How I escaped my evil boss in Saudi Arabia

  Рет қаралды 56,022

Tuko / Tuco - Kenya

Tuko / Tuco - Kenya

Күн бұрын

Пікірлер: 201
@Tuko
@Tuko Жыл бұрын
What message do you have for Lillian Kemunto? Get in touch with her via 0703 159447. If you would like to share your story with us please contact us via emails kingori.wangechi@tuko.co.ke and or eucabeth.mukami@tuko.co.ke Tuko DOES NOT CHARGE for coverage of such stories. Thanking you. Here is part 1 of Lilian's story. kzbin.info/www/bejne/d3SzfKKKZ7mZbbM
@nancywacera9869
@nancywacera9869 Жыл бұрын
Saudi Arabia 🇸🇦 is the best country ever Nko Uko 6yrs now I can’t complain dio warabu wote wabaya nasitoki uku
@everlinenyabokenyantika3396
@everlinenyabokenyantika3396 Жыл бұрын
Message nitamwambia awache uchawi yeye sio Mungu ambaye anajua siku nitapumua hapo chini ananikomentia eti nitatoka maiti, si angewacha kwanza achangiwe ndio akuje anitusi sasa watu wakiona vile amesema nikuje jeneza wataibeba aje kingori?
@everlinenyabokenyantika3396
@everlinenyabokenyantika3396 Жыл бұрын
@@princessliliykemunto882 sasa uza Rosecoco kenya ujilishe umekaa na arabs bila kurudi na chochote 🤣🤣🤣 uchawi wewe unajua juu umeniambia nitakufia saudi nikuje na jeneza lakini nakemea hiyo jeneza ikufagie na family yako yote
@everlinenyabokenyantika3396
@everlinenyabokenyantika3396 Жыл бұрын
@@princessliliykemunto882 nani alikwambia huwa sishukuru Mungu, Mungu ndiye ngao yangu sio huo uchawi wako
@everlinenyabokenyantika3396
@everlinenyabokenyantika3396 Жыл бұрын
@@princessliliykemunto882 mavi hii kifo inaweza kupata popote nirepiwe mimi wrwe nenda kusii kauze kuma ununue sukari na unga ujilishe, unskaa mtu umebeba ukimwi ya wapakistan
@sarahwawuda5164
@sarahwawuda5164 Жыл бұрын
Namshukuru Mungu amenipewa familia poa,nawaombeaga wanaoteseka Mungu awasaidie asiwaache.
@elizabethkhisa1283
@elizabethkhisa1283 Жыл бұрын
Saudia ss ndio tko kumi tena,contract after contract, mm saudia imenizaidia juu nimesomesha watoi nimenunua shamba, nanjengah sasa ❤❤❤❤❤
@josephineaumamuhola1798
@josephineaumamuhola1798 Жыл бұрын
Shukuru Mungu huku si kuzuri....tuombe tu Mungu atusaidie
@mwikalijosephine5178
@mwikalijosephine5178 Жыл бұрын
Same 2 I'm so greatful to God
@روزالكناني-ث5ل
@روزالكناني-ث5ل Жыл бұрын
Same to me ithank God for everything
@cynthiaakinyi9829
@cynthiaakinyi9829 Жыл бұрын
Si wote wabaya though...but tushukuru Mungu
@carolinetalam5832
@carolinetalam5832 Жыл бұрын
Yote Tisa kumi ni Kuna wa Saudi wazuri and many girls wako tu hii Saudi tunafanya kazi, pole zangu kwa wale wamepitia challenges mbali mbali
@alicealeyo4801
@alicealeyo4801 Жыл бұрын
Spending all this years and you have left your children coming back empty hands 😢😢😢. The best thing you came back a life
@virginiawairimu2419
@virginiawairimu2419 Жыл бұрын
Saudi sio kubaya kama utabahatika kupata nice family, wengine hata wanatuongezea salary kama bado hatujamaliza 2yrs, bora ukue humble, kujituma and prayers.
