Nampenda sana Kamanda Muliro,anaonekana ni mtu ambaye yupo very proffesional ila mazingira yanamzuia,lkn ni bonge la mtu mwenye busara,niishukuru pia TLS kwa kazi nzuri sana wanayofanya
@dorothyminja85232 ай бұрын
Muliro ni police msomi. Sio police uchwara.
@lifeofbeed_22162 ай бұрын
This is what i was saying @juliuskitomari3057
@Lundege_Hips2 ай бұрын
Kote umeteremka vzuri ila hapa kwa muliro umeharibu huwenda akawa mtu mzuri na msomi mwenye dhamira nzuri ila siasa inamuongoza kidogo
@richardshimwela9242 ай бұрын
Kamanda ana baya bna sema ata Dr. Sami anajua bna anawek watu sahii na sehm sahii kamanda mulilo katoa Sichi ya kisomi so powa anajielew kamanda wetu
@nzitogondwe99762 ай бұрын
Wale wale na wewe
@Aminimalewa2 ай бұрын
Namkubali sana Mwakubusi ila kinachonivunja moyo ni aina ya wananchi anaowatetea, peke yake hatoweza bila support, inapofikia wakati wakukemea jambo kwa nguvu inapaswa wananchi tumuunge mkono kikamilifu ilimradi tu hatuvunji sheria za nchi siyo kukaa kama makondoo
@dannymtenzi2 ай бұрын
hongela mwabukusi Kwa hekima na busala mungu akuongoze katika kiti chako Cha urais🙋
@jacksonsawe23012 ай бұрын
Hiki kichwa kweli kweli Mungu akubariki
@edsonsalvatory51212 ай бұрын
Huyu jamaa anathibitisha uwezo before nilijua atakuwa rais wa kiki kumbe very analytical, well skilled and creative. Midahalo hii inapoza mihemuko ya jamii
@angellomarcel56772 ай бұрын
Yess yess yess huyu mwamba ni Kichwa sana
@mwili_wa_ndoto_yangu2 ай бұрын
Mwabukusi unafaa kuwa raisi wa nchi hii
@josephvenus32592 ай бұрын
💯✅
@jesaminzo2 ай бұрын
I admire you Hon Adv Mwabukusi
@mickgeofreyjoachim15802 ай бұрын
Daah!!a voice of a Man in the jungle....well said bro!!!
@jumamrange2 ай бұрын
Ah mwabukusi unatosha kuwa rais wa nchi, unaweza kama magufuli
@hannan45082 ай бұрын
Brains at highest voltage viva mwabukusu
@bozeydayana49202 ай бұрын
God bless you 🙏
@gidionYeremia-n5z2 ай бұрын
Mungu wa mbinguni akuinue zaidi sana
@JustineWangi-j2t2 ай бұрын
Nakukubari sana pacha asiekuelewa kaamua kutoelewa mh rais wa TLS.
@zakariapaulowiliamuwiliamu18402 ай бұрын
Viongozi wote wangekuwa kama huyu mwamba MUNGU angebadilisha Tanzania kuwa Yerusalemu
@SylvesterKameo2 ай бұрын
@@zakariapaulowiliamuwiliamu1840 Angeibadili Tanzania kuwa Tanganyika!
@josephvenus32592 ай бұрын
Haswaaa 😂😂😂
@angellomarcel56772 ай бұрын
Ana u Magufuli flani hivi
@sabatoongara87632 ай бұрын
Uko sawa siku zote, Mungu akutangulie
@KilonzoJohn-mg7cw2 ай бұрын
Mwambukusi mungu akulinde nimeamini maneno Yako tieles ni jeshi la wananchi linalotumia kalamu na karatasi ee mungu walinde viongozi wa tielees
@SundaySteven-bz4yq2 ай бұрын
Ama kweli mwabukusi wewe ndiye kiongozi mwenye utu na mungu ndani mwako AMINA
@deograciousrugambwa20542 ай бұрын
Tanzania we have skilled people kwa kweli.. Kamanda Muliro na Mwabukusi wana maakili mengi sana vichwaaa hasaaaaa
@GabrielHuper2 ай бұрын
Mungu akutie nguvu
@TwahirBurhan2 ай бұрын
Mh.Rais upo vzr sana tunaamini utaifikisha TLS mahali salama na penye faida na nchi yetu
@petroalfred51082 ай бұрын
Section 4
@atupeleMbughi2 ай бұрын
Mungu akupe maisha malefu
@jumanneselemani21722 ай бұрын
MWABUKUSI NILIKUWA SIKUPENDI SASA NAKUELEWA NAOMBA NISAMEHE.
