PADRI KITIMA AITEGA TAMISEMI KUSIMAMIA UCHAGUZI/AGUSIA MISIMAMO YA CHADEMA,ACT NA CCM

  Рет қаралды 49,340

JAMBO TV

JAMBO TV

Ай бұрын

#JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►KZbin: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Пікірлер: 335
@CHRISTOPHERKIMWAGA
@CHRISTOPHERKIMWAGA Ай бұрын
Father kitima Kwa kweli uko makini sana nakupenda sana mungu akubaliki
@FilbertFissoo-pe2xm
@FilbertFissoo-pe2xm Ай бұрын
Hongera father kitima , umekuwa miongoni mwa watetezi wa nchi yetu
@albertkamala6843
@albertkamala6843 Ай бұрын
>State capture na resource capture ndiyo mfumo tyr uliopo! Pasipo kusikiliza matakwa ya umma kuwezesha uchaguzi huru utakaohakikisha kupatikana viongozi bora na siyo bora viongozi taifa lipo mashakani! >Padre Kitima amedadavua kwa ufasaha na kueleweka vzr sana!
@FilbertFissoo-pe2xm
@FilbertFissoo-pe2xm Ай бұрын
@@albertkamala6843 hakika nchi hii bila ukombozi wa kifikra hatuta fika mbali tutazidi kuwa omba omba wa magharibi , mfano tunaardhi nzuri yenye rutuba halafu tunategemea mafuta ya kupikia na ngano na sukari nje ya nchi its so shame.
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 Ай бұрын
Kwa kweli inatia huruma 😢 Tanzania tunalekea pabaya sana tumeuzwa kila mahali!Fr Mungu akulinde
@marymtemahanji2571
@marymtemahanji2571 24 күн бұрын
Mwenyezi Mungu azidi kukubariki na azidi kukufunua kwa ajili ya wanyonge🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@user-bf7sr1cv1g
@user-bf7sr1cv1g Ай бұрын
Kitima hongera saana unafaa sana mungu akubariki sana
@ambitiousholyspirit395
@ambitiousholyspirit395 Ай бұрын
Father kitima Mwenyezi Mungu akubariki sana! Kwa kuwa unaona mbali kuliko waonavyo wao, wanawaza miaka mitano tuu! Ila hakika naona hata wananchi hawatajitokeza wengi Kwa sababu ya wizi wa kura! Wananchi watatafuta namna ya kujitawala kuliko kutawaliwa maana hakuna uongoz ulio na baraka na wananchi.
@hajihassan5433
@hajihassan5433 Ай бұрын
Ubaya wa kura kwa mujibu wa mfumo ni kwamba hata usiposhiriki huadhiri chochote, zaidi zaidi usipopiga kura ndio haswa umemchaguwa usiyempenda.
@ebenezernnko8251
@ebenezernnko8251 28 күн бұрын
Safi sana kitima
@adammjomba5814
@adammjomba5814 18 күн бұрын
Mzee kitma kwa ccm hilo haliwezekani kufanya uchaguzi we huru hilo halitawezekana hatamfanyenini ccm wanachomeka ni kuongoza tu na kubadilisha uongozi. Yani ni hivi mzee kitma ulioyaona 2015 mpaka 2019 mpaka 2024 ndio utakayo yaona 2024 na kuendelea , msipoteze mda na ccm ( mitano tena 5 kwa CCM kikwete amesha sema. Mama mitano 5 tena.
@user-wz3ne2kc3o
@user-wz3ne2kc3o Ай бұрын
Father kitima, be blessed Tz nchi yetu inaenda wapi??????
