HOTUBA NZITO ya WAZIRI MKUU KUHUSU SAKATA la BANDARI, kwa UCHUNGU AFICHUA UTARATIBU KUMPATA DP WORLD

  Рет қаралды 87,713

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

HOTUBA NZITO ya WAZIRI MKUU KUHUSU SAKATA la BANDARI, kwa UCHUNGU AFICHUA UTARATIBU ULIOMUONA DP WORLD
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amefunguka mengi juu ya sakata la bandari linaloendelea huku akichukua nafasi hiyo kutoa elimu...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 403
@nimbetebwangabwa8521
@nimbetebwangabwa8521 Жыл бұрын
Mungu ibariki tz , Mungu ibariki Africa,
@tumusiimeomukama3151
@tumusiimeomukama3151 Жыл бұрын
Jamani mimi ndo maana napenda wasomi walio soma ili kuondokana na ujinga sio kupata ajira, haja panic na inaonekana ametumia changamoto ya maoni na mitazamo tofauti kama fulsa Sasa anajua jambo hili limeletwa na Mungu ili kumfundisha kuwa hakuna siri ambayo haita fichuka. Mungu awabariki waziri wetu. ❤
@abduljunior7288
@abduljunior7288 Жыл бұрын
Nimeelewa vzr Jambo hili Mr PM nishauri simamieni hayo uliyofafanua zingatieni ushauri hususani swala la muda wa mkataba,msalimie mama madam president SSH mwambie tunawaamini sana itengenezeni nchi kisasa I love you
@mosessamwel1179
@mosessamwel1179 Жыл бұрын
Tatizo sio kukataa Mwekezaji Mh. Waziri Mkuu, tatizo ni aina ya mkataba wenye masharti magumu kwa nchi yetu!
@abasiyahya5007
@abasiyahya5007 Жыл бұрын
Mh anatuambisha kuwa ule si mkataba bali ni makubaliano.. Je mkataba ni nin na makubaliano ni nini? Kama ukimsikilza vizur mh wazir na Pr Anna Tibaijuka utagundua kuna mambo yanazunguka ..ushaur wangu serekali kupitia bunge na wanasheria kwa nia thabiti kabisa wafafanue vipengele vizur kwa maslah ya vizazi na vzaz na sio kupiga makofi kama ninavyoona hapa
@maftahmusa9513
@maftahmusa9513 Жыл бұрын
@@abasiyahya5007 msikilize vizuri waziri ule si mkataba wabiashara ni mkataba wa mahusiano baadaya mkataba wa mahusiano unafuata mkataba wa biashara
@Hedva255
@Hedva255 Жыл бұрын
Ni kweli na mama tibaijuka aliwatahadharisha akawambia waarabu hasa hao wa dubai ni wajanja sana tena wana akili sana serikali iwe makini baadhi ya vipengele vibadilishwe kwa huo mkataba
@catherinerugano3465
@catherinerugano3465 Жыл бұрын
Baba hapo miye nimekuelewa tatizo bungeni mabishano mengi tunakuwa hatuelewi sisi watanzania yusio soma ndio kabisaa ila miye sasa nimelewa kama kuna mtu natoka na anaingia mwingine sawa ila ombi sasa apewe mikaa hata 20 au 30 kuangalia jinsi anavyo zalisha kwanza kama atakuwa vizuri oky I love you 🇹🇿💪 Ahsante baba Kwa elimu 💃💃💃 🤗
@mustaphampandi137
@mustaphampandi137 Жыл бұрын
hongera sana waziri mkuu mh kasimu majaaliwa hongera kwa hutuba nzuri binafsi nimekuelews
@nickkakumbi9567
@nickkakumbi9567 Жыл бұрын
Kasim majaliwa uko vzr Sana mkuu..I wish ungekuwa ndiyo rais wetu..Sasa umetuelimisha watanzania wengi..hiyo mipango ni mizuri nimeipenda..
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ...
@pastorcheyo4049
@pastorcheyo4049 Жыл бұрын
Asante sana Mh Waziri Mkuu, Excellent Speach ! Tunakuamini, unamwakilisha mama Vizuri, project hii ni kwa faida ya Taifa letu Uchumi ukue
@profs.a5412
@profs.a5412 Жыл бұрын
Nimegundua watz wengi tunamuelewa mtu kwa hisia zake kuliko facts,😂😂 mi nachojuaa hayo yote anayoongea ni sahihi kabisa , lkn hajajibu hoja zinazojadiliwa na watu, ishu ni terms za mkataba na sio changamoto za bandari . Je yale makubaliano ni sahihii??? 😂😂 Kwaiyo makubaliano yakisainiwa yanakuwa Ni niniii???