@phaniceolesi8998
@phaniceolesi8998 Жыл бұрын
Not only in Saudi bt all gulf countries
@faithwambuiwanjiru
@faithwambuiwanjiru Жыл бұрын
siwezi regret kuja saudi imenitoa mbali sio waarabu wote wabaya
@nancywacera9869
@nancywacera9869 Жыл бұрын
Waambie waskie
@sheillahmunandi9388
@sheillahmunandi9388 Жыл бұрын
Kabsa ni Mungu to ndyo utulinda
@RKBro-jr1ts
@RKBro-jr1ts Жыл бұрын
Simamia hapo kwa .... *Kama utabahatika kupata nice family...* iyo inamaanisha going to Saudia its a gamble,nikama tossing of a coin😢
@irinemugambi2048
@irinemugambi2048 10 ай бұрын
Nashukuru mungu nilitoroka na nikapata boss wazuri,I feel like am home,the problem is only distance,kila MTU na bahati yake
@yealmamakeangelbianca1101
@yealmamakeangelbianca1101 Жыл бұрын
Embassy haisaidii😢😢😢😢😢ndio maana unapata makemboi n wengi......other thing shes speaking the truth .....ivo ndio waharabu utreat watu na agency are not showing up
@marynjengah2771
@marynjengah2771 Жыл бұрын
Wueh kila mtu na experience yake like the host amesema mine is a positive one and i thank God for everything i pray for all the ones going through hard times
@irenewanjiru7346
@irenewanjiru7346 Жыл бұрын
I still fail to understand why an employer would do such hurtful things to these girls.
@tombimashri8149
@tombimashri8149 Жыл бұрын
Sick evil people
@teressaambani2364
@teressaambani2364 Жыл бұрын
Kingdom of saudi Arabia the most famous kingdom in the world this kingdom has no joke
@millaag5182
@millaag5182 Жыл бұрын
Saudi kila mtu na bahati yake mungu mbele
@RKBro-jr1ts
@RKBro-jr1ts Жыл бұрын
*There's something about Kisii's and the gulf😢*
@user-wr9fn4ny4i
@user-wr9fn4ny4i Жыл бұрын
BIG headed.
@mourice1669
@mourice1669 Жыл бұрын
Haven't you heard kales,kikuyu....etc dying wacha ufala saudi can be bad depending on the Employer
@MargaretNjeri-u2m
@MargaretNjeri-u2m Жыл бұрын
Mwarabu tena ukimwonyesha kichwa ngumu saana you will suffer my dears ...hii mutu inakaa ilikua inatandika muarabu...anyways we are doing very great hear in saudi bila stress
@velma798.
@velma798. Жыл бұрын
acha hizo😂
@everlinenyabokenyantika3396
@everlinenyabokenyantika3396 Жыл бұрын
Anakaa jeuri 😂😂😂
@lorenzahannahs5266
@lorenzahannahs5266 Жыл бұрын
Am in UAE, I have the best family ever this is my second time with them. Next year nkimaliza for sure I will find someone for them, they are so good. And loving
@cynthiaakinyi9829
@cynthiaakinyi9829 Жыл бұрын
Yeah.... si wote wabaya
@sheilamakoha5798
@sheilamakoha5798 Жыл бұрын
Uniconnect ukitoka
@beritah3731
@beritah3731 Жыл бұрын
Glory to God, Mungu Akufungulie njia mamie
@emilywangui
@emilywangui Жыл бұрын
Thanks to God aki niko hii gulf na siwezi regret hiyo miaka tano nimekaa huku atleast nimefanya kitu nitaishi kuona....Pole mami all will be well 😘 big up team strong 💪 💖 😘 ❤ 💙 💓
@joyk3075
@joyk3075 Жыл бұрын
I wish angejaribu another house sio wote wabaya Kuna wazhri but lazima mtakorofishana but gulf inatakanga hardworking people sio watu WA weetabix
@rosewanjala2538
@rosewanjala2538 Жыл бұрын
Glory to God 🙏🙏❤️
@Whatiz-Real
@Whatiz-Real Жыл бұрын
Sura inakaa kemboi kuharibia sifa saudia na mnauza mashimo saudia
@vieverbleeh8948
@vieverbleeh8948 Жыл бұрын
Unachoma mtu wangu
@sylvialexy896
@sylvialexy896 Жыл бұрын
Si kemboi,story yake ilifanywa hapa TUKO,kemboi haezi Kaa hivo
@Maximilian_5TV
@Maximilian_5TV Жыл бұрын
Inaonekana you're one of them
@trizahadamc6256
@trizahadamc6256 Жыл бұрын
​@@sylvialexy896 huyu alikuwa kemboi my dear
@sylvialexy896
@sylvialexy896 Жыл бұрын
@@trizahadamc6256 Bora amefika nyumbani mzima
@fionajill4311
@fionajill4311 Жыл бұрын
Lets not judge her because she has a strong face and she speaks haraka.Anyone can be bullied and abused.
