi wa dini walikuuwa na mchango mkubwa. Hilo nalo msisahau kulitolea mfano kama mlivyotolea mfano mafanikio ya Kenya na kwamba inawezekana tumejifunza Rwanda na tunataka yatokee na Hapa Tanzania.
@venancemsendo734612 күн бұрын
Tumsifu yesu kristo wewe ni kuhani wa kiukwelikweli nakuombea sana wewe shujaa wa kikatoliki msema kweli
@SalambaPeter11 күн бұрын
Asante sana baba ,lkn najua unasema kwaniaba ya kanisa mbona maparoko wamekaa kimya?
@FrankMwakatundu-cu6bd10 күн бұрын
Yeyote anayenyanyua kinywa chake kumpinga Padri Kitima ni CHAWA WA SAMIA TU.
@ulomirabiel698011 күн бұрын
Further Taifa linakuhitaji sana kipindi kuliko wakati mwingine. Paza Sauti yako asiwepi mtu baadae wa kusema sikujua. Mambo haya ya ovyo sana yanafanywa na serikali mihimili mingine iko kimya. Kanisa asante pengine mnaweza kuliponya Taifa hili.
@abubakarimussa913111 күн бұрын
Nakukubali sana
@AnthonyPiusi12 күн бұрын
Sema padri maana nchi hii viongozi wamenyakua mamlaka ya wanainchi bunge limekuwa sio lawanainchi viongozi wamekuwa miungu hawataki kusemwa
@nasramusaro12 күн бұрын
👏👏
@chesconkwera200512 күн бұрын
❤
@InnocentCharles-hm3ff10 күн бұрын
Sasa kama mtu anaengua wagombea badala ya kura za wa wananchi kuamua nani anatufaa nani hatufai....huo uchaguzi una maana kweli au ni kuteketeza mabilioni ya Kodi za wananchi kuaanda uchaguzi wakati washindi unao kabatini?....uhuni wa kizamani sana... Hapa ni kuwadharau wananchi kuwapotezea muda wa kujiandikisha na haki ya kuwachagua viongozi wanaowafaa...
@ChristerKoku12 күн бұрын
Hivi nikikuta jina langu halipo na nilijiandikisha,nitalalamika wapi na kwa ushahidi upi?
@nyembobea728512 күн бұрын
Padre unajitahidi sana kujifanya mwanaharakati unatuletea mambo ya kanisa lako la roman Catholic umeligeuza kuwa chama cha siasa unavyoonekana kama unaagenda na baadhi ya viongozi wa dini
@FilbertLuoga11 күн бұрын
Katika mtu mpumbavu ni wewe huna akili acha udini hovyo kabisa
@zeelamipango11 күн бұрын
Fala mmoja wewe
@HappyIceSkate-sb8uf11 күн бұрын
Ubwa
@MosesMushi-p2p11 күн бұрын
Fr kitima tuko nyuma yakoo uo ndo ukweli yanajidanganya kuonea wapinzani walijikomba maccm yanajiona wajanja kumbe ni mijinga ya mwisho katika taifa
@visionstudios680410 күн бұрын
Hofu yangu kubwa ni hatari ya machafuko iliyoko mbele yetu pale watu watakapoanza kuuwana wao kwa wao dhidi ya chuki.
@PhilipoMwita-b2x12 күн бұрын
Huu ni uonevu ccm rekebisha
@simbarajabu415711 күн бұрын
Ww unafikiria watu wenye akili zao timamu watampa kula chadema ,ww pigia debe , lakini sie wenye akili timamu tushakuona ww chizi
@MatronaThomas-wz5si12 күн бұрын
❤❤❤
@abdalahgunda131912 күн бұрын
Worning to ccm leadership from padre kitima from Roman Catholic church this are world wide organization ever temper with him or crush this organization in Tanzania national you ply with Denger position ccm leadership leasening to religious leader Roman Catholic voice in Tanzania national vary loud voice vary lmotion into Tanzania population and around the world
@jumayassin423011 күн бұрын
Acheni udini wakati mwendazake mlikaa kimya kabisa.hayo maneno hayakuwepo kabisaaaa na yalikuwepo makubwa sana
@othmarluwawilo830811 күн бұрын
Udini gani wakati mashetani yanaendeleza ushetani wao? Ujinga wowote hauwezi kuachwa bila kuutolea maoni. Mama muuza bandari zetu na rasilimali zetu amejiona wabara hatumtaki amekaa kimya akibariki uovu.
@peterkanja476510 күн бұрын
Kitima hakukaa kimya alimwambia Magufuli ameiba kura
@WazaeliStefano12 күн бұрын
Sema baba huu ndio ukweli
@nicolauslema8811 күн бұрын
Potelea ya mbali bado kidogo kutakucha.
@RichardbituroMakole9 күн бұрын
Anapaswa kuwa rais huyu,kitima hajawahi kuwa wakujipendekeza kwenye haki, Kwa jpm alisema hakuogopa, Kuna watu wanasema anaingilia siasa , Siasa ilitoka wapi km siyo kanisani mfumo wa utawala umetoka Kwa Mungu,
Siku zote wanaongea, hata issue ya bandari kanisa likisimama na wananchi.
@ToureMassawe11 күн бұрын
Wamewafundisha msumbiji sasa wanauawana
@BossiLaizer12 күн бұрын
Laaaani kabisa utu mbele matumbo nyuma bwana, kanisa pekeee linalooemea uovu hadharani.
