Kiukweli Mungu akuinue viwango nimefunguka macho na masikio
@mildredwekesa58442 жыл бұрын
Ctajudge tena,Asante saana mtumishi
@mariamahenge14092 жыл бұрын
Ubarikiwe baba sikujua maana ya wimbo huu
@upendodagras93713 жыл бұрын
Nimekuelewa pastor mungu azidi kukupak mafuta yake
@sallygrace14953 жыл бұрын
Hii nyimbo itabidi waimbe siku ya harusi yangu 🔥🧎♀️ Ubarikiwe!!
@paulpius65663 жыл бұрын
Nilifarijika sana nilipoisikia tafsiri ya Wimbo huu kwa mara ya kwanza mwaka 1997 ulitafsriwa na mtangazaji wa Redio Free Africa katika kipindi cha Bolingo time. Aisee mungu mkubwa
@fadhililihinda64913 жыл бұрын
Asilimia kubwa ya wana music wa Congo/Zaire wa kizazi kile walijifunzia mambo ya music makanisani; hadi wale wapiga magitaa kina Diblo, Dally Kimoko, waimbaji kama huyu Tabu Ley, Bozi Boziana wote ni watoto wa sunday school. Bozi Boziana alikuja kubadiri dini na kua muislamu hasa baada ya ile ziara yake ya Tanzania nadhani mwaka 1992
@joshuakapai93803 жыл бұрын
1994
@amosmbulazi2983 жыл бұрын
Amen barikiwa mpendwa
@parsalaachpelente44063 жыл бұрын
Baraka ... Pastor karibu kenya
@maarifahub50663 жыл бұрын
Ubarikiwe kwa tafsir nilijua muzina wa litata vinakaribiana na kiha
@onlinemateustv19253 жыл бұрын
Nyimbo nyingi za Congo muwe nazo makini nyingi sana zipo hivyo yaan unaweza ijaji kumbe maneno yautukufu matupu kuna wimbo nilishawahi sikiliza wa koffi olomide wa zamani sikuyelewa ila kuna nzambe nyingi nyingi na hallelujah
@elcardmbukila81723 жыл бұрын
Sina usemi.Mungu tupe macho ya rohon .ngafuu bwa gwituuu
@MushagalusaLeonard-zw8rr8 ай бұрын
Fumba kinywa ww
@bernadette62663 жыл бұрын
Ukosawa Mchungaji asante kwa kunihelewesha Mungu awabariki
@AgnessNyansambo5 ай бұрын
Aaaaa...men Apostle very powerful explanation mayGod bless you
@yvonnemashuda30043 жыл бұрын
Hakika kanisani ni sehemu ya kuponya Moyo..tukacheza na kufurahi!! Mungu akubariki Baba.
@stephenkahindi86782 жыл бұрын
Let the Spirit of God guide us all, coz there's a spirit behind everything we say or do...
Hakika nijejifunza kitukikubwa sana katika ibada hii Mungu aturehem.
@aminamogan65473 жыл бұрын
Barikiwa Sana mtumishi ninaiman cku moja utakuja kanisan kwangu
@D-mox3 жыл бұрын
Nimebakia nalia tu kwa uchukngu asante kwa kunifumbua
@hagaigospelband_tz47353 жыл бұрын
Daaaah Mungu akubariki sana Nipeipenda sana hii
@jaredmoturi57833 жыл бұрын
Blessed Sana mchungaji!!!! Just known the truth behind musina.Fabulous!!!!
@betridafidelis94113 жыл бұрын
Ubarikiwe mm niliucheza Sana enzi hizi sikujua ni kipi kinaongelewa nimefurahi Apostle
@sokosibora71613 жыл бұрын
Kwa mara ya kwanza kujua tafsiri yake kwa kweli nipenda sana ubarikiwe sana mtu wa Mungu
@wangarimuriithi87483 жыл бұрын
This is such a lovely lesson and delivered so well. I was today years old when I found out what a wonderful and powerful message this song sends. I had always just taken it as a catchy Rhumba tune. Thank you very much for translating and bringing it to our attention. Barikiwa.
