HOUSE GIRL EP 47 | S2 | love story💞💕

  Рет қаралды 117,007

BUSATI TV

BUSATI TV

Күн бұрын

#bongomovie #housegirl

Пікірлер: 601
@busatitv
@busatitv 10 күн бұрын
Group la WhatsApp 👇👇 chat.whatsapp.com/JyrN7hIxoagKiVTISAAdm0
@AsmaJuma-rd9xl
@AsmaJuma-rd9xl 10 күн бұрын
Leo Chiko kimemramba kweli kweli 😂😂 wale tunao mkubali zatiti na mr tasha like zenu hapa
@lucylukansola7999
@lucylukansola7999 10 күн бұрын
Sambona matiti jaman 😂😂😂😂😂😂
@shukranimpawa3355
@shukranimpawa3355 10 күн бұрын
Matiti ndo Nani 😂😂
@user-xf3uj9xg2o
@user-xf3uj9xg2o 10 күн бұрын
Eti matiti😂😂😂😂😂😂😂😂
@AsmaJuma-rd9xl
@AsmaJuma-rd9xl 10 күн бұрын
​@@lucylukansola7999😂😂😂
@AsmaJuma-rd9xl
@AsmaJuma-rd9xl 10 күн бұрын
​@@shukranimpawa3355😂😂😂😂😂
@JescaDenis-d2r
@JescaDenis-d2r 10 күн бұрын
Tunaoomba utabili wa bibi usitimie gonga like hapa me sipendi zuu wangu aumie jaman 😢😢😢
@HidayaMbodze
@HidayaMbodze 10 күн бұрын
Nikama boss kafanya ile kitu
@user-xo7ns7bc8c
@user-xo7ns7bc8c 10 күн бұрын
Bibi Zuu aliahidi kupambana naye ili amzuie huyo boss
@coolboymicky3651
@coolboymicky3651 10 күн бұрын
❤❤❤❤
@Nailaty564
@Nailaty564 10 күн бұрын
Bibi amesema atabaki ili kuhakikisha zuu yupo salama
@esterkimalio8846
@esterkimalio8846 10 күн бұрын
Zatiti na Tasha naomba like maana nimekuwa wa kwanza halafu nawapenda
@user-dp3fv2kh4l
@user-dp3fv2kh4l 10 күн бұрын
Nani ana muona babake kai ni mzee kijana kama unakubaliana na mimi gonga hapa👊👊🤜🤜💪💪
@HAWAMAULIDI-zl5xd
@HAWAMAULIDI-zl5xd 10 күн бұрын
Yani kule kwenye series ya connection ni kijana kinomaa
@fathmambeyu8987
@fathmambeyu8987 10 күн бұрын
​@HAWAMA😂😂😂😂😂ULIDI-zl5xd
@mwanamisichuma5280
@mwanamisichuma5280 10 күн бұрын
Candy,Sania na Chiko yaani nataka kiwarambe mpaka mwisho jamani likes huku
@HAWAMAULIDI-zl5xd
@HAWAMAULIDI-zl5xd 10 күн бұрын
Na boss wa kai sijuwi mwisho wake utakua upi kabisa
@SelinaKadzo-ck3rb
@SelinaKadzo-ck3rb 10 күн бұрын
Hasa candy na Sania kiwarambe sana😂
@MariaSalim-u5z
@MariaSalim-u5z 10 күн бұрын
Tena c kuwaramba Tu kidogo kiwarambe kisawasawa
@user-ro1fg5ur9l
@user-ro1fg5ur9l 10 күн бұрын
Watazamaji wa hii movie weka like apa kwa busati TV 🎉🎉🎉❤❤
@AishaRashed-m5o
@AishaRashed-m5o 10 күн бұрын
Wanao amini Kai anamapenz ya kwel kwa zuu tujuan kwa like 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@AnnaAmanda-v4q
@AnnaAmanda-v4q 10 күн бұрын
Ndugu zangu kama umeaka salama kabisa mwambie Mungu asante alafu like kidogo please 🙏🙏❤️❤❤❤❤
@PetronilahMatisha
@PetronilahMatisha 10 күн бұрын
Thanks lord
@ZamraniSuleiman