@anthonyjames7206
@anthonyjames7206 Жыл бұрын
Aisee Majaliwa waziri wetu...huwa nakuelewa vizuri sana umetuelewesha kiundani zaidi nimekuelwa baba mungu akupe maisha malefu mheshimiwa wetu
@antonypius2673
@antonypius2673 Жыл бұрын
Ww huna akil
@godwineliya5434
@godwineliya5434 Жыл бұрын
​@@antonypius2673Aina ya watu😢😢
@godwineliya5434
@godwineliya5434 Жыл бұрын
​@@antonypius2673Yaan waziri kazungumzia kero za kitambo us if yupo kwenye ziara ya kikazi badala azungumzie kilichopo
@juliusandrew39
@juliusandrew39 Жыл бұрын
Honestly, nilitegemea waziri mkuu aje na iyo IGA afafanue vipengele vyoote vilivyo na utata, mimi sijawahi ona azimio linatolewa siku moja kwa nchi nzima kutoa maoni yao,
@banihashim5347
@banihashim5347 Жыл бұрын
Mhe waziri hongera kwa maelezo maelezo mazuri na kujenga hoja, Wala hujamtaja mtu kwenye hutba yako bali umetoa elim tuuu, ✊️
@samwelzakayo3596
@samwelzakayo3596 Жыл бұрын
Wazir mkuu hongera sana watanzania tumeelewa sana tena tumekuerewa sana hatuna shaka tena juu ya hili
@juliusandrew39
@juliusandrew39 Жыл бұрын
na ukita kuamini kuna ukiritimba kwenye hili swala, kulikua na ulazima gani wa waziri mkuu kwenda kutoa haya maelezo yasiyoeleweka kanisani na sio Bungeni kama sheria zetu zinavyomtaka kufanya
@user-ql6hg7fy9p
@user-ql6hg7fy9p Жыл бұрын
Afrika Mungu katubariki utajiri wa kutosha, lakini tumenyimwa viongozi bora na imara wenye maono km alivyokuwa mzalendo wa kweli JPM na waasisi wa bara letu.
@BabaBalingasi-hp6gd
@BabaBalingasi-hp6gd Жыл бұрын
Kwelii kabisa. JPM alikuwa noma sana. Hayumbishii...
@nefertitibelinda1146
@nefertitibelinda1146 Жыл бұрын
Umenena kweli kabisa
@sebastianmwita-nw9vj
@sebastianmwita-nw9vj Жыл бұрын
Mzee hayo Sio mahusiano hii ni biashara Waziri mkuu weka hilo sawa Alafu pia mheshimiwa Kwan nn uzungumzio kanisan baada ya mbugen kama Sheria inavyokuruhu ili wambuge wasiiolewa waelewe Sio kupiga makofi huku Wanakula Kodi zetu wananchi
@emmanueleliah2706
@emmanueleliah2706 Жыл бұрын
Mimi kichwa changu cjui kigumu kuelewa anasema sio mkataba ni ushirikiano wa kiuchumi tu mikataba bado mbona unamasharti magumu pia lazima wajue watanzania hatukatai uwekezaji ila ule mkataba ndio unaozua maswali mengi muheshimiwa nilitarajia utavitolea ufafa nuzi vipengele tata
@Michael-ve3gx
@Michael-ve3gx Жыл бұрын
Shida hapo ni uongozi au naweza Sema serikali ya Tz.. Kama serikali ingeweza kuweka mipango mikakati sidhani kama tungeshindwa kuendesha Bandari yetu. Binafsi naomba tuboreshe mipango mikakati yetu nchini ili tuweze kupiga hatua kwenye maendeleo ya nchi yetu. Nashukuru pia kwa ufafanuzi mzuri mweshimiwa Waziri mkuu, Ila rai yangu mkataba uwe na ukomo kama tulivyo weka kwenye wawekezaji wengine kwenye sector mbalimbali, kama sector ya madini na nyinginezo. Ahsante.
@evarimdecoration4256
@evarimdecoration4256 Жыл бұрын
Hapa kelele zitapungua kwa kuwa kasema waziri mkuu tunayempenda ila angesema kunguni yeyotee tusingemuelewa! Kikubwa mkatataba uwe wa muda mfupi dunia imebadilika.. Tunakupenda PM
@saidikimbo8767
@saidikimbo8767 Жыл бұрын
Ajili ya Majaliwa ni sawa Naya watanzania 💯 hichi ni kichwa hongera ❤
@machoguhamery3731
@machoguhamery3731 Жыл бұрын
Tunakupenda pia tuna imani nawe.Hoja yetu ni moja tu wekeni mkataba wenye ukomo wa muda unaojulikana, ukiisha wataomba wataongezewa. Pia wekeni vipengere vyepesi visivyo tufunga sana tunaposhindwa kuridhika tuvunje bila kusumbuana sana.Shida yetu watanzania tuna mashaka juu ya ukomo wa muda.Tajeni ukomo wa muda ujulikane waziwazi Ikiwezekana vipindi vya miaka 25,25 Ikiisha ataomba tena kama ilivyo kuwa na TICKS. Haiba ya kiongozi ni utulivu na busara katika kujenga na kutetea hoja. Sio ukali na vitisho na maneno ya karaha.Hongera sana Waziri Mkuu kwa ufafanuzi wako hiyo ndio tija ya mtu aliyewahi kuwa Mwalimu kisha akapata nafasi katika uongozi wa nchi.Umefafanua kwa utulivu sana bila hamaki,watu wamekuelewa na mimi pia naanza kuelewa.
