Mungu hatoweza kukuacha na jana nimekuombea kwa aman Lulu Mungu ndiye msemaj wa mwisho utashinda
@asilaalhabsi64817 жыл бұрын
Maskin Lulu inshaaAllah mungu yuko na wewe atakusaidia mommy tunakuombea dua wote mungu aipokee dua zetu
@asilaalhabsi64817 жыл бұрын
Unatia imani kwa kweli na mungu amsaidie mama kanumba mungu ampe subra Katika huu mitihani wote yametumifa dadaangu hatuna hila nikusema Asante mungu
@yustamakwawa67987 жыл бұрын
Mungu akusimamie lulu daa moyo unaniuma mimi
@asilaalhabsi64817 жыл бұрын
Yusta Makwawa yani sana anatia imani jmn binadamu tukumbukeni kila kitu sio kwenye mikono yetu mungu tusisahau mitihani ya mungu
@teddyludigija23717 жыл бұрын
mungu akufanyie wepesi katka hili
@zuhuraakida59327 жыл бұрын
Ya rabbi🙏🙏
@magenysamike40757 жыл бұрын
Mungu akusimamie Lulu
@sara.wanjalaalipoyesuyotey36137 жыл бұрын
Mungu atamsaidia tu wala usijali dadangu lulu jipe moyo nimajaribu tu amini Mungu utayashinda kama kweli alikuwa nasababu zake ndizo zilimusababasha kufa basi usijali Mungu yupo pamoja nawe
@magenysamike40757 жыл бұрын
Sara. Wanjala Alipo Yesu Yote Yanawezekana Amen Mungu atamsaidia
@happybalama35917 жыл бұрын
Sara. Wanjala Alipo Yesu Yote Yanawezekana atafuatiliwa kifungo cha nje hawezi kukaa
@ingitypes47787 жыл бұрын
poleee xn lulu..... mungu atakusaidia ucjali
@gamingcasbet17 жыл бұрын
Mungu akusimamie Elizabeth shetani ashindwe
@ggjghh62457 жыл бұрын
Masikini lulu unafungwa bila makosa jamani lakini mungu yupo nawe utatoka tuu inshaallah
@hamisimadunda56827 жыл бұрын
Pole sana mungu atakusaidia
@lucyngare89937 жыл бұрын
Pole sana
@mamairene16277 жыл бұрын
Sote ni wazazi inauma sana hatuna jinsi kama mimi namuombea aondokane na hiyo kesi maana ni mawazo sana pole lulu mungu akuPe wepesi mwanetu
@nabstweve72727 жыл бұрын
lulu mpenda sana na kumuheshimu mama ako ...big up kwa wa mama wote
@walburgammassy20507 жыл бұрын
mungu atakusimamia tunakuombea sana jamani!!!
@beatricemapembe89417 жыл бұрын
Inaumiza sana. Pole mpendwa ndiyo dunia.
@liliannabarikwasanaswai61287 жыл бұрын
Mungu akutie Nguvu
@mwanakhatibu37227 жыл бұрын
mungu akufanyie wepesi lulu
@tiannealphonce75157 жыл бұрын
Pole sana Dada lulu mungu atakuonekania ucikate tamaa
@csongole93527 жыл бұрын
Mungu atakusaidia ucjar Kwan sio mwisho wa maisha yako
@chanzomakinitv7 жыл бұрын
Mungu akutangulie @lulu
@rahmasaid77477 жыл бұрын
Mungu amusimamiye
@rehemadaniel1837 жыл бұрын
Kilajambo na wakat wake mungu akipanga mwansdamu huwezi kupanguwa inshaallah Allah you pamoja nawe lulu mungu Areta"wepes
@mwanambeuissa92107 жыл бұрын
Mwenyeez mungu atakusaidia utatoka my, hakuna kinachoshindikana chini ya jua
@Superman--un9xz7 жыл бұрын
mungu asimamiye pole lulu
@mickeyambaka37817 жыл бұрын
Pole sana lulu mungu atakusaidia
@niaanthony95887 жыл бұрын
Duh inauma lkn mungu atakusaidia
@zuhrahalima59877 жыл бұрын
Ewe mwenyezi mungu mwingi wa rehema na mwenye kurehemu mpe dada wetu lulu uhuru wake apate kutokana na hayo shida inayomkabili amiiiiina.
