Sh Mziwanda Auwasha Moto Tena Mbele Ya Jaji Mkuu Wa Mahakama Amuuliza Swali "Tusi Sio Kesi Ya Jinai?

  Рет қаралды 29,290

QIBLATEIN ONLINE

QIBLATEIN ONLINE

Күн бұрын

QIBLATEIN ONLINE Ni channel ya dini ambayo inajihusisha na kukusanya taarifa za kidini kutoka Tanzania na huripoti matukio yote ya ndani ya Tanzania kila siku kupitia FACEBOOK, INSTAGRAM KZbin @QiblateinOnlineTv)
🙏🤝Tafadhali🙏Subscribe #qiblateinonlinetv #ili uwe sehemu ya familia hii muhimu.
INSTAGRAM 👉👉 / qiblatein_online_
FACEBOOK👉👉 www.facebook.c...
TIKTOK 👉👉 www.tiktok.com...

Пікірлер: 237
@BilalMuhammad-jt6sq
@BilalMuhammad-jt6sq 2 күн бұрын
Mashekhe zetu twawapenda sana ALLAH awajaalie
@AhamadiAlly-z6v
@AhamadiAlly-z6v 2 күн бұрын
Samia is the best
@mashakabundala9955
@mashakabundala9955 2 күн бұрын
Jazzaka Allah kheir brother Mziwanda
@hamisimuhunzi7916
@hamisimuhunzi7916 2 күн бұрын
sijawahi kusikia Sh.Mziwanda akikemea ufisadi serikalini, utekaji, wizi wa kura unaofanywa na CCM bara na hata Visiwani. yeye kila siku ni kukemea wapinzani ili kulinda wakubwa wanaompa ubwabwa. huwezi kujiita sheikh huku unachagua matukio ya kukemea..
@baraghash4964
@baraghash4964 2 күн бұрын
Na hujaonapo mapadri kusweka jela isipokua waislamu tu. Mbona ilo hulizungumzii... Hapa kuna udini serekalini kuwapa feva kundi fulani na kuwadhalilisha kundi jengine
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 2 күн бұрын
​@@hamisimuhunzi7916wewe utakuwa ni wa upande wa pili ambao raising akiwa muislam hutamani machafuko kipindi chake chote,choko wewe
@MnubiMm
@MnubiMm 2 күн бұрын
​@@hamisimuhunzi7916huyu Sheikh wakuamlisha mema na kukataza Mabaya sio wa kulopoka ilikufirahisha watu Kama wewe iliuwe kiongozi mzuri razima uiseme CCM tu hutakiwi kusema machafu mengine yaliopo sema CCM tu yote acha ya CCM tu ndio yaseme ili uwe Sheikh na uonekana Mzuri ili wewe na wenzio mfurahi Mabaya yote yaliopo sio haki kuyasema sema ya CCM tu ndio sawa
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 2 күн бұрын
Asalaaam aleykum, Ukweli usemwe hata Kama wengi watachukia.
@SalimAthuman-xh7ci
@SalimAthuman-xh7ci 2 күн бұрын
Shehe wangu sisi tunaakili sana kama kuandamana aende mboe nafamilia yake sisi atuandamani shehe wangu mama samia piga kazi mamaangu mungu akupe maisha malefu
@saidkipalo4427
@saidkipalo4427 2 күн бұрын
Safi Sana
@jumaomary8782
@jumaomary8782 2 күн бұрын
Tutaandamana
@saidkipalo4427
@saidkipalo4427 2 күн бұрын
@@jumaomary8782 We Umeshiba nenda kaandamane Mdogo Wangu
@MusaMuhammed-f4l
@MusaMuhammed-f4l 2 күн бұрын
Akili ndogo safi sanaaa
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 2 күн бұрын
Wewe ni chawa wa ccm kama hao BAKWATA usituchanganye na maandamano yetu
@omarynamkape-cg8qx
@omarynamkape-cg8qx 2 күн бұрын
kongore shekh letu kwa maeno mazito mazur ya kujenga Allah akulinde.
@SalumKapona
@SalumKapona 2 күн бұрын
Tumekuelewa shehe wetu sisi waisilam tunataka amani na diniyetu si fujo.
@chandechande9642
@chandechande9642 2 күн бұрын
shekh mziwanda Allah tabaaraka Allah akupe umri mrefu wa kuishiduniani aamin
@KhatibSalehKhatib
@KhatibSalehKhatib 2 күн бұрын
Mashallah ujumbee umefika shekh
@BobNgagi2023
@BobNgagi2023 2 күн бұрын
Sheikh achana na hao makafiri mashoga, wao kazi yao ni kuabudu Wazungu tu
@edwardntamaboko3414
@edwardntamaboko3414 2 күн бұрын
Nawe na shekhe wenu kazi yenu kuabudu waarabu tu,hata Muhammad mnapingana naye,wakati yeye Muhammad anasema nyie waislamu ni makafiri,alikuwa amelewa au
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 2 күн бұрын
@@edwardntamaboko3414MTOTO WA PALOKO FANYA RESEARCH VIZURI HUKU MAALBINO WAKO SAFE 😢😢😢😢😢😢
@user-rn2fs5jg6n
@user-rn2fs5jg6n 2 күн бұрын
​@@edwardntamaboko3414 tupe hiyo aya, usituletee maneno ya kukaririshwa na kumezeshwa.