@saidbakar-qo6ri
@saidbakar-qo6ri Жыл бұрын
Mama samia hamtishi mtu ndio maana kawaachia wapinzani ila nyinyi mambumbumbu wafata mkumbo mnamwonea mama bure sijui wivu au udini
@DevothaLighton-dl6zi
@DevothaLighton-dl6zi Жыл бұрын
Kumwambia mtu tunakupenda wakati hafanyi vizuri kwanza kwangu huo ni unafiki, tuache hizo polojo. Je unampenda kwa sura au?
@machoguhamery3731
@machoguhamery3731 Жыл бұрын
@@DevothaLighton-dl6zi Hajafanya vizuri kwako,wala kumpenda mtu si lazima umeona sura yake, Tunawapenda babu zetu,tumewapenda mitume wa Mungu na hatukuwahi kuwaona,tuliwapenda kwa jumbe zao Biblia inasema "MTU akisema anampenda Mungu ambaye hajamwona hali anamchukia ndugu yake anayemwona,, mtu huyo ni mwongo," Acha chuki ambazo zitakujaza sumu katika Roho yako hata iwe sababu ya kuukosa Ufalme wa Kristo. Kwangu Mimi Waziri Mkuu Majaliwa ni kiwakilishi cha hayati Magufuri. Tosheka na hilo.
@KaburuKimath-eu5nf
@KaburuKimath-eu5nf Жыл бұрын
Mheshimiwa waziri mkuu tunakukubali na tunakupenda sana tofauti na hao wanaosema watu washughulikiwe ombi letu kwako ni je mkayaba ni WA muda ganii na jee ni hali watupangie kwamba haturuhusiwi kuendeleza bandari zinginee hapo ndo penye utata tukipata majibu hapo hatuna shida mkuu wetu na tunakuamini
@machoguhamery3731
@machoguhamery3731 Жыл бұрын
@@saidbakar-qo6ri Sasa katika mjadala huu mbumbumbu nani?!! Mimi ninavyojua (1) mbumbumbu ni yule anayeitikia kila jambo bila kutafakari au kuhoji watu kama hawa wanaitwa 'Yes man' (2) Mbumbumbu wa pili ni yule anayetuka watu ambao hawajamtukana. (3)Mbumbumbu was tatu ni yule anayekimbilia neno udini hata katika jambo mhimu la nchi;akawafanya watu wahame katika mjadala waanzishe mtafaruku wa dini
@teclahamidutv.2498
@teclahamidutv.2498 Жыл бұрын
Ahsante mhe, tumefunguka big up
@johinsarakikya
@johinsarakikya Жыл бұрын
Mweshimiwa waziri tunakubali mwekezaji atukatai ila mkataba uwena miyaka michache kwanza tumuangaliye akifanya vizuri aongezewe mkataba mwingine tuna kubali Sana uongozi wamama yetu samiya ila bunge atulikubali wengi wana kubalikubali tuu kilakitu ila mama yetu raisi wetu tunampena maana ijenga nchikwa kwaupendo Sana mungu azidi kulinda zaidina zaidi
@josephkostans9128
@josephkostans9128 Жыл бұрын
Hapa ukimzikiliza kiongozi huyu kwa umakini basi utaelewa ni nini kinaendelea asante sana waziri mkuu
@jonaspatrick2871
@jonaspatrick2871 Жыл бұрын
Where were you, Mr Majaliwa? People needed to hear that , maelezo mazuri yaliyojitosheleza kabisa hata kwa mtu asiwekwenda shule. Sasa mbona viongozi wengine wanashindwa kujieleza vizuri kama waziri mkuu!! Simple & Clear
@shinipapaya846
@shinipapaya846 Жыл бұрын
Shida ipo kwako wewe unaepokea maneno kwa mtu usiemjua kwa mhemko wa chatu pale anapotaka kumeza TEMBO wakati anajua kabisaa kaingia CHOO CHA KIKE 😂😂😂 Asante sana WAZIRI MKUU we ndio MAGUFULI pekee uliobaki watanzania amkeni kwenye usingizi mzito wa SAMAKI PONO wanao upinga huu UWEKEZAJI ni Chikenya au Kenya 🇰🇪 na hiyo KAMPUNI inayo ONDOLEWA na ongeza wazee wa fulsa za mihemko ya MATUKIO maana wanajua kabisaa liwekezaji kama hili litawanyima kura kwenye UCHAGUZI 😂😂😂
@juliussilvestar8988
@juliussilvestar8988 Жыл бұрын
Jonas majaliwa is a natural created leader huyuuu ni kiongozi naturally
@josephkamatha407
@josephkamatha407 Жыл бұрын
Pamija na hayo hatukatai DP world tunakataa aina ya mkataba mliouingia
@amanisaid9863
@amanisaid9863 Жыл бұрын
Nimeelewa sana Asanty sana Waziri wa Nchi yetu ya Amani,,,
@imamumohamedmalina6995
@imamumohamedmalina6995 Жыл бұрын
Allah akuhifadhi na akulipe kwa Elimu uliyoitoa
@alexmakala710
@alexmakala710 Жыл бұрын
Lakin majaliwa uliwai kutwambia magufuri ajafa ni mzima anachapa kazi tena kanisan ss inawezekana ukawa huko sawa ila nyinyi wana siasa ni vigeu geu. Ikija kuonekana tulikosea ww huto kuwepo umekufa hau mzee sana. Lakini pili kwenye uwekezaji wa madini mpaka leo wananchi hatuoni manufaa yake
@pauloanthony9876
@pauloanthony9876 Жыл бұрын
Huyu kiongozi nibonge moja lakiongozi yan huyu jamaa anahakili napia anabusala sana! Mungu akubariki sana! Sana! Sana!
