No video

Hotuba ya mtoto wa Shettah, Qayllah kwenye kongamano la chipukizi Dar ni kiboko

  Рет қаралды 25,206

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Hii ni hotuba ya Qayllah Nurdin Bilal, mtoto wa rapper Shettah ambaye ni Mjumbe wa kamati ya Uendeshaji CCM - chipukizi mkoa wa Dar es Salaam aliyoitoa kwenye Kongamano la Chipukizi Dar Jumamosi ya June 24
Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti

Пікірлер: 19
@naslee1010
@naslee1010 Жыл бұрын
Huyo mtoto ana confidence ya kutosha mungu ampe muendelezo mzuri aje kua kiongozi bora mwenye nchi yetu insha allah 🙏
@glorytarimo8321
@glorytarimo8321 Жыл бұрын
Hongera sana mtoto Mungu akukuze na kukulinda na kila baya ❤❤
@Lanihsarumu
@Lanihsarumu 10 ай бұрын
Ongera Sana mtoto mzuri mungu azidi kukubaliki❤❤🎉🌹
@wemakalama6458
@wemakalama6458 Жыл бұрын
Mtoto mzuri hongera❤❤❤❤
@AuleliaEbino-wl7px
@AuleliaEbino-wl7px 7 ай бұрын
Good🎉
@zaudahalisi2241
@zaudahalisi2241 8 ай бұрын
She’s bright 🎉
@yhasintakalenyula970
@yhasintakalenyula970 Жыл бұрын
Shettah,mtunze huyu binti...Namuona kabisa kiongozi wa baadae katika nchi hii...Huu ujasiri aliokuwa nao,sio kitu kidogo.
@rajabhamis3494
@rajabhamis3494 Жыл бұрын
Good 👍
@chisongastephen7299
@chisongastephen7299 11 ай бұрын
Safi sana
@ellymagoke6079
@ellymagoke6079 8 ай бұрын
Safi
@user-tl7fd1de1f
@user-tl7fd1de1f 8 ай бұрын
Kwa confidence hii nakuona mbali kama kiongozi mkubwa ajae ,,
@safenathpanea
@safenathpanea 11 ай бұрын
🙌🙌🙌🙌
@jacksongidione-yo8vg
@jacksongidione-yo8vg 11 ай бұрын
😢
@ombenjacob1112
@ombenjacob1112 Жыл бұрын
Waziri ajae
@frankngoloka5416
@frankngoloka5416 8 ай бұрын
Wakina Joketi wa badaye
@edwingwesso6818
@edwingwesso6818 Жыл бұрын
Ccm inahalbu vijana
@johnmike6059
@johnmike6059 8 ай бұрын
Huo ni upuuzi magufuli aliukemea sana
@mikatejunior1362
@mikatejunior1362 8 ай бұрын
Ayo mameno amekaririshwa kuna mda anataka kusahau
@rebbywealth9869
@rebbywealth9869 8 ай бұрын
Kamkaririshe na wako halafu tuone
Qayllah msichana mwenye ndoto za kuwa rais
5:23
DW Kiswahili
Рет қаралды 4,7 М.
Shetta Atoa Siri Ya Kulea Watoto Wake Mwenyewe Bila Mwanamke
7:47
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 2,5 М.
Little brothers couldn't stay calm when they noticed a bin lorry #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 20 МЛН
Hotuba Ya Mwl  Julius K  Nyerere   Mkutano Mkuu Wa CCM Dodoma Mwaka 1995
14:17