John Pombe Magufuli ndio amepitishwa na CCM kuwania Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi mkuu mwaka 2015, hii ni hotuba yake ya kwanza siku ya ufunguzi wa kampeni kwenye viwanja vya Jangwani Dar es salaam.
Пікірлер: 24
@makangangereza25229 жыл бұрын
nadhani hakuna mtu ambaye ni mtatuzi wa kelo za watanzania zaidi ya magufuli,Mwenyezi Mungu amlindeni amwezeshe kuitawala dola la Tanzania.Amen.
@williamappolinary4974 жыл бұрын
Alikua mpoleeeee mstaaarabu dah alivyochenji gia Mungu mwenyewe ndio anajua
@hassaniselemani86619 жыл бұрын
Mungu akutangulie
@kulwamsigwa63084 жыл бұрын
Mungu baba muumba wa mbingu mpya na nchimpya akufiche kwenye moyo wake
@respiciusdidas89005 жыл бұрын
Finally today he did thtz my prezdent CHATO
@gmuganyizi9 жыл бұрын
tunaomba na video za wasanii kwenye mkutano ccm na video za mikoani za magufili
@edwardbakari23099 жыл бұрын
poa sana millard asante sana
@williamappolinary4974 жыл бұрын
Miliom hamsin kila kijiji ajira
@veronicapaul64392 жыл бұрын
jamani hivi jpm kafa kweli au uongo tu
@bakarikupaza72224 жыл бұрын
Naitafakar miaka mitano ijayo namuona mtanzania akisema jambo
@nyanda4279 жыл бұрын
Mungu atupe nini tena watanzania? hii ni bahati ya kipekee kwetu Magufuli ndiyo kiongozi anaetufaa
@sahales99449 жыл бұрын
+Nyanda Mlanzi KWELI KABISA
@eliasfrank15359 жыл бұрын
haaaaaa siasa awezi uyu. jamaa akalime tu
@sahales99449 жыл бұрын
+ELIAS FRANK WEWE UNA WEZA ELIASI
@eliasfrank15359 жыл бұрын
Ndio. I can
@khatibabdi4 жыл бұрын
Come back to comment again
@ramadhanashibai8704 жыл бұрын
Kama upo hai ndugu yangu,sijui unamfikiliaje huyu bwana maana si mchezo
@sharifumkambala56554 жыл бұрын
@@ramadhanashibai870 haha ivi yupo hai kweli aje alete ushuhuda?