@mwaminindayishimiye44347 жыл бұрын
Mungu hakusimamie mdogo yetu
@safiahamadyhamady98017 жыл бұрын
mungu yupo
@gracechiledi43777 жыл бұрын
mungu msaidie lulu
@mdogo_ake_zarizarin15467 жыл бұрын
Dah eeeh mungu msaidie huyu binti😢😢
@habimanaflorence59217 жыл бұрын
lulu pole sna mungu anakuona
@amelinacass71647 жыл бұрын
Oooh God ....
@Nadia-yc5zx7 жыл бұрын
mungu musaidie
@maliharajabu89177 жыл бұрын
Daaah jamani😪😪
@jackmkaya25667 жыл бұрын
mungu ndiye mtetezi wako naye atajithiirisha mamyyy
@aminaa1587 жыл бұрын
Mungu atakusaidia lulu
@zawadirashidi32557 жыл бұрын
Mungu ata saidia Maman mwambiya mungu ata kuteteya
@christinearotso88377 жыл бұрын
waa..pole lulu
@mshambaali19797 жыл бұрын
pole sana lulu m.mungu atakua na ww
@charitykanko83787 жыл бұрын
Ooh God I can't believe
@SashaKelly7 жыл бұрын
Wakenya tunakuombe sana mungu anakupenda
@bikhadijasabri79707 жыл бұрын
huruma pole jamani
@moonmoon87237 жыл бұрын
mungu akusimamie Lulu pole sana
@nururushasi70237 жыл бұрын
Mungu wa haki akutetee ..kwani hukukusudia dear
@fatmaikopoa347 жыл бұрын
pole
@hopetumaini10407 жыл бұрын
Jamani mutoto wasimufunge kwani lulu angeweza kumuwua kanumba kivipi naeye alikua mudogosana mama kanumba hanahuluma Mungu amutembereye😪
@zechawa7 жыл бұрын
Hey #GlobalTvOnline keep it live
@isuqalex87267 жыл бұрын
dah mungu amtie nguvu mama kanumba najua ulpata maumivu toka umempoteza kanumba....na ameenda na nasnia yake ya bongo muvii....rest in peace broo kanumba
@consolatamaarufu67627 жыл бұрын
mwenyezi mungu akutetee lulu
@oliverlaulence72947 жыл бұрын
mungu yuko upande wako
@zuenaomary99877 жыл бұрын
mungu atakusaidia lulu utashinda
@zainabually72727 жыл бұрын
mungu akusimamie kwahili lulu asie shindwa na kitu
@halmasaidi66887 жыл бұрын
maskiniii mungu atamsaidia miaka miwili cmini
@latifaayoub57507 жыл бұрын
Ila hivi vitu Usikie kwamwenzio tu,,lulu kapoteza nuru maskini pole,,, Mungu atakusimamia,,miaka miwili panapo uzima Sio mingi Japo jela siopazuri
@aminamselem97737 жыл бұрын
🙏🙏
@MariamsLifestyle7 жыл бұрын
🙏🏾🙏🏾
@rachelmbeyu43857 жыл бұрын
God is in control, don' t worry Lulu.
@blasidajulius22404 жыл бұрын
Pole sana lulu umepitia mitihan mgumu kuliko umri wko
@julianamasunga41477 жыл бұрын
duh roho imeuma..... mmmh
@renensavyimana94847 жыл бұрын
Mungu tunakuomba umsaidie lulu wetu jamani
@asclassic5047 жыл бұрын
R.i.p .Steven c kanumba Lulu pole sana ila subiri hukumu tu kama jela basi kubali Kama ushindi furahi.