@ZamraniSuleiman 10 күн бұрын
Sania anaweza kwenda kwa mganga ili arud kwa mr Tasha
@Tatufadhili-ud6se
@Tatufadhili-ud6se 10 күн бұрын
Nan mwengine tangu house girl ianze hadi sas kuna mambo mengi amejifunza kam mimi mkono juu✋️✋️✋️ 😂😂❤❤❤❤❤
@Mathias-yi5bo
@Mathias-yi5bo 10 күн бұрын
Jaman wangap hatupendi Sania arudi Kwa Mr Tasha
@hypogotz8705
@hypogotz8705 10 күн бұрын
Silipendi sana afu lazima liende kwa mganga ili limpate tasha 😢
@MariaFelix-le7ph
@MariaFelix-le7ph 10 күн бұрын
@@Mathias-yi5bo ata mm sipendi wai.sania mmh!!.zatiti ndo mtu sahiii kwa tasha bana
@MariaFelix-le7ph
@MariaFelix-le7ph 10 күн бұрын
@@hypogotz8705 yaaani sijui yupoje uyo sania mm yenyew simpendi yeye na kendi kama tu kitu kimoja
@ASAS-q9u9e
@ASAS-q9u9e 10 күн бұрын
Simutaki kabisa 😂😂😂
@Mathias-yi5bo
@Mathias-yi5bo 10 күн бұрын
@@MariaFelix-le7ph 🤣🤣🤣❤️
@GloriaNahimana-x8p
@GloriaNahimana-x8p 10 күн бұрын
Tunao fulahi chiko akihangaika tujuane kwenye like 🎉🎉
@Saidahkims
@Saidahkims 10 күн бұрын
Yaani niko na furaha kibaooo Wacha aangaike alimtesa sana zatiti
@nadiamusa7833
@nadiamusa7833 10 күн бұрын
Chiko atapata tabu sana
@FatumaMwinyimvua
@FatumaMwinyimvua 10 күн бұрын
Na badooooo
@DivineIngabire-lj3sr
@DivineIngabire-lj3sr 10 күн бұрын
Haja teseka aca kiwalambe pamoja na dadaake 😂😂nimebambiya mwanzo aca dada chiko ayende kwa zatiti amjkomoe naye awone mrs tasha ndo dereva saai kw zatiti😂😂😂
@marthastanley3928
@marthastanley3928 10 күн бұрын
Tupoo chiko naomba ateseke sana na zatiti askubari kurudi
@QweenNickson
@QweenNickson 10 күн бұрын
Jamani mbarikiwe watazamaji wote na waigizaji wote pia.❤❤❤❤
@EvethaSimba-i1c
@EvethaSimba-i1c 10 күн бұрын
Wanawake tuhurumiane pia tuwe na hofu ya Mungu,boss anachotaka kukifanya kwa zuu Mungu naomba kimrudie
@user-xo7ns7bc8c
@user-xo7ns7bc8c 10 күн бұрын
Kitamrudia mwenyewe juu hakuna mapenzi kama hayo ya hupendwi ila uko tayar hata kufanya vitendo vichafu
@JescaYusuph-m4y
@JescaYusuph-m4y 10 күн бұрын
Jaman zuu wetu ni nn tn au ndo boss kashafanya mambo yake😢😢
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg 10 күн бұрын
Mr chiko tupe mambo fundi la mafundi wakwanza Leo 🌺 🌺 🌺 nitarudi tena
@CarolineBosibori-r7r
@CarolineBosibori-r7r 10 күн бұрын
Hoyeee wa kwanza leo wapi likes za zatiti,,pamoja team strong,kenyaa🎉🎉🎉🎉
@HarrietNeema-d9v
@HarrietNeema-d9v 10 күн бұрын
Jameni ndoa ya Kai na zuu Iko na changamoto , Bado changa nawapenda team busati ❤❤❤❤
@coolboymicky3651
@coolboymicky3651 10 күн бұрын
