HUEZI KUAAMINI VITU VILIVYOMO NDANI YA PANGO LA KUTISHA

  Рет қаралды 13,329

ZINJIBAR TV

ZINJIBAR TV

Күн бұрын

Пікірлер: 26
@mudathirmkubwamselem5650
@mudathirmkubwamselem5650 3 жыл бұрын
Dada mbona ilopang lakawaida tuu halitishi😂😂😂
@khalidtv6200
@khalidtv6200 3 жыл бұрын
Wapelekwe watu wa fani ya archiology wafanye tafiti katika hayo mapango wanaweza kujua umri wake,pia wanaweza kupata vitu mbalimbali vya kale na kujua yalitumika kwenye Zama zipi na Karne ipi na utawala upi.Ahsante
@radhyiawamburah2394
@radhyiawamburah2394 4 жыл бұрын
SubhanaAllah mimi na mapango ni pamba na moto🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
@aishasaid5702
@aishasaid5702 4 жыл бұрын
Hahaha haha nimecheka kwa sauti wallahi eti nikiripoti kutoka chini ya pango
@thuwaybah5679
@thuwaybah5679 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@zanzibarsmzenji
@zanzibarsmzenji 4 жыл бұрын
Watakuja wazungu, mwisho utasikia wao ndio wavumbuzi
@abubakaromar14
@abubakaromar14 3 жыл бұрын
Allahu Akbar ... Allah Hana mfano Watu kueni serious kidogo ingieni tu alaf mkirudi limejifunga😂😎🤔
@kareemalamoody6345
@kareemalamoody6345 4 жыл бұрын
Usifananishe na maji ya zam zam
@furahamossi3199
@furahamossi3199 4 жыл бұрын
Subuhanallah jamani dunia inamengi
@ramsonmadoro1677
@ramsonmadoro1677 2 жыл бұрын
Maji ya zam zam ni Maji pekee mjomba kunywa yatakuumiza lkn zam zam Safi kabisa,
@samahabrahman4839
@samahabrahman4839 4 жыл бұрын
Allah akbar
@aishaaisha4695
@aishaaisha4695 3 жыл бұрын
Subhanallah allah anamajabu yake
@yashjuma9168
@yashjuma9168 4 жыл бұрын
very nice
@aishasaid5702
@aishasaid5702 4 жыл бұрын
Ata cku moja cwezi hapo mtaniwiya radhi humo siingii tulienda Mangapwani niliishia nje tuu
@abuhaniyaruqya
@abuhaniyaruqya 4 жыл бұрын
vipi unasema ati hiyo maji haina tofauti na maji ya zamzam.
@aishasaid5702
@aishasaid5702 4 жыл бұрын
Subhannallah hahaha hahaha hahaha hahaha mmenichekesha nyie
@fatmaaly3056
@fatmaaly3056 4 жыл бұрын
Mimi siwez hta siku moja
@mwakahassan8742
@mwakahassan8742 4 жыл бұрын
Mmmm mm naogp mashetani hayakosi apo
@adamally6
@adamally6 4 жыл бұрын
ss mnataka watu waje kutalii hlf mnawatisha mnasem kunatisha
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 3 жыл бұрын
HAMNA KAZI ZA KUFANYA WANAFIKI
@rashidyunus1835
@rashidyunus1835 4 жыл бұрын
HILI PANGO LINAPATIKANA WAP
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 3 жыл бұрын
WACHENI UNAFIKI WENU HAMNA KAZI ZA KUFANYA
@hamidmohamed7806
@hamidmohamed7806 4 жыл бұрын
Huyo mwanamke alosema kunatisha hafai anaharibu baada ya kusifia yeyé anaongea vitisho upuuzi hajui kusifia
@othumanichabai2906
@othumanichabai2906 2 жыл бұрын
Wajinga nyie
@faridahalil536
@faridahalil536 4 жыл бұрын
Sasa hayo maji alikua na uhakika gani kama ni yakutibu mtu maradhi ya kila aina.
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 4 жыл бұрын
Acha mambo yako ya kishetani wewe maji ya kawaida to .hayo ya unyev wa mawe
The Story Book : Mizimu Ndani Ya Pango La Ngonga Zanzibar
30:04
Wasafi Media
Рет қаралды 244 М.
Who is More Stupid? #tiktok #sigmagirl #funny
0:27
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 10 МЛН
ВЛОГ ДИАНА В ТУРЦИИ
1:31:22
Lady Diana VLOG
Рет қаралды 1,2 МЛН
Hilarious FAKE TONGUE Prank by WEDNESDAY😏🖤
0:39
La La Life Shorts
Рет қаралды 44 МЛН
I'VE MADE A CUTE FLYING LOLLIPOP FOR MY KID #SHORTS
0:48
A Plus School
Рет қаралды 20 МЛН
Who is More Stupid? #tiktok #sigmagirl #funny
0:27
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 10 МЛН