@leocadianjau7410
@leocadianjau7410 Ай бұрын
Kwa kweli naona shida kubwa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa serikali inaendelea kurubuni watu kwa nini ikatae misaada ya kuboresha uelewa wa wananchi
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle 16 күн бұрын
Mzee wangu kitima mungu akubariki kwa kuongea ukweli juu ya yanayoendelea nchini petu
@ezekielmirambo8704
@ezekielmirambo8704 Ай бұрын
Thank you father for your outstanding opinions
@user-ii2vm5vv1b
@user-ii2vm5vv1b Ай бұрын
Padri Kitime ni mfano Bora kwa viongozi wadini. Hongera kwa hekima ya Mungu ndani yako
@mataypanga5262
@mataypanga5262 Ай бұрын
Hatuna haja na tume huru ya uchaguzi bali serikali isiibe kura na kunyanyasa watu
@user-bn4br7qm7r
@user-bn4br7qm7r 26 күн бұрын
Father kitima na sheikh ponda hawa watu mungu awabariki sanaaaaaaaaaaaa wao na familia zao
@vellenahfuraha6254
@vellenahfuraha6254 Ай бұрын
Father ubarikiwe sana kwa haya uliyofunuliwa kunena. Lakini ikumbukwe kwamba tangu vyama vingi kuanza 1992, nchi hii haijawahi kufanya uchaguzi huru na wa haki. Vilevile hatuna sera moja ya kitaifa. Kwa ujumla nchi hii inaendeshwa kiimla😭😭.
@peterantony5890
@peterantony5890 3 күн бұрын
Padri Kitima, Mwenyezi Mungu azidi kukubariki.
@user-xs3ko8pg2g
@user-xs3ko8pg2g Ай бұрын
Tumpate wapi mtu kama padri kitime, viongozi wa dini wenye hekima tanzania kama kitime ni wachache sana ana hekima busara, anajitambua, tofauti na wanaojiita viongozi wengi wao wanan'gan'gania madaraka na uwezo wa kuongoza hawana, na ndiyo watakao leta machavuko tanzania, na mateso na mauaji wanaofanya kwa raia damu za wote waliouwawa kwa hila na ujanjaujanja ziwe juu ya vichwa vyao
@festokemibala5832
@festokemibala5832 Ай бұрын
Ikumbukwe huyu anazungumza akiwa mwakilishi wa taasisi inayosimamia masuala ya kiroho na ustawi wa kimwili wa mtanzania na siyo mtu binafsi. Taasisi nyingine ni ndumilakuwili na vuguvugu ambao Mungu alisema "atawatapika"
@pulikisia7963
@pulikisia7963 Ай бұрын
Anaitwa Kitima sio Kitime
@user-xs3ko8pg2g
@user-xs3ko8pg2g Ай бұрын
@@pulikisia7963 asante kwa kunisahihisha muheshimiwa kitima, ni hazina kubwa ya taifa,, hata MUNGU siku akimchukua tutalia bila kuulizia kabila alilotoka, lakini wanaotuletea kila siku tozo MUNGU awachukue hata leo ni janga la taifa
@kassimhaji3238
@kassimhaji3238 Ай бұрын
Kizuri huigwa, Tanzania tukubali kujifunza kwa wenzetu wa Afrika Kusini,chaguzi zao ziko huru sana,
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 3 күн бұрын
Ni bora Tanzania tuje tuongozwe na viongozi wa dini ...
