Hiyo ni salam kwa aina ya wanafiki na imewafikia waovu wote na akwasalimiane huko waliko. Pole wafiwa na hongera wafiwa.
@ephraimasobenie9940Ай бұрын
Mbowe umekomaa sana kisiasa,umefanya uungwana sana! Ninakupongeza sana.Kumtulizia Mh.Masauni kelele hizo si jambo rahisi!Ninakupongeza sana.
@jumadinya3796Ай бұрын
Mh. Mbowe nakushukuru sana kwa ujasiri wako na pusara yako kwa. Kuheshimu kwanza dini yetu ya kiisilamu pili kuheshimu kiongizi wa mambo ya ndani na kutuliza ghasia katika msiba huo busara ni jambo lamsingi sana kama Mh mbowe tunataka busara kama hii asante
@LuciaPaul-r2iАй бұрын
Yan watu wanateka hadharan anasema yey ndo ala ndo mwenye kujua... Yey ndo wazir wa ulinz anatakiwa ajue mana kapewa mamlaka ya kuwalinda watanzania... Pia anajukum la kujua mana anavyombo vyote
@mkambamaulid447Ай бұрын
Mbowe unakitu adimu sana kwenye ulimi wako nakukubali sana F.A.M ✌️ 🙏🏼
@AbrahamJacob-i7oАй бұрын
Mungu ailaze roho yake mahala pema pepini
@erickcharles1605Ай бұрын
Nimeichukia sana hii rangi ya kijani
@sheryphamwenevalley6124Ай бұрын
Dah aibu,😭😭😭
@AllanLyombileАй бұрын
Mbowe,Mbowe,Mbowe hakika unafaa kuwa kiongozi, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
@ausonjustinian4673Ай бұрын
MASAUNI UNAKUWA MPOLE MNO JMN. SASA IFIKE HATUA UJIUZURU. WAZIRI WA ULINZI WAZIRI WA MAMBO YA NDANI KWISHA HBR ZENU.
@nassibdoma5408Ай бұрын
Safii sana wanachadema ujumbe umefika
@AbdulSaid-b2pАй бұрын
Unafik tu mnamchezea Muungu kwa mkono tongea lini masauni na dua hata haya hawana mccm mnatutesa na kutuzalilisha na kutua utazan hii nchi ni yenu pekeyenu mumerithi kwa baba zenu wakti ni ya Watanzania wote ila iko siku na nyinyi Allah atawatia mikononi cjui. Tajibu nini mnajiona hamtokufa ila mwisho wenu upo tukijaiwa kaeni hivo hivo mjisahau kwa kutesa watu mnajiona kama hamtokufa tena
@jobuishАй бұрын
Mhhhh Namuonaaaa mpigaaa Picha WETU 😅😅 Mwenye jez ya chademaaa na nondooo mhhhh nawaonaaa😭😭🙏🏾ee mungu
@andersonnyahove2867Ай бұрын
Safi sana Tanga kwa kumpa ukweli Masauni na serikali yeo
@godfreybeatus8396Ай бұрын
Sio serikali Yao sema yetu avheni kujitoa fuse
@marieconnect6389Ай бұрын
Kweli mungu anapanga siku ya kufa lakini na wanadamu Wanaweza kuharakisha kumwondoa mtu kabla ya wakati wake
@TitoRufizi-xb2ubАй бұрын
Safi sana wananchi nimewapenda sana
@nyanjachannel5517Ай бұрын
Ilianza kwa lissu,na wengine wakafuata Hadi Leo hakuna taarifa zozote aubbasi tuseme wameshindwa uchunguzi waalike wa nje waje basi
@RafaerPetroАй бұрын
Pole sana
@salumnassor3857Ай бұрын
Hii nchi inafany mchezo sna na maisha ya wtu
@DicksonJaphet-fq7ovАй бұрын
Mbowe MUNGU Akulinde Hakika Wewe Nikiongozi 🎉
@JaphethiAlèxiАй бұрын
ongera sana mh mbowe
@MosesKashinjeАй бұрын
Jamani inauma sana 14:30 14:30
@stanleymanya438Ай бұрын
MINAANDIKA KWA HERUFI KUBWA HII NCHI TUSIMSINGIZIE MUNGU ALIETUPA MAMLAKA YAKUTAWA SISI NI BINADAM NA SOTE TUNAKANYAGA ARDHIII😢😢😢
@dausoncleophace3665Ай бұрын
Tanzania mungu anaipenda sana I gekua Kenya huyu wazir alikua anazikwa mda huo huo
@marcynhumbi3534Ай бұрын
Sijui kilikupeleka Nini hapo tunakuona Kama mnafiki tu,nchi imekuwa ya ovyo watu wanauliwa ovyo tu
@EMANUELMUSHI-kk4dfАй бұрын
Yaani!