Candy hoiiii hawaelew na kamkondee
@SadaDjuma-e9b
@SadaDjuma-e9b 10 күн бұрын
Eeeeh,Mungu naomba uyilinde Ndoa ya Kai na Zuuh 😢😢😢
@priscahmahenzo642
@priscahmahenzo642 10 күн бұрын
𝐇𝐨𝐲𝐞𝐞𝐞 𝐭𝐞𝐚𝐦 𝐳𝐚𝐭𝐢𝐭𝐢 𝐡𝐨𝐲𝐞𝐞😂😂😂😂😂𝐣𝐦𝐧 𝐳𝐚𝐭𝐢𝐭𝐢 𝐮𝐦𝐞𝐰𝐞𝐳𝐚😂😂😂😂
@NoelaYangaza
@NoelaYangaza 10 күн бұрын
Afadhar Leo wale wa kuomba like hawaja fika sjui huwa wanapata ela nakeleka mimi 😏
@JudithSimiyu-ps7ee
@JudithSimiyu-ps7ee 10 күн бұрын
😅😅😅
@user-ij2po2jw2f
@user-ij2po2jw2f 10 күн бұрын
Siwapendi wanataka like Kama ndo wameigiza😂
@user-po8ws7ob9b
@user-po8ws7ob9b 10 күн бұрын
​@@JudithSimiyu-ps7ee😂😂pia mm wanakele sanaa 😏😏sijui wanaeda kuuza hizo like
@JudithSimiyu-ps7ee
@JudithSimiyu-ps7ee 10 күн бұрын
@@user-po8ws7ob9b 😂😂😂😂
@FadhiliAlly-mb4sf
@FadhiliAlly-mb4sf 10 күн бұрын
Wanakela xana hawa waomba like
@SaadffasellOmaan
@SaadffasellOmaan 10 күн бұрын
Yani kuna malafiki washida na laha km tasha na hawa wapumbavu wezangu na mie Mashaallah wapo vizur sana nimewapenda bureeeee
@johariabdalla3099
@johariabdalla3099 10 күн бұрын
Jua limeaza kuwaka kwa kendy ❤😂😂🎉
@user-mx4bx2dt7x
@user-mx4bx2dt7x 10 күн бұрын
Naomba
@SamwelyNyabenda-k5u
@SamwelyNyabenda-k5u 10 күн бұрын
Jamani tunao amini kuwa ndoa ya khai na zuu haita vunjika weka like 👍👍👍🎉🎉🎉🎉
@Hapygideon
@Hapygideon 10 күн бұрын
Candy nasania wanaota ndoto ya mchana😂😂😂😂,,natamani ukifika kwa Tasha ukutane na ngumi nzito Ili upotee nyumba,na wewe candy,rudisha hati afu tunakupiga chini😅😅😅😅
@SarahCharls
@SarahCharls 10 күн бұрын
😅😅hapo Kwa Sania kunaswa ngumi napataman kweli kwel
@SaidSaleman-l7s
@SaidSaleman-l7s 10 күн бұрын
Me nipo na choko mahana ni wa kumuzi wayao wote gonga like apa❤
@Mwanajumahassan-tg3zg
@Mwanajumahassan-tg3zg 10 күн бұрын
Waooo move isishe jamani loo zuu pole aki kai nakuinea iman lakin subra ...chiko asituumizie Tasha wetu hebu ...❤❤❤❤busat tv hongera nyotee
@sifamaureen2792
@sifamaureen2792 10 күн бұрын
Bwana yesu asifiwe chiko😂😂😂😂😂 sema kuraaabwa
@sakina5550
@sakina5550 10 күн бұрын
Da zuu pole sana 😢😢 Yaani chiko umenichekesha sana eti wewe ndo mke wangu 😂😂😂😂😂😂
@LuciaBukula
@LuciaBukula 10 күн бұрын
Wa 10 wap like Wana familia ya busati 😅😅😅
@Tynamnyilis9824
@Tynamnyilis9824 10 күн бұрын
Waooooo leo nimewah nipo 50 bora nipen like zangu😂😂
@MRS-g2m
@MRS-g2m 10 күн бұрын
Mwanamke ni km pesa ukiiangusha mwenzako ataiokota sasa chiko tulia ww hukujua mke ni km bati usipoligongelea misumari vizuri utalipata kwa jirani tulia kimekuramba uliamua kukaa na shida sai shida zimekurudia😂😂😂😂😂😂
@selestinakazuvi7213
