The Story Book : Mizimu Ndani Ya Pango La Ngonga Zanzibar

  Рет қаралды 246,260

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 578
@barekesteve8679
@barekesteve8679 3 жыл бұрын
Nakumbuka mtiga alivyo toka the story book jamal alituahidi kwamba the story book inaenda kuboreshwa nakua nzuri kuliko zaman kama unaamini amefanikisha kauliyake basi tujuane gonga like
@Serge123
@Serge123 3 жыл бұрын
Nikweli
@ibrahimrashid3400
@ibrahimrashid3400 3 жыл бұрын
upo vizur san hongore
@mzenjikichaa8695
@mzenjikichaa8695 3 жыл бұрын
Uwakika
@ognazymusic5754
@ognazymusic5754 3 жыл бұрын
Story nyingine lin
@OmaryMpilikene
@OmaryMpilikene Жыл бұрын
Kama kwel gonga like
@salummzee9739
@salummzee9739 Жыл бұрын
Allah atuongoe njia ilionyoka akuepushe na fitina za shirki na fitina za dunia mitihan hii
@ramazecha2877
@ramazecha2877 3 жыл бұрын
Tumuamini mungu sio waganga Allah yupo pamoja na ssi wanadamu
@BigZhumbe
@BigZhumbe 3 жыл бұрын
Waganga ndio Madaktari wa Asili.... ukimkataa mganga na Hospitali usiende koz utakua unamkosea Allah
@makonenyamumbo-st2je
@makonenyamumbo-st2je Жыл бұрын
Napenda Sana mizimu tunaishi vema Sana na mizimu kutoka Kenya
@josephgitau169
@josephgitau169 3 жыл бұрын
Binadamu ni binadamu tu maana anasifa za kibinadamu. wengi wataamini, wengi watapuuza maana hawajui maana japo wanapewa MAANA. Usifananishe historia ya lolindwo na historia za kale. BIG UP JAMAL. KUMBUKA KURUNDISHA MKONO KWA BABU.
@SA-xj8hc
@SA-xj8hc 3 жыл бұрын
Waganga ni wasanii kama wana sanaa wengine
@nayadmason6015
@nayadmason6015 3 жыл бұрын
hii story itasababisha makundi ya watu kwenda uko kufanya shirki kwa walio na imani izo za kishirikina ili kutafuta mali.. Nawasihi ndugu zangu mungu pekee ndio anaetoa riski kwa mwanadamu sio mizimu wala majini. Na wala hakukosea kutuumba maskini na matajiri tushukuru na tulichojaaliwa.
@abdikanzu5261
@abdikanzu5261 3 жыл бұрын
Kwel mungu anatosha kwa kila jambo
@mbezzoprince9462
@mbezzoprince9462 3 жыл бұрын
Acha ukumbavu wew uspotoshe wenzako sisi niwa Africa
@adilaamani7027
@adilaamani7027 3 жыл бұрын
@@mbezzoprince9462 kwaio waafrica hawaamini mungu au
@WachajiWaForo
@WachajiWaForo 3 жыл бұрын
Kuwa kwangu muafrika haimaanishi kumshirikisha Mungu wangu. Pia kumbuka ukimuomba Mungu hataki malipo ila umshukuru lakini ukiwaomba majini utalazimika ulipie na ukikosea masharti unaanza kuumia duniani na akhera pia. Jamal umetuonesha mambo ambayo hatukuyajua kabla. Nawe hukufanya matambiko kwa sababu ya imani yako lakini umesahau kuwaonya watazamaji wako ya kwamba umewaonesha wajue tu na sio wafuate. Nakukumbusha.