@weramunisi7490Ай бұрын
Massaiuni nae mzazibabar
@imeldamyovela8202Ай бұрын
Haya mambo yamefikamwisho Mungu atawalipa ninyi ccm
@chezariboyАй бұрын
Masauni umepotesa kibali watu wamekukataaa hawana haja na rambilambi kweli ingekuwa kenya masauni angekufa na walinzi wake wote waliomzunguka.. Hui ni msiba mkubwa Sana inauma kutokana na ukatili uliotokea
@ntibashimadicksonmathiasna2915Ай бұрын
WATU wamechoka 😢😢
@rabsonchisumo6640Ай бұрын
Aende zake
@SedekiaIsraelАй бұрын
Safi sana
@SalimRamsei-ok9elАй бұрын
Ishallah
@fadhilimusa9732Ай бұрын
Namuomba mungu aweke kiongozi kama magu asambaratishe baadhi ya viongozi wauwaji
@dianaleo6067Ай бұрын
Ilooooo!!! Wauaji nyie na wabakaji! JIUZURU UKOO!!!
@nurumohammed1310Ай бұрын
Huyo msoma dua mnafiki tuh
@athumanfuko199Ай бұрын
mmmhhh jamani hata dua tunazikataa.Kila nafsi itauonja umauti.nasikitika sana tunaenda wapi nchi yangu.
@HijaSaid-xd7fgАй бұрын
Hivi ilikuwaje wakampa ruhusa kufika msibani jamani,
@simonmaige3580Ай бұрын
Safi Sana mbowe
@lucymsheshi5871Ай бұрын
Hii ni dalili mbaya kwa viongozi wote was nchi ipo siku mtafukuzwa kwenye madaraka na nchi nzima Huu ndio ukweli watu wamesha choka bado tu kuonyesha hisia zao kwa vitendo. Niwaombe muwe makini vinavyotokea
@zakariasolomon9833Ай бұрын
Dua za wazir hazina msaada ajiuzulu ndio dua yake ya msingi
@yaronaWilliamАй бұрын
Walaaniwe wote waliopanga na waliotekeleza kuuondoa uhai wa mtu asiye na hatia!.
@FrankPonsianАй бұрын
Mda wote uyo waziri alikua wap mpaka watu wana 4:24 uwawa
@AyubuMwambola-j3kАй бұрын
Mashetani nyie mnauwa watu mnamtaja mungu,mungu na awalaani
@hamissomary6869Ай бұрын
Huyoo anajua kila kitu jesh Lake ndo linahusika
@MichaelMwamandaАй бұрын
Waziri gani Tena 😂😂😂😂🙌
@hassankidilikia5566Ай бұрын
Waaacheni watu wapige kelele mukiwazuia Mawe yatapiga kelele Yesu alisema
@davidjoseph1143Ай бұрын
😅nimsib but ach nicheke
@aickatesha4542Ай бұрын
Piga kell
@ChicsSalimuАй бұрын
Mungu iraze pema roho ya Mzee wetu ariye uwawa kinyama mungu angaria kwa jicho ra huruma kitendo hichi wape hukumu Yakuo kutokana nahakuku zao watu wasio juriikana mana nchi hii. Wauwaji ni watu wasio juriikana ndio kauri mbiu mungu tunakuachia ww
@emmanuelmayunga1518Ай бұрын
Mbowe umeonesha ukomavu mkubwa sana wa kisisa...Big up sana kiongoz ila inauma😢😢
@Leo-kg2ltАй бұрын
Siku akiwa nisimamo mikali msianze kusema mbowe ni mkorofi
@dinosmackАй бұрын
Muheshimiwa male kamaliza asiende tena kwenye msiba wa mtu alietekwa
@FeristaKoku-it9nxАй бұрын
Hiinchi tunakokwenda waliolala wataamka wanaojiona wanahaki ndio wataanzisha machafuko eeMwenzi Mungu wapemacho yakutambua viongozi wetu
@AshaMwamba-g3lАй бұрын
Siku inchi hii itasimama sijui itakuwaaje kwautekaji huo wahovyo . Inauma Sana tunapoelekaea tutakuwa Kama kenyaa😢😢😢😢😢
@far_hard1301Ай бұрын
SAFI SANA NIMEIPENDA HII
@DenisMutalemwaАй бұрын
Hali ikiendelea hivi tunaandaa mauaji ya wenyewe kwa wenyewe Hebu angalia kwenye huu umati sijui ka yupo kiongozi wa ccm . Tumeanza kubaguana kivyama kweli?