@rogersiddy
@rogersiddy 26 күн бұрын
Asante sana Padre Kitima Mungu akubariki sana hujawahi kumung'unya maneno ila muarobain wa haya yote Katiba mpya ndo msingi
@SundaySteven-bz4yq
@SundaySteven-bz4yq Ай бұрын
Lakini pia police na wasimamizi waache kuibeba ccm wao wawe kama refa atakae shinda atangazwe tofauti nahapo uchaguzi umechangia vita kwe inchi za majirani tunawashukuru viongozi wa dini kuliona hili mungu akubariki padire kitima
@leokamil6284
@leokamil6284 Ай бұрын
Hawawezi kuwacha kwa kuwa Viongozi wakubwa wa vitengo hivyo wanatoa amri kwa maslahi yao kubaki kwenye nafasi za juu.Watanzania wote tunatakiwa .tudai Katiba mpya ili madaraka yapungue kwa Rais endapo itabaki Rais kuchagua Majaji Wakuu wa Polisi na Majeshi MaDc Rc na wengine wengi hapo tusahau tume huru tusahau uchaguzi huru. Katiba iliyopo Rais ni Mungu wa nchi
@user-cx1xz2is5d
@user-cx1xz2is5d Ай бұрын
Mungu akubariki sana
@VenanceMsendo
@VenanceMsendo 13 күн бұрын
Mimi msendo kahama baba kweli umeiva kabisa tunakupenda sana uko kama petro mwamba wa kanisa letu katoliki duniani mungu akulinde
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 Ай бұрын
Mbona katibu wa ccm alisema usichanganye dini na siasa mbona wanawaalika viongozi wa dini? Yaani kiongozi wa dini akiikosoa serikali ni kosa duuuu
@piomgeni8750
@piomgeni8750 Ай бұрын
Katibu wa CCM alisema na wewe unafikiri kuongea ukweli ni kuchanganya Dini na Siasa? Huwezi kuwahubiria watu bila kuwakomboa kifikra, kisiasa na kiuchumi Fr anaongea vizuri sana
@philomenastephen3364
@philomenastephen3364 5 күн бұрын
UNAPOSEMA.ASICHANGANYE DINI NA SIASA MAANA YAKE NI NINI? YEYE ANAHUDUMIA UMA KWA IMANI YAKE KIROHO KIUCHUMI NA HATA KIAFYA. WAPI IMANI BORA BIRA AMANI? NCHI NI JAMII NA JAMII NDIYO HAO WATU WANAOHUDUMIWA NA VIONGOZI WA KIROHO. PADRI KITIMA YUPO MAHALI SAHIHI SANA KTK KUCHANGIA MAONI YAKE PEVU SANA. NINACHO MUOMBA MUNGU, VIONGOZI WETU WAJITATHIMINI NA KUKUMBUKA KUWA, KUNA KIPINDI WALKKUWA HAWAPO DUNIANI NA KUNA KIPINDI WATAKUWA HAWAPO. NA VYOOTE WANAVYOVIGOMBEA HAWATAKWENDA NAVYO. WATAONDOKA DUNIANI KAMA WALIVYOIINGIA. VIONGOZI WETU KUWENI NA UPENDO NA KURIDHIKA NA MLIVYO NAVYO.
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 29 күн бұрын
Father kitima,Mungu akubariki wewe ni kiongozi bora sana! Unaongea ukweli,asante kwa maelezo mazuri na Elimu nzuri kwa Wananchi! Wananchi tuamke elimu hii ni nzuri itupe hamasa ya kuungana tuunganishe nguvu zetu pamoja tudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, tuwakatae ccm kuanzia wenyeviti wa mitaa,vijiji, madiwani, wabunge na Rais,msíwachague ccm ni kuangamiza Taifa letu. Na mateso kwa wananchi!
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 Ай бұрын
Father mmeingizwa mjini. Hawa wanawadhihaki wananchi kwa maulaghai yao. Hawajawahi kuwa serious
@emmanuelmasele9585
@emmanuelmasele9585 Ай бұрын
Hongera sana Fr.Kitima
@victorkisenha5933
@victorkisenha5933 29 күн бұрын
Fr.Mungu akubariki sana,pia nakupa 100%
@emanuelsinyinza
@emanuelsinyinza 3 күн бұрын
Kama alivyo sema nyerere kuwa na chama kimoja alifanya makosa makubwa uwaminifu wake alidhani marais aliyo waachia mamulaka watafanya kama yeye matokeo kama mnavyo ona mikataba watumishi kutoka zanzibar wanapewa wizara ambazo siyo zamwungano hi hatari sana tusubiri nafasi nyeti zitakapo pewa na watu kutoka zanzibar ndipo hawo wanao sema tunafanya ubaguzi watakapo sema kumbe maneno yetu sahihi. subiri.
@user-so9fo5tv3j
@user-so9fo5tv3j Ай бұрын
Well said and stay blessed.
@user-xh8kd9ze7o
@user-xh8kd9ze7o 29 күн бұрын
Asante Sana padri, akili kubwa Sana hii, wamasai wanatolewa ngorongoro na hawapewi elimu ya kwenda kuendesha maisha yao huko.
