Mashaa-Allah Allah akuzidishiee elimu yenyee manufaa uziidii kutuelimisha na akupe umrii mrefuu Wa afya amin
@fatumahirbotuke16635 жыл бұрын
Ma shaa Allah shukran jazak Allahu kheir sheikh Izudin Allah akupe kila LA kheri pamoja na familia wako...nikisikiza mawaidha yako Naskia raha sana Na sauti yako ma shaa Allah
@abuomar49295 жыл бұрын
Hadith: "Mann alaqa tamimatan faqad ashraka, Mwenye kuvaa hirizi ameshirikisha".
@Fetty-i1v5 жыл бұрын
je ni hirizi ya aina gani kwa mifano ya sheikh hapo?
@ramangadu64514 жыл бұрын
Hirizi Gani
@mamduhjumaan5915 Жыл бұрын
Hadith ya wazi na swahih, " Mann alaqa tamiimantan faqad ashraka" mwenye kuvaa hirizi ameshirikisha.. kwanini Sheikh utoe mifano huku na kule bila dalili kutoka kwa hadith na kulingana na dini.. huo ni ushirikina wa wazi wazi.. Sheikh hapo umepoteza watu kufanya ushirikina.. Anayelinda ni Allah na tumeelezwa na dini yetu vile mtu atajilinda .. sio kuvaa vitu.. huezi sema ati mtu amepewa kitu avae kwa madhumuni fulani kisha asikitegemee?? Kwani takua amekivalia kwa madhumuni gani mengine... huo ni ushirikina wa wazi.
@زينببنتسعيد-د9ح5 жыл бұрын
Shukraan jazzakah Allahu kheir sheikh wetu naikubali hii ya haba soda na kuiweka Quran karibu na mtoto hata mm nishaambiwa kufanya,Mwenyezi Mgu azidi kukupa elmi nasi tufaidike.
@jafarbalagha4415 жыл бұрын
اتق الله قال علي رضي عنه لو کان الدين بالراؑي لکان اؑسفل الخفّ اولی بالمسح من اؑعلاها"يا شيخ اتق الله في دعوتک فکاؑنک تردّ قول النبيّ ﷺ قال ﷺ من علّق تميمة فقد اؑشرک سبحان اللّه!
@ismailkaburu62745 жыл бұрын
Jazakaallahu kheri shieikh aisie kuelewa wewe atumuelewa mtu mwengine yoyote Allah akuripe kheri inshaallah
@khadijamakau66894 жыл бұрын
Hayafai sheykh husijibu maswali na hawaa zako..quran nitiba kwakusoma-kusomewa(ruqya) sikujikinga na kuishika ama kuitundika, abbat sauda nidawa kwa kujipaka..ogopa allah kwakujibu maswali(fatwa) husijibu kwa hawaa zako.
@hasani-mq6ei3 ай бұрын
Hirizi ni shirki sheikh unawapotosha kwa Nini ifikie huko hii kutoamini Allah
@MohamedMohamed-sc5oe5 жыл бұрын
Akhi ilmu yako ina tashwishi nakusihi ufate watu wa sunnah ukasome tawheed.. Una nahw lakini ilmul quran na tawheed huna wala hadithi pia wazisoma lakini huzielewi.. NAMUOMBA ALLAH AKUPE NUR AKUONGOZE uione HAQQI na akujjalie tawfiq uifuate na akuonyeshe baatil na akuoneshe njia ya kuiepuka.. Nakupenda sheikh lakini hapa kwa hirizi nakupinga 100%
asalam alaykum ndugu zangu katika Imani naomba kuliza kuikopi iyo Quran au dua tunaikopi kwa wino gani ? peni za kawaida au?
@pembayetu5 ай бұрын
Sheikh Quran inakua Kinga ikisomwa au ikivaliwa? Mtume ameelekeza Dua na adhkar nyingi tujikinge na tuwajinge watoto wetu, na hakuelekeza kuivaa Quran mwilini kwa ajili ya kujikinga.
