HUENDA ZILE ALAMA 6 AMBAZO YANGA ANAZITAKA MBELE YA MAZEMBE YEYE NDIO ATAZIACHA KWA MAZEMBE

  Рет қаралды 17,581

Crown Media

Crown Media

Күн бұрын

Пікірлер: 55
@SojaWaBrazil
@SojaWaBrazil 7 күн бұрын
Chama aligusa mpira mara moja tyu😂😂😂
@patricklaiton8939
@patricklaiton8939 7 күн бұрын
HUENDA ZILE ALAMA 6 AMBAZO SIMBA ANAZITAKA MBELE YA FAXIN YEYE NDO ATAZIACHA KWA FAXIN
@philemornmutta1597
@philemornmutta1597 7 күн бұрын
Unaota ndo maana unadhan
@allymiami2219
@allymiami2219 8 күн бұрын
simba ni kubwa huwi kufananisha na nyinyi
@atumwafilombe6046
@atumwafilombe6046 6 күн бұрын
Jamaniii jamanii mtuache na yanga yetu
@JustinJoseph-k2t
@JustinJoseph-k2t 8 күн бұрын
Gamondi tatizo siyo matokeo wandishi
@ibrahimuakwilombe
@ibrahimuakwilombe 8 күн бұрын
Kocha Ramovic Saidi/Tajiri Gharib Saidi/Rais wa timu Hers Saidi😮😅😊
@AllykhamisAlly-nq5jk
@AllykhamisAlly-nq5jk 8 күн бұрын
Hhhhhhh😂😂😂😂😂😂
@goldmansun5859
@goldmansun5859 8 күн бұрын
Boka,aucho,job,mzize Wapi
@MichaelLucax-l2b
@MichaelLucax-l2b 8 күн бұрын
Mwende mkalale mpira mlijifunzia wipi mnachekacheka kama mashoga
@elishamorumbe3741
@elishamorumbe3741 7 күн бұрын
Gamondi alikuwepo yanga kipnd tunapingwa na azam,tabora united why Leo mnasema gamondi n fund Yanga inapita kweny kpnd kgum lkn l hope naiona Yanga inafuzu
@MakunguBujingwaJr
@MakunguBujingwaJr 5 күн бұрын
Shindeni sasa Gamondi si ndo alikuwa mchawi
@vicentbunzal7342
@vicentbunzal7342 7 күн бұрын
Yanga hawana timu ya kuwavusha hapo walipo.yanga ni mbovu sana,wajifaliji tu kuwa watachukuwa alama z kwa mazembe wao ndo wataziacha kwa mazembe na wao watarudi kula mihogo yao na mademu wao akina mobeo na mazembe itasonga mbele.
@kassidpandu866
@kassidpandu866 8 күн бұрын
Mtasemwa nyie mlietaka kucheza Na Malaika wa Mungu
@EdwinAdAstra
@EdwinAdAstra 8 күн бұрын
Tulishawaambia hakuna mjerumani anaitwa Saidi. Saidi Ramadhani 😂. Pale mmepigwa. Hamna kocha mle.
@musamagulu2023
@musamagulu2023 8 күн бұрын
Wachakondoo wa bongo bwana hataree
@ibrahimuakwilombe
@ibrahimuakwilombe 8 күн бұрын
Changamoto ni wastaafu^badala ya kula pensheni:wanakula mishahara
@MajeleNtumbo-zl4bi
@MajeleNtumbo-zl4bi 8 күн бұрын
Nyie wachambuzi ni makuma tu hivi mnaweza kuchambua mpila kweli?? Sasa kocha pale ana kosa gani?? Hivi wachezaji wanavyocjeza vile unamlaumu kocha kweli?? Duh. Hatuna wachambuzi nnchi hii
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 8 күн бұрын
Yaani mmmh! hizi nyakati za kufunga na kuomba hari ni mbaya inshort tusijipe moyo Tp Mazembe kapoteza huko sijui itakuwaje
@FahadAbubakari-y3f
@FahadAbubakari-y3f 8 күн бұрын
Tujifunze kua serious kwenye usajili tusajili kweli sio kusajili kisa tumuudhi mtani , na porojo zisizo na maana tuache zakucheza mpira wa maneno kila kitu kinawezekana mbona
@ChachaChachamura-zx4zl
@ChachaChachamura-zx4zl 7 күн бұрын
Kama Gamondi shida ni nidhamu viongizi walipaswa kumpa muda kwa lengo la kuivusha timu katika michuano ya club bingwa lakini pia kamati ya nidhamu inakurupuka kutoa maamuzi bila kupima kiwango cha madhara
@ChachaChachamura-zx4zl
@ChachaChachamura-zx4zl 7 күн бұрын
Kwenye michuano migumu kama hii hatukutaji kocha wa majaribio
@Aed126
@Aed126 7 күн бұрын
Yani soka la bongo la ajabu kweli yani, kocha huyu hata akifungwa mechi 4 ni sawa kwasababu yeye amekuja katikati ya msimu na ukizingatia wapinzani ambao anacheza nao wana maturity ya hali ya juu na timu zao zimeshajipata, kwahio swala la kupoteza ni normal na haishangazi. Halaf timu mbili hizi ziache kuishi na matarajio makubwa hali ya kua mda sahihi haujafika wa kupata hayo mafanikio.
@asifznz
@asifznz 8 күн бұрын
SASA LEO MAKOLO MBONA HAWASEMWI😂😂😂😂😂😂
@nassathuman
@nassathuman 8 күн бұрын
sisi ni wakubwa kuliko nyie😂😂😂
@samwelsimon7392
@samwelsimon7392 8 күн бұрын
timu ya kuzungumzwa ni yanga maana ndio haina pont simba ana point 3
