Bibi wachalia fimbo kwa batuli imtandike hadi ajute 😂😂😂😂😂sipendi kuona zuri akivurugwa kwa namna yoyote ile
@SadaDjuma-e9bАй бұрын
Amani ya Mungu iwe juu yetu sisi ote tunaofuatiliya hii movies BUSATI TV, Ninawapenda saaan,Namuomba Mungu atulinde sote atupe Afya njema, napia atukinge na mabala❤❤. Aaaaaameeeeen 🤲 🤲
@NdakiNdakiАй бұрын
Amen
@faithkaluluАй бұрын
Good morning all,wangapi atujalala tukigoja house girl, mungu atubariki na tuwe na siku njema
@khadijachama6269Ай бұрын
Bibi utoe adhabu kwa uyu batuli ajute kumchezea zuu wetu km upo pamoja na Mimi gonga like jamn🎉
@ZainabuKhafidhАй бұрын
Tena atoe kubwa kabisa
@Fofo-z6tАй бұрын
Naona anachelewa
@AaBb-y5uАй бұрын
Afany halak iri ajut
@Orenj-l8dАй бұрын
😂😂😂😂😂
@AtijaBuraimoBuraimoАй бұрын
❤❤❤🎉
@salhaissa-xq9ovАй бұрын
Jaman tuaofurahia bib zu kujua kweli WA batuli tujuan kwenye comment wapendwa
@SiaGervasАй бұрын
☝️☝️☝️☝️
@EverlineTyraАй бұрын
Napenda bibi yako zuu maana anamjuli mjukuu wake....kama pia ww unampenda ....like jamani❤❤❤❤😮
@Saada-g4jАй бұрын
Amenikumbusha babu yangu kila kitakacho tokea dar salam yeye ameshajua Tanga aliko kuwa
@AsiyaAsiya-c4hАй бұрын
Bibi zuu mpe kimbora batuli achane na zuu wetu
@SaufatBarakaАй бұрын
Wanao mkubali bibi Yake zuu weka makopa kopa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kumbe batuli wa kwetu kabisa eti songela aiseee😂😂Ila sijapendraaa muache zuuu wetuuu
@Phanny-NyongeАй бұрын
Wapenzi wa Busati TV Mungu awalinde nyote❤❤😂
@SaraaSaraa-i1jАй бұрын
Kikulacho kinguoni mwako
@AllenNyamwiza-kq5dnАй бұрын
@@Phanny-Nyonge pia nanyinyi
@Jacky01180Ай бұрын
Akulinde pia😊
@FelisterEnockАй бұрын
Batuli tupo pamoja Hadi bibi zuu akupige kimbora chaubongo kama Kuna anae amini bibi zuu ataharibu mipango ya batuli, Sania na kendy like kwa wingi😂😂😂❤
@Rizikialiamechannel763Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@FelisterEnockАй бұрын
@@Rizikialiamechannel763 ndohvy 😂
@MariamMwinyimkuu-jq4vqАй бұрын
😂
@anithamkoma5930Ай бұрын
sambongo atamkomesha
@FelisterEnockАй бұрын
@@anithamkoma5930 tumpe muda kidogo 😂😂
@StanleyMjenziАй бұрын
Tunaoamini bibi yake zuri. Atamnyoosha batuli na kendy wake na mipango Yao isifanikiwe
@MustyNgongoАй бұрын
Ila watu wanaroho mbaya mtu anakupenda km ivyo lakn bf unataka kumfanyia mabaya
@Haluwakarisa-b1hАй бұрын
Very sweet one congratulation house girl team keepit up.