@mbezzoprince9462
@mbezzoprince9462 3 жыл бұрын
@@WachajiWaForo acha kujidanganya wew we wafikiri mungu alikuja juzi kumbuka mungu alikua kabila ata izo dini zenu zakikumbuvu kuja ukumbuke watu walikua wanamuomba mungu wala sio god na hizo ng'ombe zengne
@yuscostainless5770
@yuscostainless5770 3 жыл бұрын
Jiwe aliwezi kua la kuombwa wa kuombwa ni Allah subhanna wataallah na yeye ndiye mpangaji na yeye ndio mpanguaji ametakasika mwenyezi mungu mlezi wa walimwengu wote
@kanomwalami6591
@kanomwalami6591 3 жыл бұрын
Hakika ndugu
@alejpapsyoh809
@alejpapsyoh809 3 жыл бұрын
Wallaii
@Max9_captain
@Max9_captain 2 жыл бұрын
fact
@leylasalim9380
@leylasalim9380 Жыл бұрын
Naam
@abbacali720
@abbacali720 3 жыл бұрын
Kumbe Maalim Seif urais hakuutaka angeutaka angeenda huko
@internetviralvideos9064
@internetviralvideos9064 3 жыл бұрын
Hilo jiwe na kambi ya uyo mzee mzimu mwwewe uombe Mr story book uombe uwe mtangazaji mkubwa Afrika.
@esthelamonica7022
@esthelamonica7022 Жыл бұрын
🤣🤣
@ruu6592
@ruu6592 3 жыл бұрын
Ishara ya kua Kuna majini ni ao popo wengi mm apana Asante
@Pedeshee01
@Pedeshee01 Жыл бұрын
Duh
@michaeljpm5597
@michaeljpm5597 3 жыл бұрын
Jamali nimekubali Sanaa, amini kwamba Kila kitu kinawezekana, nasubili Sana Kilimanjaro njia ya tatu🙏🙏🤜🤛
@rosemofuga8101
@rosemofuga8101 3 жыл бұрын
Good boy brother Jamal,wat l believe ni kwamba unatakiwa kutodharau imani ya mtu mwingine ila la muhimu ni kusikiliza na si kubeza ni kusikiliza tu
@dj26number2
@dj26number2 3 жыл бұрын
Izo ndizo Dini zetu Waafrica sio izi nyingine asili🇹🇿❤️
@meschackvilsing269
@meschackvilsing269 3 жыл бұрын
Asante sana🙏🙏🙏 kaka kazi nzuri sn naku fatilia toka Kongo DRC 🇨🇩🇨🇩✊✊🇹🇿🇹🇿
@godfreymtazama4581
@godfreymtazama4581 3 жыл бұрын
Profesa adithia na machief wetu Kama nyungu ya mawe mkwawa mirambo na wengneo🙏🙏
@zainulabidiendhulfikar7398
@zainulabidiendhulfikar7398 Ай бұрын
Profesa kumbe una sauti nzuri sana hivyo ❤❤
@mwidadiabdalla3564
@mwidadiabdalla3564 3 жыл бұрын
Jamal huu ujasiri si wakawaida. Mungu azidi kukulinda
@evanccast6228
@evanccast6228 11 ай бұрын
Mwamba nakukubali Sanaa 🙏🙏
@tinasamo2403
@tinasamo2403 3 жыл бұрын
Jamal mbona Kama unafurahia kukutana na mizimu😂... your stories are fantastic
@filomenabarongo693
@filomenabarongo693 3 жыл бұрын
I like you Jamal.Napafananisha na pahala fulani nilikoenda kutembea zenj 👏🏾👏🏾
@tajirimo1353
@tajirimo1353 3 жыл бұрын
Kama namuona vile January akitaka kutoka fasta but inashindikana. big up Proffesor
@mwanaidsalehe1109
@mwanaidsalehe1109 3 жыл бұрын
Hongera sana jamali yaani mim napenda sana the story book.