@selestinakazuvi7213 10 күн бұрын
Chiko anatakiwa atulie kama Moja, awaache Mr Tasha na Zatiti wetu
@NeliaAmbele
@NeliaAmbele 10 күн бұрын
Chiki na kendiii kula chumamaaa hichooooooo😂😂😂😂.kimewalambaaa🤪🤪🤪🤪
@ElishaClaude
@ElishaClaude 10 күн бұрын
Leo namba one. Likes plz
@MonicaElius-ck5vb
@MonicaElius-ck5vb 10 күн бұрын
Anae Sona comment hii mungu ampe maisha marefu 🙏🙏🙏🙏🙏
@HilgathRamadhani-zh8ru
@HilgathRamadhani-zh8ru 10 күн бұрын
Na mim leo nipat lik hat moj jamn
@maria5514-u2g
@maria5514-u2g 10 күн бұрын
Chiko yuko vizur ni mlevi mwenye kumbukumbu 😂😂
@user-si8ji2nw1c
@user-si8ji2nw1c 10 күн бұрын
Wee Wacha bwan😅😅
@RehemaJuma-cn5bi
@RehemaJuma-cn5bi 10 күн бұрын
A/alaikum jamani leo hakna anaemba like majab😂😂
@RachelJoseph-dy2jh
@RachelJoseph-dy2jh 10 күн бұрын
Jaman chiko kimemramba haswa😂😂 nawapenda sana busati tv
@JailosWed
@JailosWed 10 күн бұрын
Kai Linda sana ndoa Yako na zuuu huyo boss wako sio mtu mzuli sana na dunia hii watu hao wapo wengi sana .Hilo liwe fundisho kupitia mchezo huu asante
@SarahCharls
@SarahCharls 10 күн бұрын
Kweli kabisa ata me nataman ailinde Ili mabic wajuwe wanaume wengine Wana msimamo nitafrah sana
@SarahCharls
@SarahCharls 10 күн бұрын
Kilamba na mwerevu wenzio nawapenda saana yan❤❤
@GloriaNekesa-tz3ph
@GloriaNekesa-tz3ph 10 күн бұрын
Kweli kabisaa bt hao wenye pesa kile wanataka lazima kitimie zuuuu wetu hapa nikumuombea tuu saana apate nguvu ningumu sana zuuu ajikaze tuu
@JoyceJastini
@JoyceJastini 10 күн бұрын
Namm mnipe like zangu nijue zinafaida gani mana kila comment ni yakuomba like
@franktodory
@franktodory 10 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂uyu atakuwa chiko ushindi wa yanga mwaka huuuu
@MaheriChristopher
@MaheriChristopher 10 күн бұрын
Nyie nao kipande kimoja kinachua mda weee mnazingua
@GlycerySadkin
@GlycerySadkin 10 күн бұрын
Hapo kweli
@BintmohamedNasiri
@BintmohamedNasiri 10 күн бұрын
Jamani wana bisati mnifanyie mpango kibendo nimemzimia😂😂😂😂alafu watt waigize baba yao xx ndio mtakoma
@NoorAli-gk8bj
@NoorAli-gk8bj 10 күн бұрын
😂😂😂Mmwagie maji haha chik kimekuramba
@ShAMIMURASHIDI
@ShAMIMURASHIDI 10 күн бұрын
Assalam alaykum warahm tullah wabarakatuh bwana asifiwe🤝 nawapend wotee kwa ajili ya Mwenyezi Mungu ❤
@RehemaMwakisyala-k9u
@RehemaMwakisyala-k9u 10 күн бұрын
Amin
@SadaDjuma-e9b
@SadaDjuma-e9b 10 күн бұрын
Walaykumussalam warahmatullah, Aaaaameeeen🤲🤲
@LatiffahHassan
@LatiffahHassan 10 күн бұрын
Walkum salama warahmatullahi wabarakatuh tuna kupenda pia kwajili ya Allah ❤
