Hongera mzee wangu Mungu akujalie unatendea haki chama chako
@Lubango-gj3ud2 ай бұрын
TLS imepata kiongozi wa ukweli, VIVA Mwabukusi Bonifas
@samwelmahena25942 ай бұрын
The best from mwabukusi
@JaneJennifer-zk7bk2 ай бұрын
Mpumbavu haambiwi maana, hongera sana mh mwambukusi, uko sahihi, uko juu, upo kikazi zaidi, Mungu akubarik sana
@mamalange22772 ай бұрын
Huyu jamaa watmauua. Mungu amlinde
@petromahava8652 ай бұрын
mwabukusi Mungu akubariki na akupe nguvu
@DINASSOUR2 ай бұрын
Achkue fomu....uyu ashakua mwiba😅
@evansmtalo94062 ай бұрын
❤❤raisiiiiiii
@IbrahimSandagila2 ай бұрын
Ur very smart brother
@arjunymputen40772 ай бұрын
Mh Rais TLS nimekuelewa Sasa huu ni uzalendo mkubwa hata wenye mamlaka wasikuone kama Adui Bali kama Taifa yatupasa kukaabna kutafakari Kwa pamoja Kwa maskahi ya Taifa na WA Tanzania Mungu ibariki Tanzania yetu
@EmmanuelSabibi2 ай бұрын
Mwambukus yupo vzr kwa maelezo na hata uongoz
@abdalahgunda13192 ай бұрын
Was great full speech from tls president mwabukusi explanation to piece oganisiotion by tls discussion about abducted disupier deeth clouse to local gavment election wich oganisiotion was lnvole police as well and different organization from religious leader political party police and free team leasener and discuss way forward considering what tls sense to do next move soon after this meeting get finished Pin point to my side this meeting won't sacseed because ccm leadership reject free team organization inside election system and constuetion as well this is the big challenge all this discussion won't achieve on next locel gavment election ccm not yet prapar for snariol
@isayakitaponda83372 ай бұрын
He is so conscious.
@manuelnuer33292 ай бұрын
Paying attention to the spoken materials
@GosberthMlish2 ай бұрын
Hakika mungu akutie uzio wa uzima
@ZabronJonathan-b5s2 ай бұрын
Hii TLS imepata kingozi Mungu akubariki na kukulinda.
@KamardinTebe2 ай бұрын
Big up mwambukusi point sana
@JojoJoji-h8g2 ай бұрын
Mama Samia akimaliza mda wake hiki chuma inatufaa kuwa Rais 230
@robertzamani56122 ай бұрын
Mda wake ni 2025 unaisha hakuna haja ya kusubiri mpaka 2030
@haruniaisha59052 ай бұрын
@@robertzamani5612😅😅😅
@issamatola20312 ай бұрын
Huyo mzee atatusaidia sana kwa kusema
@jamesjeremiah94162 ай бұрын
Unaweza kuja kuwa Raisi Wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania, Naona Nyota yako sasa...
@lucaschisamalo28522 ай бұрын
Ccm ndo wanaharibu hii inchi siku polisi wakiwaacha wa pambane na hali Yao mapema tu tumewachoka
@Pascaltz2 ай бұрын
Hiv kwann huyu jamaa tusimpe nch
@farmerNyika2 ай бұрын
Aise congratulations president
@saitotimollel84952 ай бұрын
good job Rais wa TLS
@davidmazengo6262 ай бұрын
Safiii ❤
@MagembeGindulya2 ай бұрын
good speech
@malackedson77062 ай бұрын
Mashine hii mungu mulinde.
@GiliadLuziro2 ай бұрын
Nakukubali sana
@mkorinto76292 ай бұрын
Mwabukusi busara nyingi sana
@CavanKarang2 ай бұрын
Uko vizur Rais wa TLS unatosha kabisa Kongore kwako watu kama nyie ndo mnatakiwa kuongoza watu mungu akubariki.
@khalidwaid80212 ай бұрын
Raisi wa Tanzania ajae
@TemboKaijage-kg2mm2 ай бұрын
Rais wa tanzania
@BensonMpete2 ай бұрын
Chuma hiki hapa
@c2vconnection2 ай бұрын
Amenikumbusha jinsi Mzee Mbowe alivyolaumiwa wakati anatafuta way forward kwa mazungumzo. Aliitwa kila jina baya!