@antonypius2673
@antonypius2673 Жыл бұрын
Ww huna akili hauumii kuona mwanzo wa kuuzwa na ww utauzwa
@joshygeorgee
@joshygeorgee Жыл бұрын
Tunakupenda Majaliwa,, kiongozi msema kweli siku zote hupingwa na wabadhilifu aidha directly or indirectly,, wanaweza wakaanzisha mfumo mpya ili kukupotezea nguvu lakini tunakukubali 🫡🫡🇹🇿
@kennedjohn5785
@kennedjohn5785 Жыл бұрын
Mhesshimiwa waziri mkuu Asante kwa ufafanuzi na elimu. Ni maombi yetu Serikali kwa ujumla wake iyasimamie hayo uliyoyatamka.
@zuberikamote2078
@zuberikamote2078 Жыл бұрын
Nimekuelewa vzr majaliwa😂😂🙏🙏🙏maana tulikua tunapata tumbo joto mungu akubaliki
@user-rl3ic3bu5l
@user-rl3ic3bu5l Жыл бұрын
Mheshimiwa waziri mkuu piga kazi nchi yetu isonge mbele
@hemedisufiani3219
@hemedisufiani3219 Жыл бұрын
Nunueni mashine mkasomeshe watu wasimamie bandari sio kubinafsisha
@user-jl1lu2qk4u
@user-jl1lu2qk4u Жыл бұрын
Mh Waziri mkuu uko sawa sana
@user-kc5zw9vx9z
@user-kc5zw9vx9z Жыл бұрын
Waziri mkuu tawileeeeeee ata miaka 200 wapewe tu
@zefamange7281
@zefamange7281 Жыл бұрын
SASA SEREKALI IMESHINDWA NN KUNUNUA VIFAA VYA KUSHUSHIA HIYO MIZIGO?
@barillalitibulali1565
@barillalitibulali1565 Жыл бұрын
Kama mmeshindwa CCM waacheni wanaoweza waongeze nchi tafadhali, tafadhali!!
@hamiduhamisi2371
@hamiduhamisi2371 Жыл бұрын
mimi nanachokiona hapa hakuna haja ya kubinafsisha rasilimali za nchi kumbe cha msingi binafisheni na nchi nzima harafu mtuambie nchi ya kutupereka sie watanzania mana naona hapo waliokaa wote ni ccm tu
@stephanmkanyipelele3116
@stephanmkanyipelele3116 Жыл бұрын
Asante tunashukuru mheshimiwa waziri mkuu kwa majibu yako kama mchungaji nawaombea serikari na mkataba huu mungu awape hekima itokayo juu ktk jina la yesu naomba hekima ishindayo juu yenu ninyi ndiyo hatima ya nchi yetu
@user-cheedycheedy
@user-cheedycheedy Жыл бұрын
Okay
@theroggyplus255
@theroggyplus255 Жыл бұрын
MISSION ACCOMPLISHED. MH.W.MAJALIWA NADHANI KASHAFUNGA VIKAO VYOTE.... Sometimes mikumbo ndiyo inapotosha watu.
@smartlevelaluminiumglass7871
@smartlevelaluminiumglass7871 Жыл бұрын
Majaliwa ww ndo Rais wetu wengne hatuwajui🇹🇿😁Asante kwa ufafanuzi mzuri watz tumekuelewa🙏
@user-ln9xy6xs3k
@user-ln9xy6xs3k Жыл бұрын
Uko sawa tu majaliwa
@jiweg-unit5408
@jiweg-unit5408 Жыл бұрын
We Need Yu mr. Kassimu majaliwa to be our president on Our country
@flaviankitowa5439
@flaviankitowa5439 Жыл бұрын
Mimi bado sielewi wabunge walijadili wasemaji wengine mpaka mikataba kufananiswa sgr bwawa la nyerere hii ni vitu tofauti sana ndugu zangu leo wazili mkuu unafafanua lakini ulisikia yasemwayo
@jiweg-unit5408
@jiweg-unit5408 Жыл бұрын
Safi sana waziri mkuu wetu.