@AayanMaganzaАй бұрын
Masauni ni Chadema?
@africanbashor3420Ай бұрын
@@AayanMaganza mtaje mwengine tukupe laki asaivi. Yule ni waziri wa mambo ya ndani kaagizwa na raisi ilibidi aje. Nani mwengine umemuona hapo?
@NeemaMushi-wj1znАй бұрын
Tumeshachok sepa
@lipojibuministry8061Ай бұрын
shehe anakuja na hadithi za mtume kwa watu wenye jaziba.Poleni sana wafiwa wote.
@davidmalogo7100Ай бұрын
Umeniuma sana msibahuu ila nimeungana na waliosema achiamaiki mana kilio hichi chawatu kutekwa siochaleo mpaka kesi zikomahakamani yeye wazili sijawaikusikia tamkolake ila anakujakuzika ambao wameuwawa nazani naseliyao kwanza ilibidi ajiuzulu hapo angeonyesha ukomavu
@salimumwenguvu2248Ай бұрын
Kumeanza Kuchangamka
@SamuelKivuyo-t4rАй бұрын
Andoke hyo ndio walio mwuwa ndugu ytu
@AmosSniperАй бұрын
Unafiki Mungu hapendi
@KuruthumBilaliАй бұрын
Inna lillah wainna ilàih rajiun
@IdrisaAbdallah-pf4mwАй бұрын
Mmekosea sana ilibidi gari yake ichomwe moto mamae
@MiriamAbdallahАй бұрын
Kweli mpuuzi huyu
@NkondoMange-xf9xzАй бұрын
Kuchoma ndo itakuwa suluhuhisho
@mkanjimamkanjimamkanjima2043Ай бұрын
Wanafki kwa kujifanya wanamjuwa ni hatali sana kwenye taifa kwn viongozi wa ccm hana nafasi kwenye taifa bali wanalazimisha tu upombavu hao
@emmanuelmayunga1518Ай бұрын
Aibu tupu kwa hii serkal...kiukwel inauma😢😢😢
@whatisthetruth.8793Ай бұрын
Ni serekali ya utekaji , mauwaji. Siasa za Zanzibar mabavu tuu
@mzeebabumzeeАй бұрын
pole chadema pole mbowe poleni wa fiwa wote
@WilsonMtagwaba-h4dАй бұрын
Safi sana tena angepigwa mawe
@KhadijaChembelaАй бұрын
Sawasawa
@christinamselle4490Ай бұрын
MUNGU aikumbuke Tanzania yetu. Mambo ni mabaya sana
@silasponeka1773Ай бұрын
Kumbe mbowe ni mkubwa kuzidi waziri wa mambo ya ndani ?
@LovenessCostantineАй бұрын
Kumbe Ulikua Hujui ?
@OmaliNunguАй бұрын
Waziri pole
@ahmedalkiyum7592Ай бұрын
😅kama mm nalia sina mood ya kuongea
@Uhuru-s8cАй бұрын
Kama mmeumia sana tuambieni wako wapi soka na wenzake? Unafika mwisho mtakimbia nchi watu wana mengi na kama Kila mtu akiamua kujilinda mwenyewe basi mjue watajilinda kwa silaha yoyote na popote
@IbrahimKasambala-ts8reАй бұрын
wazili wa MAMBO ya ndani umempa nini raisi anakulinda having?