@ahmadazubeir51125 жыл бұрын
Kwangu mimi HIRIZI yafaa sana na nishavaa sana,ila kwako wewe unayekataa na kubisha kama kwako haifai poa tuuuu
@mhogomchungu71685 жыл бұрын
jawabu halijitoshelezi na haliridhishi. Kuacha yenye mashaka na hitilafu ni bora zaidi. Masuali mengine bora kusema sijui kuliko kujitwisha dhima ya kuwapeleka watu kwenye shirki
@shaabanmgandi49415 жыл бұрын
As alykm usikosoe shekh na hata sura tul fatha hujui
@saidshamte48925 жыл бұрын
Wallwahi shekh huyu Mimi namuelewa Sana Sana .allwah amlipe wema
@Omar_Sharif_Ali4 жыл бұрын
Subhannallah. Yani kuna watu wengone vichwa zao zuuuuguuu. Hata umwambie vipi bado aesema mtume s.a.w asema MANA ALLAQA TAMIMATAN FAQAD ASHRAKA. Jamanini, hio hirizi ( tamima) waambiwa kama ina maneno ya shirki haifai.. Lkn kama ni maneno ya Allah yafaa.. Na Ustadh alitoa mifano teeele lkn kuna watu wengine wapenda kubishana hata ustadha angetoa hadith swahihi.. Ungeskia tu hio hadith ni dhwaif. Haja sema fungeni hirizi, alisema musikufurishane. Kila mtu kwa itikadi yake
@mamakebiasha48072 жыл бұрын
Umesema apo
@shabanigongo57809 ай бұрын
asalam alaykum ndugu
@SameerMdumbemalongo2 жыл бұрын
Yote ni katika SHIRK.....kuweni makini na shirk jamaaa......shaitan anawachezea .....jamaaaa muogopeni mweny hiii mbingu na ardhi
@kunemamussa76172 жыл бұрын
Wale madaktari wakikupa dawa hauzitumii au kwasababu wale wameyatengeneza wazungu acha mambo yako
@SameerMdumbemalongo2 жыл бұрын
@@kunemamussa7617 acha uboya wewe na wewe ni mfunga mahirizi....??halafu kaaa usome usiuzwe
@abdulraimoaliabduly65625 жыл бұрын
Sheik, nisamehe, sijui kisuhili visuri, inabidi uyangalie masharti ya kiasi ktk ilim ya usulu lfikhi.
@khamisissa2523 жыл бұрын
mche Allah waanza ulinganizi wakishirikina
@aminananjala81205 жыл бұрын
AllahuAkbar.Nami nimepata Elimu kutoka hapo
@ummunusaiba17365 жыл бұрын
Hii sikubali kabisaa. Quran imeshukishwa duniani kusomwa,kufwatwa na kuzingatiwa, si kubebwa na kuzunguka nayo kwa itikakadi kwamba ya kulinda.
@nurdinmfamau99204 жыл бұрын
Ummu Nusaiba .Kukubali kwako Au kukataa kwako Akuhalalishi Wala kukharamisha Sheria. Sheria Nataratibu haimuangalii mtu. Hii ndio ile Kaswida Bida'a Nash'di Inajuzu. Nahalikuwa nikitu kimoja. Tuache Mapenzi Binafsi Nakusoma kwa Wasiosomshwa kwa Wanaojua.
@twalibsaid26146 ай бұрын
Msimamo wako kuhusu gaza ni vipi ?
@abuuhuzayl65495 жыл бұрын
We hauna aya wala hadith ndugu yangu Na we umetoka ktk itiqad sikukufurishi ila umepotea sana tena sana kwan mifano yako yoote ya akili yako.