@kevinjohn45072 ай бұрын
Mm nilikuwaga sijui kazi ya TLS Ila kupitia huyu Mheshimiwa ndiyo nimejua kazi ya hiki chombo.
@RwechungulaBegumisa2 ай бұрын
Mwabukusi ni kiongozi
@Abubakar-cb1er2 ай бұрын
huo ndio uongozi sio zile kelele ulizokua unapiga mwanzo
@stephenmtafya2 ай бұрын
Zile sio kelele Bali n fact alikuwa anazitoa kwa mtu ambae sio mwelewa atasema ni kelele
@kilonzokallage61592 ай бұрын
Hizo unavoidable kelele ndizo zilizomfikisha hapo 'hazikuwa Kelele yalikuwa mapambano ya kuitafuta nafasi ili aonyeshe hiki unachokisifia leo
@AGM196972 ай бұрын
Zile hazikuwa kelele, tulishazamishwa ikabidi mtu jasiri na matendo kama huyo asimame kidete kuitetea Tanganyika yake iliyokuwa imeshamezwa kabisa. Ni wazalendo tu wanaoweza kumuekewa mwamba huyo. Alafu elewa hapo alipo yupo kama Kiongozi na wakati ule alikuwa mwanaharakati
@markoshem-ij6cf2 ай бұрын
Me sijawahi sikia mwamba anakosea jaman daaaaaaaaaa jembe hiirooo
@AGM196972 ай бұрын
@@stephenmtafya Aliyoyafanya Wakati ule ilikuwa ni mahali pake na afanyayo sasa ni pake pia
@florinkisheo76292 ай бұрын
Heading yenu hapo mmeandika ( utekaji wa Rais) Hebu badilisheni
@peterkichochi75102 ай бұрын
RIP CHAMA CHA MAFUTA. Police wanasemea moyoni lazima katiba maana miaka 60 bado tunalipwa laki tano..
@Salumkimwaga-z4n2 ай бұрын
Kwa hekima zako unafaa kuingoza nchi
@RhodaLema-z8w2 ай бұрын
Nimekukubali ndugu yetu na umuhimu wa hiki chama sasa kimetuamsha usingizini kweli jembe tuelemishe
@JamesKanyenda-y9y2 ай бұрын
Saf sana
@AyoubMsonga-ch5xg2 ай бұрын
Ukienda hivyo utatuokoa
@meshack39102 ай бұрын
Sasa naona nchi inakaribia ukombozi Mungu awenanyi wrote mnao chukizwa na ukandamizazwi
@mashakamagao3742 ай бұрын
Sio yule mwambukusi wa section 4
@othumanomari15892 ай бұрын
Mkimpa.5 Tena Tutachinjwa kama kuku
@rashdiyange77582 ай бұрын
NAONAEO MLILO ATAKUPA PESA YA WINE MANA UME MKOSHA ASAAA
@RuandaDimoso2 ай бұрын
Abubakali umesahau kwasasa anatekeleza sio kulaumu maana ni memba sasa
Sasa hata ccm uchwara wanaanza kukuelewa kuku penda na kukuamini chapakazi kaka
@Dutichgogo2 ай бұрын
MWAMBUKUSI NAOMBA UGOMBEE ULAISI UNASHINDA
@juliusakilimali94242 ай бұрын
KUNA KIONGOZI wa kuzaliwa hata ungezuia kwa nguvu zako za kibinadamu atakuwa tu!! Huyo anakuwa amepata kibali toka kwa Mungu mwenyewe!! Na tena kuna KIONGOZI wa kuandaliwa na wanaadamu!!! Huyu kazi yake mmmnmnnhhhhh!!! Tena kuna wale wa mchongo duuuuuuhhhh!!!!
@DINASSOUR2 ай бұрын
Ivi pesa za hii chadema media...anachukua freeman mbowe au anachkua nani
@walterbhoke79352 ай бұрын
Itakusaidia nini
@DINASSOUR2 ай бұрын
@@walterbhoke7935 .mm kama mwanachama lazma nihoji....ww unaonekana sio mzalendo...