@senyagwadickson9084Ай бұрын
Zomea sana huyo ndugu yake na Samia
@charlesmugisha6529Ай бұрын
Uyu Waziri maskini mnamuonea bure ni mpole na kazaliwa ivo.mimi namuomba rais samia amteue kalemani awe ndo Waziri wa Mambo ya ndani nina Imani aya yote yataisha na uyu masauni ampe wizara nyingine maskini hii wizara Ina Mambo mengi inatakiwa mtu ambae ni mkali na kila mtu amuogope pale anapo toa tamko.
@whatisthetruth.8793Ай бұрын
Mpole gani , wakati wao ndio wauwaji wenyewe , kani hili ni tukio la kwanza ?
@simonkenne6892Ай бұрын
Namimi naomba mungu yakukute yaliowakuta hiyo familia
@jacksonkalabhayeАй бұрын
Safi sana wananch Tanga marital Bua sana
@AyoubIsmail-c6zАй бұрын
Saf sana watu wa Tanga mmefanya vizur
@barakamwamkinga4624Ай бұрын
Dah inauma
@AbrahamSekuzeАй бұрын
Kijana wetu huna busara toka muda mrefu na ndio mana Magufuli alikutumbua
@AmosMwera-ym7izАй бұрын
hapa mbowe alichukuwa point tatu kwa magor ya visigino
@mrishosalum9393Ай бұрын
Poleni sana wafiwa ,lkn waja tuwe na subra kwenye kipindi kigumu
@kanankirannko6174Ай бұрын
Tunakoenda sasa in hatari
@GideonLenardАй бұрын
Achia maiki
@LUCAXTZАй бұрын
Innahinlallah lahjun❤ medy kibao
@JOHNLULANDALA-wd5tzАй бұрын
Aundoke
@mussakimaro5588Ай бұрын
Half utakuta hata wauwaji wapo hapo hapo wanawainjoy wafiwa
@TumainiAkyooАй бұрын
Hata wakiwainjoi kwani wao hawafiii?
@MariamDillaАй бұрын
Ipo siku ujinga utaisha lkn hofu itakoma pia. Siku tukiacha kuogopa virungu hili kitakuwa TAIFA Bora kuishi. For everything there's a season....
@handenitakuru6696Ай бұрын
Kiongozi gani huyu hata kuongea hawezi yani Tanzania tunaongozwa na mazombi
@Afsa-z2vАй бұрын
Ukirudi tu jiuzulu hii ni fezeha kwako
@StevenLugeАй бұрын
Muue nny mchunguze nny??? Jinga Sanaa
@HamisiSellaАй бұрын
Wanchi washachoka
@mickgeofreyjoachim1580Ай бұрын
😭😭mnatuona mafala saaaaana nyie fcm,ukweli woooote mnaujua hapo mmekuja kujisafishaa nyie wote manuka Damu za watu wengi saaaaaana wanaotekwa na kuteswa
@nurumohammed1310Ай бұрын
Heshima gani hapo
@LawrenceLubango-ck6ebАй бұрын
nchi ya utawala bora!hebu jiulize angeuawa ndugu wa kiongozi wa serikali neno wasiojulikana lingetamkwa
@MohamedKalatulaАй бұрын
Ajiuzuluu tuu kudadekiiiiiii
@AliyussufHajiАй бұрын
Hiyo ndo aibu musome kupitia matokeo nyinyi ccm
@GoodluckUissoАй бұрын
Yaani mmekaa mnamskilza
@AllyMauya-v3oАй бұрын
Tusidharau mambo haya tutaharibu nchiyetu kama waziri anazomewa hukombele sijui
@aickatesha4542Ай бұрын
Tenah angepigwa namadole Nagar ichomwe moto
@marieconnect6389Ай бұрын
RIP kaka Ally Kibao
@lilianchambua5839Ай бұрын
Masauni piga kazi, utaweza kulinda kila mtu jamani?
@JumaKamasa-kl6pzАй бұрын
Hamuoni haibu gumwambia watanzania eti seria ipo njihi