@evelynemoses5131
@evelynemoses5131 3 жыл бұрын
Unazidi kutufahamisha dunia ilivo mungu akupe maisha marefu
@jumabahasha8831
@jumabahasha8831 3 жыл бұрын
Kwanza hapana bud kumshukur mungu kwa kuwenza sha kuni faniki sha hiloo. Asant ' Ila ume tusimuliya story hata ambaye sisivwa zanzibar wenyewe hatu zielew' Hap tuliskiya mache che ulo jifunza hap ki ukweli yale maelezo ambaye kuwa tuna kuwa tuna skiliza kutoka nana una cho jifunza haya kututo sheleza ime kuwa ni mfup tuna itama niendelee mm ni mzanzbr halis
@kangoabdhallah333
@kangoabdhallah333 3 жыл бұрын
Oh jamal here you go again,big up the son of Africa
@BashiriGaliogela
@BashiriGaliogela 10 ай бұрын
Tuletee story mahalanga wa s/afrika
@mayaindeed4864
@mayaindeed4864 3 жыл бұрын
Me kinacho nichekesha kwa mambo ya waganga eti ukiomba unafanikiwa ok kwanini usiombe wewe kwanza ukawa na maisha mazuri na majumba 😂 na ukaomba kwajil ya nchi yako uone akuna mtu au kitu cha kuomba isipo kuwa MWENYEZI MUNGU ❤ only
@elibarikimiage6204
@elibarikimiage6204 3 жыл бұрын
Mganga hajigangi
@HadhirNAli-hy4ni
@HadhirNAli-hy4ni 3 жыл бұрын
Hahahaha😂
@charleskhan7491
@charleskhan7491 3 жыл бұрын
Nakufanikiwa mpk nyota ndug
@yasiralkindi5332
@yasiralkindi5332 3 жыл бұрын
@@charleskhan7491 basi waganga wote ndo hawana nyota😂😂😂hio ni shirki jamani
@faithe4063
@faithe4063 2 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akulinde kweli,unatairisha maisha yako sana
@josephatmbena8886
@josephatmbena8886 2 жыл бұрын
I like that broo ✌️✌️
@techtelecoms9308
@techtelecoms9308 3 жыл бұрын
Kipi Allah anawatuma mitume wake alifahamu kua Kuna uchwi na alifahamu kua Kuna majini na sifa ya Allah ni kumletea mja wake ujumbe kwa njia tofauti wengi wetu tutaanza kumuona Jamar kama mtu mbaya lakini yeye anazungumzia kile kilichopo, mengi yamepita na mengi yatapita ili tujifunze ni lazima tujueh yaliyo pita na ndo maana ata katika vitabu vya dini Kuna adithi mbali mbali, inapswa kila mmoja kushikilia Iman yake, Mimi nilimuelwa vyema Mr. Jamar kua (akukubari kile alicho abiwa na Wala akupokea mashart aliyopewa kwa maana dini yake haimruhusu) hvy ndivyo alivyosema.
@kasimumughuna201
@kasimumughuna201 3 жыл бұрын
Nimeupenda ujumbe wako wa mwisho kwa serikali japo sjui Kama watafanyia kaz
@carolmuchiri9921
@carolmuchiri9921 3 жыл бұрын
Heehee Shetani kweri ni Muongo, Wewe Mwenyewe Mzee Wa Onekan Waka Maisha Ya Kichochori Mbona Hizo Mizimu Hazija Kutajirisha Jameni, Samahani Kama Nime kosea, Lakini Jameni Geukiieni Mwokozi Yesu Tu Ndo Mwenye Mambo Mazuri na ya Uzima 😢♥️🇰🇪
@talentdj8961
@talentdj8961 3 жыл бұрын
Siku zote waganga wa kweli hawapo kimslahi kama wa mjini yupo kwa ajili ya kusaidia watu
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 3 жыл бұрын
Haa haaa uongo mtupu Mzee na wewe siungeomba uwe Rais wa Zanzibar 🤣🤣🤣😂
@ahmadmadaai1357
@ahmadmadaai1357 3 жыл бұрын
Ww yesu kakuoa lini tupe mfano bas yy mwenyew yeu kaomb aokolew atawez kumuokoa nani
@JohariMadua
@JohariMadua 20 күн бұрын
We yesu wako kakutajilisha??