@musapaul29013 жыл бұрын
Mimi naelewa leo dah!! Mungu akubariki sana nimependa
Dah! Naipendaga huu wimbo tangu utoton lakin maana take sijuiag,kumbe ndo hivi! Be blessed
@gladysgladys73933 жыл бұрын
Waaaa wonderful pastor this is full wisdom be blessed alot we love you from kenya
@joycemaige86833 жыл бұрын
Halleluya Halleluya mtumishi wangu 🙌sijutii kuwa humu ecg ⛪
@angelatarimo19693 жыл бұрын
Asante mtumishi nimejifunza kitu Kwa kweli
@jovinjonasbuy60923 жыл бұрын
Kwa kweli itakuwa vigumu binadamu kama Mimi kuingia katika ufalme wa mbingu Mwenyezi mungu naomba unisamehe dhambi zangu nilizotenda bila kujua
@mremjthekingtv11543 жыл бұрын
Amen Amen 🙏
@eugenwalisindo6753 жыл бұрын
Amen mtumishi Wa mungu
@Jonathan99-93 жыл бұрын
Great gospel song indeed...but only fools will end up judging.We should deeply think on something b4 judging someone..Its good to ask something if we don't understand rather than judging.
@hangayamafenya88833 жыл бұрын
hongera.kaka.posta
@beatusnsiima80053 жыл бұрын
Safi sana Baba Mchungaji ubarikiwe sana.
@samsonmgonja40143 жыл бұрын
Nimekumbuka mbali sana,tulicheza disco waliita siku ya bakulutu,bolingo time,vijana wa zamani hapo umewashika
@sokosibora71613 жыл бұрын
Hakika nmebarikiwa kupitia huu wimbo baada ya kujua tafsiri yake
@michaelongina71382 жыл бұрын
I didn't know it's a song that exalts the name of the Lord Jesus Christ.hallalujah
@diamondgeyser79873 жыл бұрын
Furahini katika Bwana tena nasema FURAHINI
@rehemar36593 жыл бұрын
Mungu nisamehe maana hata Mimi nikuskia hii nyimbo ikitumika Sana lakini sikujua ninyimbo ya Mungu kama nimekujaji Kwa kufikiri nisamehe pia
@cyliakamuthoni87483 жыл бұрын
Oyaaaa apostle that was my f favourite and many didn't know it was a gospel uko juu mtumishi live long with wisdom
@sammwakipongo38943 жыл бұрын
Nimekuelewa mtumishi
@sammymwove42173 жыл бұрын
Thanks a lot. very rich and well intended song/message. God bless you
@adamfundikira99783 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Bwana
@crowncastmedia3 жыл бұрын
Nashukuru Mungu maana sikuhukumu nilipoanza kuskiza. Nilikaa nikisubiri neno la mwisho ndiposa nihukumu. Lakini badala yake nimepata baraka na kutubu pia 🙏
@yohanekasonkwa26123 жыл бұрын
Hao wadda wanavaaje hivo mchungaji! Unahubiri vizuri Siku zote lakin kemea sana hao Dada! Yan wapo uchi
@otmarykiowi41323 жыл бұрын
Don't judge
@emmanuellee.67933 жыл бұрын
Whaaat! Inashangaza sana, kwani huwa ni Gospel! Sikuwai juwa ila huwa naipenda.
@emmanuelsmihulu7253 жыл бұрын
Barikiwa Mtumishi
@fgkl82003 жыл бұрын
Following, you have blessed me and l can't regret why following really l have learned many reasons from u man of God more grace to serve God's people AMEN&AMEN
@livingmunisi59633 жыл бұрын
Nakukubali pasta💥💥💥
@emmanuelmwanawima62663 жыл бұрын
Ahimidiwe mungu wa mbinguni
@jeremiahmbogua4423 жыл бұрын
I also danced the song instantly. Thank you apostle Mtalemwa. God forgive us for wrong judgement.
@aminamogan65473 жыл бұрын
Nabarikiwa na mafundisho yako hakika umenifungua kwa hatua kubwa
Mahubiri yako ya hii siku ni makubwa mnoooooo...Hakika Mwenyezi Mungu kafanya kazi yake ... Yemba yembaaa....yembera Nzambe....dah nimejifunza hadi kilingala leo
@doreennkya55243 жыл бұрын
Love you chief Apostle zaidi ya mambo yakiroho unatumika sana kutufungua fahamu tunazidi kujitambua na zaidi tunacheka nakuongeza miaka God bless you man of God sanaa.
@leonardcharles31693 жыл бұрын
Ubarikiwe kwa kiwango cha juu apostle, umetubariki kwa ujumbe wa Leo, tusiwe wepesi wa kujudge ktk maisha yetu.