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 2 күн бұрын
​@@edwardntamaboko3414Kafiri kaa kimya huna maana Fala wewe
@ibrahimgwasma1223
@ibrahimgwasma1223 2 күн бұрын
Je na wanaowaabudu waarabu wafanyweje
@kheirameir6284
@kheirameir6284 2 күн бұрын
Waislam hatuedi madamanoni wataeda kina joni.
@MusaMuhammed-f4l
@MusaMuhammed-f4l 2 күн бұрын
@@kheirameir6284mpaka atekwe mufti au mzazi wako ndo utaenda? Mungu akuepushie nami aniepushie mtiani huo. Achani masihara na haki za watu uyo sheikh nae anaongea pumba tu.. katiba iruhusu maandamano ya aman iweje watu waandamane mseme uvunjifu wanashindwa kukemea ufisadi kamali zifungiwe wakataze watu kuandaman kwa aman? Rais kuwa muislam isiwe sababu ya kumkingia kifua naserikali yake kama mambo hayaend sawa
@mbwanahasan2971
@mbwanahasan2971 2 күн бұрын
Kumbe nyie mnaleta udini dah
@allythabiti8150
@allythabiti8150 2 күн бұрын
Hatutoandamana hata iweje, Tupo na mama samia had 2030
@Bonifaskagoma
@Bonifaskagoma 2 күн бұрын
Sawa kwa sababu hayajakukuta hamna ndugu yako aliefanyiwa unyama sawa
@allythabiti8150
@allythabiti8150 2 күн бұрын
@@Bonifaskagoma sasa unaandamana ili iweje, tumien akili. serikal imesema inachunguza nyie mnataka nn
@Bonifaskagoma
@Bonifaskagoma 2 күн бұрын
@@allythabiti8150 labda nkuulize hii nchi tangu matukio yafanyie ushawahi ona uchunguzi upi umekamilika,,,,,lisu alipigwa risasi ushawahi ona police wametoa majibu ya uchunguzi mwaka wa ngapi huu???akina Ben sanane na wengine kibao ushawahi ona uchunguzi uliokamilika zaidi ya miaka sita na bado unasema wachukunguze na haya???watu wanaposema wanaandamana manake wamechoka no way again ili tunusru ndugu zetu maana hakuna uchunguzi utaletwa na hao watu miaka buku sanasana wanataka kupoza watu wasahahu na Waendelee kuua
@Bonifaskagoma
@Bonifaskagoma 2 күн бұрын
Bado unasema hatutumii akili
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 2 күн бұрын
@allythabiti8150 shida nyinyi shule ndogo muna mambo ya kike na mipasho tu ya kijinga
@amaniabdi9755
@amaniabdi9755 2 күн бұрын
Tatizo hawamtaki Raisi Mwisilamu,ndo maana wachungaji mapadre wanachachamaa nakuonekana kama wanachama wa chadema,Mkapa aliuwa wazanzibari hatukuona tamko la maaskofu,Magu waliteketea watu kwelikweli Lisu aliponea chupchup hatukuona tamko la maaskofu.tamko mpaka Raisi awe mwislamu,mmesahau kipindi cha Kikwete ulitembezwa Waraka makanisa yote tanzania nazani ulikuwa uchaguzi 2010 .
@MusaMuhammed-f4l
@MusaMuhammed-f4l 2 күн бұрын
@@amaniabdi9755 kwanini masheikh nao hawakupaza sauti? Au wanachagua dhambi zakusemea ipo ivi makosa ni makosa tu aijarishi kafanya nani muislam au makafir.. watu wanauwa na kupotea yeyekama raisi wajibu wake na serikali yake kuweka mambo sawa. Na bora ata rais awe muikristo waislam wanaweza faidika na rais. Acheni ushabiki wa dini pahaki pasemwe watu wanaandamana maandamano ya amani nakatiba inaruhusu ya Tanzania maandamano ya amani. Iweje mseme uvunjifu wa aman.