@Bikhafija
@Bikhafija Жыл бұрын
Kiukweli mligichanganya na mmetukuta wanachi tupo moto
@Bikhafija
@Bikhafija Жыл бұрын
Malibu.ya kiutu uzima for iliyokuwa inajadiliwa ya mkataba navipengele avikuobesha kama mmeenda kuomba udugu vizuri hivi na sisi wananchi mmetukuta hatuja poa
@jiweg-unit5408
@jiweg-unit5408 Жыл бұрын
@@Bikhafija Watanzania kipindi cha nyuma tulikuwa Hatujulishwi sasahivi wameshajua kuwa watanzania hawataki mchezo na nchi Yao sasahivi mambo Hadharani
@phaustinemmao424
@phaustinemmao424 Жыл бұрын
Kwanza mh PM, tatizo la watanzania ni uaminifu hasa kwa watendaji wa bandari zetu inaumiza sana utakuta tatizo halikuwa kwa wawekezaji hao, ipo kwa viongz wetu. Upigaji mwingi sanaa mh. Pili kwanini hayo makubaliano hayakutangazwa kipindi Cha nyuma na hayo makampuni mengine? Km mnavyofanya sahvii??
@zesootv6726
@zesootv6726 Жыл бұрын
Tanzania 🇹🇿 kwanza siyo wageni
@rehemailomov9648
@rehemailomov9648 Жыл бұрын
Nimekuelewa
@macdonamasali
@macdonamasali Жыл бұрын
Yoote uliyosema hatukatai! Kinachokwaza ni vipengele ndani ya huo mkataba. Ulichokisema kingekua kama kilivyo sidhani kuna mtu angelalamika. Sikilizeni hoja za wakosoaji ili haya makubaliano yawe na afya kwa taifa letu. Huu urafiki kwenye rasilimali tushapitia mengi. Lazima tustuke mheshimiwa. Kikubwa Serikali pitieni upya hivyo vipengele.
@brunomirambi8792
@brunomirambi8792 Жыл бұрын
HUYU WAZIRI MKUU ANA SHIDA SANA AMETUONA SISI KAMA MAZEZETA YAAN ANAHISI WATANZANIA NI MAZEZETA ??? HIVI HUYU ANACHO. ONGEA SIMWELEWI KABISA HIVI SISI TUMEKOSA NNI??? KWA NINI TUSIFANYE SISI??? HIVO VIFAA TUNUNUE SISI TUSHUSHE KWA HARAKA MELI ZIRUDI KWANI TUNASHINDWA NINI?? ASITUHADAE HAPA SISI SIO WATOTO .
@twalhakassaisa7938
@twalhakassaisa7938 Жыл бұрын
Mheshimiwa kaongea vizuri "kisiasa" lakini angetusaidia kufafanua vipengele vya hayo "makubaliano" ambavyo tunavipigia kelele. Watu wana hoja, wasikilizwe.
@meryshekoloa961
@meryshekoloa961 Жыл бұрын
MH waziri mkuu tuanze na marekebisho ya baadhi ya viper gere tatizo c mkataba ila kulingana na mkataba huu hata mh hayati magufuli alituambia haufai anaeweza kuukubari nikichaa tu peke yake je kimebadilika nini mbona hujabadilishwa bado kwakua mnafanya kwa matakwa yenu cc tutafanyaje maoni mgeweka ktk ushindani tukatizama wenye masharti nafuu Asante
@mustaphakalembo349
@mustaphakalembo349 Жыл бұрын
amesema sio mkataba
@linnusaloyce6559
@linnusaloyce6559 Жыл бұрын
Na hili likifanikiwa bado kuna changamoto ya miundo mbinu kutoka bandari mpaka kufika kimara nayo inachangia kupoteza muda wa kutoka na kuingia bandari sevis rod zifunguliwe kwaajili ya daladala na magari madogo kwaajili ya kuepusha foleni
@djoe8266
@djoe8266 Жыл бұрын
Daah kwa umbumbu wangu hili swala Tanzania italia kilio kichungu
@pastormgeni5714
@pastormgeni5714 Жыл бұрын
Ni kweli uwezo ni mdogo na ufanisi ni mdogo hilo halihitaji mjadala. Swala ni kwamba sio kweli kwamba kuendesha sisi wenyewe tumeshindwa. Shida ni rushwa na urasimu hili dudu kubwa na lililokubuhu kuliko hata uwezo halisi tunaoita ni mdogo. Pia kwanini msichukue hatua ya kushirikishwa wadau na watanzania wote watoe maoni yao. Kama tumekuwa na uwezo wa kujenga miradi mikubwa kama ya reli na bwana la Mwalimu Nyerere na miradi mingine mingi tutashindwa kutumia utashi huohuo kuhusu swala la bandari???? SHIDA NI AINA YA MKATABA. AINA YA MAKIBALIANO KIMKATABA HAYAPO SAWA. KUNA MKATABA WA MAHUSIANO KIUCHUMI KIMKATABA HAKUNA ELIMU YA WAZI KUHUSU JAMBO HILI.