@monicaballucci324
@monicaballucci324 Жыл бұрын
Bro what do even mean ?who said she has strong face lol
@dorothyoyieko5597
@dorothyoyieko5597 Жыл бұрын
Glory to almighty God
@deborahmoige2363
@deborahmoige2363 Жыл бұрын
Glory to God you came alive
@winnycherop3740
@winnycherop3740 Жыл бұрын
Pole mama bora uzima
@RozaIraqi
@RozaIraqi 26 күн бұрын
Ungekua mpole ungekufa kitambo..
@patiencekomugisha2769
@patiencekomugisha2769 Жыл бұрын
Sometimes it’s luck some people have made it please pray for God’s guidance
@بولين-ل5ل
@بولين-ل5ل 3 ай бұрын
I'm ok
@dhiambiokuom2159
@dhiambiokuom2159 Жыл бұрын
Imagine Kenya Embassy inakuitisha 300k at that point of your need.....Yaani Incase umelipwa wakule hiyo Pesa Yako Yote halafu wakuskume back to poverty ya Kenya......ile unyama Iko Kenya haisemeki....
@mayrialz8371
@mayrialz8371 Жыл бұрын
C wote mm n mara yngu y pili nyumba tofauti n nlipata wazuri, nalipwa bila shida ,mwenye nko saa hii mwezi wa kwanza nilifanya wiki moja na siku mbili na akanipa 500riyal na hata kazi sinyingi kbsa ,kumi na mbili saa moja nmemaliza kazi
@Mozcazlinerexy
@Mozcazlinerexy Жыл бұрын
You talking true am agent deportation center one day ni 250 riyals , neither sponsor alipee or office ya saudia
@beverlyneatieno9982
@beverlyneatieno9982 Жыл бұрын
Ukijuwa kuishi na mwarabu hata miaka kumi unamaliza nao bila matatizo yoyote,Fanya kilicho kupeleka na ujuwe unataka nn na ni nn kilichokutowa Nyumbani.Hakuna haliye kamilika katika hii dunia.. sazingine inafa tuwe na zubra usiwe na Tama ridhika nakile unachokipata,Tama ndio inatuletea shinda.
@winniemuthee3832
@winniemuthee3832 Жыл бұрын
Glory be to God
@nancy1256.