@twaariqahmad72495 жыл бұрын
We vaa hyo hirizi utaenda kuitaftia majibu hyo hakun ktu ambacho mtume hajakikakilisha katikat dini ss we vaa hyo hrz muache mwenye ulinz wa mbingun n ardhin
@nurdinmfamau99204 жыл бұрын
Abuu Huzayl Aya nahadith zina Mafhum yake. Mnaoyataka nyinyi halali hata kama kharamu Namsiyoyataka Nyinyi Kharamu. Tusikharamishe vitu kwautashi wetu.
@twaariqahmad72495 жыл бұрын
M naona suala la kuvaa hirizi kwaajili ya ulinzi haifai Kwasabab dua zpo usome kumuomba mungu syo uzifunge uzvae
@athumanimaalim60925 жыл бұрын
Wewe waona haifai sabab hizo je waonaje nyumbani kwako ukitoka usome dua tu usitie makufuli mlangon?
@twaariqahmad72495 жыл бұрын
@@athumanimaalim6092 mambo ya dini na hayo makufuli n tofauti kabsa Dua za kujilinda na kukutwa na mabaya zipo kazielekeza mtu hlo la kuweka kufuli mlangoni n sawa ila cyo eti uweke zindiko aidha hayo mahiriz au nini
@twaariqahmad72495 жыл бұрын
@@athumanimaalim6092 mtume kaelekeza dua ya kujilinda na wabaya Sas we kama unatak kuweka hirizi nyumban kwako pamoja na kufuli tayar ushaingia kwny matatizo
@twaariqahmad72495 жыл бұрын
Huyu sheikh mm namfuatilia san ila kwa hili la hirizi hapana Hivi aya ya quran iliyoandikwa katika hyo hirz n ruhusa kuingia nayo mpk chooni
@selemohd90605 жыл бұрын
Kwani iyo kufuli unayoiwekani ya nn na wakat Allah ni mlinzi wa kila kitu kwa mujibu wako utakua unamashaka na Allah ashindwe kuifanya kaz ambayo umeiweka kuful kukufanyia.
@abdallahamad8553 жыл бұрын
maashaallah
@ramadhanimandoa40585 жыл бұрын
Imethibit WAP?mtu kujilind kw kubeba msahaf
@twaariqahmad72495 жыл бұрын
Hapa sheikh inabd upaangalie mara mbili je inafaa kuvaa hirizi kwq ajili ya kujilinda Mtu anapobeba msahaf c kwa ajili ya kujilinda
@Fetty-i1v5 жыл бұрын
naona hapo sheikh amekusudia msahafu ukibebwa kwa ajili ya kinga, ndipo akalinganisha na herizi kikinga...
@abdulraimoaliabduly65625 жыл бұрын
Sheik, inabidi utoe dalili, هذه سبيلي أدعو إلي الله علي بصيرة أنا ومن اتبعني
@Filamumaridhawa11 ай бұрын
Na ww lete yakwako
@salmaalkyumi22705 жыл бұрын
Salallahu alaihi wasalam
@daprince75455 жыл бұрын
Waleikum sana
@salmaalkyumi22705 жыл бұрын
Sheikh ungenifahamisha vzr huo uzi kupiga fundo nikwasabb usipotee hesabu au malengo hasa ni nini?
@goldensparrow15075 жыл бұрын
Kapata mtihani wa maisha.. skiza vizuri mawaidha.
@aishamohammed35475 жыл бұрын
Iyo kupiga uzi mafundo yaitwa tasbihi
@jafarbalagha4415 жыл бұрын
Sheikh mche Allah wazungumza maneno bila dalili uswahili mwingi tu hadithi ya rasulillah man allaqa tamimatan faqad ashraka tuiweke wapiti?
@MohamedMohamed-sc5oe5 жыл бұрын
Swadaqta kaka
@ramangadu64514 жыл бұрын
Mzungu Kuwa Wewe Lakini Chunga Maandishiyako.