@paplo10kyemo937 жыл бұрын
jm
@paplo10kyemo937 жыл бұрын
jmm
@miriyamasanja737 жыл бұрын
hayo yote yatapita my dear
@jovinabunyomyo39937 жыл бұрын
maskini Lulu jamani msameheni🙏🙏😫😫😭😭😭😭😭
@salhamm7427 жыл бұрын
heee Jamani Eee huruma lulu Inshalaa Mung Yupo nawe
@kibuiesther26837 жыл бұрын
GOD with u 👐+254
@isaacsamuel26787 жыл бұрын
l
@renathatv17117 жыл бұрын
yaan mpaka nalia na ninahis uchungu sijei yeye muusika atakua anajiskiaje mungu akusaidie na akutangulie lulu.
@joycefelix90477 жыл бұрын
renatha tv yaaani acha tuu nimehis huruma
@halimashabani68897 жыл бұрын
Jamany hukumu itoke ya busara maskin
@happinessnyambita81397 жыл бұрын
Mungu msimamie mtoto wako kwani halikuwa kusudio lake.....
@mwanahawamohamed38957 жыл бұрын
nimelia sana pole lulu
@judithpaschal71077 жыл бұрын
Afungwe ili iwe fundisho kwa wengine hapo haki itendeke kabisa kwan wanaofungwa wanakuwaga so watoto wa watu????????
@mamairene16277 жыл бұрын
Hatamaye amehukumiwa miaka miwili imeniuma sana mimi kama mama ila siku hazigandi muda tu tutamuona tena mtaani pole mwanetu
@ifgodsayyes.nobodycansayno17967 жыл бұрын
YATAPITA NA MUNGU YUKO NAWE TUNA KUOMBEA 🙏🙏🙏🙏
@happiliciousdiva97677 жыл бұрын
Maskin Inatia huzun sana. Mungu akufanyie wepesi Lulu ni kipindi tuu kama vilivyowahi kuwa vingine Hata hili litapita. Eeeh Mwenyez Mungu kama Itakupendeza kukiondoa kwake kikombe hich ackinywee bas mapenz yako Yatimizwe.
@ruthoswald37927 жыл бұрын
Wanadam wanahukumu Kutokana na ukomo wa mawazo na uzoefu wao, lakini nataka nikuambie ipo hukumu ya kweli ya aliyeona na alikiwepo wakati wa tukio ambaye anajua chanzo cha umauti wa Kaka Kanumba... Hilo ni paper la maisha Elizabeth, be strong nd stand still it has come to pass,one day itabaki kuwa historia. Hakuna mwanadam anayeweza jua how hard it was nd is to you... Make peace na mama Kanumba ingawa hata yeye anadhani kufungwa kwako ni haki, ni mama lazima awe na mtazamo huo, Ila mwachie Mungu cku moja mtacmama mbele zake na kuhukumu hukumu ya haki. Mungu awaguse wote familia mbili hizi mfike mahali muwe na amani na Upendo kwani Hata Kanumba huko aliko Kama hukumu yako sio ya haki Naamini roho yake hainapumziko Kama wanavyodhani walio upande wa kuamini kuwa ww ni chanzo cha mauti Yake... Ninamuomba Mungu akutangulie na kukuwekea mazingira ya utulivu amani gerezani... Never think negative think positive while u re there nd just use ur time to repent, seek for God's mercy then when u find his mercy he ll touch human to ve mercy on you too! God of all creators be with you Nd protect you my little girl, personally I believe u re innocent na hukutaka Kanumba afe.... . I ll be praying for you... Hunijui ckujui huwa nakupendaga tuu Kama Mdogo Wangu.