@simbarajabu415711 күн бұрын
Mbwa tu huyu Kuna mwenye maono hapa ,huyu anashabikiia chadema basi kwa uwakika chadema atapata urais kamwe aombe mpka ajambe
@jeremiahblazio478111 күн бұрын
We chizi kweli, kwahiyo siku hizi ukikemea uovu unakuwa chadema. by the way m sifungamani na chama chochote ila padre alichokiongea nimemwelewa yuko sahihi asilimia mia.
@RamaKimbeu-tw4po12 күн бұрын
KAKA KILA JAMBO NA WAKATIWAKE JITAHIDI LAKINI KUMBUKA WALIOLALA WAMEAMKA HOFU YAKO NI MKATE WAKO SIO WATANZANIA
@RamaKimbeu-tw4po11 күн бұрын
MANENO UNAYOSEMA PIA KUHUSU MAENDEREO AU HALINGUMU YA MAISHA WADANGANYE WATOTO SISI TULIOKUA KIPINDI CHA MWALIM.TULIKUA TUNAWEKA JIWE USIKU GALI LA UGAWAJI LINAPITA SAA SABA MCHANA NA TUNAPATA UNGA WA MUHOGO MCHUNGU NA UNALAZIMISWA UCHUKUE NA SABUNI YA MAGADI KWASASA TUNAONA KAMA TANZANIA SASA TUKO BIEEEEEER
@TwahirBurhan10 күн бұрын
HAKUNA KIONGOZI HAPO NI KELELE ZA KUZUIWA KTK MASLAHI YA MAMBO YAO TU
@pirminmatumizi546411 күн бұрын
Ni kabila gani huyu Mtumishi wa Mungu?
@mikelabia71610 күн бұрын
Mnyaturu wa Singida
@othmarluwawilo830811 күн бұрын
CCM hofu ya nini? Mkishindwa si mkubali km wenzenu wa Namibia? Ccm hii nchi ni ya Watanzania siyo ya mama zenu. Bangradesh!
@abdalahgunda131912 күн бұрын
Lean dady democracy in Tanzania for Mozambique Rong political behavior in Mozambique tanzania clean democracy and clean political was during late julias kambarege Nyerere only who have hold leadership on ccm are coruption politician on leadership Raman catholic church voice can not leasening by ccm leadership
@BoayHotay12 күн бұрын
Umepiga ikulu ya wahujumu uchaguzi , Wacha tochi imulike Giza tuone nini kinachofanyika huko
@BossiLaizer12 күн бұрын
Tz yetu eee
@DaudSuday-v5c12 күн бұрын
🙏🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@philemonsnyanda945012 күн бұрын
Mbona cjasikia matamko ya mashehe
@christopherndiu457011 күн бұрын
Jibu hoja acha matusi
@njanjimlwale8 күн бұрын
Hakika wewe ni kiongozi na mlezi wa Taifa letu
@simbarajabu415711 күн бұрын
Waislamu na nyie amkeni ,udini ,huyu padri sijuwiaskofu ,mbwa tu huyu
@ShedrackFaustin12 күн бұрын
Pongezi waandish wa habari elimu inatufikia
@AmedeusMbanda-gh4rj12 күн бұрын
🤔🤔
@trueprophet762712 күн бұрын
But why this lecture this time not in 2020? Mbona kwa Magufuli mlikuwa kimya. Jambo hili ni tangu Mkapa
@paultavin311412 күн бұрын
Fatilia huyu alipishana sana na marehemu Magufuli
@ibrahimabdallah164311 күн бұрын
HAKUNA PADRE HAPA VUA JOHO KATANGAZE SIASA
@ShekhanSaid12 күн бұрын
sijalewaaaa
@patrickKitambo11 күн бұрын
huwezi elewa upeo wako ni mdogo
@johnsinyinza745011 күн бұрын
Sema baba wambiye wajinga hawo . Tutaishi kama wanyama tukianza kuwindana usiku. Vita ya kuviziana usiku ni vibaya jamani.hatapatikana mshidi. Nahuwezi kuwatambuwa kiasi kwamba njoni kwenye meza ya mazungumzo.
@KhatibuMshana-wy9pf12 күн бұрын
Hawa wenzetu Kwa haya matamko yako hawapo na matamko yako
@oslojob568812 күн бұрын
Ccm ndio cha kisichotaka ukweli😂😂😂ukisema ukweli ccm utasikia unapotosha .ccm chama cha kijinga sana aibu hawana wajinga sana ccm
@BossiLaizer12 күн бұрын
Nchi gani iyo ya kijinga ya kuiga ujinga na usherani
@furahachuma903912 күн бұрын
Msumbiji, Uganda na Rwanda. Wote hao ni matunda yetu.
@mbagalacharambe11412 күн бұрын
Huyu IPO siku tutamvunjia heshima Kisha atulie ... Asituketee usenge tena zipo taarifa kuwa NI Shoga huyu
@hassankibiki12 күн бұрын
Kuwa heshima
@michaelkwatlema212412 күн бұрын
Shoga ni wewe usietaka kuambiwa ukweli senge wewe
@EricUbalijoro-x1l12 күн бұрын
Shoga baba ako mbwa koko ulozaliwa na malaya
@mbagalacharambe11412 күн бұрын
@michaelkwatlema2124 Shoga NI huyu padri
@laurencematitah704612 күн бұрын
Wewe ndo Shoga namba moja unaesema Mtumishi WA mungu Shoga, wewe ni Shoga wa fikra