@user-rn2fs5jg6n
@user-rn2fs5jg6n 2 күн бұрын
Waache udini
@laylayl5166
@laylayl5166 21 сағат бұрын
Mwenyezi mungu akulinde na maadui na mafisadi
@mohdsaid8744
@mohdsaid8744 2 күн бұрын
Maneno ya kweli kabisa
@hamdincatalonia3272
@hamdincatalonia3272 2 күн бұрын
Mash Allah
@jumaamsuya5
@jumaamsuya5 2 күн бұрын
Kiukweli nakupenda kwaajili ya Allaah umeshusha nondo zauhakika usiogope kitu Allaah atakulinda navitimbi vyao makafiri nawanafiki
@bobaiddi9599
@bobaiddi9599 2 күн бұрын
Maashaalla
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 Күн бұрын
Shehe uko vizuri sana na yule mtu anatakiwa akamatwe haraka sana hata mimi nimchngaji yule mchungaji mwenzangu anatakiwa awe fundisho maana alimuabisha na kumtukana Rais
@user-kd9dc4li7f
@user-kd9dc4li7f 2 күн бұрын
Huyo paster Ukimchunguza Siyo mtanzania mapaster wengi ni wakimbizi wanakuja kujifanya watanzia kumbe ni wakimbizi wa waruwanda sasa wanatafuta
@mkushioriginalsillo5074
@mkushioriginalsillo5074 2 күн бұрын
Embu tuambieni kifungu gani cha sheria inayovunjwa kwa watu kuandamana?
@zureashomari2408
@zureashomari2408 2 күн бұрын
Unafki wa hii bongo ni balaaa ni hatar
@fahdihasnuu9034
@fahdihasnuu9034 Күн бұрын
Endeshwa na fikra usiendeshwe na hisia
@abubakarmustwafa-lg8fe
@abubakarmustwafa-lg8fe Күн бұрын
Wenye kipaji Cha kusema Kweli wachache.Mungu akulipe kheri kakaangu Mziwanda
@mohamedsalum5504
@mohamedsalum5504 2 күн бұрын
Mziwanda acha kuisaliti haki wewe... Tundu Lisu mbona mpaka leo uchunguzi haujafanywa... Tatizo lako Mziwanda unatetea chama na wala huzungumzi haki.. Mziwanda kaka unafeli
@saidkhamismasai1204
@saidkhamismasai1204 2 күн бұрын
Shekh Chawa hili😮
@joezeno8
@joezeno8 2 күн бұрын
Lichawa
@abubakarysaid2772
@abubakarysaid2772 2 күн бұрын
Nilijuwa umeacha tabia yako ya kuchukua waume wa watu kumbe Bado na SHEKH unamtaka aaaaa Bana achahizzo
@salimamugeni3568
@salimamugeni3568 2 күн бұрын
Tizameni Burundi walichaguwa wenyewe leo watu hawana haki kudokolewa kila siku hakuna wakutetewa😢
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 2 күн бұрын
Burundi historia yao, ilianza kama hivi hapo. Watu kupotea na kufa bila kujulikana ilishamiri. Na kwa sababu ukabila ilikuwa shida basi ilikuwa kama mafuta ya petrori. Huu kwetu ni ufa unapanuka. Huoni wenye kukosa hekima ya utambuzi wanatafisri kidini?. Tz siku zote Raia wanapenda viongozi wao. Haya makundi haramu na kuchagiza udini ni kwa nini?. Tz walijaribu udini na ukabila ikashindikana. Sasa mauaji. Nayo wtz wanakataa kwamba hawataki. Sasa udini inatoka wapi?. Ukitafari unaishia kupata mashaka. Kisiki tunako jikwaa tukaa tukaanguka, kisiki hicho kingolewe. Tusishambulie wale wote waliojikwaa hapo kwenye kisiki. Tena kwa kuangalia Imani zao. Sisi ni ndugu. Mtaani hûwa tunazikana na kula pamoja hata kama tuna Imani tofauti.
@ShawarAli-t7j
@ShawarAli-t7j 2 күн бұрын
Mashaallah sheik
@NyumbayaWakfukkoo
@NyumbayaWakfukkoo 2 күн бұрын
ANDIKO LINASEMA "WANADAMU WENGI HAWANA SHUKURANI" NDIO HAO KINA LISU WANASAHAU WAKATI WA MAGU WALIPOKOSA UHURU LEO WAPO HURU WANAVUKA MIPAKA
@MusaMuhammed-f4l
@MusaMuhammed-f4l 2 күн бұрын
@@NyumbayaWakfukkoo uhuru wa kutekwa kwenye bas na kesho unakutwa umekufa?
@RamadhaniJuma-j1y
@RamadhaniJuma-j1y Күн бұрын
Mashaallah
@hidayaamri780
@hidayaamri780 2 күн бұрын
Hakika Sheikh Mziwanda maneno yako ni kuntu kabisa, mungu akujaze heri inshallah.
@mohamedsalum5504
@mohamedsalum5504 2 күн бұрын
ishu siyo udini...ishu ni justice...
