Mashaa-Allah Allah akuzidishiee elimu yenyee manufaa uziidii kutuelimisha amin
@hilaliomar71153 жыл бұрын
ila shekh mafuzo ni mengi yanasema mke hatingui udhu
@bichaujuma80655 жыл бұрын
Ya shekh mm maoni yangu unajibu maswali kwa ushahidi wa hadithi au aya ya Qur-an
@goldensparrow15075 жыл бұрын
Kuna mambo mengine unaeza kutumia akili ili uwe on the safe side.. ht mm nliposoma najua kuwa ukitawadha basi mke hukutengua udhu. Kwa hyo to make it simple.. bora mkishatawadha msigusane kama una mushkil. Kwani ni bora vile huna uhakika lipi ni sawa lipi si sawa... kuliko ikawa twaswali kumbe zero. Bora watu wasigusane paka baada ya swala.. gusaneni paka basi.
@mwanamisigulu24015 жыл бұрын
MashaAllah...
@khadijamahmoud47743 жыл бұрын
Aslam alekum jee ikiwa amekungusa kwa bahati mbaya
@ismailmkubwa46074 жыл бұрын
Allah akihifazi
@mapishinamamajannat63295 жыл бұрын
Shukran sheikh
@abullahkabaka87744 жыл бұрын
MASHALLAH ALEIK
@masudyrashid81564 жыл бұрын
Daa mushkel kidogo
@nnbb84025 жыл бұрын
Mashaallah
@shemsaali8114 жыл бұрын
Mashallah
@hilaliomar71153 жыл бұрын
je shekh kuna riwaya zinasema mume na mke wakitaka kukutana kimwili watie udhu je hili vipi ni kweli
@faizabaishe51725 жыл бұрын
MaashAllah
@HashimSalim-qj7znАй бұрын
TUNAAMBIWA TULALE NA UDHU JE HII IMEKAAJE KWA ALIEKUSHAOA?
@athmanbello3805 жыл бұрын
Kweli kabisa sheikh
@bestoftiktok44363 жыл бұрын
Shukran ushaadh
@mermuh1285 жыл бұрын
Swadakta!
@habonimanaibrahim91123 жыл бұрын
الله المستعان
@muhidinally37535 жыл бұрын
Sheikh tufafanulie kuhusu hadithi ya Mtume (SAW) aliyekuwa anamsogeza bi Aisha kutokana na chumba kidogo wakati akisali usiku. Je alikwenda kufanya udhu tena???
@saedbare87335 жыл бұрын
Hahaha
@maryammdoe47844 жыл бұрын
😁😁😁kufa hakuna brek
@fajidafod99895 жыл бұрын
shukurani unatuerimisha vizurisana
@zainabuhmbabazi49285 жыл бұрын
Ningeomba Wat wanajirudiarudia ku comment kwa kukanusha tafadhar mustucoshe
@uweismohammed69595 жыл бұрын
Fact
@monnyselly23175 жыл бұрын
Swadakta ya sheikh penda saana hili somo
@bintiomar20125 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😘😘😘😘😘☝🏼☝🏼☝🏼🙏🙏🏽🙏🙏🙏
@lacroquetalacroqueta68135 жыл бұрын
usicheke sana😂🤣🤣
@ahlammussa2515 жыл бұрын
😀😄dah
@saidsaleh40865 жыл бұрын
Hahahaha!!
@bintyasminyasin5464 жыл бұрын
nasaha nzur
@summerellahkab70705 жыл бұрын
Hahahahaha
@lacroquetalacroqueta68135 жыл бұрын
pengine frigi limepiga shoti ndio P&N hazifanzi kazi
@arynxbaba90915 жыл бұрын
Sheikh tunaomba kweny kujibu usitumikishi saaana Logic kuliko Khadithi ao maneno yake Allah,Uwe ukitumikisha vitabu kuliko Maneno yako binafsi!!maana uw'islam unaenda na ushahidi.
@Ukhtyzuhura5 жыл бұрын
Assalam alaykum ustadh naomba kuuliza unajibu Vipi maswali ya watsapp maana kwa kukuandikia naona haujibu.. Je ni mpaka kwa kupiga ama kuacha voicecall tu??? ummu Ahmad
@faizasaid82625 жыл бұрын
😂
@minaminaa16695 жыл бұрын
Mawaidha mazuri sheikh yaburudisha 😅😅
@zaitunizaitunihotti14695 жыл бұрын
Ila hata mtume wetu ktk hadith inasemekana aliwabusu baadh ya wake zake na akaenda kuswal pasipo kushika udhu
@yusufmwangichannel66923 жыл бұрын
Mtume Muhammad (S. A. W) alikua anaweza kujizuia na matamanio na kawaida ya Mitume wao hadhi yao iko tofauti na sisi
@mamyh57385 жыл бұрын
Jamani tuchungeni kauli zetu tunapo comment tutumie hekma na busara in shaa Allah
KAMA KITU HUJUI SEMA SIJUI.ULAMAA WANASEMA UKIONA MTU ANAJIBU KILA ANALO ULIZWA BASI HUYO NI MJINGA.ITAKUAJE MKE AKUTENGUE UDHU WAKATI MTUME WETU ALIKUA AKIWABUSU WAKE ZAKE NA ANAENDA KUSWALI BILA KUTAWADHA UPYA .MADA NYINGINE SIO ZAKO WEWE ONGEA KUHUSU MAMBO KITANDANI TU NJE YA BOX NA NDANYA BOX.
@albaharyhaji82315 жыл бұрын
Hayo mambo yana ihtilafu kwa maulama wapo wanaosema udhu hautenguki na wapo wanaosema udhu unatenguka ukija katika msimamo wa imamu shafi udhu unatenguka lakini kwa abuu Haniffa na wengineo udhu hautenguki sasa hayo ni mambo ya hitlafu tuu ulamaa.
@allysaid62555 жыл бұрын
@@albaharyhaji8231 imam shafi mwenyewe anasema hadithi ikiswihi ndio madhehebu yangu .sasa mtume ameshafanya hivyo na haja tawadha tena we ukisema tutawadhe tutakuuliza kuna hadithi mtume alimgusa mkewe kisha aka tawadha tena
@muruwaahmedi13434 жыл бұрын
Jaribu kuwa na adabu ndugu bona wewe si aalimu tukikupa ujibu utashwindwa kwahiyo kuwa naadabu Kaka .