@LydiaThiongoАй бұрын
Wooow keep going dear ones 👏👏👏❤❤❤much love from this side 🎉 I
@salhaissa-xq9ovАй бұрын
Jaman keina n kwel mapenz haychagui tabia Wal chochot n upend t
@ruthyohanesy3739Ай бұрын
Kunilaza macho ndio nn Busati afu mnaniketea asubuh jmn Ahsanten lkn❤
@KhalidaUriduАй бұрын
We Kai nawe pesa ya pewa mke ndo anafnya Kila kitu vp we ndo wampa dada wa kazi umenikwza
@ShamieWiseАй бұрын
Kazidi nakuvuruga mipango
@EzekielFrance-sk2obАй бұрын
😂😂
@irenekweyu3133Ай бұрын
Anaudhi😂😂
@DianaKakataАй бұрын
Mwenyew kamikaze balaa
@ZenaAfrekaАй бұрын
kweli kakosea kwann asimpe mkewe ndo ampe
@HhUhh-io8ixАй бұрын
Mm naomba group ya batul ishindwe kwa jina la allah na group zuu ishinde
@Khadija1-l4fАй бұрын
Kweli mungu hamtup mja wake leo nikua wa 59 nna furaha maua 🎉🎉🎉🎉🎉
@IssahNkanaАй бұрын
Kumbe batuli feki ni mnyiramba mwenzangu songela tuwakilishe bhna kuelimisha jamani kuhusu na maisha yaliotuzunguka hongera sana
@salhaissa-xq9ovАй бұрын
Hongeren San zuu na kai kwa upend nahis ndo uhalisia wao
@LylyMasikaАй бұрын
Hiifilamu ndiyo maisha ambayo naishi,nilimupata dada wakazi nikamupa chochote kweli mwanzoni alijifanya mpole na akajiita uatima wa wazazi wote kumbe alikuwanawazazi wote hai,mwishoni aliniibiya nguo zote za mume wangu nazangu piya
@fatmahraseid7019Ай бұрын
We Batuli litakukuta jambo unacheza na mtoto wa mizimu😂😂😂😂😂
@madinaomar679Ай бұрын
Sasa mzimu wasomoe mwenyewe nafsi inamsutq, tunamsubur bibi kabla zuu hajanywa uji
@MaryMkomaАй бұрын
Kumbe batuli ni mnyiramba mwenzangu lakini bna ss wanyiramba mbona hatuna roho mbaya ivo ,, kama na ww ni mnyiramba gonga like apa
@نيجي-ن1دАй бұрын
Huu ni uigizaj tu sio alivyo jaman
@agnessboaz7349Ай бұрын
Wa kwanza kucoment BWANA YESU ASIFIWE ????
@JustaMartinsEduardoАй бұрын
Amém 🎉
@JumaMwinyipembeАй бұрын
Amina
@JumaMwinyipembeАй бұрын
Amina
@JumaMwinyipembeАй бұрын
Amina
@NeemaChiuyo-d4tАй бұрын
Amina
@Mwana85Mwana85-wz1olАй бұрын
Batuli unajidagaja ww bibi zuuu anayup njiani anakuaja ndyo utamjua au mjuwe 😂😂 bibi zuu lete vitu tunakupend san bibi yetu kipenzi
@HhUhh-io8ixАй бұрын
Aiiiii batuli mwezako yuwakupenda kumbe ww ni uso tu roho mbaya hivi😮😮😮😮
@salhaissa-xq9ovАй бұрын
Tunao amin batuli atafel mpang wake WA kumuua zuu tujuane kweny comment
@PendoZakayo-b7yАй бұрын
Kazi nzur ❤❤zitoke mbili kwà siku jaman😢😢
@SadaDjuma-e9bАй бұрын
Huyu Batuli akili zake haz,inakili n, anacho kitafuta atakipata yeye akazane tu Mungu atamuumbua,napia mtu han, atia hawezi kuzurika lazma Mwenyezi_Mungu atampigania 🎉🎉🎉🎉
@JaneJane-h2iАй бұрын
Mimi naomba adhabu kubwa kwa kendy Sania pamojja na batur iwakute suku moja
@AishaSalem-g2vАй бұрын
Aki batuly auna fadhila yan yote ayo unayo fanyiwa n zuuly na kay bado uko na nia yakumduru zuuly jamn mbn uon na uko na macho na uhic na uko na moyo kweli jamn batuly
@CATHERINEKWAMBOKA-z9kАй бұрын
Bibi zuu usilalie masikio furuga mipango ya Batuli, Sania na Candy
@Viviankemmy-p4kАй бұрын
Somoi batuli bibiye zuu Ako nyuma yko😂😂hatutaki ujinga ww na candy mtaumbuka
@salhaissa-xq9ovАй бұрын
Batul anajifanya n mkarim kumbe ni nyoka mkubwa Lakin kitakuramb kwa bib kaon kil kit
Tangu nianze kuangalia season one ady Leo sijawai pata ata like moja naomba ata like kumi😢
@JumaMwinyipembeАй бұрын
Unataka ukale
@Betty-t9qАй бұрын
Wanaojua kwamba zuu hakuna chochote kitakochomkuta tugonge like 🎉🎉❤❤
@SECILIAEZEKIELMREMA-mu8xlАй бұрын