@ibrahimgwasma1223
@ibrahimgwasma1223 2 күн бұрын
dai yako bila kuwakera wenzio
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 Күн бұрын
Takbiry
@muhsinyusuph6456
@muhsinyusuph6456 2 күн бұрын
kweli nimeamini chadema Chama Kikuu..machafu yanatuandama kila siku mmetulia mnasema Kuna amani?Ila maandamano hamlali.kweli tuna masheikh.
@halimamasai2234
@halimamasai2234 2 күн бұрын
Chadema cha kikuu kwako wewe fala chadema ni Saccoos siyo chama cha siyasa na kama unatamani madamano toka wewe na familia yako msenge wewe
@mohamedsalum5504
@mohamedsalum5504 2 күн бұрын
Nothing will last for ever
@mohamedymussa7556
@mohamedymussa7556 2 күн бұрын
Safiii
@gallusmbaga5522
@gallusmbaga5522 2 күн бұрын
Huu ujumbe murua kabisa na uwafikie watu wote
@babazungu3180
@babazungu3180 2 күн бұрын
Hamna shekh hapa km ni hivyo huko Palestine wasingepigana hata siku 1
@najimsuleiman3690
@najimsuleiman3690 2 күн бұрын
Mtume mwenyewe alipigana vita na unawaelekeza watu hakh inadaiwa kistaarabu😮😮 What kind of you Shekh Mziwanda???
@RamadhaniMsukuma
@RamadhaniMsukuma 2 күн бұрын
Soma history vizuri mtume alipigania dini ya Allah na sio maslahi ya watu binafsi kitaalam inaitwa Aljihadu fii sabilillahi ,​@@najimsuleiman3690
@yahkiwera3611
@yahkiwera3611 Күн бұрын
mashaallah
@KudraWanguvu-em1xw
@KudraWanguvu-em1xw 2 күн бұрын
Rwanda hao maskofu na wachungaji walikuwa wanashiriki katika mauwaji sasa wachekeeni mtakuja vuna mabuwa kwani wamezoea kuwauwa waumini wao kama ug kwakibwetele na Kenya makenzi na jamaa yake
@SeifAlly-g9i
@SeifAlly-g9i 12 минут бұрын
Hawa nikweli Kama alivyo sema Allah hawo wanayo semamidomoni mwao yaliovifuwani mwao nimakubwa hasasa nijuu yenu waislam
@joezeno8
@joezeno8 2 күн бұрын
Sheikh LIJINGA Linatumika vibaya, Njaaa inakusumbuwa KENGE
@BilalMuhammad-jt6sq
@BilalMuhammad-jt6sq 2 күн бұрын
Kati ya shekhe na wewe nani ana njaa?nani mjinga?
@joezeno8
@joezeno8 2 күн бұрын
@@BilalMuhammad-jt6sqMziwanda ni PUMBAVU na NJAAA ina msumbuwa
@huyu1993
@huyu1993 2 күн бұрын
insha'Allah Mungu atakupa unachokita muda si mrefu,wewe ndio mwenye akili insha'Allah Mungu akupe kinachokustahiki
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 Күн бұрын
​@@joezeno8 KENGE BABA YAKO ALIYEKUZAA... KHANITHI WA KIKE WEEE... MSHENZI KABISA...
@allymnyenye8109
@allymnyenye8109 Күн бұрын
Sio kosa lako...
@DominikiChristian
@DominikiChristian 2 күн бұрын
Tuna maisha magu ingawa tuna kra kitu elimu yetu mbovu .ina tengeneza kizazi kisicho jitambua alafu mna tete. Kweli 😢😢😢😢
@secundawabura7902
@secundawabura7902 2 күн бұрын
Mungu wetu yupo ndiye mwenye mamlaka na hukumu ya haki wakati utaamua . Kanisa na misikitini wawajenge kimaadili ili huku uraiani wawe watenda mema tu
@mohamedsalum5504
@mohamedsalum5504 2 күн бұрын
Every dog has his day
@AkidaDaudi
@AkidaDaudi 2 күн бұрын
Pumbavu kawatukaneni viongozi wenu wakikilustu uyu wewe SS mbona Jana hatuja watukana wakwenu,
@saadune
@saadune 2 күн бұрын
Shk usitumie dini hii tukufu ku mini wwaliokuwa na muelekeo tofauti na msimamo wako binafsi....