@deohaule8161
@deohaule8161 Ай бұрын
Mungu akubariki sana, umesema ukweli kabisa. Unastahili kua kiongozi wa nchi. Serikali yetu kipofu na haina masikio, tuna viongozi ambao hawataki kuambiwa ukweli. Miaka ya nyuma uchumi was China ulikua kama watanzania. Serikali ya China ikafanya mageuzi ya mitaala yao ya elimu kwenye maswala ya technologia. Serikali ya china ikawapeleka wananchi wake kusoma marekani na nchi nyingine za kiteknologia, ikiwemo kuwachukua wataalamu wa technologia wa kimarekani, kingereza n.k kuwafundisha wananchi wao nchini china. Leo hii china ni nchi yenye uchumi mzuri duniani. Sasa serikali ya TZ iamke, wananchi waamke. Uchaguzi lazima uwe wa huru na haki. Na utawala wa nchi uwe wa haki na unafuata sheria. Bunge, Polisi na Mahakama iwe mihimili huru katika kufanya kazi zao. Mtu yoyote yule akikamatwa ana hujumu rasilimali za nchi sheria ichukue mkondo wake.
@machumumalugu4058
@machumumalugu4058 Ай бұрын
Umeongea kama mm vzr
@orapez
@orapez Ай бұрын
Akili kubwa kama hizi zinahitajika sana kwenye kuongoza serikali. Father hongera sana kwa uchambuzi ambao kila mtanzania, hata mwenye elimu ndogo anaelewa. Mungu akubariki sana.
@user-wl5np6sv3i
@user-wl5np6sv3i Ай бұрын
Father umeongea jambo muhimu sana Mungu hawe nawe
@AllyMandunda-tj9jc
@AllyMandunda-tj9jc Ай бұрын
Imesema kweli padre
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 11 күн бұрын
Democracy is there to preserve not to exercise, acha kutumika ndugu padri , tunasubiria BRICS tu ikae sawa na mifumo ya international money transfer ikae vizuri , maana hawa wanajiona wana sauti saana na wanapenda kuingilia uchanguzi wa Nchi, furaha yao Chadema iingie madarakani , wanapenda kukimbilia kwa mabwana zao kulia lia , tunasubiria BRICS tu itengemae
@YoelLufunga
@YoelLufunga Ай бұрын
Nimekubali , padri uko vizuri na uko huru. Ukitumiwa vizuri , unaweza kuwa wa miongoni wa watanzania wachache wenye uwezo wa kukomboa nchi yetu. Tuna watu wa ajabu sana walio juu nchi hii.
@user-ih1pk1vs4q
@user-ih1pk1vs4q Ай бұрын
Pamba masikioni fikiria mtu kama Nape mwigulu makamba mataper kama hao na wengine wengi hao hawajui kitu akilini mwao wanaangalia kuongoza nchi tu haojalishi wameshinda au wameshindwa wao wanataka kuongoza tu watanzania tujiandae kisaikorojia hawa jamaa watanyang'anya tu wamejaa madhambi tupu hawa viongozi au tungewauliza hawa kina Nape tuwachangie pesa kiasi gani tuwape watuachie nchi yetu tumechoka nao sn
@WilsonLuchwele
@WilsonLuchwele Ай бұрын
Anayedhani Padri kuzungumzia siasa ameingia pasipomhusu ni uthibitisho kamili wa umbumbu walio nao baadhi ya Watanganyika_siasa ya nchi inambeba kila raia aliyemo kwa njia moja au nyingine
@maryhando227
@maryhando227 Ай бұрын
Kweli kabisa father, Mungu aendelee kukupa hekima, labda chura na watu wake. Watakusikia.