@mamduhjumaan5915 Жыл бұрын
Hadith ya wazi na swahih, " Mann alaqa tamiimantan faqad ashraka" mwenye kuvaa hirizi ameshirikisha.. kwanini Sheikh utoe mifano huku na kule bila dalili kutoka kwa hadith na kulingana na dini.. huo ni ushirikina wa wazi wazi.. Sheikh hapo umepoteza watu kufanya ushirikina.. Anayelinda ni Allah na tumeelezwa na dini yetu vile mtu atajilinda .. sio kuvaa vitu.. huezi sema ati mtu amepewa kitu avae kwa madhumuni fulani kisha asikitegemee?? Kwani takua amekivalia kwa madhumuni gani mengine... huo ni ushirikina wa wazi. 11:18
@ahmadazubeir51125 жыл бұрын
Weka vidonge vya malaria mfukoni uone,weka tuu.
@hassankisari57155 жыл бұрын
Iblis anaa maarifa sana kuliko maarifa ya wanaojiita masheikh...
@mwanaishambili2415 жыл бұрын
Mashaallah shukran
@nurdinmfamau99204 жыл бұрын
Chukua Yakini nandio Ilivyo Mtu Asiyejua Jambo Hulipinga jambo kamahilo. Hata Mtoto wako Unapomuelekeza jambo Hulipinga nakukuona niadui. Kumbe nikwa Faida yake. Ukimuona mtu Anapinga Jamba Basi Hajui hilo jambo Hana Ujuze yeye Anapinga tu.
@ahmadazubeir51125 жыл бұрын
Yoote yafaaaaaaa
@bakarymbega63205 жыл бұрын
MAFHUMU ..... .....
@jimjam41625 жыл бұрын
MASHA ALLAH.
@ahmadazubeir51125 жыл бұрын
Usipomfahamu Sheikh utasema kua hirizi ni shirki lakini kama utamfahamu huwezi kupata tabu. Na kitu kizuri kakizungumza Sheikh,tuweni wakweli,tuweni wakweli,tuweni wakweli.
@nurdinmfamau99204 жыл бұрын
Ahmada Zubeir . Hawa jamaazetu Wa Kaswida Bida'aa Nashid' Inajuzu wanachotaka wao kinajuzu wasichokitaka wao Bida'a. Sio khabari ya MOLA na Mtume Wake Aaaaa.
@kalathumizamzam14735 жыл бұрын
Mbona huyu shekkh apoteza watu badala ya kuwaongoza
@jumaakhalfan4855 жыл бұрын
Wajipoteza mwenyewe
@queenmaya80224 жыл бұрын
Hillizi halizo maanisha sio zile za wachawi ni maneno ya kwenye Quran ukiyaandika kwenye kitu ukasomea bas ukaamini unaweza ukatembea nazo kwa kutegemea Allah
@jafariramadhanimusa23724 жыл бұрын
KVP
@kunemamussa76172 жыл бұрын
Wapotea mwenyewe
@princeommy57935 жыл бұрын
SHEIKH ACHA KUPOTOSHA WATU... KUVAA HIRIZ NI SHIRKI
@ussenemuhamad57074 жыл бұрын
Prince Ommy sheikh umeeleweka vyema
@nurdinmfamau99204 жыл бұрын
Prince Ommy Shirki nihuyo Uliyemposti Hawajafanya Maswahaba wala Mitume Tuache Ushabiki tumuogope Mungu
@ramangadu64514 жыл бұрын
Kajistili Kwanza Usitukashifie Sheikh letu.
@amerkombo66935 жыл бұрын
Asante kwa mawaiza mazuri
@binnagy14972 жыл бұрын
Wallaahi wapotosha ummah,Miche Allaah.hajatoa dalili katika quran wala hadeeth,
@shaabanmgandi49415 жыл бұрын
Huyu nimwna chuoni mbona watu hawana heshima wewe wauliza swali sababu hui Kisha wataka shekh atoe fatua kuli Hana na wewe uvavyofikiria makosa jama I tueni na adabu
@sailortea_why86865 жыл бұрын
Hapo sawa ustadh but hukuelezea hukmu ya kuvaa hapo makosa kama chain or bangle haifai
@khadijamakau66894 жыл бұрын
Kwahio yote hayafai kwa dalili..quran nishifaa na nikinga kwa kuisoma..hirizi mtume amekataza na alimuona swahaba wake amejifunga hirzi akamkataza!! Hadith> man taallaqa tamima......