@zuenampandeni3347
@zuenampandeni3347 10 күн бұрын
💖💖💖💖
@halimakenya7331
@halimakenya7331 10 күн бұрын
Waaleykum salaam warahmatullah wabarakatuh
@SalomeSumbizi-ll9wc
@SalomeSumbizi-ll9wc 10 күн бұрын
😂😂😂😂 Chiko weeee kwaiy Jordan kaw Zatit acha kikurambe
@GloriaNekesa-tz3ph
@GloriaNekesa-tz3ph 10 күн бұрын
Waaa zuu wetu uko sawa kabisa ni mapema kuanza kulia na kweli utalia juu ya boss nko sure pia Candy atarudi kusumbua kai
@bintijumachongoa892
@bintijumachongoa892 10 күн бұрын
Wamuache aenjoy ndoa bac
@johariabdalla3099
@johariabdalla3099 10 күн бұрын
Team strong kushaanza kuchangamka huku 😂😂😂
@ignitiussilungwe7930
@ignitiussilungwe7930 10 күн бұрын
Pole sana Zuu Mungu akufanyie wepesi upone Kayi na wewe utulie achana nahuo Boss wako askupo toshe
@SamiaKalela
@SamiaKalela 4 күн бұрын
We unajua ❤❤❤❤❤❤Wow pokea maua yak🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹 wwe unajua sana wem🚶🦸🦸🦸🦸🦸🦸🦸🦸🦸🦸🦸🦸🦸🦸🦸🦸🦸🦸🦸🦸🦸🦸🦸🦸🦸 Atari sana
@SamiaKalela
@SamiaKalela 4 күн бұрын
We unajua ❤❤❤❤❤❤Wow pokea maua yak🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹 wwe unajua sana wem🚶🦸🦸🦸🦸🦸🦸🦸🦸🦸🦸🦸🦸🦸🦸🦸🦸🦸🦸🦸🦸🦸🦸🦸🦸🦸 Atari sana
@TumainiJaphary
@TumainiJaphary 10 күн бұрын
Ila zuuu nae aelew kashaambiwa anapendwa sa shida yake nn😢😢😢😢😢kilio mda wote tumemmic zuu wa season1
@peterphilipo5103
@peterphilipo5103 10 күн бұрын
Tatizo anampenda sana na anamuamini bibi yake Kwa utabiri mana hua akitabir hutokea
@RosebellahNambiro-gf5ot
@RosebellahNambiro-gf5ot 10 күн бұрын
Sania na candy 😂😂mnajidanganya jamani Koo mko sure mtarudi kwa Kai na tasha
@nassoraly5296
@nassoraly5296 10 күн бұрын
Wa Kwanzaa naomben like zenuu
@AsharobiMwita
@AsharobiMwita 10 күн бұрын
Jamani me naomba kujuwa jina la ilo wimbo plz
@user-zc8lx5nf7t
@user-zc8lx5nf7t 10 күн бұрын
Jamani zuuh usimuache kai atachanganyikiwa😂😂😂 ujuwe
@Giftbugalama
@Giftbugalama 10 күн бұрын
sijapenda utabiri wa bibi kbs,
@Joanmemusi
@Joanmemusi 10 күн бұрын
❤wakwanza Leo team zatiti like zenu naomba.....Bado chiko hajasema na atasema tu
@YusraThomas-cb6ll
@YusraThomas-cb6ll 10 күн бұрын
Zuu mama kija😘🥰😍
@EstherSimion
@EstherSimion 10 күн бұрын
Tunaofurahia mapito ya chiko jamani tujuane😅😅😅
@MuhudMariam
@MuhudMariam 10 күн бұрын
Tup ap😂😂
@EstherSimion
@EstherSimion 10 күн бұрын
@@MuhudMariam 🤣🤣🤣
@Liliankerubo-ye1le
@Liliankerubo-ye1le 10 күн бұрын
Kwani zuu izo mavitambaa anavaa zinampendeza mbona azivae vizuri avutie kai wajameni
@StamilyMussa
@StamilyMussa 10 күн бұрын
Yani zuu anapenda kulia uyu kaaa!