@MasoudyMichael-ox7xl
@MasoudyMichael-ox7xl 2 күн бұрын
Wapalestina wakitumia rugha ya adabu kwa Israel sijui kama watapata haki yao leo
@BilalMuhammad-jt6sq
@BilalMuhammad-jt6sq 2 күн бұрын
Upeo wakomdogo sana weye wajua ao madhalim wayaudi nini wanafanya alafu wataka fananisha na tz
@user-rn2fs5jg6n
@user-rn2fs5jg6n 2 күн бұрын
Hali iliyopo kule sio kama Tanzania
@FahadMussa-y4d
@FahadMussa-y4d 2 күн бұрын
Bas mim nikiskia jina lashe Walid huwa nafarijika sana nimtu safi sana hakuna binadam alie namakosa laki she mwenyezimungu ametupa zawadi. Yakua nashee waridi. Mungu amuweke sana
@issaally8817
@issaally8817 2 сағат бұрын
sijaona point hapo ameongea kwakuwa matukio haya hayajafika kwenye familia yake au ndugu anayemuhusu.unapoamua kudai haki yako nendwa kwa ustaharabu ila huyo mpoka haki akikupokea vibaya basi tumia nguvu siku zote ukiwa mnyonge utanyongwa
@BENELukonga
@BENELukonga 2 күн бұрын
Shekh tuachiye uchawa kama chadema wanafunguliwa kesi za uongo kilasiku wangekuwa chadema wanatekana wangekua hawajakamatwa,?
@abubakarysaid2772
@abubakarysaid2772 2 күн бұрын
Uchawa wa mkundu wako matako wewe hapo usicho elewa nini rudi Shule kasome mkundu wewe
@BahatiKitete
@BahatiKitete 2 күн бұрын
Nyinyi chadema mnatekana wenyewe kwa wenyewe Kisha mnasingizia serikali ili Rais Samia aonekane mbaya ndio nia yao chadema
@froma3732
@froma3732 2 күн бұрын
Ruwanda walianza Vurugu halafu wakawa wanakimbilia Kwenye Nyumba za Waislamu kupata Amani waliyo Vurugu
@hasanimkamba8377
@hasanimkamba8377 2 күн бұрын
Kila jamii isimkilize kiongonzi wake wakimani kwavile hatubudu pamoja
@jazilaabdi8903
@jazilaabdi8903 2 күн бұрын
Kuongea ni simple sana ila vitendo vyake hata uwe hadidi utayayuka
@ahmedalkiyum7592
@ahmedalkiyum7592 2 күн бұрын
Kwahio jamani tuliieni watu wakiuliwa wakitekwa na naomba waendele kuteka watu na kuuwa rahaaaa sana na wala watu wasiandamane jamni tulieni watu watekwe jamani hebu tulieni watekwe
@JfourHumbi
@JfourHumbi 23 сағат бұрын
Huyu mpuuzi anatumia maadiko kupotosha watu wasidai haki zakuishi kwahiyo anasapoti watu watekwe nakuuawa pasipo kudai haki haki haiombwi bali hupiganiwa kwamadhalimu
@jacklinelyimo7407
@jacklinelyimo7407 2 күн бұрын
Nyie wasikilizeni viongozi wa dini ndo na maisha mnayoishi hayaendani na hayo wanayasrma midomoni mwao na pia wao wana watu wao wanaowapendekeza kwenye ukweli na uhuru ni wewe binafsi sasa leteni udini hapa,laiyewaambia kuanaan alufai haki ni dhambi ni nani?hata yeye mwenyewe naajua anawajaza ujinga
@IsmailOmarDahir
@IsmailOmarDahir 19 сағат бұрын
Mchungaji ana matatizo ya ugonjwa wa kukwepa sheria ya utumishi mana mamlaka
@adamhashim3352
@adamhashim3352 Күн бұрын
Ingependeza na wauwaji uwape vipande vyao nn madhara ya kudhulumu nafsi za watu mbele ya allah
@bertinkimati2674
@bertinkimati2674 2 күн бұрын
Huyu shekhe amesahau haraka sana. Miaka michsche tu mashekhe zaidi ya mia waliwekwa mahabusu bila kosa kwa kusema ukweli kuhusu udhalimu wa viongozi wa serikali . Leo wakristu wamesema ukweli kuwa viongozi wa serikali wanadhulumu haki za uhai wa watu anawalaumu? Mnafikiri msipowasema kwa ulali Hawa viongozi dhulumati watawasikia zaidi ya hadaa?
@BahatiKitete
@BahatiKitete 2 күн бұрын
Nafikiri umesahau Rais Samia alipoapishwa kuwa Rais tu aliwatoa masheikh jela
@bertinkimati2674
@bertinkimati2674 Күн бұрын
Hivi kumtoa kela mtu aliyewekwa kela bila kosa na huku taka kulipa fidia kwa mateso na usumbufu aliuupata bado ni kumnyima haki yake. Pia hakuwachukulia hatua waliowaweka Hela bila hatia nalo ni kosa lilelile la watangulizi wake kulinda wahalifu.
@HamisWawila
@HamisWawila Күн бұрын
Mungo akubaliki ww muhumini wahukweli
@KudraWanguvu-em1xw
@KudraWanguvu-em1xw 2 күн бұрын
Shekhe msiwachie wafanye wanavyotaka kujidai wanawasemea watanzania kila kukicha wanajidai niwazalendo kumbe niuongo mtupu.
