Mtu wa maana wa muhimu sana katika Taifa letu Boniphace Mwabukusi. Mungu akulinde akutunze akusimamie daima katika majukumu yako. Nakuamini,nakuombea sana kwa Mungu,naamini utatufikishq kuleee(?) Katika Taifa letu.
@marieconnect63893 күн бұрын
Nakuamini sana wakili Mwabukusi hata kabla sijakusikia hadi mwisho. Najua utatoa nondo nzuri za kujenga taaluma na nchi yeth
@edsonkilatu52113 күн бұрын
Brilliant speech
@luganomwaigomole74413 күн бұрын
UMEBARIKIWA SANA BROTHER ❤
@KamalaBuberwa2 күн бұрын
Mwambukusi nashukuru kwa ujumbe wako wa moja kwa moja kwa majaji na hasa jaji mkuu. Nafikiri massage sent. God bless you and your family
@EnockFumbukaКүн бұрын
Very True and correct massage for all lawyers. Thank you Mr.president
@marymartin48133 күн бұрын
Huyo ndio mtenda haki Mwenyezi Mungu awe nawe. FACT.
@TomasiklistophaMwinuka3 күн бұрын
Mwabukusi unamaono yambali sana waonyeshe njia vijana hao mawakili iliwawe kama wewe unaakili nyingi sana pongez kwako Mwabukusi mungu akupe maisha marefu yenye mafanikio kwako
@FrederickThadeo3 күн бұрын
Mwabukusi mungu akulinde unge kua jaji mkuu haki ingetendeka tumuombe jaji mkuu na musajili wa mahakama mkuu na lufaa noti of apili zinatesa watu mahaka makalane shida ni mungu watu
@marieconnect63893 күн бұрын
Kweli kabisa taaluma hii ya uwakili na uamuzi katika sheria ni kazi ya wito wa kimungu. Nikazi yenye nataka kubwa hapo hapo ni kazi yenye laana kubwa pale unapokiuka sheria na.kupinfidha haki kwa sababu zozote zilr
@GodfreyNtambi3 күн бұрын
Mwabukusi shujaa
@marieconnect63893 күн бұрын
Utayari wa kujitolea hapo naona ni kitendawili mh Mwabukusi hasa wakati huu. Wajitahidi wakiwa na moyo wa kiMungu ndani yake. Mungu awasaidie awape shujaa huo
@gowekogoweko58032 күн бұрын
HUYU WAKILI MWABUKUSI ANAJUA ALICHOKISOMA NA ANAKIENZI...NAMSIKIA MARA NYINGI AKITAMKA "HAKI "HAKI INA MAMBO MENGI YA KUFURAHISHA
@danielkanso3 күн бұрын
Naam asante Mwambukusi sauti yako inaponya mioyo ya wengi na hiyo hutokana na utendaji wako mzuri wa haki katka nafasi yako
@JamaliAlly-zy1ff3 күн бұрын
❤Wakwanza like 100
@samsonsamwel87823 күн бұрын
Znakusaidia nn mwanaume mzima 😂😂
@ZakeyoAsapia-b1kКүн бұрын
Umepoa sana mwabukusi
@gowekogoweko58032 күн бұрын
👏🏻👏🏻👏🏻SIO TAARABU HII
@TheodoraAnatory3 күн бұрын
Nasubiri kusikia waliohitimu, wamepewa vifaa vyao vyote vya kazi kama ulivyokuwa ukitamani.
@iviejustified81093 күн бұрын
Unaponisabisha nilie nitakuuzunisha - Mwabukusi msomi zaidi Vijana wako huwa wajivuni saana, wakati walitakiwa kuwa kama wewe boss.....hawajui kabisa
@FrederickThadeo3 күн бұрын
Mawakili wengi wapigaji kama t.r.a na police kusasa lisiti hawtowi Kodi hawalipi
@OscarKasalile2 күн бұрын
Hakika siku moja uje uwe Rais nakuombea mzalendo wa ukweli
@ezekielndaraba72212 күн бұрын
Huyo ni Mwambukusi
@OscarKasalile3 күн бұрын
Nilikuwepo hapo karimjee
@chidampiri10122 күн бұрын
Bado mnatumia mike ya kushika mkononi badala zile za kisasa unaivaa kichwani kasupka kanakuja eneo la mdomo