@muhasatv92457 жыл бұрын
Ebu awekwe miaka mitano ndani kidogo ila msimuhukumu KONDEM
@shushu81053 жыл бұрын
Niatar sasa lulu angepata wapi nguvu yakuwa kanumba nalikuwa bado mdogo
@joycefelix90477 жыл бұрын
Hivi akifungwa ndo Kanumba atafufuka?
@cathyntakama59197 жыл бұрын
nikimuona mama lulu nafkiria maumivu aliyonayo kwa binti yake,so sad
@naimajuma91477 жыл бұрын
eeeh muumba na mtetez wetu tunaomba umtetee lulu, tenda muujiza leo. lulu mpenz kua jasili maana mungu yu pamoja nawe
@angelshoo11537 жыл бұрын
wanamwonea tu
@tingbatuuka72787 жыл бұрын
Hii kesi inaumiza. Kumpoteza mpenzi alafu unaanza kuangaika na kesi huku unaugulia kidonda cha kufiwa na mtu ulie mpenda DAH.
@angelklistofa49147 жыл бұрын
Kashakwenda tena aende salama
@sultanafashion11907 жыл бұрын
shukuru kwa yote bola hukoumu umalize adhabu uwe huru tunakupenda lulu usijali
@frednnnhami91437 жыл бұрын
atatokatu
@lilianngare47477 жыл бұрын
Lulu hakuna kisichowezekana mbele za mungu nnakuombea ushindi
@abelrocket23357 жыл бұрын
sheria ichukue mkondo wake!!!
@miraclebullah97 жыл бұрын
Pole sana
@theonlyfunguokeyz56387 жыл бұрын
MUNGU akusaidie lulu
@nimoibrahim42357 жыл бұрын
better after 2 year's she will be free and no kanumba anymore
@asilaalhabsi64817 жыл бұрын
Analo panga mungu mja hapangui ndugu yangu sameheaneni dunia sio kitu ikawa watt wetu wametutoka ss pia tuko nyumba yao mendaneni
yani huyu mama kanumba hana utu kabisa kashindwa kumwacha huyu bint atafite maisha anamtia ndani miaka miwili kwel? duh inamana akimtia ndan ndo kanumba atafufuka kiukwel ma kanumba kafanya jambo si zur kabisaa kwa upande wng cjapenda
@nyambuli.mmanyasi68597 жыл бұрын
Hakuna liclo na mwisho, jipe moyo hata hili litaisha Mungu yupo pamoja nawe
@azzahamood20967 жыл бұрын
bi mkubwa cream imembabua hatarii lol
@khloealfan79247 жыл бұрын
Azza Hamood 😂😂😂😂😂😂mambo ya vijana lkn na yy yumo
@azzahamood20967 жыл бұрын
Khloe Alfan hatariii sasa na mtoto ndio keshahukumiwa uso utakuwa wa blue😂
@CharlesIhonde7 жыл бұрын
Kwa hakiaka leo haki inaenda kutendeka!.. soma nafasi mbalimbali za kazi zilizotangazwa wiki hii kupitia blog yako pendwa ya nafasi ajira >>>>nafasizajira.blogspot.com
@labouriche87827 жыл бұрын
huyo mfungwa duuh
@mtosimbakwamzungu77037 жыл бұрын
Fungwa uko kahaba ww mwenzio yko mavumbini we unakitembeza tu uku👓
@yusufumsaliko69847 жыл бұрын
George Mmbaga hahahahaha
@joycefelix90477 жыл бұрын
George Mmbaga acha kuhukumu mbuzi wewe kasoro mkia
@yusufumsaliko69847 жыл бұрын
Duh
@yusufumsaliko69847 жыл бұрын
George Mmbaga kaishafungwa two yrs
@fogtahatyalasura40577 жыл бұрын
Ooooh God help this lady
@nabstweve72727 жыл бұрын
lulu mpenda sana na kumuheshimu mama ako ...big up kwa wa mama wote