@BENELukonga
@BENELukonga 2 күн бұрын
Sisi one ni waislam simamia haki wametekwa watu haukusema tundu list kapigwa risase haukusema walipo kamatwa viongozi wa chadema nakuteswa na police hukusema
@muhsinyusuph6456
@muhsinyusuph6456 2 күн бұрын
sheikh zungumzia machafu yanayotuandama.tupo hapa tulipo kwa sababu yenu.tangaza tuchange kujenga chuo kikuu cha kiislam.toa mawaidha yatakayo dumu.maandamano ni kitu cha kupita tu.vinginevyo una lako jambo.
@SophiaJumbee
@SophiaJumbee 2 күн бұрын
Khanithi wewe changisha wewe
@gervasrobert7308
@gervasrobert7308 Күн бұрын
Chawa mkubwa
@user-sl1ko9me7u
@user-sl1ko9me7u 2 күн бұрын
HATA MTUME WETU KUNA WAKATI ALIPIGANA VITA NA MAADUI WA UISLAM WALIOMSHAMBULIA KATIKA KUJITETEA YEYE NA WAISLAMU NA BAADAE ALILETA AMANI.
@jazilaabdi8903
@jazilaabdi8903 2 күн бұрын
Sheikh wetu kipenzi hayajakukuta ukaumia kama wanavyoumia wenzako ila siku yakikukuta utatwambia maumivu
@MwalimuMassaweOnlineTv
@MwalimuMassaweOnlineTv 2 күн бұрын
Itabidi na Wapalestina nao wadai haki yao kwa amani badala ya mtutu. Pia yale maandamano ya shekhe Ponda kudai haki za Waislamu nayo yatangazwe kuwa batli na baraza la Waislamu.
@SaidiPala
@SaidiPala Күн бұрын
Nyinyi ndio munae vunja maadili ya nnchi.watu Wana uliwa na wengine wanakoswakoswa.wanawataja wahusika Kwa majina kabisa.bado wewe unaletaambo ya siasa
@faustinedeogratias4337
@faustinedeogratias4337 2 күн бұрын
Nmeharibu bando
@hassankidilikia5566
@hassankidilikia5566 2 күн бұрын
Ukiukataa uislam auliwe 😢uislamu sio dini uyu makofia anashawishi tuandamane watoto panya lodi
@silvesterrichardhelenya1319
@silvesterrichardhelenya1319 Күн бұрын
Udini unaiua tanznania
@JumaYusuph-i1p
@JumaYusuph-i1p 23 сағат бұрын
Waislam hatuandaman nyie makafiri mnataka tufe pumbafu zenu nyie mashoga
@deusdeditsimba4452
@deusdeditsimba4452 2 күн бұрын
Porojo za Kiswahili hizo,Samaki na Mambo hayo wapi wapi
@HalimaKinyashi-w7h
@HalimaKinyashi-w7h Күн бұрын
Pasua pasua baba haumung'unyi maneno
@abi-onlinetv4181
@abi-onlinetv4181 2 күн бұрын
Hawa wanatoaga matamko wakati anaongoza muislamu tu
@BENELukonga
@BENELukonga 2 күн бұрын
Amani hakuna Tanzania Ila watu wengi ni wajinga Amani ni kwa ccm tu ccm watende haki chi hayendeswi kwa kutekwa. Wala kwa viongozi wading wengi wao ni machawa tu na unafiki badilikeni mu muokopeni mungu acheni kuokopa tumbo
@luthermartin1098
@luthermartin1098 14 сағат бұрын
Sasaivi hatudanganyiki kwa dini
@aboudasilver6541
@aboudasilver6541 2 күн бұрын
Ugali wake upi Huyo yupo vizur kiuchumi Kuliko wewe ugali kwake sio kitu Amani ndio kitu muhim km ni maandamano mboye awe mbele na familia yake
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 2 күн бұрын
Moto haupo kama hakuna mada ya kupunguza. Ondoa tatizo linasababisha kufarakana. Hiyo hekima.
@justinlusambo9454
@justinlusambo9454 2 күн бұрын
Mashehe acheni uchawa kwenye uhai wa watu
@user-sl1ko9me7u
@user-sl1ko9me7u 2 күн бұрын
INAFIKIRISHA SANA SANA.....SHEKH MZIWANDA ANAZUNGUMZIA SANA KUHUSU AMANI....LAKINI HAZUNGUMZII 'HAKI' KAMA ALIVYOTUAMRISHA MTUME WETU.....HAKI HUZAA AMANI. NA AMANI SIO KITU RAHISI KUKIELEWA....AMANI INAHUSU MAMBO MENGI....ELIMU, MALAZI, CHAKULA, MATIBABU, DEMOKRASIA, N.K. JAJI MKUU PROF. JUMA AMEZUNGUMZIA VIZURI NA KWA WAELEDI KUHUSU HAKI AMBAYO HUZAA AMANI.
