Ijue familia ya Rais Samia Suluhu -mume, watoto na historia yake

  Рет қаралды 984,397

Zanzibar Kamili TV

Zanzibar Kamili TV

Күн бұрын

Katika makala hii tunakuletea wasifu wa mama Samia Suluhu Hassan tukitazama vyeo vyake vingine vya kijamii yeye kama mke, mama wa watoto na mwanafamilia kwa ujumla. Utawajua watoto wa samia Suluhu, mume wa Samia Suluhu na ndegu zake pamoja na anakotokea Kizimkazi Zanzibar.

Пікірлер: 222
@zainabuibraimu2848
@zainabuibraimu2848 2 жыл бұрын
Mashaallah tunamuomba Allah swt akulinde.
@benedictmrisho5947
@benedictmrisho5947 2 жыл бұрын
Nakumbuka Mazishi ya kiongozi mmoja alizikwa kijijini kwao alijisahau hata vifaa vya msikitini! Hapana viongozi jalini vikiji vyenu sio kuwekaweka mbele familia. Kijiji Cha kiongozi kifanane na hadhi yake. Msikubali aibu mkiwa mmeshanyamaza milele ( kifo)
@angle3600
@angle3600 Жыл бұрын
Mashallah Ma Samia Mungu amekujalia nyota ya uongozi❤❤❤❤
@Alexlaizermolleli
@Alexlaizermolleli 4 ай бұрын
Nimekubali mama wetu mungu akubariki mahali ulipo
@salamaali4726
@salamaali4726 8 ай бұрын
Hongera sana mama nasi tupo pamoja nawe
@safiaothman1098
@safiaothman1098 2 жыл бұрын
Maa Shaa Allah
@BeatriceSaid
@BeatriceSaid 11 ай бұрын
Mhhhh
@tunnuabdul5462
@tunnuabdul5462 2 жыл бұрын
Mashallah mashallah 😍🥰😘
@naishiyemollel
@naishiyemollel 7 ай бұрын
Safi sanà Mama Samia
@benedictmrisho5947
@benedictmrisho5947 2 жыл бұрын
Toeni historia za Waheshimiwa na picha za maisha ya wanavijiji wao. Zingine aibu tupu. Msahau kwao hawezi kutunza kwa wenzake.
@bugybenga5093
@bugybenga5093 2 жыл бұрын
MWENYEZI MUNGU NDIYE MWENYE MAAMUZI YA MWISHO!
@margarethsaramaki3966
@margarethsaramaki3966 2 жыл бұрын
Amina Amina
@mariamseff5722
@mariamseff5722 2 жыл бұрын
Mashallllah naic mashalllah
@omarymkundi3045
@omarymkundi3045 Жыл бұрын
Tunataka kujua familia yake
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 жыл бұрын
Tunampenda sana lakini watendaji wake wanamuangusha kwa wamachinga
@benedictmrisho5947
@benedictmrisho5947 2 жыл бұрын
"Kumbuka shuka mapema" na uhakikishe kijini kwako hawajutii Kuwa na Wewe. Mtu kwao . Mungu aliyekupa Wewe Basi na Kijiji Chalo wakufaidi walau.
@AbrahamSekuza
@AbrahamSekuza Жыл бұрын
Baba yake yupo wapi?na mama yake yupo wapi nataka kujua walio toa chombo hiki kizuri kilicho sheheni mambo mazuri tabia sura jamani mashallaa
@LoyfridaMwesigaMartine
@LoyfridaMwesigaMartine 2 ай бұрын
Shikamoo mama, nakukupenda sana mama yangu
@mwamvuamursali1390
@mwamvuamursali1390 2 жыл бұрын
Mashallah mwanamke wa kwanza zanzibar,makamu wa kwanza mwanamke Tanzania na Raisi wakwanza mwanamke pekee Tanzania 🇹🇿 ni bahati kubwa sana aliyonayo nnauhakika ndie atakuwa Raisi pekee atakaeleta maendeleo makubwa sana. Allah amjaalie katika kila malengo yake yote ayafanikishe in shaa allah I love ❤ mama
@MICHAELMSOMA-e4e
@MICHAELMSOMA-e4e 7 ай бұрын
@FabianTebeka
@FabianTebeka 4 ай бұрын
Acha ujinga akuna rais aliyeleta maendeleo kama magufuri, sasa hivi viongozi wanaiba fedha akuna wa kuwazuia kipindi cha magufuri rushwa viongozi walikuwa wanaogopa na walikuwa wanapelekwa jela, sasa hivi viongozi kama mawaziri wakina mwigulu nchemba wanaiba fedha na hayupo wa kuwatisha, sasa ingekuwa marehemu magufuri thubutu kuiba fedha wangezitapika na siku hizi ukienda hospital madokta wanaanza kazi mdaa wanawotaka hakuna uwajibikaji acheni kusifia vitu ambavyo havipo magufuri ataendelea kukumbukwa kwa upendo wake kwa watanzania na alibana fedha kwa kutokusafiri wakati kuna balozi.
@CatherineNyalamerk
@CatherineNyalamerk 2 күн бұрын
​@@FabianTebekaI'm 🎉E I'm Ed I'm🎉😢
@FabianTebeka
@FabianTebeka 4 ай бұрын
Hakuna kitu chochote anachofanya zaidi ya kusafiri pasipo kuwa na faida
@Alexlaizermolleli
@Alexlaizermolleli 4 ай бұрын
Naomba kwa. Eshima na sisi usitusahau kabisa nahishi okokola kijiji cha okokola
@bibimpole9455
@bibimpole9455 2 жыл бұрын
Hy Ndio Rais Wa Nchi Alopanga Mungu Mwanaadam Huwezi Kulipangua Ukitaka Kaa Tanzania Huwezi Hamia Marekani Bibi Upo