@levinaernest4364
@levinaernest4364 10 күн бұрын
Na zatiti 😄😄
@VanessaEmmanuel-b5k
@VanessaEmmanuel-b5k 10 күн бұрын
umeona ee mpak ananikela mm mda mwingine
@SamiaKalela
@SamiaKalela 4 күн бұрын
Wow zatiti na Mr Tashab wataoana na utabili wa bibi ustimie zambi zuu we2 mungu ajalie
@user-yb6wh1bk9d
@user-yb6wh1bk9d 10 күн бұрын
Bibi anaivunja ndoa ya mjukuu wk mwenyewe hakufanya busara asinge mwambia
@DelvinChepkorir-t1d
@DelvinChepkorir-t1d 10 күн бұрын
Bibi ako sawa,,,, mapema ndo best
@user-pf9zg6kt1e
@user-pf9zg6kt1e 10 күн бұрын
Wakwanza Leo naombeni like zenu
@saumJuma-q3e
@saumJuma-q3e 10 күн бұрын
Busat tv mko vzr❤ kazi saf mnatoa mouv kwa wakat hamcheleweshi saf sana
@nurumwinyi796
@nurumwinyi796 10 күн бұрын
Asije kua ni boss kaanza mambo yake ya shirk,yaani zuu uko kwenye vita vikali kweli,pole sana mmaa
@zuenampandeni3347
@zuenampandeni3347 10 күн бұрын
Tuliomuona chiko kwenye yanga day alingia sab kucheza mechi ya wasanii like zenu hapa
@EvethaSimba-i1c
@EvethaSimba-i1c 10 күн бұрын
ka mkonde na candy wanayalaumu mapenzi wakati wao ndiyo wanayatesa mapenzi na kuyanyanyasa
@user-nx4po4fz1c
@user-nx4po4fz1c 10 күн бұрын
Kai hongera sana kwa msimamo zuu tulia mpe Faraja kai
@MariaMartin-vf6eq
@MariaMartin-vf6eq 10 күн бұрын
sania anaenda wap jamani wameanza kuaribu nashog ake
@tabithanzisa9755
@tabithanzisa9755 10 күн бұрын
Ndoa ya zuu mbn inaanza changamoto ikiwa changa😢😢eeeeh na bado kendy anataka kujileta jamani msitukoseshee zuu wetu raha❤na ww kai ebu kuwa jasiri basi umpambanie mwenzio
@Alice-o5f
@Alice-o5f 10 күн бұрын
Teamo zatit nme leo naomb like jmn nmewh😂😂😂
@MathiasBoman-se8fz
@MathiasBoman-se8fz 10 күн бұрын
Nampenda sana boss wa kai mimi ni shabiki wake san
@magdalenamwashiuya6404
@magdalenamwashiuya6404 10 күн бұрын
Bongo movie ya kwanza kuniteka ni hii house girl iko 🔥
@nancyg8664
@nancyg8664 10 күн бұрын
huyu doctor anaongea kama anasoma habari😂
@mamasalhat
@mamasalhat 10 күн бұрын
Nimecheka namie yaani pua kazitanua kama ana fukuzia inzi macho sasa alivyo yatoa anavyo ongea kama anakata roho khaaaaaaaa
@nancyg8664
@nancyg8664 10 күн бұрын
@@mamasalhat 🤣🤣🤣🤣🤣
@elizabethkikoti7265
@elizabethkikoti7265 10 күн бұрын
@@mamasalhat😂😂😂😂JAMANI
@user-rr5wq6sg6c
@user-rr5wq6sg6c 10 күн бұрын
​@@mamasalhat😂😂😂
@user-oj5ro4fk2e
@user-oj5ro4fk2e 10 күн бұрын