@joharikasuwi6973
@joharikasuwi6973 Күн бұрын
Hatuandamani. Maana hata tukienda kuomba kazi kwenye maofosi yao hawatupi.
@ezekielmatondane714
@ezekielmatondane714 2 күн бұрын
Mashetani wa mesimama kumtetea shetani mwenzao bpamoja nakua utawala wake haufai
@user-rn2fs5jg6n
@user-rn2fs5jg6n 2 күн бұрын
Unaonaje Shetani akiwa ni baba yako na kizazi chenu. Acha lugha mbovu
@hamishatibu1007
@hamishatibu1007 Күн бұрын
shetan ni ww k la mama ako
@AbdallaMwagora-sm1rj
@AbdallaMwagora-sm1rj 2 күн бұрын
Huyo atafuta sifa Hana lolote.
@AmourAmour-ux3nm
@AmourAmour-ux3nm 2 күн бұрын
Mhhh kuw mstaarabu wewe toa Elimu mbadala wake haya tupe Elimu
@SophiaJumbee
@SophiaJumbee 2 күн бұрын
Wewe jiheshimu
@joezeno8
@joezeno8 2 күн бұрын
Chawa kazini
@StephanoGwelino
@StephanoGwelino 2 күн бұрын
Ivi uyu shee kweli mtu anauawa anasema kuna Amani
@HafidhMaalim
@HafidhMaalim 2 күн бұрын
SHEHE HUYU NI MWANA SIASA ANAETUMIA KIVILI CHA DINI.. THAN ANACHANGANYA DINI NA SIASA
@user-rn2fs5jg6n
@user-rn2fs5jg6n 2 күн бұрын
Na mchungaji aliemzomea Rais na ccm ni chama gani, kwanini ataje chama na yeye ni mtu wa mambo ya dini?
@jacobanania2741
@jacobanania2741 13 сағат бұрын
Kwani unacho ongea kqma ni pumba tuu wanakufa watu unaongea ujinga tuu
@joezeno8
@joezeno8 2 күн бұрын
Maneno ya mchungaji moja mhuni tena Mjinga, wewe unachukulia kuwa ni kauli au msimamo ya wakristo wote! Wee Mziwanda HUNA AKILI PUMBAVU, NJAAA MBAYA
@saidiathuman-og6bc
@saidiathuman-og6bc 2 күн бұрын
Sasa iv Kik mpaka kwenye boti ,chawa na kunguni mpaka kwenye mchele Yan shida kweeeeeeeeedli
@mamlomamlo9064
@mamlomamlo9064 2 күн бұрын
Raisi wetu kweli muisilamu lakini mbona quran haifuati katika utawala wake
@denisipaulo7785
@denisipaulo7785 2 күн бұрын
Wewe Muogaaa pia ni chawa
@janiaoma7093
@janiaoma7093 2 күн бұрын
Huyo mziwanda sio shekhe isipokuwa anatumia na chadema ukiona mtu wa dini yuko kweye siyasa au anajikita kweye siyasa muogope kama ukoma kama yule mburundi shekhe ponda pia hatari
@nestor384
@nestor384 2 күн бұрын
Mbuzi kama hii nayo etii kuna watu wanaiamini. Ni jambo la kumshukuru m/mungu uelewa wa jamii unazidi kuongezeka kiasi kwamba ipo siku moja mtu kama huyu akiongea upumbavu kama huu immediately jamii itamchukulia hatua. Ifike pahala jamii hii ipate upeo wa kubaini hadaa kama hii ya huyu bwana. Hali ilivyo it seems inampa ulaji mpaka anafika anakashfu ukristu ambao kwa kuzungumza kwake inaonesha akili yake kisoda.
@user-rn2fs5jg6n
@user-rn2fs5jg6n 2 күн бұрын
Mwenyezi Mungu amemuita kuwa yeye ni mwanadamu na ww leo hii unamuita mbuzi, unaona uko sahihi?. Na ww watu wakiona haupo sahihi kwenye maoni yako wakuite Nguruwe?