@fabby1181
@fabby1181 Жыл бұрын
bila kuondoa rushwa ....
@felixelikonathuman3760
@felixelikonathuman3760 Жыл бұрын
Hao wengine wanatoa maelezo ya juju ila wew, mim binafsi nimekuelew mungu akuongoze mh wetu
@fillomuhenga4240
@fillomuhenga4240 Жыл бұрын
Mhe.waziri mkuu ungetangulia kutoa elimu hii Watanzania wasingepata taharuki kubwa kama hii umesimama kama kiongozi bila kupaniki bila kejeli mungu akupe maisha marefu
@seiflugendo7141
@seiflugendo7141 Жыл бұрын
Nenda kawekeze wewe hujazuiwa
@user-tg7le4rp7t
@user-tg7le4rp7t Жыл бұрын
Mheshimiwa waziri mkuu,swala hili lineelimishwa kwa Watanzania kusingekuwa na mgogoro na malumbano.tunakushukuru sana imani yangu watanzania wameelewa
@mashakaemmanuel4611
@mashakaemmanuel4611 Жыл бұрын
Waziri mkuu uko vizuri sana ila haifanye vizuri kwenye mambo ya kitaifa mnafanya mambo yenu kimya kimya hamwashirikishi wananchi Kwa uwazi ndo maana wananchi wanalipuka kuwazunguka hasta wabunge mara nyingi wanajiwakilisha wenyewe Kwa fikra zao wakidhani wao wanajua Kila kitu rekebisheni Yuko nyuma sana kielimu,kiafya, kimaendeleo sababu tunaishi na mawazo ya mtu si taifa tunapigwa danadana na mawaziri
@frankngallah3033
@frankngallah3033 Жыл бұрын
Pesa tunao uwezo wa kujenga geti hizo geti za kushushia mzigo Basi Kwa kuwa kagame mwafrika mwenzetu aliomba apewe aendeshe bandari sio huko mlikotuchagulia bila kutangaza tender
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du Жыл бұрын
Tumejaaliwa kumpata Majaliwa. Serikali ya mama ni ya kiungwana. Imepeleka mkataba wa ushirikiano bungeni. Awamu zilizopita hayakutokea haya. Asante mama Samia.
@AbdallaJuma-tx5ck
@AbdallaJuma-tx5ck Жыл бұрын
Ndio mama mzalelendo lakini watanganyika hawamtaki mama Sababu mzanzibari
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du Жыл бұрын
@@AbdallaJuma-tx5ck Baadhi yao ndio hawamtaki, si wote. Na hii ni kawaida katika jamii. Mama yupo kikatiba, Tanzania = Tanganyika + Zanzibar. Kama hawamtaki mama waukatae muungano kwanza. Na muungano ukivunjika baada ya muda mchache Tanganyika itagawanyika kuwa Bantustans.
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du Жыл бұрын
Nakubali mkuu. Tuwape DPW sharti moja la ziada. Wasiingie mkataba kama huu na nchi za jirani kaskazini na kusini. Ili pasiwe na conflict of interest.
@shaibjuma3649
@shaibjuma3649 Жыл бұрын
Why they don't build new port in tanga/mtwara/bagamoro
@kessyrojas9549
@kessyrojas9549 Жыл бұрын
MH' PM' sisi watanzania atuna tatizo na uwekezaji ila tunatatizo na mkataba wa bandar dhidi ya watanzania! Kwa sababu hiyo sector ya bandar imebeba 60 ya watanzania! Cha pili mngeruhusu mjadala na wananchi wajibiwe kwa hoja na mifano ya inchi ambazo zimeingia mkataba na DP' ili tuone km kuna tija yyte kwa taifa ili yasije tokea kama yaliyotokea kwenye mikataba mengine iliyopita ya hovyo ikiwepo mtwara kwenye makaa ya mawe!
@Gide-dq3wq
@Gide-dq3wq Жыл бұрын
Hapo sawa baba
@saidgazo9437
@saidgazo9437 Жыл бұрын
Daah, mungu awape nguvu ya utekelezaji wa hili,,, kuna watu wanania mbaya na Taifa letu la Tanzania,,, tuweni makini wa tz wenzangu tuiiaminin serikali yetu.
@emmanuelfari8924
@emmanuelfari8924 Жыл бұрын
No! VISION👀 no! Solving problems...Rais ajaye💯 +MUNGU+ ni MWEMA MILELE YOHANA 14:14🙏
@sebastianmwantuge5597
@sebastianmwantuge5597 Жыл бұрын
Ni kweli unalozungumza Waziri Mkuu,lakini utaratibu uliotumika kumpata DPW haufai na unatia shaka. Upigaji dili pale bandarini ni mkubwa,watu wanajichotea fedha tu pale. Kama mlivyoamua kujenga reli kwa gharama kubwa mngeboresha bandari pia.