Jaman chiko wanichekesha leo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂jaman shaka😂😂😂😂😂 chiko kimemramba ❤❤❤❤😂😂
@maria5514-u2g
@maria5514-u2g 10 күн бұрын
Chisa sijamuona siku nyingi😂😂😂😂😂😂😂🙏
@levinaernest4364
@levinaernest4364 10 күн бұрын
😄😄😄😄
@mercyassy5469
@mercyassy5469 10 күн бұрын
Bozen kaboga😂😂😂Kafungiwa na masozii aliambiwa hakuna kutoka
@chunaamina878
@chunaamina878 10 күн бұрын
Labda kashaenda marekani😂😂
@prettyney3812
@prettyney3812 10 күн бұрын
Yupo marekani 😂😂😂😂😂😂
@maria5514-u2g
@maria5514-u2g 10 күн бұрын
@@mercyassy5469 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@user-wk5yv4um4m
@user-wk5yv4um4m 10 күн бұрын
Jameni bibi tunakuwamini hujahi kushidwa basi tunaomba usitimiee😢😢😢😢zuu tunampenda sana akiwa anendelea vzur
@user-gw3jh3lw4d
@user-gw3jh3lw4d 10 күн бұрын
Mbona Chiko kimekuramba ilihali unatarajia kuitwa baba 😂😂😂😂😂😂ulikuwa ukijidai sana
@-kagerayetubw9jx
@-kagerayetubw9jx 10 күн бұрын
Aya sasa ndio mambo ❤❤❤❤
@fatfat9093
@fatfat9093 10 күн бұрын
Mapenzi yanachanganya wanaume na wanawake chiko kichakuramba zai nawe kaa makini na.boss ama nawe kikurambe Mr Tasha nawe kaza kamba kwa zatiti ma x wote wafe😂😂
@Mrconfidenceofficial-gf9oy
@Mrconfidenceofficial-gf9oy 10 күн бұрын
Sema kendy UKIWA namimi tutaendana unitafute please
@user-eb6ye8fi4y
@user-eb6ye8fi4y 10 күн бұрын
Kai achana na uyo boss wako ndoa yko idumu ❤❤❤
@user-wo5jd6vb8s
@user-wo5jd6vb8s 10 күн бұрын
Nimecheka leo😂😂 et wewe ni mke wangu😂😂
@Farthun
@Farthun 10 күн бұрын
Mm nimecheka kwa sauti 😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@aishaallyaishaally3220
@aishaallyaishaally3220 10 күн бұрын
Allah akufanyie wepisi dadaangu zuli upone jaman
@McT-m1m
@McT-m1m 10 күн бұрын
Pati ya chiko ndefu sijapenda sasa zùu unamhukum kai kwa utabiri muacheni kai afurahie ndoa
@ElizabethOsimba-x6u
@ElizabethOsimba-x6u 10 күн бұрын
Jamani zuuu wetu,,,ndoa bado ni changa,,,kweli mapenzi yanauma😢
@HijaHassan
@HijaHassan 10 күн бұрын
Namm nipo pamoja na mita taimugu awajarie waowane naisi zatiti atakua na furaaa
@AdelaLudovick-t1p
@AdelaLudovick-t1p 10 күн бұрын
Naomba zatiti na Tasha waoane
@AminaKavuo-gj3oc
@AminaKavuo-gj3oc 10 күн бұрын
Wacheza na mapenzi yanauwa🎉🎉🎉zuuh hamewaza mupaka hakaumwa,, zuuh Kai uku kwa hajili yako
@user-oy4ew3tp6r
@user-oy4ew3tp6r 10 күн бұрын
Jamani wanao umia na mapenzi shikamoo😂😂😂