@nancy1256. Жыл бұрын
Aii saudi sio wote wako vibaya kazi ziko
@leahgithua6728
@leahgithua6728 Жыл бұрын
Uwongo 12:45
@sallyakinyi3638
@sallyakinyi3638 Жыл бұрын
Huyu anadanganya kabisaa ..sponsor haezi kukutoa nje kama ni wako or else wewe ni kemboi
@magdaleneatieno767
@magdaleneatieno767 Жыл бұрын
Nadhani nimewahi meet this lady kwa dalala fulani, tabia zile walikuwa wanafanya😢 wacha tu,
@trizahadamc6256
@trizahadamc6256 Жыл бұрын
Wanafanya madhambi wakikemboi saana
@magdaleneatieno767
@magdaleneatieno767 Жыл бұрын
@@trizahadamc6256 namjua vizuri sana , tulikuwa Nae hii December ya juzi kwa dalala fulani , hawataki kazi , kuamka na kuanza kujipaka ma makeups kutegea wanaume , l even tried talking to them to focus kwa kitu kimoja , imagin she is lying, dunia simama nishuke, hata niliwaacha nikakuja kwa hii nyumba niko SAAI tangu Dec bado niko na hawa wadosi wangu,
@SummerTime-v1s
@SummerTime-v1s Жыл бұрын
Oh!!!kuuumbe!!some kembois n mashetani
@SummerTime-v1s
@SummerTime-v1s Жыл бұрын
​@@magdaleneatieno767 waaah!
@everlinenyabokenyantika3396
@everlinenyabokenyantika3396 Жыл бұрын
Sasa ako hapa kupeana story baada ya kurudi mkono empty Chesoo
@vieverbleeh8948
@vieverbleeh8948 Жыл бұрын
5000sr ni 300k za Kenya kweli nani nifundishe kunyamaza
@danteluiz4614
@danteluiz4614 Жыл бұрын
Ziii ni kitu 155k
@janet7740
@janet7740 Жыл бұрын
Ata kwa exchange rate ya 40 haiwezi fika
@danteluiz4614
@danteluiz4614 Жыл бұрын
@@janet7740 hii inakaa stori y jaba🤣
@damarismwita7767
@damarismwita7767 Жыл бұрын
😮
@priscaachieng409
@priscaachieng409 Жыл бұрын
Ati 5000sr ni 300k 😂😂haiwezi fika ata 150
@anngracious2010
@anngracious2010 Жыл бұрын
Alikuwa sakan deportation center ama
@mwikalijosephine5178
@mwikalijosephine5178 Жыл бұрын
Saudi Arabia my promise land ever
@queenbee1588
@queenbee1588 Жыл бұрын
Yeah sure, kuna success stories too
@alicealisha1872
@alicealisha1872 Жыл бұрын
Amen amen 🙏🙌
@lilylilian8729
@lilylilian8729 Жыл бұрын
Nimekua kwa Airport mara kadhaa lakini wanaoingia hawapatani na wanaoenda Huyu alikutania nao wapi?🤔
@everlinenyabokenyantika3396
@everlinenyabokenyantika3396 Жыл бұрын
Hata mimi nikirudi tulikuwa kwa room ya kungoja tutoke, na wengine walipoingia kutoka saudi tuliwaona tu kwa kioo vitu mingi anasema uongo
@RKBro-jr1ts
@RKBro-jr1ts Жыл бұрын
Continue justifying slavery,we see dead bodies everyday zikishukishwa JKIA
@lilylilian8729
@lilylilian8729 Жыл бұрын
@@RKBro-jr1ts umejustify wapi slavery wewe? Umeona wapi nikirecruit watu kwenda au kuincite pple? Nikisema nimekua kwa Airport mara mob kwani hiyo ndio kuregister au nilikua shughul zangu za kibinafsi nikisafiri to my own destination?ona uyu😳
@eunicelefty9835
@eunicelefty9835 Жыл бұрын
King'ori 😂😂😂 it's the salamaz for me
@bettygesare5948
@bettygesare5948 Жыл бұрын
Thanks to our God almighty
@josephineogonda2859
@josephineogonda2859 Жыл бұрын
Kwani interview ilifanywa kwa simu?
@princessliliykemunto882
@princessliliykemunto882 Жыл бұрын
Ipray for all my enemies to live long, inorder to see my blessings, and atable God ,is going to set for me, Iforgive all my adversaries , God is not aman, soon he wiil shurt your mouths, keep watching.