@leganmichael61482 ай бұрын
Hongera sana kwa kusema ukweli maana ukweli hukuweka huru siku zote
@angellomarcel56772 ай бұрын
😀😀umeonàee..?
@WingodEpafra-dl1cd2 ай бұрын
Barikw sana Rais
@KilonzoJohn-mg7cw2 ай бұрын
Mwambukusi mungu akulinde
@ramadhanmkandas57332 ай бұрын
Hongera sana mkuu kwa busara zako
@JoeliSimba2 ай бұрын
Duuh!! Hotuba kama ndo tayari Kawa rais big up mwabuboy!!
@Jeremiatitomawala2 ай бұрын
Good my brother
@SylvesterKameo2 ай бұрын
A great leader with high potentiality. Mr. Mwanbukusi, I salute!
@aliyageorge67942 ай бұрын
Absolutely ✅️💯
@aliyageorge67942 ай бұрын
Our next president for Tanganyika 🇹🇿🙏
@silasmarandu14852 ай бұрын
Huyu mwamba acha Mungu aseme juu yake! For me I can't tell
@richardshimwela9242 ай бұрын
Wew mwamba kaka mkubwa ulipo tupo mwambususii😂😂
@juliusakilimali94242 ай бұрын
Muliro Jumanne wewe ni Kamanda wa kweli! Nina hofu na baadhi wanasiasa wasikupake matope!!! Fanya kazi mkuu na Mungu atakuwa pamoja nasi!!
@harrywarren612 ай бұрын
Nakupongeza sana hotuba nzuri ila kwenye swala la uwekezaji tls ipewe mamlaka ya kutoa contract certificate kwa wawekezaji wote Tanzania haswa kwa wale wawekezaji wa kimataifa ili wawekezaji wapate kufata sheria ya nchi na pia kama una hiyo contract law inayotoka tls uwezi hulusiwi kuwekeza Tanzania hii italeta mwonekano na makubaliano mzuri na mwananchi wa kitanzania inaoneka TLS ipo uklibu na MTANZANIA kutetea na ubolesho wa ushauri , uletaji wa kujijua sheria yangu na haki yangu , ukumbusho wa manufaa katika jamiii , upatanisho na vyombo vingine vya serikari na kujua umuhimu TLS ina aslimia 95%.. na Serikari ina asilimia 22% kwa utatuzi wa vyote. TLS 95% TZS 22%
@JosephineKabuka2 ай бұрын
Kamandaaaa ❤umetishaaa
@OnesphoryJKMboya2 ай бұрын
Akigombea urais nampa bila shaka, awe chama chochote kile. Najua anaweza kuwa kama Magu
@MwakingweHabibu2 ай бұрын
Asante sana
@JamesMapapara-jw4th2 ай бұрын
hakuna kitu kinacho nikela mtu anajiita msomi alfu halisadii taifa wasimi na wanazuoni mlisadie taifa hili acheni woga na uchawa. kisa maisha magumu yanajifanya mwabukusi mungu akubali sana mungu akulinde sana,
@StevenSanga-n3n2 ай бұрын
Kama msomi mwijaku😅😅
@dismasmasaga.35812 ай бұрын
Makin sana
@HusseinHamza-q2p2 ай бұрын
Mwa ukusiiii jogooo
@joshuarose67562 ай бұрын
Katiba mpya msizunguke wala kupindish Mambo
@GodfreyNtambi2 ай бұрын
Mungo akupe maisha marefu
@FurahaRogers-qw1ch2 ай бұрын
Nawashukuruni sana wanasheria na majaji waliyopo hapo kwenye kongamano hilo ni uhai wa Watanzania
@plujoncylugano46112 ай бұрын
Hakika baadhiya maraisi TLS walitudhulumu sana kwa kutosimamia sheria kama Rais wa sasa anavyosimamia na kuenea vema kwenye kiti cha uraisi TLS
@angellomarcel56772 ай бұрын
Namuelewa sana Mwabukusi..ni Kichwa sana, sasa najiuliza waliokuwa wanampinga walikuwa na nia gani??