@RebeccaPIUS-cw7xr
@RebeccaPIUS-cw7xr 10 күн бұрын
Weeee😅😅
@levinaernest4364
@levinaernest4364 10 күн бұрын
😄😄😄😄
@AbdulRazak-wr3ld
@AbdulRazak-wr3ld 10 күн бұрын
Nyie hili Kai silipend Yan han msimamo😮
@SwaibatRamadhan
@SwaibatRamadhan 10 күн бұрын
Kai nazu mungu awazidishie maisha marefu pamoja nawengine mnanikumbusha mbalisan mie nimeolewa sijatoka hata Saba zamwanzo changamoto zikaanza Ila mpaka sas namiez 8 kwenye ndoa yangu navumilia pambana tu my zuu😢
@bahatisimba
@bahatisimba 10 күн бұрын
Jaman nilidhani ntakua wa kwanza doh
@nurumwinyi796
@nurumwinyi796 10 күн бұрын
Penzi la tasha na zatti limeanza kua namisukosuko,upande huu chiko upande mwengine sonia,mungu atawashinda
@PeninaLazaro
@PeninaLazaro 10 күн бұрын
👍👍👍naunga mkono sania kutokuludi kwa tash
@anniesylivester4100
@anniesylivester4100 10 күн бұрын
Kazi nzuri🔥..Ushauri haipendezi io sehemu ya Daktari na Kai 🥹 uyo Daktari kuongea nae akiwa kavaa izo gloves na mbaya zaidi kumshika
@user-uk7dx1yi7f
@user-uk7dx1yi7f 10 күн бұрын
Ata mm sipendi zuu apitie shida tena ameipambania sana hiyo ndoa yake n wakat wakula matunda
@CarolineBosibori-r7r
@CarolineBosibori-r7r 10 күн бұрын
Wacha niwatch before wa kuomba likes kuingia😂
@user-xv5ef5ow5e
@user-xv5ef5ow5e 10 күн бұрын
😂😂😂😂 wamefika❤
@CarolineBosibori-r7r
@CarolineBosibori-r7r 10 күн бұрын
@@user-xv5ef5ow5e 🤣🤣🤣
@Mwana85Mwana85-wz1ol
@Mwana85Mwana85-wz1ol 10 күн бұрын
Zuu vp ten jamn mungu wang kiramba mchuzi n mpumbavu mwezake kai kai
@user-dy3cf3gq4m
@user-dy3cf3gq4m 10 күн бұрын
Zuu wapenda kuliaa😂😂😂wewee
HOUSE GIRL EP 48 | S2 | love story💞💕
22:45
BUSATI TV
Рет қаралды 111 М.
HOUSE GIRL EP 46 | S2 | love story💞💕
19:17
BUSATI TV
Рет қаралды 106 М.
МЕБЕЛЬ ВЫДАСТ СОТРУДНИКАМ ПОЛИЦИИ ТАБЕЛЬНУЮ МЕБЕЛЬ
00:20
HOUSE GIRL EP 61 | SEASON FINALE | Love Story 💕💞
22:02
BUSATI TV
Рет қаралды 74 М.
HOUSE GIRL 💕 EP30_31 || BEHIND THE SCENE SEASON 2
20:21
BINTI NGAYOGOYA
Рет қаралды 1,4 М.
HOUSE GIRL EP 52 | S2 | Love Story 💕💞
23:55
BUSATI TV
Рет қаралды 114 М.
MY MOTHER EP 01  | Love Story 💞💕
21:05
BUSATI TV
Рет қаралды 89 М.
PLAN B _ Episode 15
27:01
kp wa Aquino
Рет қаралды 152 М.
HOUSE GIRL EP 50 | S2 | love story💞💕
19:38
BUSATI TV
Рет қаралды 112 М.
MISSION IMPOSSIBLE [35]
15:51
CHADO MASTA FILM
Рет қаралды 146 М.
BABA YANGU KIPOFU Full Episode /37/ #love
40:20
BabaJoan
Рет қаралды 195 М.