Mbona kama mke wa mjomba wa keina ni kama boss wake na kai
@getujackson5346Ай бұрын
Kweli wamefanana n bos wa kai😢
@StellaShirima-t4xАй бұрын
Sina ujasiri wa kumfanyia mtu anaye nipenda ubaya kusa ela batuli utaukumbuka wema wa zuu siku Moja na nafasi utakua imeisha😢
@salhaissa-xq9ovАй бұрын
Jamn kiramb pole San Mke anaumwa hat pale unapokua kazi unamx mung atamrudisha mkeo akiw salam
@JanetRiziki-ut2isАй бұрын
Jaman batuli ww kwawema wote aliokuonesha zuu wataka kumlipa ubaya 😢😢😢😢😢
@bayubaheallydelly-rn2zvАй бұрын
Jamani ata nikihangalia House girl sijabahatika kupata like kumi naombeni jamani
@AlineBaby-m5lАй бұрын
Weye kibakuli kitakulamb warahi weye ngonjeyatu utayawona wangapi munategemey kibakuli kimulamb munipatiy basi lik moja tujuwane😂😂😂🎉
@Orenj-l8dАй бұрын
😂😂😂😂 tupo hapa mpaka wa mbutue
@franktodoryАй бұрын
batuli bado ujasema muulize boss wako kwanza anmjua bibi yetu 😂😂😂😂
@salhaissa-xq9ovАй бұрын
Jaman n chisa yup kweny huo mpango kazam kwa mam masoz
@minduchudi9121Ай бұрын
Sikipendi kipande Cha mjomba wa keina kinapotez mda tu
@IminzaGlavineАй бұрын
Huyu batuli bibi atampiga na kitu kizito huyu 😂😂😂😂😂
@SaumuJumwa-u4vАй бұрын
Halafu Batuli siku yako iko utaumhuka humjuwi Bibi Zuu wewe utatoka bila nguo hapo 😂😂😂
@NadraBeyoutАй бұрын
😂😂😂 Muwache tu anege, neke
@DivineIngabire-lj3srАй бұрын
Wew haujaona kwamba amemutokea bibi zuu sasa hapo alikua anaongea nani tena hakomi
@SaumuJumwa-u4vАй бұрын
@@DivineIngabire-lj3sr 🤣🤣🤣🤣shida ya kutoangalia move mwanzo ndo tucomment 😀😀😀
@DivineIngabire-lj3srАй бұрын
@@SaumuJumwa-u4v sasa saha alikua anataka kutia sumu kwa ule uji wa zuu hakuona mutu alimutokea kweli unafikili ninani ?ule ni bibi zuu
@HanifaHabiboАй бұрын
Kweli ukisubutu kumzulu Zuu ulaaniwe batuli Yani mdada wa watu anavyokupenda nafsi haikusuti dah ila sio lahisi Zuu ana ulinzi utashindwaaaaa tunaomuombea tuko wengi
@mouna6920Ай бұрын
Eee Mungu wetu ulie juu tubariki ss wanao asubui hii ya leo...busati family one love nawapenda nyote 😊❤❤
@JumaMwinyipembeАй бұрын
Amina🎉🎉
@JumaMwinyipembeАй бұрын
Amina
@amosmacompyuta1015Ай бұрын
Tukutane pale Kwa Amos macomputer muendelezo umetoka
@HadijaChondoАй бұрын
Team strong tunaopenda zuuu gonga like hapaa wapenzii
🎉🎉🎉wanao taman mmbo y candy yasifanikiwe mnipee like
@salhaissa-xq9ovАй бұрын
Jaman tunao amin bib zuu Kaj kwenye umbo LA batul au n nafsi yake inamsuta tujuan kweny comment
@Joy-k4t8yАй бұрын
🎉🎉🎉 I love busati tv sana watching from Dubai
@StellaShirima-t4xАй бұрын
Hii ni king,amuzi gani jmn?
@LuciaBukulaАй бұрын
Am a first one naomben like Wana familia ya busati 🎉🎉🎉
@SophiaIssa-n6tАй бұрын
Bola kuishi na mchawi kuliko mnafki😢😢 zuu ilinalo lipite kwa amani
@ZeitunNyamvulaАй бұрын
Huyu bibi ya mjombake keina kafanana na boss yke na Kai ama ni macho yngu
@ZubedaShaban-fb2dlАй бұрын
Kiramba unamkumbukia mpumbavu mwenzio hata hivyo nimemis kumuona
@RehemaMwakisyala-k9uАй бұрын
Lait kama kama mm ndo ningekuwa batuli ningeachana na kend kbs maana naishi vizur Sina shid ila batuli ni mpuuzi
@SwaumuJuma-d6tАй бұрын
Tamaaa
@levinaernest4364Ай бұрын
Exactly 💯 ila ndoivo sasa awajiongezi
@marymele9714Ай бұрын
Akili hana na tamaa
@SalmahLuvunoАй бұрын
Aky
@nurusaid4698Ай бұрын
Acha Kimrambe😂😂😂 Ndio Atajuwa Ajuhi
@HalimaOmary-e5fАй бұрын
Wa kwanza leo🎉🎉like zang plz😂
@salhaissa-xq9ovАй бұрын
Asanten busati TV kwa kutupatia mwendelezo