@arnoldlusambo3921
@arnoldlusambo3921 3 жыл бұрын
brother unajua sana unaelewa kazi yako unajua ni kitu gan kinatakiw kifanyike ili watazamaji wafurahi nakupa100%
@abdulrahmanhassan9254
@abdulrahmanhassan9254 3 жыл бұрын
Wamaakafara Suleiman, walaakilla shayatun kafarun lialimuna nas sa siihir . Na wala hakukufuru Suleiman ( Solomon ) bali ni mashetani ndio waliokufuru kuwafundisha watu uchawi. Suratul Al bakra
@kelvinonyango9379
@kelvinonyango9379 3 жыл бұрын
Hapo kupandisha shetani nishidaa kwa kweli bundi niachieni duur big up
@Sara-ne3xl
@Sara-ne3xl 3 жыл бұрын
Okokeni Mumuamini Bwana Yesu muachane na mambo hayo
@sumeiyamaddy95
@sumeiyamaddy95 3 жыл бұрын
Mali za mizimu sio nzur Mara unalale na babako mamako kakako dadako yanii ushetani uchafu mambo ambayo hayapendez wa mungu Wala jamiii mungu tupe rizki za halali
@HashirBakari
@HashirBakari 4 ай бұрын
Huu ni ushirikina mungu awalani maan hawa wana mila potofu
@abuushuraih3809
@abuushuraih3809 3 жыл бұрын
Pamoja na hayo ndugu zangu ya Kuwa Wapenzi wa Kufuatilia The Story book Napenda Kuwanasihi Watazamaji Wote Ya Kwamba Hizo ni Imani za Kishirikina haifai kwa Muislamu Kuwa Ni katika hao,,,,Ni dhambi kubwa inayomtoa mtu Katika dini,,,,,Kaka Jamali na Waislamu Wote Muliokuwapo katika Hy ngoma munapaswa muombe Msamaha kwa Allahu kwa sbb hamkupaswa kuhudhuria hapo kwenye ngoma.
@yasinali4377
@yasinali4377 3 жыл бұрын
Yupo kwenye kazi jamal ila kiukweli hakuna ukwel wwte na niupuz kuwa na fkra hz kwakweli
@salumjrsaidjr7150
@salumjrsaidjr7150 2 жыл бұрын
Wsf Tv Lubumbashi DRC Jamalli Merci !!
@julaynicholaus
@julaynicholaus 3 жыл бұрын
Ningekuwa na pesa ningekupa kama zawadi yangu Jaman kwenye ulimwengu wameletwa kwaajil ya kuwaelimixha wengine hongera sana Jamary
@mattarjaiskel4625
@mattarjaiskel4625 3 жыл бұрын
Allahumma Salim. Wallahi ni shirki tupu.
@davidphidelis2553
@davidphidelis2553 3 жыл бұрын
Alafu we mtangazaji unachokoza vitu visivyochokozeka....shauri yako
@hamedabashir9
@hamedabashir9 3 жыл бұрын
Jamal km jamal fanta kz mm binafsi nakupenda mno💕💕❤️❤️😍
@beladangoteissa3123
@beladangoteissa3123 3 жыл бұрын
Thanks kwa elimu nzuri big brother.
@salumongajunior419
@salumongajunior419 3 жыл бұрын
All the way from South Africa nakukubali sana mzee Jamal
@MOHATVKENYA
@MOHATVKENYA 3 жыл бұрын
Gonga like kama umekubali the story book 💥💥💥💥💥💯💯💯💯💯💯
@mbukechagu2955
@mbukechagu2955 3 жыл бұрын
Nakukubali sana kaka angu unakaz nzuri na unafafanua vizur sana kaz yako m/mungu akuzishe zaid ya hapa
@mafungarose5734
@mafungarose5734 3 жыл бұрын
Be safe Jamal, we love and still need u,places zingine aah aah,much love from kenya
@shantylove8944
@shantylove8944 3 жыл бұрын
Aki hii ni kurisk maisha imagine
@cornelytv2839
@cornelytv2839 Жыл бұрын
@bravehunter4935
@bravehunter4935 3 жыл бұрын
Zanzibar inawatu wa aina tofauti Kwaiyo Ikiwa tofauti ya Huyo Mzee Na kikundi Chake Wanafanya tabia hio, ibaki Kusema ni hao tu wenye itikadi hio
@anthonykyalo7756
@anthonykyalo7756 3 жыл бұрын
Jamal waifanya kazi zur pogezi Kwa kazi yako.