@RashidSadala-f2q
@RashidSadala-f2q 2 күн бұрын
Hawa mashehe pesa wanatupa kazi kwelikweli baada ya kuisema serikali kushindwa kutunza amani ya mwananchi wewe kama angekuwa nduguyako nndo katekwa harafu kauliwa ungekuwa na kauli hizo? We shehe njaa ziwashieni aisi sigande
@Worldunite
@Worldunite 2 күн бұрын
Hakuna udhibiti kwa viongozi wa dini zote mbili? jamani nchi hii Mungu ainusuru tusije ingia mifarakano ya kiimani
@mohamedsalum5504
@mohamedsalum5504 2 күн бұрын
Hakuna kitu ambacho kitabaki milele
@abushekheseif3548
@abushekheseif3548 Күн бұрын
No one like you 🎉🎉🎉🎉
@Joseph-i8x1d
@Joseph-i8x1d 2 күн бұрын
Kuma wee
@abubakarysaid2772
@abubakarysaid2772 2 күн бұрын
Na wewe nini mkundu wako uliozoea kufirwa ndiyo maana unaskia kufirwa kila muda unamtaka na SHEKH sasa huyo hatak mkundu wako ulio oza huo paka mkubwa wewe
@user-rn2fs5jg6n
@user-rn2fs5jg6n 2 күн бұрын
Kuna siku utaulizwa juu ya hii kauli yako
@MuhammedMamboleo
@MuhammedMamboleo Күн бұрын
Dini yenu inafundisha katakana watu kumbe....
@jumamulunga2899
@jumamulunga2899 2 күн бұрын
Tawile shekh wameahiirisha wameahiirisha maandamano hawa dawa yao Kurujuan tu
@islambinomar8716
@islambinomar8716 2 күн бұрын
Wewe mwenyewe unapigania ugali wako wewe huna chengine
@jumanneomary2997
@jumanneomary2997 2 күн бұрын
Hacha kabisa kama bwana zako wameguswa achakukomenti kwenye pengi hii tafadhari sana
@maftahmusa9513
@maftahmusa9513 2 күн бұрын
dhahiri wewe ni miongoni mwa wale waliotajwa katika quran mabubu viziwi vipofu hawana Akili
@adaNahimana-y7b
@adaNahimana-y7b 2 күн бұрын
Shekhe MZIWANDA Anahisi Kutafuta Haki Utaupata Kiulaini Ingekuwa Hivo Hâta Wapalestina wangekaakimya wasidai hakiyao Haki ina Garama. Huyo j'ai Unaemuongelea Hana Mamlaka Ya Kweli Kisheria Nae Anamrishwa
@sharifKipegiye
@sharifKipegiye 2 күн бұрын
Nenda kaandamane wewe!
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 2 күн бұрын
Ww ni mjinga kupita kiasi arafu shida yako elimu huna unaongea pumba tu mambo yanayotakiwa kuongelewa na wanawake ndo unaongea mwanaume mzima
@ShabaniWabiga
@ShabaniWabiga 2 күн бұрын
Pumba ww elim gn umesoma
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 2 күн бұрын
@@ShabaniWabiga unataka kujua elimu niliyo nayo ama unataka kujua maana ya elimu nini
@handenitakuru6696
@handenitakuru6696 2 күн бұрын
Nilikuwa nakukubali saana ila ulivo ingia kuzungumzia siasa nimekutoa thamani, leo hii selikali hi hii ambayo wewe unaisifia ndio inayo wafunga mashekhe zetu gerezani halafu wapo wanao pinga hii selikali wewe unasema wanajiteka mpuuzi saaana wewe
@kamanapomo7029
@kamanapomo7029 2 күн бұрын
tatizo la hao wanao ipinga serikali na serikali yenyew limeanza baada ya serikali iliopo kufanya jitihada za kuwatoa mashekhe jela kwa sababu walienda jila bila kosa na walifungwa kwa agizo la kanisa kwa sababu tu Kama wangeachwa huru uisilam ungekua na nguv zaidi kitu ambacho hakitakiwi na kwa sababu serikali ilikaidi agizo la kutoendelea kuwatoa jela hao mashekhe kanisa likaamua kutoa adhabu kwa serikali, wamedhamini Chama walicho kianzisha wanyew na kukipa sapoti Chama hicho walicho kianzisha ilikuivuruge serikali iliopo, Kama Unakumbukumbu nzuri fuatilia (ziara )mualiko wa viongoz wa Chama kikuu cha upinzani kwenda Italy walivyoruda waliruda na kauli ipi? nimemaliza.
@HilliamGodeliva
@HilliamGodeliva 2 күн бұрын
Bado hujamuelewa shekhe msikilize vizuri Wala hajaisifia serikali anakutetea wew
@SophiaJumbee
@SophiaJumbee 2 күн бұрын
Kwani ukimkubali ww ndo utampa Pepo? Shika njia yako kiande wewe
My daughter is creative when it comes to eating food #funny #comedy #cute #baby#smart girl
00:17
А ВЫ ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?? #shorts
00:20
Паша Осадчий
Рет қаралды 7 МЛН
Остановили аттракцион из-за дочки!
00:42
Victoria Portfolio
Рет қаралды 3,1 МЛН
JEMEDARI ACHUKIA FEISAL KUTAKA KUONDOKA AZAM FC/ ANATAKA KUPOTEA
5:31
TANZANIA YAINGIA BALAA SHEIKH KUBATIZWA NA KUMTUKANA MTUME MUHAMMAD
43:48
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 20 М.