@everlinenyabokenyantika3396
@everlinenyabokenyantika3396 Жыл бұрын
Which enemies you have forgiven na unanitakia kifo mama wacha nikwambie kitu moja ndio najua kifo iko na wakati ukifika uwezi epuka hiyo umeniambia nikufie saudi nikuje na jeneza naomba irudi kwako na kizazi chako chote
@rachealwangui2364
@rachealwangui2364 Жыл бұрын
The store isnt adding up
@betchep
@betchep Жыл бұрын
Ati 4yrs mbila salary 😂😂 alikuwa anafanya nini
@seedysaid6588
@seedysaid6588 Жыл бұрын
Wacha kudanganya nyinyi ndio ma kemboi na madalala...
@velma798.
@velma798. Жыл бұрын
walikutegea way a ilikuwa na sock bado we ukashika tu anyway bora ulifika kenya
@juliejaphet2700
@juliejaphet2700 Жыл бұрын
Ukorofi wa nini na unashida ulidhani hapo ni Kenya
@mghazamghaza3361
@mghazamghaza3361 Жыл бұрын
Ulifika huku saa ngapi😂😂😂😂😂
@Lyne-be4tn
@Lyne-be4tn Жыл бұрын
Huyu anakaa muongo kiplan ,juu she's talking too much alafu anakaa tu kemboi c kwa ubaya ama alikua amemurifee
@everlinenyabokenyantika3396
@everlinenyabokenyantika3396 Жыл бұрын
Ni kemboi halafu analete tuko achangiwe coz anajua atachangiwa na life iendelee
@Lyne-be4tn
@Lyne-be4tn Жыл бұрын
@@everlinenyabokenyantika3396 alimurifeee
@la-ry1ms
@la-ry1ms Жыл бұрын
Huyu anakaa muongo na mkora
@Lyne-be4tn
@Lyne-be4tn Жыл бұрын
@@la-ry1ms pia wewe umenotice
@princessliliykemunto882
@princessliliykemunto882 Жыл бұрын
Mdomo ni yako
@mghazamghaza3361
@mghazamghaza3361 Жыл бұрын
Kuhusu sakan ni kweli bt those Saudis wallahi wanajitahidi sanaa
@rerisamba
@rerisamba Жыл бұрын
Saile unatoka kenya kuna wengine wanasema unasafiri lakini hutafaulu yani midomo chafu na wachawi majirani wakikupata kusema kweli Saudia utatoka bure
@everlinenyabokenyantika3396
@everlinenyabokenyantika3396 Жыл бұрын
Waah pia yeye ako na mdomo chafu ukipitia comments zake utaona😂😂
@jamjam8734
@jamjam8734 Жыл бұрын
Acha ujinga urudishe nani airport,unapotoka airport uliwaona vpe wakat uko kw exit gate airport,ww usharudi tulia,4yrs unateseka n ukakaa .sema ww kemboi period.hya wenye midomo kazi kwenu😅
@tasneemhayati092
@tasneemhayati092 Жыл бұрын
Kind word won't cost you, mbona unaropokwa,
@faithwanjiku1466
@faithwanjiku1466 Жыл бұрын
Unajiskiza ukiongea kweli🤔🤔Siku moja utaelewa mbona anasema ivo
@lilylilian8729
@lilylilian8729 Жыл бұрын
True hawapataningi gate ni tofauti adanganye wajinga
@cynthiawanjiru559
@cynthiawanjiru559 Жыл бұрын
Bytheway
@seedysaid6588
@seedysaid6588 Жыл бұрын
Aliona vile wale waliua kimeumana ndio aka anzaa kubabaika
@hannahw4769
@hannahw4769 Жыл бұрын
Hizi stories za Saudi is tiresome, I get the need to look for greener pastures but going to some countries is like gambling with your life. Me I tire, because I don’t understand modern day enslavement especially when knowingly took yourself there.
@nancy1256.
@nancy1256. Жыл бұрын
Waarabu wengi ni wachoyo kwa food😂😂😂😂 maghasia
@claudiahkinara4053
@claudiahkinara4053 Жыл бұрын
God knows 🙏🙏😅
@nancy1256.