@muxxacaxxan95355 жыл бұрын
wala uschoke hta kidogo
@zainabuhmbabazi49285 жыл бұрын
Shukran shekh
@shaabanmgandi49415 жыл бұрын
Kama anvyo futu haokoradhi usisemae shekh hapo umekosa kwanini wamkosoa na wewe hujui wauliza nyamaza watu wapate faida kila kitu hakifai kwako Sawa Fata vile vina faa hakuna hata kimoja
@muxxacaxxan95355 жыл бұрын
shk ixudin usch0ke mana ktk kaz ya daawa shetwan anawatumia watu kupinga nimekupenda sana
@MohamedMohamed-sc5oe5 жыл бұрын
اتق الله يا شيخ... Samahani hirizi ni haramu kwasababu zatolewa na waganga anaojiita walimu. Alafu hio hirizi sheikh ilifundishwa nauuu nani..je mtume wetu salla llahu aleihi wasallam alifundisha waislamu kuvaa hirizi. Afwan ndugu yangu sheikh hapo wakosoa ummah hirizi ni haraam. Kinachoandikwa kwenye hirizi ni majina ya majini na mashetani mimi nishafungua hiri, nikazisoma na maalim wangu na nikahakikisha kwamba hirizi zote huandikwa majina ya majini na cha ajabu ukiwauliza hawa mashekhe waandikiao watu hirizi wanakudanganya wanasema haya ni majina ya malaika. Malaika ambao majina yao hayajathubutu katika kitab wala sunnah.
@jafarbalagha4415 жыл бұрын
maswahaba waliyafanya hayo unayoyasema na qur ani walikuwa nayo
@mohdabeid23955 жыл бұрын
shekh hiyo sijawak
@nurdinmfamau99204 жыл бұрын
jafar balagha . Maswahaba hata hayo Kujibizana Naaliyekushinda Kiil'mu hawakuyafanya. Na Maswahaba Hawakumeza Panadol
@hassannayak5 жыл бұрын
Sasa hii shida sheikh unajishusha, wewe unasoma quran ili ikuongoze, kama ni hifz quran je unahitaji kueka mfukoni kwa kazi gani? Kusoma ndio quran itakuongoza na pia utapata fadhila kutoka kwa Allah, kaa nayo mfukoni inyeeshewe na mvua.
@abdulhakimallynassor1665 жыл бұрын
KAMA NIHIVYO BASI HATA UKIWA NA MALARIA UNAWEAZA KUVAA VIDONGE VYA MALARIA AU KUWEKA MFUKONI UTAPONA.
@mumajadkhatwab21805 жыл бұрын
Abdulhakim Ally Nassor oh Kumbe dawa mpaka uile ndio wapoa back kuna watu wanasomewa Quran na wakapoa n hirz wanaofungwa mm najua no watoto wachanga
@rajabumzuwanda75055 жыл бұрын
Abdulhakim Ally Nassor hujaelewa
@lollol-xi3oy5 жыл бұрын
😂😂😂
@twaariqahmad72495 жыл бұрын
Abdul kaelewa ila nyny ndo hamjaelew Piga dua zako ndo muhimu hayo mahirizi yangekua ndo muhimu watu wacngesoma mtume angekua anafanya kaz ya kuwavisha maswahaba zake wote na ahl zak
@Fetty-i1v5 жыл бұрын
@@mumajadkhatwab2180 ila hapo kula dawa ni baada ya kuumwa na hiyo malaria, ambapo hata muarubaini wengine huchemsha wakajifukiza mvuke, hapo sio kinga usipate hiyo malaria kama kujifunika chandaruwa 🤷♀️