@joelmwita3592
@joelmwita3592 3 жыл бұрын
Nakupongeza kaka, KAZI nzuri Sana umetuelimisha
@arafatkasu
@arafatkasu 10 ай бұрын
From Africa kusini love professional je
@helenkambi3918
@helenkambi3918 3 жыл бұрын
Huo ni ushirikina Mwenyezi Mungu awalani
@BigZhumbe
@BigZhumbe 3 жыл бұрын
Wakulaaniwa ni nyinyi mnaokataa mila
@nickalreadyknows
@nickalreadyknows 3 жыл бұрын
@@BigZhumbe shirkiiiii ushirikina
@BigZhumbe
@BigZhumbe 3 жыл бұрын
@@nickalreadyknows Shirki ni neno la kiarabu tumia kiswahili
@saidhmuhammad5567
@saidhmuhammad5567 11 ай бұрын
Hizi ndio shirki kubwa na kosa la shirki hausamehewi na Allah mpka ufanye toba ya kisawasawa..ALLAH ATUEPUSHE NA MAMBO HAYA
@josephkondola9654
@josephkondola9654 3 жыл бұрын
Daaaah nakubali professor kwa elimu ubarikiwe
@indivirabonnymatenje7290
@indivirabonnymatenje7290 3 жыл бұрын
One day I will visit this place God help me
@faa0099
@faa0099 3 жыл бұрын
Hahahahaha😂😂😂 shetan uyo ok naish znz but hata sijuw vitu hivi kma vinapatikana that's good jamaal uko vizur kwa kutafuta story mashallah utafika mbali
@lawrenceshakespeare8946
@lawrenceshakespeare8946 3 жыл бұрын
jamal april big up doing great work
@ushindiedouard2893
@ushindiedouard2893 3 жыл бұрын
Ok asante kwa kazi nzuri uko naifaha
@ellywillisgotora1473
@ellywillisgotora1473 3 жыл бұрын
Jamal una akili nyng sana mzee hongera sana kwa simulizi nzuri kama hii
@lariahneema6362
@lariahneema6362 2 жыл бұрын
Uamini mungu ndie mlinzi wako
@SprianMwenda
@SprianMwenda 5 ай бұрын
Bikap jamal ✊✊✊
@timetravellor5367
@timetravellor5367 3 жыл бұрын
Thanks for publish our country
@riziwanially6324
@riziwanially6324 3 жыл бұрын
ila wakupe kazi ya kusimulia na kuelezea utarii wa ndani na vivutio kwa ukubwa zaidi
@ankallypandu8294
@ankallypandu8294 3 жыл бұрын
Safi sana kwa ujumbe wako mzuri
@MAISHAYACROATIA
@MAISHAYACROATIA 3 жыл бұрын
Umetisha
@fettyabiola1389
@fettyabiola1389 3 жыл бұрын
Fact: stori huwa zinatisha na kuhamasisha kuliko uhalisia😂😂😂, ila jaman elimu muhimu
@msolekaonlinemedia
@msolekaonlinemedia 3 жыл бұрын
Ushirikina wa hali ya juu yaani mm niliombe jiwe khaa
@joleenmasha
@joleenmasha 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣eti uliombe nini?
@benbyno8858
@benbyno8858 3 жыл бұрын
Naomba pia ufike Kakamega, Kenya Uyaone maajabu
@asianassor3216
@asianassor3216 2 жыл бұрын
Kunanini
@nassircalale1860
@nassircalale1860 2 жыл бұрын
Nakukubalii sanaaaaa professor
@waheedahtanzania4912
@waheedahtanzania4912 3 жыл бұрын
Nilitamani kufahamu private ya maisha yako alokwambia jini wa mganga 😄ila umetuficha tusifaham,
@rasoulyalgalaxy5610
@rasoulyalgalaxy5610 3 жыл бұрын
Unatok nje ya topic bob..achana na mambo ya utalii wa ndani n focus on story. Base na story deep. Zama deep deep deep ,
@simbamnyama2589
@simbamnyama2589 3 жыл бұрын
Unaijua nature? Ama asili na halisia ? Incase hujui hv ndo tunataka sisi..