@seifNsokolo
@seifNsokolo Жыл бұрын
Fanyeni mlitakalo cc c mazyazya hata mkituuza na cc sawa tu na hao wanaokupigia makofi iko siku watalia,Kodi kila Kona labda kwa kuamua kuuza bandali mtatupunguzia Kodi kazi kwenu.
@danielmrashani8710
@danielmrashani8710 Жыл бұрын
Nakupenda sana na kukuelewa mheshimiwa ila watu wanapata hofu na masharti ya mkataba
@caashamacalini3887
@caashamacalini3887 Жыл бұрын
Swali hajajibu bado just stories anazunguuka zunguuka kama pira la gari swali bado labda tumuuluze mtu wa secondary school labda anaweza kujibu vizuri lakini waziri ana funika mashimo Kwa makongoro nonsense
@mukhtaribura6159
@mukhtaribura6159 Жыл бұрын
MIMI NINAONA HUYU WAZIRI MKUU BORA ANGEKUWA RAIS UNAMFAHAM HOTUBA YAKE LAKINA HUYU MAMA MIMI UWA SIMUWELEWI KABISA HOTUBA YAKE HATA SIKU MOJA MUNGU IBARIKI TANZANIA..
@lydiathomas2905
@lydiathomas2905 Жыл бұрын
Shida ni baadhi ya vipengele vya mkataba. Kweli si vyema tukaingia bila marekebisho. Tutaumia, na sioni haja ya Kutetea .
@giftmusa6543
@giftmusa6543 Жыл бұрын
BRAVO PM
@frankkipaleni1592
@frankkipaleni1592 Жыл бұрын
Mhe Waziri mkuu uko vzr sana
@magidachimija5599
@magidachimija5599 Жыл бұрын
CHAMBUA MKATABA KAKA... SISI TUNACHOPINGA NI MKATABA SIO UFANISI
@DevothaLighton-dl6zi
@DevothaLighton-dl6zi Жыл бұрын
Mlikuwa wapi kuandaa vijana wetu ili waweze kuwa na makampuni kama hayo. Kama hivyo ndivyo nini mmejipangane kwenda kuwekeza nje kama walivyofanya dubai?
@magretkijanga6038
@magretkijanga6038 Жыл бұрын
Dada elewa tatizo ni mitambo,na ni gharamaaa
@BabaBalingasi-hp6gd
@BabaBalingasi-hp6gd Жыл бұрын
Kweli kabisa Dada. Wanatakiwa wajibu swali lako vizuri? Serikali inaona itengeneze tu Madaktari na wengine. Lakini wameipa kisogo Elimu ya Bandari. Nadhani ndio madhara yake
@BakariIssa-nx3yf
@BakariIssa-nx3yf Жыл бұрын
Iviwatanzania tumerogwa au uccm umetujaaa maaana boratufe kulikokukosoa selekali ivi yalemabilioniwanayoiba nakupoteakilasiku kilamwakayanatangazwa kwa nn wasinunue iyo mitambo? Kama uwekezaji utaondoashidazetu? Tumeminafsishavingi jeee shidazimeisha? Mbonainchizindinejangwa wanamafutatu ilawanafanikiwa ss kilakitutunacho ila tunagawakwawazungu alaf tunakua ombaomba
@BakariIssa-nx3yf
@BakariIssa-nx3yf Жыл бұрын
@@magretkijanga6038 kamatuliweza kununua ndege tunashindwakununua mitambo?
@mussamuna900
@mussamuna900 Жыл бұрын
mm huwa nakuelewa sana mzee wangu majaliwa natamani 2025 utusaidie kuongoza hii nchi
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 Жыл бұрын
😂
@AbdallaJuma-tx5ck
@AbdallaJuma-tx5ck Жыл бұрын
Mukisema mama mumuondoe na muungano uvundike Kila mtu kwao
@thomasmagoti9040
@thomasmagoti9040 Жыл бұрын
Sawa mr presdent ww tunakuelewa kama unavyosema ni kwel
@salamathiastz274
@salamathiastz274 Жыл бұрын
Boss fafanua vipengele vyenye utata Hilo ndilo tatizo
@bethkatunx7677
@bethkatunx7677 Жыл бұрын
Sio uwezo mdogo no ulasimu lushwa zimetawala mtabinafsisha kila kitu kwa kisingizio hicho kesho tutasilkia jeshi limebinafsihwa kiss uwezo mdogo kununua silaha tz maneno mengi utendaji o
@IkramAyubu-ig5wy
@IkramAyubu-ig5wy Жыл бұрын
Tumekuelewa 🙏 ila hata kama ni mahusiano ndy hayawezi kuvunjwa endapo kuna migogoro baina ya TZ na DPworld?😳
@flaviankiria8251
@flaviankiria8251 Жыл бұрын
Kama hali n ihiyo waziri mkuu nakupongeza sana umefafanua kwa hekima sana ila ninaomba mkataba usiwe wa mdarefu ili tuone utendaji kwanza hongera sa mkuu.