@salhaissa-xq9ovАй бұрын
Jaman kai batuli anawatengenezea bomu mkubwa san
@Glorysamba12Ай бұрын
Hakika Leo nimekuwa WA Kwanzaa, naombeni like
@RehemaKipanga-k4lАй бұрын
Hakika batuli hatofanikisha ubaya aliotumwa tunaoamini hivyo gonga like
@hawaali8371Ай бұрын
Acha Nifungue Sasa, From Qatar
@elizabethobaigwa9521Ай бұрын
Mm naona batuli na kendi kitawalamba juu bibi zuu misimu itafanya kazi sasa mipango yote itafeli
@LinaLina-uu5pwАй бұрын
Bibi umfanye batuli ajutie kwa kumsumbua zuu wetu jamani wenye mnaomba hivyo nipe like
@hajaronduko761Ай бұрын
Please tuletee episodes mbili kama last time
@TimeAly-z1lАй бұрын
we Batuli jamaniiii kumbuka ata fadhila bac alokufia zuu jaman😢😢
@CarolineBosibori-r7rАй бұрын
Wanao amini bibi ataokoa zuu gonga like hapa tukisonga ❤❤
@SaumuJumwa-u4vАй бұрын
Nimewahi kutoka Kenya 🇰🇪 Bwana yesu asifiwe yoyote atasoma comment hii na kulike mungu ambariki pamoja na kizazi chake
@MwakachimeraАй бұрын
Ampatie na candy pia adabu kali sana ache kufatilia maisha ya watu apambane na Hali yake
@MasauShidaАй бұрын
Kazi nzuri sana team Busati tv🇹🇿
@MustyNgongoАй бұрын
Jmn wakwanza leo duuu naomben ata like tano tuu ila hause girl ipo juu kama gar la osama
@MartinaAgustino-fp5eoАй бұрын
Bwana yesu asifiwe wapendwa naombeni like 10 mm leo ni wa kwanza na msiniulize like napeleka wapi
@FelistusKimanzi-f2gАй бұрын
Their plans they are not going to be successful,batuli Candy
@ZUHURAOMAR-v2oАй бұрын
Hua hatutaki like ila kazi nzuriiiiii busat tv❤❤❤
@elizabethmahenzo7220Ай бұрын
Nice movie ❤❤❤❤❤🎉
@HoHo-l1rАй бұрын
Batuli wewe hebu kuwa na hukuma hata kidogo tu huoni unashauliwa na mtu wa aina yako sasa huyo ni bibi zuu subili bom likulioukie alafu candy sania wote watakuluka futi 200/ mbwa wewe....
@yohanambatizaji5888Ай бұрын
Ataumbuka kweli subiri tuone
@MercyHamisАй бұрын
We Batul wanyiramba hatuna roho hy subir Bibi aje akukomeshe 😂
@SheikhatIssaАй бұрын
Nimekua wakwanza❤❤❤❤
@celestinemakolo3954Ай бұрын
Kwenye hii dunia kama Huna nguvu za ziada yan ya roho mtakatifu Mungu baba au mizimu ya kwenu unaeza teketea kama karatas motoni .binadamu ni wakatili sana linapokuja swala la maslah yao
@ANDREWCOMEDIANАй бұрын
Wakwanza jaman NAOMBEN msaada munisaidie KU sabscribe ACOUNT yang
@tabithakamau7484Ай бұрын
Fika kwangu pia
@ANDREWCOMEDIANАй бұрын
@@tabithakamau7484 tayar
@GloriaNekesa-tz3phАй бұрын
Ukweli Dada zuuu uko mzuri sana nakupenda sana zuuu ata mmi naomba nipate boss kama wewe na kai
@PreciousAlex-tz6jfАй бұрын
Ww ka batuli unajifanya mwema bibi atakukuta shauli yako😂😂😂
Kai hapo kwenye pesa umetukwaza pesa ya matumizi anatakiwa apewe mke sio dada
@levinaernest4364Ай бұрын
Nazani pesa ambazo Kai amempa uyo batuli niza kulipa boss wa batuli wa zamani make batuli aliulizwa na mke wakai kwamba shingapi anadaiwa batuli akasema elf sabini,Sasa ndio naisi kai amempa akalipe
@GalaxyA-ve8tuАй бұрын
Binadamu kazi sana unamtendea wema unlipwa mabaya
@RoseBaraka-e7mАй бұрын
Wanaotamani house girl wa mchongo batuli kimlambe kwa mabaya anayotaka kumfanyia zuu wetu please gonga like
@افااقعАй бұрын
Bibi hebu fanya kazi yako kwa batuli liwe bakuli❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪
@JovinaYongoАй бұрын
Batuli umeisha
@SaudaAmos-x5qАй бұрын
🙏🙏🙏🙏
@beatricefrancis1528Ай бұрын
Dah! Sijawah kukoment chochote ila zuu na yye bana anavoongea Kwa kubinua midomo😂 😢