@lariahneema6362
@lariahneema6362 2 жыл бұрын
Jamal kazi unayo mwaaaaah
@ahmedaziz7853
@ahmedaziz7853 3 жыл бұрын
Wanamzungumzia Joyce banda alikua raisi wa malawi 2012
@jaypmunyamaofficial3488
@jaypmunyamaofficial3488 3 жыл бұрын
Hii sijaipenda anasimlia mwingine naomba sauti yalo
@adamjuma3231
@adamjuma3231 3 жыл бұрын
Professor Jamal ww ni genius
@aminasaid8462
@aminasaid8462 3 жыл бұрын
Jamal nakubal bro
@ahmedmiraji877
@ahmedmiraji877 3 жыл бұрын
Hivi ni viumbe kama viumbe vingine, ni majini hao sio mzimu hakuna kitu mzimu ni majini yana chezea watu kwa kafara za kijiinga unapooenda kwa mganga, mganga nae anaomba msaada kwa mizimu (jini) ili usaidiwe asa jini ili hakufanyie jambo lazima utumize jambo lake ambalo ni kukudharirisha binadamu kwanza. atakuambia kalale na dada yako au leta damu na kadhalika ukitimiza asa yeye anakufanyia hiko utakacho. ila hakuna kitu super natural kwako ni super natural ila kwa jini ni kawaida. mfano wewe vs sisimizi. simimizi hakuombe maji wewe umuambia mlete mkee wako lala nae hakisha fanya hivyo sisimizi wewe una mchotea maji ndo nzima unampaa asa kwa sisimizi na ndoo ya maji hataona umemufanyia makubwa saaana. hizo shiriki jamani muombeni Mungu inatosha
@christonchristian7448
@christonchristian7448 2 жыл бұрын
sio jini ni roho za miungu au wafu ambapo hao majini huwa ni malaika waovu huja katika roho na mwili pia njuavyo
@ahmedmiraji877
@ahmedmiraji877 2 жыл бұрын
@@christonchristian7448 hakuna malaika muovu wewe acha kupotosha watu.
@christonchristian7448
@christonchristian7448 2 жыл бұрын
@@ahmedmiraji877 kwan hujui kwamba shetan alikua makaika na akamwasi Mungu ndo uovu huo...anyways its personal understanding U know!!!@
@ahmedmiraji877
@ahmedmiraji877 2 жыл бұрын
@@christonchristian7448 najua thats version of Christian side
@christonchristian7448
@christonchristian7448 2 жыл бұрын
@@ahmedmiraji877 good 💪💪💪💪
@zuhuraamri5344
@zuhuraamri5344 3 жыл бұрын
Safiii sanaaa Jamal..unastahili upewe ubalozi wa utalii naamini utaitangaza Tanzania ipasavyo..mimi binafsi nilikuwa sifahamu kama kuna pango kama hilo...ina maana tourism board ya zanzibar na bara hawatambui uwepo wa hilo pango?..mlima knjaro umeshaongelewa sanaa tangu enzi na enzi..sasa ni wakati wakutangaza vivutio vingine tofauti..big up bro👍🏾🤝🏾
@samwelhaule8941
@samwelhaule8941 2 жыл бұрын
Iyo ni Siri si awajui msije pishana na vigogo uko simesikia raisi wa Malawi kapata hapo 😄😄😄😄
@kotadapotar5094
@kotadapotar5094 Жыл бұрын
Nakukubari Jamal April 🙏🇹🇿🇬🇷
@geofrymutuse4008
@geofrymutuse4008 3 жыл бұрын
Hawa wajamaa wakuabudu ndini wanapenda sana maswala ya uchawi majini
@ramayasly4584
@ramayasly4584 3 жыл бұрын
Allah atunusulu
@hqblockbusterriomedia3912
@hqblockbusterriomedia3912 3 жыл бұрын
Ameen
@robathcarlos8068
@robathcarlos8068 3 жыл бұрын
Jaa una piga kazi nzur Sana
@tahirwakhu5063
@tahirwakhu5063 Жыл бұрын
Jamaal the great ❤️ to you
@wilgrisernest2184
@wilgrisernest2184 3 жыл бұрын
Aise safi sanaa
@manasadunia3458
@manasadunia3458 3 жыл бұрын
Hilo pango nzuri kuja kutarii lakini ukifikilia kuingia kwenye pango mmmh
@saidomar1408
@saidomar1408 3 жыл бұрын
Uchawi mtupu Allah akulaanini nyote washenzi
@fatoomaaziz2549
@fatoomaaziz2549 2 жыл бұрын
Amini yaarab amini
@ramiyam-lr8bv1um2g
@ramiyam-lr8bv1um2g 13 күн бұрын
Ning itikia Ila haifai kulaani ovyo
@fakiibabalao4185
@fakiibabalao4185 3 жыл бұрын
Wa kwanza leo
@tygatooraww6543
@tygatooraww6543 3 жыл бұрын
Huyu Proffesor ni zaidi kama vile maziwa ya asses matamu aisee huyu jamaa anaweza Story anatoaga za kweli hadanganyaji ni zaidi proffesor uyo Jamal April Wise Jamal
@micamathew2595
@micamathew2595 3 жыл бұрын
Hapana mi mambo ya kiushirikina kwakweli sipo. Mimi ni wa YESU TU. ANATOSHA.