@elishamorumbe3741
@elishamorumbe3741 7 күн бұрын
Wewe chama aliosha kitu kweny dkk zile alingia
@lucymsheshi5871
@lucymsheshi5871 7 күн бұрын
Gamondi hakufukuzwa kwaajili ya matokeo alifukuzwa kwaajili ya nidhamu yake kwa uongozi
@banagakatabazi9648
@banagakatabazi9648 7 күн бұрын
Hata waseme nini. Gamondi ndo kaharibu timu
@Mumlion2624
@Mumlion2624 8 күн бұрын
Mchezo utakua mgumu kwatimu zote simba na yanga kikubwa wajipange wapate point 3 ili tujiwek sawa kufuzu robo .
@MeshackManoja
@MeshackManoja 8 күн бұрын
Sisi Simba tunajua kuzicheza mechi za makundi
@Mumlion2624
@Mumlion2624 8 күн бұрын
@MeshackManoja tuombe mungu mechi yet ya tar15 tushinde inshallah bravol nae apigwe ili tujiwek sawa kwenye kund
@MatiasBroo-z7b
@MatiasBroo-z7b 7 күн бұрын
Bravos anakufa
@pineapplemelodymaster
@pineapplemelodymaster 7 күн бұрын
Evans anaongea km mwana fa
@nemesjosephat5612
@nemesjosephat5612 8 күн бұрын
Utapewa barua😂😂😂😂😂
@jassonnelly3445
@jassonnelly3445 8 күн бұрын
Mimi jana nimewaangalia mazembe asee wale jamaa tusiwachukulie poa niwa moto nyie semeni tu tunachukua alama sita
@BayekeFarijala
@BayekeFarijala 8 күн бұрын
Mimi shabiki wa simbaKwa Gamond nilikuwa naona wanacheza mpira hata walipofungwa lakini kwa kocha huyu wamechochora
@SurprisedAgilityPuppy-tj3wk
@SurprisedAgilityPuppy-tj3wk 8 күн бұрын
We kaka ulovaa shat kama unEnda kulindege ni mweu kwan mmeanzisha TV sababu ya nanga???
@musamagulu2023
@musamagulu2023 8 күн бұрын
Hivi kocha kusema ana majuruhi ni kosa pia kwenu? Kwan kocha gani anakuja na wachezaji wake 11?
@MedardMushobozi
@MedardMushobozi 8 күн бұрын
Wachambuzi ni wanafiki kweli kweli,Leo wanaipiga YANGA?
@gaudencekalyalya3107
@gaudencekalyalya3107 7 күн бұрын
Jeff haipendi Yanga , yuko biased sana , sijataka hata kumsikiliza kwa sbb hana taaluma yoyote kiuchambuzi
@MakunguBujingwaJr
@MakunguBujingwaJr 5 күн бұрын
Kama humpendi itabidi uache kusikiliza crown sports
@samirshabani-yu4xu
@samirshabani-yu4xu 8 күн бұрын
Wachabata mnatokwa mapovu
@mgomaadamu8498
@mgomaadamu8498 8 күн бұрын
Gamondi hajafukuzwa kwa sababu ya matokeo ni nidhamu yake pia aliwaacha wachezaji muhimu kuishi nje ya kambi...gamondi ndio mchawi wa yanga
@gamma9590
@gamma9590 8 күн бұрын
Nidhamu baada ya kufungwa?😅😅
@laninjeje8290
@laninjeje8290 8 күн бұрын
Nidhamu baada ya kushenyentwa na tabora united 😂
@hassanmakame4382
@hassanmakame4382 7 күн бұрын
Unaongea usenge yaan ckuzote mjekuona nidham mlipofunwa,mkubali mkatae mlikosea kumfukuza gamond, na hapo bado mtafungwa sn vyura nyinyi
@tiffan2807
@tiffan2807 3 күн бұрын
😂😂😂😂 mtashenyetwaaa mpakaa mseme
@allymiami2219
@allymiami2219 8 күн бұрын
katafute pont kwanza
@AdinanKatunzi
@AdinanKatunzi 8 күн бұрын
Unalazimisha uongo kuwa ukweli ili upate ugali wa familia yako??! Habari ya mjini ni yanga semeni atakuja mwingine mtasema pia.
@hktv6283
@hktv6283 8 күн бұрын
Sema Hawa host wa kipindi ni wajuaji sana yaani wanauliza swali lakini na wao wanataka kujibu tena. Hebu wachague jambo Moja, kama wanataka kuchambua waachie watu wengine wahost.
@JacobEzekiel-s8q
@JacobEzekiel-s8q 8 күн бұрын
Wanafiki
@BarakaBoasi
@BarakaBoasi 8 күн бұрын
Gamond ndio kachangia timu yetu kufanya vibaya wachezaji kushuka viwango nigamond huyo huyo
@SaumuSaidi-z2v
@SaumuSaidi-z2v 8 күн бұрын
Sio shindano walizokuwa wanatumia?
@gervaslukaya
@gervaslukaya 8 күн бұрын
Msimalize maneno nyie wachambuzi
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 505 М.
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 10 МЛН
My scorpion was taken away from me 😢
00:55
TyphoonFast 5
Рет қаралды 1,6 МЛН
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 37 МЛН
RAIS_WA_YANGA AKUBALI YAISHE!
3:58
MEDIA 12
Рет қаралды 7 М.
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 505 М.