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 Ай бұрын
Akili kubwa sana
@daudymlauletv8489
@daudymlauletv8489 Ай бұрын
Democrasia ya kuyalinda majiz yn ingelikua mm hata uchaguzi ni kupoteza pesa watu hawana mahtaji ya msingi
@TitoRufizi-xb2ub
@TitoRufizi-xb2ub 25 күн бұрын
Father kitima unaakili sana unaongea kweli,viongozi wetu ni bule kabisa hawana mipango endelevu wanaangalia ya leo tu,ngozi nyeusi sijui tutavuka lini kazi yetu kuombaomba misaada tu kwa wazungu wakati tuna resources nyingi sana ambazo zinaibiwa na hao tunaowaomba misaada
@EsterYohana-ix7ii
@EsterYohana-ix7ii Ай бұрын
Hongera father kitima kwamfano form moja yamgombea urais wananchi wakawaida waumini wa chama husika wamehusishwa wakalizia
@KandidoLuvanga
@KandidoLuvanga Ай бұрын
Watanzania wamekata tamaa juuu ya mamboyanayofanyika kuhusu uchaguzi
@rajabusaimon7662
@rajabusaimon7662 Ай бұрын
Baba Hawa viongozi tulionao asilimia kubwa wanaangalia matumbo Yao tu hawaangalii taifa kwanza ila tuwaombee tu kwa mungu labda kunasiku watalikumbuka taifa lao
@ceciliamagalabajimmy4391
@ceciliamagalabajimmy4391 3 күн бұрын
Baba tumsifu Yesu Kristo! Umesema ukweli mtupu!
@adorchmassimba4413
@adorchmassimba4413 Ай бұрын
Viongozi wa Dini wachache sana wanaojitambua ktk kusema kweli nakuikosoa serekali kwa hekima sio kwa matusi ktk uwisramu shekher Ponda nikiongozi wa kidini jasiri anaesimamia kweli yuko tayali hata kufungwa jera kwakutetea kweli
@CharlesKayungi
@CharlesKayungi 20 күн бұрын
Asante Father Kitima. Ubarikiwe kwa kuwa katika mengi u muwazi. Ila mtazamo wako kuhusu awamu ya 05(ya JPM). Ukweli ni kuwa unachokisinamia kuwa taifa linapaswa kujengwa katika kujiamini na kujitegemea ki maendeleo, mbona ndiyo ilikuwa SERA kuu ya awamu hiyo iliyo abort?
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Ай бұрын
Hongera baba Kitime kwa kuliongelea hilo.Tuendelee kupigania haki.Hawa watawala ni walaghai na walafi zaidi ya nguruwe.Mafisadi wakubwa hawa na watakufa na dhambi zao.
@batwelimahenge7850
@batwelimahenge7850 Ай бұрын
🙏🙏✔️asate nimekueliewa mkuu
@stephanomwile9920
@stephanomwile9920 27 күн бұрын
Hongera sana baba Kwa kutoa maoni mazuri tunaomba wenye mamlaka waheshim maamuzi ya wananchi
@user-bf7sr1cv1g
@user-bf7sr1cv1g Ай бұрын
Hongera father k
@user-pn5gv7ix3g
@user-pn5gv7ix3g Ай бұрын
Fr Kitima approach yako ni ya mlengo wa kati yenye uelewa wa hali ya juu. Inastahili watunga sera, watafiti, wanasiasa na wadau wa maendeleo wapitie hoja zako bila kujali kwamba ziwe za itikadi kali. Ningeomba utoe ushauri wa utekelezaji wa sera na mikakati kwa mustakabali mzima wa maendeleo ya jamii yetu, kwa mipango ya muda mfupi na muda mrefu. Na hii iguse jamii nzima ya watanzania walipa kodi
@anordiobadia.nycsong8123
@anordiobadia.nycsong8123 Ай бұрын
Good leader
@josephmkinga9509
@josephmkinga9509 Ай бұрын
mwaka huu wasifanye hvo mungu atawapiga pigo ambalo hawataamini mana walikuepo akina farao,nebukaduneza na mwanae wanajua kilichowapata na wao wawe na hofu ya mungu watende haki haki haipotei
@cosmaswilliam3805
@cosmaswilliam3805 19 күн бұрын
Imekaa vzr
@meshackthomas1341
@meshackthomas1341 Ай бұрын
Mtumishi wa Mungu. We ombea. Taifa. Liwe na watu wenyekuzingatia Sheria za Mungu Kwanza. Mana. Watu wanataka madalaka. ili wapate. Unafuu. Wa maisha binafis tunaona. nakuhalibiana. Au kutengenezeana chuki viongoz wazuri. Wapo. na hawapati nafasi .
@Wakateezo
@Wakateezo Ай бұрын
Perfect 👍 🎉🎉🎉🎉
@chezariboy
@chezariboy Күн бұрын
Good kitima.
@bilid4128
@bilid4128 Ай бұрын
Mwandishi ,Father akielezea tatizo pia muambie atoe Suluhisho lake ! Kwa sababu wasomi wengi tunajua kuelezea Matatizo ila majibu hatuna !
@josephmchila6467
@josephmchila6467 Ай бұрын
Suluhisho anatoa,msikulize vzr
@bsmonline8482
@bsmonline8482 Ай бұрын
We unatafuta pointi ya kuanza kupinga tuu wakati kila kitu kinaelezwa sawasawa.
@issacklyandala7023
@issacklyandala7023 Ай бұрын
Kaa kimya wewe
@corporatethugsent7380
@corporatethugsent7380 Ай бұрын
Si utulize mshono ukae umskilize father vizur.mxiiiuuuu
@albinimichael1342
@albinimichael1342 Ай бұрын
Ndo amekutaja wewe chawa mbona unaumiaaa??
@RichardNkhangaa-nv9tf
@RichardNkhangaa-nv9tf 28 күн бұрын
Fr,ubarikiwe sana,uko sahihi sana baba!
@mohamedkashindi7689
@mohamedkashindi7689 Ай бұрын
Upo sawa unaongea vizuri sana muumba akubariki na awape nguvu mtetee ilo jambo mpaka haki itendeke
@SundaySteven-bz4yq
@SundaySteven-bz4yq Ай бұрын
Hawa ndio viongozi wa dini wanaotakiwa sio wale wanaochukua hongo na kudanganya waumin kwamba wakichagua chama tofauti na ccm wataangania waache wanainchi wafanye maamuzi wakiamuwa kuendelea na mateso basi
@emanuelmwakasungula3052
@emanuelmwakasungula3052 Ай бұрын
Natamani uwe raisi wa nchi
@bukurunestory3540
@bukurunestory3540 Ай бұрын
Watumishi wa Mungu pazeni Sauti msiache kusema ndio Utume wenyewe
@user-xe8xv6so6s
@user-xe8xv6so6s Ай бұрын
Ni kweli fatha kitima hekima kubwa Sana. Unatumia. Mungu akubariki
@nellychamba1507
@nellychamba1507 Ай бұрын
Asante sana father kitima, simameni nyie maana mmmh!
@yohanamdemu9232
@yohanamdemu9232 Ай бұрын
Wewe baba Padri unaiamini Hii serikali kuwa itatekeleza hizi Ahadi zake na siyo kutaka mtulie na kifanya yao
@anosiata8242
@anosiata8242 Ай бұрын
Tungepata Watu10 kama padiri kitima tanzania ingekuwa mbali. Sana. Anaongea point. Anaongea bila kumungunya maneno.
@cosmaswilliam3805
@cosmaswilliam3805 19 күн бұрын
Chadema sisi tuwe makini kabla ya kuan za mikakati ya uchaguzi,maana tunaenda kupambana na miungu kwanza tusari sana,tuombe sana,tufunge sana na tumshilikishe sana Mungu wa Iblahimu.maana tunaenda vitani.Mungu ibaliki Tanzania.
@amosdickson6318
@amosdickson6318 28 күн бұрын
Resource capture tayari ipo bado. Endeleeni kuhamasisha maandamano tu, CCM NI SIKIO LAKUFA. ALISEMA HAWA "WANATAWALA KWA DAMU TUWAONDOE KWA DAMU"
@dillonfoya
@dillonfoya 25 күн бұрын
Kitima anachosema haswa kuwapeleka wananchi kwenda kujifunza nchi za wenzetu wanachokifanya nao wanabadilika enzi za Nyerere wananchi walikuwa wanapewa nafasi ya kwenda kujifunza kwenye nchi zilizoendelea na waliporudi walibadilika sana chukulia ufugaji wa kuku kutoka Holland ,New Zealand,nk kwa hiyo wananchi wapewe nafasi kwenda kutafuta nafasi ya kutafuta Wabia
@patrinraura1397
@patrinraura1397 Ай бұрын
ASANTE Mhe Katibu Kitime Nyie ndiyo jicho letu Mungu akubariki
@matthewmichaelsylvester5612
@matthewmichaelsylvester5612 2 күн бұрын
sawa father lakini wenye tunakadamizana kwa kupokea wageni na kuwa vibaraka wao ili ufanikiwe siku izo ufanye kazi chini ya wachache wenye nafasi za juu yaani kuwa chawa wa mtu hasa baadhi ya watumishi wa umma
@MSOMBAAlon-gh3ps
@MSOMBAAlon-gh3ps 3 күн бұрын
Mungu awe nawe .
@bakermusa9033
@bakermusa9033 Ай бұрын
Father Kitima bila kumung’unya maneno nilijua ushalambishwa asali ya nyuki wadogo si bure . Sasa naanza kurudisha imani
@asacconlinemedia5343
@asacconlinemedia5343 Ай бұрын
Walijaribu kumlambisha kwa lazima wakashindwa
@asacconlinemedia5343
@asacconlinemedia5343 Ай бұрын
Walijaribu kumlambisha kwa lazima wakashindwa
@emanuelsinyinza
@emanuelsinyinza 3 күн бұрын
Bei ya mahindi serikari wa zambia kongo waje moja kwa moja tanzania kununua mahindi matajiri mahindi yenu msiuze wekeni dawa pili musimu huu msilime tuone mwaka kesho wale mbolea ya rusuku.
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 Ай бұрын
Father piga zoezi we bado ni kijana mdogo. 😅😅piga zoezi baba hadi kitambi kiishe. We need you Father katika mapambano haya tunataka uishi mamiaka mengi baba
@eliastlaghasinaaly-wx4jo
@eliastlaghasinaaly-wx4jo Ай бұрын
Hivi hii Ina nini, mpaka tulete wawekezaji kwenye misitu yetu ? Au viongozi hawana maoni yoyote.
@leonardalphonce8924
@leonardalphonce8924 Ай бұрын
Huyu ndo angetakiwa awe rais
@josephkabelege1622
@josephkabelege1622 17 күн бұрын
Dini ikiingia kwenye siasa ni hatari. Fr Kitima na wewe upo chama..... Na hiyo ni hatari....
@ezekielkiduge8730
@ezekielkiduge8730 7 күн бұрын
Uwezo na uelewa wa mambo wa huyu mtu hautokani na upadre wake ni kipaji chake kutoka kwa Mungu
@JemeslaizerJemeslaizer
@JemeslaizerJemeslaizer Ай бұрын
Hong era Sana... Chama hii... CCM imekufa kifikira....
@nixonjohnson4908
@nixonjohnson4908 Ай бұрын
Laaana kwa viongozi wa ccm
@SimonKayagila-wy7er
@SimonKayagila-wy7er 6 күн бұрын
How is it going to happen till we reach that stage of small group of people gain that ability of dominance of state capture? And you as religious leader what is ur advise to the Govt?
@danfordkitwana6759
@danfordkitwana6759 29 күн бұрын
hazina ya taifa. keep it up Father.
@emanuelsinyinza
@emanuelsinyinza 29 күн бұрын
Viongozi wanapenda sana kujilimbikizia mali madaraka na ndivyo ccm walikuwa wanawaminisha watu kwamba yanayo fannyika ni sahihi. Hivi sasa hata vijijini. Wameshafika hatua ya kuzarau ccm. Hata swala la bandali hadi vijijini wamesha ondowa imani na chama tawala.