@lucasmfaume823 жыл бұрын
Hahahaha hongera sana Pasta uko vizuri
@honestyminde55193 жыл бұрын
Ahsante sana Mtumishi wa Mungu. Kweli Mugu aturehemu kwa mengi.
@elisantennko78113 жыл бұрын
Ahahahaaa pastor umetisha baba nitakuja skumoja
@daudmshimbe46423 жыл бұрын
Kiufupi to ubarikiwe MTUMISH wa Mungu 😁👍🎶
@sharinv88643 жыл бұрын
Amina kwakweli mm nilikucharge mungu anisamehe mungu anisaidie nisiwe mwepesi wa kuukumu yeyote.
@fediliaulomi49693 жыл бұрын
Leo pasta umenifurahisha sana
@mr.helmet61673 жыл бұрын
1st day to listen to you and you have really teacher me alot
@lispermomanyi87153 жыл бұрын
They should call a teacher too,you're amazing
@deborajackson72843 жыл бұрын
Daaaa sikujua maana yake, ubarikiwe mtumishi.
@glorianshimanyi15453 жыл бұрын
Mtumishi ninashukuru kutufungua. Ndiyo kwanza nafahamu maana ya wimbo huu. we should not be quick to judge. Be blsd Man of God
@gregmakulitv38163 жыл бұрын
Really you are a blessing man of God
@georgenicodemus48453 жыл бұрын
Waooo prophetic pastor sikujua kwel be blessed man of God
@josephmatunda22973 жыл бұрын
Apostle unanijenga sana kabisa ubarikiwe il from Congo DRC
@vickysteven92573 жыл бұрын
Nakupenda mtumishi unanibariki saaana
@godianmande49203 жыл бұрын
Dah, you almost messed me up Apostle, I was wondering what's going on here!! The only faith that held me up, was the fact that I know who my mentor is thus I kept on with curiosity... I never knew what this song was all about, I repent for my thoughts. Indeed, we should not judge the matter after hearing from one side. Blessed art thou Man of God.
@apostleoscarnyakungachuma35103 жыл бұрын
Mungu anilehemu nakunisamehe nilipo hukumu nakunena rohoni icivyo sahihi
@mathiaswanje61853 жыл бұрын
Nice apostle
@omutsyabandi486910 ай бұрын
SIKUKUWA NA MTOTO WA KIUME. nILIFANYISA WIMBO HU WA mZEE tABULEY nIKAMUPATA kIJANA MARUFU.!! Mngu a sifiwe sana..
@Lucy-nr2sm3 жыл бұрын
Amen 🙏 🙏 🙏 raha ndani ya Yesu kristo mtumishi wa Mungu barikiwa sana nakwambia nabarikiwa tu sana...na Mwenyezi Mungu aturehemu tusiwe wepesi wa KUHUKUMU am watching from Saudi 🇸🇦 am Phanice Okongo.
@okandafu80453 жыл бұрын
Whaaaat!!all those years i never knew this is a gospel song, but again why wasnt played most in discos than in church
@amiwitu14453 жыл бұрын
Très bien Soyez béni monsieur le pasteur.
@victormaussa6733 жыл бұрын
I didn't know this song ,kumbe una maana nzuri ivi
@marymgore67143 жыл бұрын
Ooooohhh God please have mercy on me!!I like this song,yaan
@ritaouma86823 жыл бұрын
Nakupenda bure Papa Apostle
@josephatkapila92693 жыл бұрын
Mungu akubariki bro. Napenda sana mahubiri yako
@yusufarasathegreat90073 жыл бұрын
Yaani sikujua kama huu mziki kweli unazungumzia Mungu. Asanteni sana nimejifunza jipyaaaa
@manasemoses69223 жыл бұрын
Mungu nisamehe mm nami nliwaza mbali
@neemahamis63993 жыл бұрын
Haaaaa kweli usilolijua ni usiku wa giza😁😁😁 leo ndio nimeelewa huu wimbo ni wa Mungu. Chief😍😍 Mungu akubariki Mafunuo yangezeke kanisa letu ECG liongezeke mara dufu ameen🙏
@shedrackjacob60383 жыл бұрын
Mmmmmh kweli asante sana
@valentinandukuvalentinandu47793 жыл бұрын
aminaaaa kumbe ni wimbo wa Mungu eee aminaaaa
@peterkimanthi303 жыл бұрын
Thanks alot. I didn't know the meaning of that song and i used to love ot soo much. Now i know
@ev.kermandela3 жыл бұрын
Nothing can stop the word of God, even after the demise of Tabule his song is ministering bigtime...