@maliyamunguworkshopkimaroe67612 ай бұрын
Unasifa ya kuwa rais wa nchi
@habibasha11222 ай бұрын
Niliwah kujiuliza mnafanya nin sasa kumbe kama mliniskia
@khalidmamdadi10722 ай бұрын
The president
@TrustElbashil2 ай бұрын
Alie uliza ni mzalendo police ndowaotuumiza katika nchi yetu hao wanatumika na ccm kufanya maovu
@hanskalou18522 ай бұрын
Unatosha kuwa rais
@PedadMiyombo-pc8gc2 ай бұрын
Uyu ndo kiongozi
@EmanueliThomas2 ай бұрын
Kwanini TBC haioneshi live kwani sio Kodi yetu
@mwasoprince34592 ай бұрын
😂😂😂😂😂 unawadai TBC
@MejjatScott-mf2vi2 ай бұрын
Hahahaha,eti ushaanza kuona utam!"kwan we Pidd"Nyooh!
@Lugiko-o2j2 ай бұрын
TLS ya Mwabukusi pamechangamka
@StevenSanga-n3n2 ай бұрын
Alivokufa magu nilijua atutopata mzalendo mwengine kama magu lakin mungu si asumani akamleta mwabukusi basi imani yote namuamishia mwabukus anafaa sana kuwa raisi wa nchii hii koz anauchungu na wananch wake pamoja na raslimali zake in short anaipenda inch yake
@sammymtove26262 ай бұрын
Huyu mtu
@maliyamunguworkshopkimaroe67612 ай бұрын
Sichoki kukusikiliza
@denisshimela1692 ай бұрын
Big up sana chap kaz brother
@brigethsauzand39262 ай бұрын
Mwambukusi wewe jamani!!
@JamesMapapara-jw4th2 ай бұрын
walio mchagua mwabukusi waliona mbali sana bg up" mwiba kwa jeshi la police lisilo jua wajibu wake,
@MelchioryMkufu2 ай бұрын
Mwabukusi ni zawadi na hazina ya Taifa la Tanzania, endelea kusema kwa niaba ya watanzania na unachokisema ni mbegu ambayo itamea na kuzaa demokrasia, Haki, usawa na amani. Mungu akulindi. Haki huinua Taifa, dhambi ni aibu ya watu wote. Mithali 14:34 🙏🙏
@slyvestajohn2 ай бұрын
Uyu ni mtu na nusu
@BarnabaPangani2 ай бұрын
Yote 9 kumi ni kwaba wachunguzi kutoka nje waje
@jumannekwibukila51252 ай бұрын
Umeongea vizuri lakini sijasikia Kama umegusia waliopotea / waliotekwa na wasiojulikana na ni upi msimamo wa TLS?
@IsayaSosolo-nx8zk2 ай бұрын
Tafadhari rudia Tena hiyo speech yake na kwa utulivu usiwe na haraka na Huyo mwamba! Na ameeleweka kabisa,
@WilberforceMtedzi2 ай бұрын
Nimekuelewa mkuu hicho ni kichwa
@AziziSwalehe-zk9hx2 ай бұрын
Gombea urais t
@mwakapalamwakapala83172 ай бұрын
TLS, SECTION 4, SECTION 4, TLS, NI SLOGAN KIUTENDAJI
@MejjatScott-mf2vi2 ай бұрын
Nyie wapumbav!,Mungu aandikwi kwa kuanzia heruf ndogo,Mapepo nyie