@nancy1256. Жыл бұрын
Waaarabu ni mafala 😂😂😂 yaani wanatreat watu vibaya aki
@seedysaid6588
@seedysaid6588 Жыл бұрын
Tafuta kazi na ujinga ya victor noman kama nyaboke sasa
@everlinenyabokenyantika3396
@everlinenyabokenyantika3396 Жыл бұрын
🤣 🤣 🤣
@princessliliykemunto882
@princessliliykemunto882 Жыл бұрын
​@@everlinenyabokenyantika3396 hivi ndio nitakujeka 😂😂😂😂😂😂😂😂 Sazile baba mwarabu na vijana wake pia akutafutie maharamia wakukusika wakupangie laini hadi kieleweke, nitasikia news yako kwa ekerambauti kiegesa idiot stupid gasiri hamam
@betchep
@betchep Жыл бұрын
😂😂😂
@purity134
@purity134 Жыл бұрын
Saudi ni kupoa,though sijui mbona kila mtu analeta negativity kuhusu saudi
@RKBro-jr1ts
@RKBro-jr1ts Жыл бұрын
Sasa watu wakiteseka wasiseme?that could be your sister
@tombimashri8149
@tombimashri8149 Жыл бұрын
Jesus, so slavery is still very ripe, wonder why our people are silent
@vero57
@vero57 Жыл бұрын
Kwanini lakini serikali inaruhusu watu kwenda hukoo jamani?
@mourice1669
@mourice1669 Жыл бұрын
Hauwezi zuia mtu kutravel i think halafu si unajua tu gover za kenya kama hawajali walio kenya what off those abroad
@benardmuntet7709
@benardmuntet7709 Жыл бұрын
Interviewer do your work, you listen too much without saying anything, take notes from Yvonne
@saka3357
@saka3357 Жыл бұрын
Too many Foreigners in 🇸🇦!
@jepngetichpicoty670
@jepngetichpicoty670 Жыл бұрын
Interviewer has to be trained
@catherineodongo7329
@catherineodongo7329 Жыл бұрын
Acha uongo office ipi itakulisha for 3 ama 4months bila kazi.stop lying tuko huku
@betchep
@betchep Жыл бұрын
Ati 4yrs mbila salary 😂😂
@purity..
@purity.. Жыл бұрын
Saudi ni kuzuri kama wewe ni mtu umetulia ukiwa mang'aa hutoboi
@cynthiawanjiru559
@cynthiawanjiru559 Жыл бұрын
Utatoboa ukiwa mang'aa mpole , saudi pia haitaki mtu mpole sana.
@purity..
@purity.. Жыл бұрын
@@cynthiawanjiru559 simaanishi ukae mpole wakuharass namaanisha ujue ni kazi ulienda kufanya utulie si ati ukifika huko unaanza kufanya vitu zingine
@cynthiawanjiru559
@cynthiawanjiru559 Жыл бұрын
@@purity.. true
@jacklinemusenya415
@jacklinemusenya415 Жыл бұрын
HAWA MADEM WA SAUDUA😂😂😂😂,MIM SIJUI BONA NAONA UONGO. WATU WANAEDA UKO BILA KUJUA CHENYE KIMEWAPELEKA UKO. AKILI NUSU KUPEANA STORY BILA CHOCHOTE😢😢😢😢😢
@jacklinemusenya415
@jacklinemusenya415 Жыл бұрын
@@princessliliykemunto882 nyinyi ni wale mnaeda saudia kuuza rosecoco
@jacklinemusenya415
@jacklinemusenya415 Жыл бұрын
@@princessliliykemunto882 anyway pole 💔
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН
Betrayed by cousin while toiling in Saudi Arabia  | Tuko TV
35:00
Tuko / Tuco - Kenya
Рет қаралды 39 М.
I returned from Saudi with no phone, no passport and no money |Tuko TV
32:06
Tuko / Tuco - Kenya
Рет қаралды 456 М.
My husband used all  my savings from Saudi Arabia to marry another woman | Tuko TV
1:32:30
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН