Walio furahi Sania kurudi kwa Allah like japo moja
@ZuleikhaShaaban-h3rАй бұрын
Allah amuongowe ukiacha ktk hii move hata katik mazingra yak ya j Kita sania hongera allah akujalie inshaallah
@Mariam-w9s3bАй бұрын
Kuna usemi binadam usimkatie tamaa akiwa hai
@HalimaAthuman-us8giАй бұрын
Allahuma thuma amiin
@Aisha-o4vАй бұрын
Lakini atafute shehe amfudishe swala haifai hivo ana voswali😢
@Aisha-o4vАй бұрын
Kajitahudi Sania lakini arudi madarasani bado tuna takiwa kutafuta elimu
@PetronilaMtewa-g3hАй бұрын
House girl inaelekeaa kuishaa sasaa😢😮😅😅😊 anae aminii gong likee🎉🎉❤
@MukanyamwasaClarisseАй бұрын
Ni kweli
@ValelianaKayomboАй бұрын
Kweliii 😢😢😢@@MukanyamwasaClarisse
@NasratyMrishoАй бұрын
Alhamdullah sania kabadilika
@ElizabethBanda-p4iАй бұрын
Naamini tumepata mafundisho ya kutosha
@AnsaB-j2mАй бұрын
Sania umeongea poa sana leo wapi like za sania
@FinindyFianaАй бұрын
Sania Hadi anaswali,,toto la kifilipino 😂😂😂 Hongera yake na zawadi yake🍬🍬atafune hizo
@rosechepkorir4998Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Rizikialiamechannel763Ай бұрын
kma unakubaliana kubadilika kwa samia weka like jaman 🇴🇲🇹🇿
@DogyHunterАй бұрын
Ana kaz yuko kwa watu atakubali masharti ya mwenye nyumba
@FinindyFianaАй бұрын
@@DogyHunter-ha2jakuelewa unamaanisha??
@Fatima34-px1qdАй бұрын
Uko Oman side Gani swaiba
@RichardMutekeАй бұрын
Utakae soma commenti hii Mungu aku jarie neema ya kuona tena mwaka mpia2025
@zawadisaid3454Ай бұрын
Amen 🧎♀️🧎♀️🧎♀️🧎♀️🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌
@FelistaKisiluАй бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏
@MwanashaHemed-w3rАй бұрын
Amiin 🧎♀️➡️🤲
@Teresia-bg9dtАй бұрын
Amen and aman aku jarie pia na wee dear friend gd nty
@anthoninnamjeni4464Ай бұрын
Amin 🤲🤲🤲 na ķwako pia inshaallah
@KissaMwakilembeАй бұрын
Uyu chiko au masikio yangu jaman kama na wewe umeshangaa kama mimi gonga lake ❤
@B.M-ix4rzАй бұрын
Huyu mnafiki simuamini ht Kwa sekunde
@salmazwallo5920Ай бұрын
Kwa kweli haaminikii
@JescaYusuph-m4yАй бұрын
Mi pia simwamini huyu kichaa😂😂😂 ni mnafiki 😂
@KissaMwakilembeАй бұрын
@JescaYusuph-m4y ata Mii simwamini uyu kenge
@JescaYusuph-m4yАй бұрын
@@KissaMwakilembe ngoja tuone maana hii inaenda mwishon sijui ndo inaisha ivo jamn
@KilaindmbapeJniorАй бұрын
Wanao isi chiko anadanganya eti ana tubu tujuwane apa kwenye like
@ElemistaThomasАй бұрын
Walio furahi chiko kuomb msamaha kwa tashi gonga like
@BucumiGabriel-ni5qxАй бұрын
Msamaha wa unafki, bado hawajafanya dili na aliyekuwa jela
@Teresia-bg9dtАй бұрын
Chiko kwann c kwamini hivii vile unasema maneno ya kweli ao nijama tu,,? Kama uamini chiko kaa mm pita na like guys ❤
@FaisalAlrefai-u2yАй бұрын
Mm sijaamini kama chiko amebadilika
@Teresia-bg9dtАй бұрын
@FaisalAlrefai-u2y pia mm
@LennaAjiamboАй бұрын
Ni wangapi wanawatch wakiwa kwa kitanda ❤❤❤❤
@EuniceEunicemoraa-f6wАй бұрын
❤nikimaliza nilale 😅
@lutfiasuleimanАй бұрын
Mm piaa
@lucymwahkahembe-bt3bhАй бұрын
Namimi piya😅
@DogyHunterАй бұрын
Wewe
@rosechepkorir4998Ай бұрын
Nko hpa mm
@AliMtumweniАй бұрын
Mashallah sania amebadilika,mpaka yuwaswali kweli amebadilika.Alafu Tasha,chiko ametambua makosa yke ivo basi amejua kwamba Duncan watu wapita sasa wewe kuwa hurt kwa sababu kutokana na kifo cha dadake amejifunza kitu.
@Beatrice-z4cАй бұрын
Mi mwenzenu mbona nimempenda sania kwa kweli hili n funzo kubwa sana hapa duniani kwan ss ni wapita njia na yatupasa tumrudie mola wetu na kukiri makosa yetu.❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@mohamedlopa8410Ай бұрын
Yoyote utakayesoma hii comment mungu akupe hitaji la moyo wako 🤲💕🤲💕💗🤲💕💗🤲💕💗💕🤲💗💗🇹🇿💕💗🇹🇿💗💗
@delvinejerutoАй бұрын
Amen 🙏 and amen ubarikiwe sana ❤❤
@anthoninnamjeni4464Ай бұрын
Amin 🤲 na kwako pia inshaallah
@margparet5741Ай бұрын
Amen
@ZawjyaZzАй бұрын
Amiin
@AdveraEliasАй бұрын
Amen
@clariszawadi2010Ай бұрын
Sania congratulations 🎉 babygirl,kibendu clean heart sana be blessed,halafu chiko badiliika kabsa babaa nawapenda nyote watu wangu 💝
@FinindyFianaАй бұрын
Dah!!!,nilitaman kuiangalia house girl lakni mvua inanyesha balaa,hata sisikii,nitaichek kesho ila like zangu jamn kesho nitambe nazo
@salmaathumanyАй бұрын
Wap huko mvua inanyesha huku dar joto balàa
@AbbasHussein-i2eАй бұрын
Wapi huko mvua inanyesha
@samyrazeinab-dh9cvАй бұрын
Wapi mvua
@AngelMbwecАй бұрын
Hiviii samahan ipo kwenye king'amuzi ganii
@HawaaChrisАй бұрын
Wale wnye tunahisi sinema yetu pendwa inaelekea kuisha like tukisonga season 3
@fayojarso3777Ай бұрын
House girl kila siku ni moto moto kali sana sana,
@VicentPaschal-w7xАй бұрын
Huyu siye Chiko ninaye mjua asee bila shaka mtegoo huu utakuwa ni mtego huu maana siyo kirahisi kihivoo jamani!! Na kama amemaanisha na amebadilika kweli ni jambo jemaa 🎉❤ ALL participating in this series we love ❤️ you kazi yenu ni njemaa🎉🎉🎉😢😮
@AdijaRumongeАй бұрын
Sania manshallah umeupiga mwingii sasa ivii hata kwetu karibu ukaeee
@QweenNicksonАй бұрын
Mungu azidi kuwatunza majeruhi wote waliookolewa Kariakooo.
@busatitvАй бұрын
❤
@nismaali2982Ай бұрын
Amiin🤲
@LeilajepmtuАй бұрын
💐 Masha 💐 Allah 🌹 saniya 💐 Allah 💐 Akbar 🌹 nakupenda 💐 Sana 💐 dadangu 🌹 Masha 💐 Allah 💐💐🌹
@Frola-r9zАй бұрын
Hee nimeipenda inamafunzo mengi sana sania Asante
@nyokabikagua2628Ай бұрын
Sania akiwa amebadilika Yule mtoto wa mganga ataja kuwa baraka kwake🙏🙏
@VayoSamweriАй бұрын
Nani amamuamini Sania kuwamba amebandirika mm siamini kama Sania amebandirika na jiko atabandirika🎉🎉🎉🎉
@ceshleyshahad1123Ай бұрын
Mpumbavu mwenzangu kashafall inlove tayari😂😂😂😂😂
@KuvunaGondaАй бұрын
Jamani saniaa ww yani ndoumeju maisha haina ubabe alafu huyu chiko anajivika ngozi ya chui lkn nikama fisi ukonjia panda hajui ashike ipi ubabe yukowp chiko
@JacksonKasemengo-q8uАй бұрын
Wp like za kibendu namupenda sana kibendu
@FghgRyyАй бұрын
Sania hongera sana na ndio hivyo inavyotakiwa kujirud kwa Allah ukitambua makosa ni wapi mtu anakosea
@AminaSuleiman-sr4ooАй бұрын
Jaman Sania wew umenipa Raha San my nawapenda wot🎉🎉🎉🎉
@aishabakari4686Ай бұрын
MashaAllah Tabarakah Allah Nimefurahi sana kumuona sania akiswali
@JosephineMomanyi-jp8tvАй бұрын
Nimefurahi kuona sania akisali❤❤❤❤❤❤❤Amen dada pia ww chiko fanya ivo
@florenceatambo2579Ай бұрын
Next time is chiko,badilika na hicho ndicho twaitaji
@Asma-i1t2bАй бұрын
Nimefurahi kumuon sania kabadilika Masha Allah adi natoa machizi y furaha❤❤
@MARYAMSHABAN-l5wАй бұрын
Nimekubali sania kuonesha uwalisia mtu akikosea kutubu kabla ujafaa good
@MinnahOmary-p3rАй бұрын
Mungu muweza wakila jambo Sania amejifunza ameamua kumludia mungu wake amin 🙏🙏 mungu ndio kila kitu apa dunian tunashukuru kuina Chiko ameamua kukubaliana nahar 👏👏👏👏
@mossikombo959Ай бұрын
Tasha c mtego huo kuwa makini na zatt wako na chiko
Mnataka kuniambia kwamba hajaona Chiko kweli dunia ngumu y🎉🎉aani Chiko anaanza kuokoka hii imeenda
@Edinasanga-ki5nuАй бұрын
Mpaka hapo sania kweli ameanza kubadilika
@MariaTsumaАй бұрын
Mm nacheka tu huyo kipara mtelezo anavyo muangalia chiko 😂😂
@VianeChaula16 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@mkacibeiib7278Ай бұрын
wanpgi wanakubali kazi za busati tv ongerani sana kwa kazi nzri eka alam ya upnd like za tusati 🎉🎉🎉🎉😢❤
@busatitvАй бұрын
❤❤
@fayojarso3777Ай бұрын
Leo mimi nimefurahi sana, chiko amefanya makosa na kuomba msamaha,sasa iko sawa kabisa, tasha tafadhali samehewa mwenzako chiko, leo mimi nimefurahi sana chiko asante sana and god bless you,
@RizikiStadzaАй бұрын
Alafu chiko uache ujinga wewe ndio uliye sababisha rahma kujiua na sio chisa. Alafu kibendu pia nakukubali unamoyo safi Allah akubariki pia🙏🙏🙏
@hajarahnafunaАй бұрын
Masha Allah ❤ Sania, Tabaaraka Allah
@SheilaSiriyaАй бұрын
Ama kweli dunia haina huruma, sania kabadilika hongera❤
@DelphinaJeremiah-ii1rvАй бұрын
Yaan house girl inaendana na matukio😢😢 wakat wa utekaji unaendelea waliigiza namna watu wanaotekwa ni wanaokujua😢😢😢 leo kwenye poromoko la kariakooo wamemuweka Rahma kuwa kafariki ili kutukumbusha kutubu😢😢😢😢😢 na kumfanya sania atukumbushe tobaa😢😢😢
@nasrachimamyАй бұрын
Me nimetok kusem hvhv
@elvinakalu6991Ай бұрын
Sania MASHA Allah, tabaraka Allah ❤❤
@rahimaaaaa5682Ай бұрын
Sania badirika kweli isiwe humu2 Maneno hayo mzito 😊😊😊😊
@AshaNiyonkuruАй бұрын
Hivi chiko alioyaongea j kwel 😲 au tusubir tuon bitaishia wap😂😂
@SadaDjuma-e9bАй бұрын
Sania Mungu akuongoze zaid na zaid,,nimependa jins uunavyo Sali Mansha"Allah 🤲🤲,alafu huyo Chiko awe amebadilika kweli asiwe kam chui, amejivika ngozi ya kondo,maana yeye haishi vituko,Chiko ni mtu mbaya saan,hawezi kukiri kiurahisi hivyo.Ooooh,Kiramba wa Somoe ongereni saaaaan nasubiri Ubwabwa Mansha"Allah 😂😂😂
@GiftbugalamaАй бұрын
Sawa sania ameokoka, ila vipi kuusu mimba ya mganga ngonde😂😅
@monarm9363Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 hapo chacha usinivunje mbavu zangu mm huku arabuni nikashindwa kupika kahawa chungu na tende
@SadaDjuma-e9bАй бұрын
Amani ya Mungu iwe juu yetu sisi ote tunaofuatiliya hii movies ya BUSATI TV, nina Imani mpo salam nyinyi ote, ninamuomba Mungu atupe Riski nyingi za Halali n, Afya njema n, atupe Nguvu, napia abariki kazi za mikono yetu,napia atuongoze katika njia ilio nyooka,atulinde Mchana na usiku,napia Mungu atupe mwisho mwema kwa Huruma zake. Aaaameen 🤲 🤲.
Wow sania leo umenifurahisha, kiramba na ww vipi 😂😂😂😂😂😂 mr tasha trust chiko at your own risk
@MercyKanyikaАй бұрын
Alie frai sania kubadilika nakumwambia chiko ukwer gonga like apa tujuwane 🎉
@DanMark-jy2hkАй бұрын
Nataka hii movie iishe kwa furaha tu mtu mwingine asife na Sahia km amepadilika asipadilike nimelidia Kuna shehemu mmenipadilisha na kupiga atua...mungu awapaliki...
@zamaradhassanАй бұрын
Chamkondee kawa swala tano🎉🎉
@fayojarso3777Ай бұрын
Mr kilamba mtu funny sana,
@shalifahoza7796Ай бұрын
Mashaallah Sania umebadilika mungu akuongoze Mr tasha usimuamini Chiko
@AminaHassan-mn4hlАй бұрын
Mashallah sania umependeza na huo uslamu❤
@zainabusabas7421Ай бұрын
Sania nakatoto kamganga 😂😂😂😂tumboni
@MwanaishaChiletaАй бұрын
Mashaa Allah tabaraka Allah sania
@RahimaMct-ik8mrАй бұрын
Nime furahi Leo moto na maji kuwa kumbatiana wamesamehyana😂😂😂😂🎉mashallah chico
@RobertMalayАй бұрын
Wakwanzaa jamani like zang
@MoureenmohWabwireАй бұрын
Tupitiane huku ❤❤❤ tukienda kuwatch house girl 🥰
@PatrickBisimwa-p5xАй бұрын
Kuna huyu mpumbavu mwenzangu, anajilegezalegeza kama mjinga na hata hapendezi anavyodeka na kujinyonya kidole kama mwehu
@VianeChaula16 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@hassanbarizlah7162Ай бұрын
Sania Masha'Allah
@SaadaHarounАй бұрын
House girl inaendea mwsho maan kil mtu anakir yake kam hutak kalale😂😂
@FailaEchaАй бұрын
Mimi sitakie ishe😂😂😂jm😢
@nasrachimamyАй бұрын
Ata zatit aliingia live akasem ipo mwishon
@FailaEchaАй бұрын
@@nasrachimamy kweli 😢😥😥
@InesFredianneАй бұрын
Hakun MTU ninae mpenda Kam Kilamba🥰
@aminahhuawei1133Ай бұрын
Mashaallah sania allah azidii kukuongozaa umependezaa sanaa🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤ nakupenda sana sania
@Waa_high_galleryАй бұрын
Msimalize house girl mpk harusi ya kibendu jaman😢😢
@Elizabeth-r3cАй бұрын
Chiko sikuamini,umeshaa mtoa mfungwa katika kereza juu ya mr tasha,utafanya jini ya maji kupitia kwa yule mfungwa,msimuamini kabisa.
@SALIMAMALIKAGHAJOKАй бұрын
Ila kiramba bwana 😁😁😁😁😁
@Marlenapilikitsao-gk9jeАй бұрын
Chiko kigeugeu Zaidi ya kinyonga 😂😂😂😂
@DellyCruizАй бұрын
Daaah jamani kilamba kachekesha sana😂😂😂😂😂
@SidiMariam-ph7ccАй бұрын
😂😂😂😂
@AishaAisha-u1qАй бұрын
Tena sana mana anatia madole mdomon kaa dem
@BernadAyubu22Ай бұрын
Tuliofurahi sania kubadilika tujuane kwa like
@annnafula7476Ай бұрын
Chiko Chiko Chiko waaah waaah waaah this is you enyewe Dunia hubadilika😂😂❤❤🇰🇪🇰🇪
@MaryMbithi-nw5srАй бұрын
Sania kaitwa kanyamaza uku madam wangu yu waswali bado yu wateta mara yu kupangia kazi utaskia ya mary shuwi ngahawa surasura na mtu ako maombi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@MaryamAlmandhari-e5mАй бұрын
Wenzetu sijui wanaswar vep Yan uku wanakutuma
@SidiMariam-ph7ccАй бұрын
😂😂😂😂😂😂
@MaryMbithi-nw5srАй бұрын
@@MaryamAlmandhari-e5m awa watu awaeleweki mtu ako maombi na bado anateta
@MozaNassor-l1cАй бұрын
Mashallah thania allah akuhidi
@morallyifyАй бұрын
Alhamdulillah
@Mygirl_1032Ай бұрын
Sania hongera Sana kwa uamzi mzuri hakika umechagua njia iliyo sahihi 🙏 🙏🙏 nawapenda Sana from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@OmarykhadijaАй бұрын
MashaAllha MashaAllha SANIA nimekupenda bule kurud Kwa Allah ❤❤❤❤
@ElidaHokaАй бұрын
Mungu akutangulie sania ili uweze kumurudia
@Saumu-vr4bcАй бұрын
Nmewahi leo like hata kumi kwa ajili ya team busati
@RoseJoseph-e7lАй бұрын
Chiko chiko chiko nmekuita mara tatu.. skuamini kabsa hapa tasha kuwa makini
@AgnesMINANIАй бұрын
Nmimi siamini chiko, nimpango thasha kua mkini
@DoryAmosАй бұрын
tuliofurahi kubadilika kwa sania🎉🎉🎉🎉
@oman1oman179Ай бұрын
Manshallaah sania kabadilika mungu ni mwema
@ElizabethDennis-qv9nxАй бұрын
Alhamdulillah 🙏🏾 Sania ameniliza nyie 😭😭😭😭😭😭amenikumbusha mambo kadha ila dada MUNGU ahsante kwa kutukumbusha kurudi kwako
@AnnoyedCircuitBoard-mp8vnАй бұрын
Mashallah sania umenifuraisha Allah akuongoze inshallah uwemtoto mwema kwa Allah mashallah nimekupenda bure❤❤❤❤❤❤❤
@AllyBabu-kr6lgАй бұрын
We sheikh shituka apo😅😅😅nafikiria kukudanga kidem jau uyo😅😅😅
@saumodzumbo9671Ай бұрын
Hivi chikoo ni ww kweli jamani mbona mm siamini kabisa umebadilika kweli kama kweli umebadilika naomba uje kenya tufunge ndoa mm na ww chikoo Mashaallaah sania sasa umekua kama jina lako dadaangu mwenyezi Mungu awafanyie wepesi ishaallah na naomba iwe kweli sio Akting tuu
@DonathaBenjaminАй бұрын
Mungu ndie aijuaye maisha yetu kumbuka kutubu house girl inatufundisha toba asante kibendu kumpokea sania wetu
@fayojarso3777Ай бұрын
Kibendu ni roho safi sana, asante sana bro god bless you
@MariamHamisi-ti9vbАй бұрын
Nawapenda sana team house girl lkn naona sasa inaenda kuishi kila mtu anasafisha maovu aliofanya chiko na sania 🎉🎉🎉🎉🎉🎉kwa kubadilika
@AnnaMengo-v2tАй бұрын
Eeeee chiko😂😂😂😂😂😂😂😂 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 mwaaaaaaa zatiiii back na aman tasha
@NasraBakari-ic5jvАй бұрын
Sania hap umeupig mwingi,umetoa funzo zuri san 🎉🎉🎉🎉yako
@SharonCharo-i6rАй бұрын
Sania mungu akubarik Kwa kua umebadilik nkupenda snaah sania❤️❤️❤️❤️👌🙏🙏
@FestusJuvinaryАй бұрын
Walio furahia mazungumzo ya zuuuhuuuu na Mr kiramba tujuane hapa 🎉🎉🎉
@JescaMarykarisaАй бұрын
Hongereni sana ju Leo mumetuletea kipindi muhimu sana yaan mpaka sania amebadilika kweli 🎉🎉 🇰🇪 🇰🇪
@ggfwtgg1652Ай бұрын
Nimefulahi upanďe wa Sania sanaaa jmn na machozi ya fulaha amenitoka ila upande wa chiko sijaamini kbs kama ni musamaha kutoka moyoni kazi nzuri sana busati TV ❤❤❤
@sayunimnguruta98Ай бұрын
Chiko kama Chiko hongera sana kwa kumaliza ugomvi ubarikiwe Sania pia hongera kwa kubadilika Candy nae Mungu amtete nae apone na atubu makosa yake hata kama mama amelala ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