@mwinyiludete
@mwinyiludete Жыл бұрын
Nimekuelewa Sana PM Kwa ufafanuzi wenye Kueleweka Hakika Umeeleweka haswa hata kwa Mtu wa kawaida 👏
@subirimalamla2307
@subirimalamla2307 Жыл бұрын
Kabisa ameeleweka
@frankngallah3033
@frankngallah3033 Жыл бұрын
Mimi nauliza serikali huu mkataba anaosema waziri mkuu na kaandika Tangu lini mpangaji akaandika mkataba wa mwenye nyumba Sisi inatakiwa tuandike mkataba wao wa Dubai ndio wasome na wakubaliane nao au wakatae
@barakasamson6029
@barakasamson6029 Жыл бұрын
Tunashukuru kwa kutuelimisha......
@user-fp9qr3oj3c
@user-fp9qr3oj3c Жыл бұрын
Hasante sana wazili mkuu wewe ni zaidi ya viongozi wote wamama
@emanuelmpigauzi3184
@emanuelmpigauzi3184 Жыл бұрын
Kiongozi wangu nakuelewa sana
@kennedyngusa8890
@kennedyngusa8890 Жыл бұрын
Mimi nakukubali sana lekebisha muda 2 wa mkataba
@allyhassan7169
@allyhassan7169 Жыл бұрын
Kama hali iko hivyo mh waziri mkuu serikali ipo sahihi kabisa kuwekeza tumepiqwa sana miaka minqi maafisa wamejitajirisha sana hapa kwetu ukiwa mtu wa bandari unaishi kama malaika wenqi wapinqaji wana maslahi ya wizi hapo please tumekuelewa kazi iendelee
@jacksonjamesndyabawe471
@jacksonjamesndyabawe471 Жыл бұрын
Why don't you be a president of republic of Tanzania
@halimahamis3742
@halimahamis3742 Жыл бұрын
Kwanini tusiweke mkataba wa miaka 25 km akitaka kuongeza mkataba .ataomba aongezwe .tatizo ni hapo kwa miaka 100.
@rehemashabhay8946
@rehemashabhay8946 Жыл бұрын
Tunakupenda mpendwa wetu,,lakini tunaomba vipengere vyenye uttata virekebishwe,,lingine punguzeni ushuru,,wanakimbia pia ushuru ni mkubwa,,,bandari ni kitovu cha taifa..tuombe Mungu amani yetu idumu..je likitokea la kutokea vifaa vyetu(silaha)tutapitisha wapi kwa siri..Mungu tusaidie..Wapendwa viongozi wetu Mungu awaelekezekwenye marekebisho ya mkataba..
@saidiathuman-og6bc
@saidiathuman-og6bc Жыл бұрын
Hakuna kitu apo.....
@yusuphmruma1232
@yusuphmruma1232 Жыл бұрын
izo pesa analipwa Nan na kwnn meli.ilipe pesa nyng kupaki tu Nan anayechukua iyo pesa
@joshuajustine572
@joshuajustine572 Жыл бұрын
Sawa Baba
@kayunganandelema8688
@kayunganandelema8688 Жыл бұрын
Tatizo aina ya mkataba muda haujulikani tuambien n kwa Miaka mingapi mkuu kama ulivyo ainisha hpo na huyu anapewa mda ganii
@boniventureedward704
@boniventureedward704 Жыл бұрын
Tunamuondoa mtu(inefficiency) na tunamuweka mtu(efficiency)
@josephlorri431
@josephlorri431 Жыл бұрын
Ni kama ninamwelewa waziri mkuu.. sijui kwa nini mijadala ni mikali sana kiasi watu kutukanana..au akili yangu ni ndogo
@apostlejacksonkalinga5191
@apostlejacksonkalinga5191 Жыл бұрын
Kwa hili hakubari mzee
@DansonMtambi-fq2ff
@DansonMtambi-fq2ff Жыл бұрын
Tumekuelewa vizuri waziri mkuu, tatizo mkataba ni mzabuni ni wa muda gani ? Hilo ndo watanzania wengi wanahoji
@mimiraia2531
@mimiraia2531 Жыл бұрын
Leo Shirika la Ndege, ATCL mnaliua. Hiyo reli haitii hata matumaini, Dar-Morogoro kwanza imelala. Halafu mkataba wa MIAKA MIA NDIYO NINI ETI?!
Glow Stick Secret Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 18 МЛН
What will he say ? 😱 #smarthome #cleaning #homecleaning #gadgets
01:00
Dad gives best memory keeper
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 20 МЛН
SNURA NA MUMEWE USO KWA USO NA SHEIKH KISHK AL-HIKMA FOUDATION
18:56
Kishki Online TV
Рет қаралды 64 М.
Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa aitikisa Mamlaka ya Bandari
11:28