@mkmkjj
@mkmkjj 3 жыл бұрын
Amen, YESU ATOSHA
@aldiphoncealbogast5372
@aldiphoncealbogast5372 3 жыл бұрын
Uko sawa Jamal serikali itambue hiki
@ausoniusrugaba3248
@ausoniusrugaba3248 3 жыл бұрын
Story nzuri na ya kuvutia.
@sharinv8864
@sharinv8864 3 жыл бұрын
Jamal pls take care brother good work love you.
@kambiyusufu7709
@kambiyusufu7709 3 жыл бұрын
Mtu asije akajalibu kuniomba like jamani
@prettypretty9745
@prettypretty9745 3 жыл бұрын
Mwisho wa siku Jamal apewe uwaziri wa utaliii bwana maana historia anazijua na anazifatilia kuliko hao mawaziri hongera sana mie mzanzibar Ila kwa Mara ya kwanza ndio naona Mambo haya
@swaumuhassan8089
@swaumuhassan8089 3 жыл бұрын
Mimi nataka kwenda jamali unanisaidiaje
@kurumwagodfrey7052
@kurumwagodfrey7052 3 жыл бұрын
Jamaal fundiii Sana mkuuu
@abulfuluss8739
@abulfuluss8739 3 жыл бұрын
Hii ya leo ni ya shirki hii hamna makosa. inahamasisha watu kumshirikisha Allah
@BigZhumbe
@BigZhumbe 3 жыл бұрын
Huo ni ujinga kila watu wanaasili zao na kufuata asili sio kosa......
@BADILIKA
@BADILIKA 3 жыл бұрын
@@BigZhumbe Sio kosa kwako ila Kiislam ni Kosa kubwa
@BigZhumbe
@BigZhumbe 3 жыл бұрын
@@BADILIKA Hilo ni kosa lakini kutoa kafara kwa ajili ya Allah kila mwaka sio kosa????? Kama hujui kafara ya Allah inatolewa lini fuatilia maelezo kuhusu Iddi ya kuchinja (Eidul Adh-ha)
@YOUNGBROJA
@YOUNGBROJA 3 жыл бұрын
I need to come to this place for sure
@hashilalkharusi5926
@hashilalkharusi5926 3 жыл бұрын
Take me please i want to go there😊
@harrietosindi4592
@harrietosindi4592 2 жыл бұрын
Wen you go take me along please
@brayankennerd6571
@brayankennerd6571 3 жыл бұрын
Super idea
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 108 МЛН
The Story Book: WAMASAI na Mila za Ajabu za Makabila Ya Waafrika.
49:20
JE! ULIDANGANYWA HISTORIA YA ZANZIBAR- MANGAPWANI?
19:50
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 75 М.
The Story Book: Watu wenye uwezo Usio wa Kibinadamu.
31:02
Wasafi Media
Рет қаралды 709 М.
The Story Book: TSUNAMI ‘Wimbi la Kifo’
29:07
Wasafi Media
Рет қаралды 457 М.
#TheStoryBook MATESO MAKALI YA UTUMWA (SEASON 02 EPISODE 02)
22:17
Wasafi Media
Рет қаралды 583 М.
The DRC crisis , is Africa on the verge of a regional war?
26:29
TAFFY THEMAN
Рет қаралды 3,1 М.
The Story Book: MOBUTU ‘Dikteta Aliyewafilisi Wakongo’
44:00
Wasafi Media
Рет қаралды 747 М.