@paterinishayo-ef4sx
@paterinishayo-ef4sx Ай бұрын
God bless you father
@FurahaJeremiah-kd5ht
@FurahaJeremiah-kd5ht 12 сағат бұрын
Nimekuelewa
@user-td1mk2tk6h
@user-td1mk2tk6h Ай бұрын
Upo sahihi father na ukweli utabakia hivyo
@MariaCassian-e2i
@MariaCassian-e2i Күн бұрын
Sasa hivi uchaguzi wa serikali za mitaa kuna siri kubwa sana wajumbe wa nyumba kumi hupita nyumba flani na kuandika majina ya watu wengine wanaachwa tunabaki tu kushangaa
@Fantsonmpango-uz3jw
@Fantsonmpango-uz3jw Ай бұрын
Msema kweli ni mpenzi wa Bwana
@anathorykajwahulakajwahula5940
@anathorykajwahulakajwahula5940 25 күн бұрын
Nchi zilizoendekea huwa zina utaratibu wa kuwa na watu kama Mh. Padri Kitima ili watoe maoni na mwongozo wa kiutawala wanaitwa (think tank). Kwenye nchi yetu kila maoni yanapuuzwa. Wazawa serikali haiwajali inajali watu kutoka nje tu.
@StevenGendo-vx9jo
@StevenGendo-vx9jo Ай бұрын
Nimekuelewa vizursana father
@AllyMandunda-tj9jc
@AllyMandunda-tj9jc Ай бұрын
User siku zingine upo vizuri sana BIG UP
@SylivesterKilunga
@SylivesterKilunga Ай бұрын
Fr hongera sana
@gervaskileo6396
@gervaskileo6396 Ай бұрын
Hapo kwenye uchumi upo vizuri sana uwezi kusema unalima mbaazi zakutegemea mvua
@thomsonmwakyanjala7536
@thomsonmwakyanjala7536 9 сағат бұрын
Father Kitima, kauli na msimamo wa Serikali amesha sema Waziri Nape juzi, music dharau kauli yake!!!
@shadrackmijjinga9793
@shadrackmijjinga9793 Ай бұрын
Viongozi wote wa dini wangekuwa na akili kama Dr.Kitima haki ya Mungu tungepata maendeleo ya kweli .... Mungu akubariki mwandishi pamoja na Dr.kwa mahojiano mazuri
@eliasnganira7661
@eliasnganira7661 Ай бұрын
Mahojiano konki
@freddykulwa8190
@freddykulwa8190 27 күн бұрын
Nchi awenzi kungamia ira imani tu kwani watu au viogozi wengu wameshidwa kuwa wazalendo tu tukipata viogozi wazalendo atuwataki kabisa tena tasisi zote wana raumu
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko Ай бұрын
Wachache ndiyo shida tuwakatae na kuwataja hadharani
@paulkambonya8001
@paulkambonya8001 Ай бұрын
Padri barikiwa sana
@user-mh5mx1kn8j
@user-mh5mx1kn8j 29 күн бұрын
Mhh 2019 hatukuona watu wakikosoa kwenye media na inchi ilikwenda sijui Sasa iwe hivi tunavoona waswas unatoka wapi tuiamini serikari yetu tuache kuishutumu Kwa kufikiri hata jambo lenyewe halinafikia inafikirisha sana
@ebenezernnko8251
@ebenezernnko8251 28 күн бұрын
Mngu akubariki sanaa
路飞被小孩吓到了#海贼王#路飞
00:41
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 72 МЛН
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 14 МЛН
Morning News NOW Full Broadcast - July 16
1:38:11
NBC News
Рет қаралды 127 М.
Watch: J.D. Vance Is Nominated as Vice Presidential Nominee at the RNC | WSJ
15:28
The Wall Street Journal
Рет қаралды 88 М.
AWS Certified Cloud Practitioner Training 2020 - Full Course
3:58:01
freeCodeCamp.org
Рет қаралды 5 МЛН
MDUDE AKIELEZA YALIYO MSIBU AKIWA MIKONONI MWA POLISI
52:26
Mwanzo TV Plus
Рет қаралды 8 М.