@vallerinejesse2299
@vallerinejesse2299 2 жыл бұрын
Nusu wewe
@khadijamgambo9382
@khadijamgambo9382 Жыл бұрын
habari ndio hiyo 🤣🤣
@G.S985
@G.S985 2 жыл бұрын
Nakupenda Muheshimiwa Mama Samia Suluhu,Mungu aendelee kulinda katika yote,Hongera Tanzania.
@helencasmir5457
@helencasmir5457 7 ай бұрын
Why is it not in English or Swahili? What are you trying to HIDE to our people?
@bonabonala5559
@bonabonala5559 10 ай бұрын
mbona sifa nyingi kuriko ariyo kosea kuuza bandari au kawa munngu kama jpm mabaya hana huyu?? au mnaficha mpaka afe ndio muongee???
@yasiniSwedi-qg5oc
@yasiniSwedi-qg5oc 5 ай бұрын
Ishu sio mwanamke W Kwanzaa kuwa raisi ishu ameimudu?nafsihyo?nani anataka kuijuwa familiayake? Au uchawatu
@ZanzibarKamiliTV
@ZanzibarKamiliTV 5 ай бұрын
Punguza jazba Yasini. Maisha haya hayataki hasira za bila mpango. Allah humpa amtakaye, na humchukua amtakaye katika viumbe vyake.
@maikoandrew58
@maikoandrew58 2 жыл бұрын
Dada huyu ameunga unga sana mpaka akapata elimu, nilijua tu Samia ameunga unga sana, hapo tujifunze kuwa hakuna mafanikio bila maangaiko huyu dada ame struggle Sana
@faridaabdallah7620
@faridaabdallah7620 2 жыл бұрын
Masha Allah mwenyezimungu akufanyie wepesi ❤❤♥️🤲
@fredelibahatelebahatfred
@fredelibahatelebahatfred 7 ай бұрын
Mama agu namm niko kigoma kwaza kabisa kwaza mugu akuride mama namm nafuwaguo kigoma zawatu madereva naobamsada wamashene napasi tatu naoba nauwaja mama namaisha magumu mama yagu ananyaswa na,Dada ake nakaka yake anateka mama nàomba .mugu akumbariki mama upige mwigi mama agu
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 4 ай бұрын
Watanzania tuliiheshimu katiba yetu na hakika tumedhihirisha uungwana wetu. Tuendelee na uungwana.
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 Жыл бұрын
binti yake Suluhu wa Hassan. Mungu akubariki sana. twakuombea na majukumu yako. Mungu akupe afya uzima na wepesi. hekima na maarifa pia mama yetu
@bibimpole9455
@bibimpole9455 2 жыл бұрын
Wewe Ester Una Roho Mbaya Kwa Kuwa Hy Anaitwa Samia Umeumia Engekuwa Anaitwa Magdalena Ungesema Bwana Yesu Asifiwe
@selestinsongola2787
@selestinsongola2787 2 жыл бұрын
Anazingu tu bhana anazunguka tuu machinga tunanyanyasika Hana habali wanting yuko bize na matajiri tu RIP magufuli mungu akulinde
@khadijamgambo9382
@khadijamgambo9382 Жыл бұрын
vumilia
@yasiniSwedi-qg5oc
@yasiniSwedi-qg5oc 5 ай бұрын
Wewe bilayakufa mpendwawetu jpm wewe usinge kuwa raisi hatakama ungeishi miaka200
@SayyidAhmadBaalawy
@SayyidAhmadBaalawy Ай бұрын
Kwahiyo hujapendelea mama sammia kuwa raisi wa tanzania au??? Umesahau kuwa mungu sia thumani wote hao unao wadhania kuwa maraisi na watakao kuja baada ya mama samia sio mapenzi yao ila ni mungu ndio mtoaji nafasi hiyo kwa amtakae. Hivyo wewe zowea tu ma ukubali matokeo.
@Alexlaizermolleli
@Alexlaizermolleli 4 ай бұрын
Nimekubali mama wetu mungu akubariki mahali ulipo
@twalaataib7337
@twalaataib7337 2 жыл бұрын
Mashallah insh allah umri Mrefu na afya kamili Love Frm Kenya 👍❤
@HudayjumaTaalib
@HudayjumaTaalib 2 ай бұрын
Mungu humpa amtakae achauchoyo
@saudalilingani9264
@saudalilingani9264 2 жыл бұрын
Hongera sana sana Mashaalah Mwenyezi Mungu azidi kukusimamia na kukulinda ili uzidi kutuongoza pamoja na kukupa afya njema.
@kursumsicobok5938
@kursumsicobok5938 2 жыл бұрын
Kizimkazii kwa dolfing wakirukaa juu mashallah ndio maanaa allah kakuchaguu ufanyee maendeleo sio uwezowako ila ni allah fanya kszi kwaumanifu mjubwa mum hongeraa kazi njema
@heribuberwa2372
@heribuberwa2372 2 жыл бұрын
Alikuwa SMZ 2000 hadi 2010 Aliingia bunge la Jamhuri mwaka 2010 na kuwa Waziri wa Muungano
@shadhuriluambano7556
@shadhuriluambano7556 2 жыл бұрын
My president you are a real definition of strong woman, I love you live long and stay blessed
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 Жыл бұрын
Kweli samia anastahili urais anayo akili NA akili ni mali hongera kwa wazazi wake mungu amhufathi ko kote alipendeza kwa mafazi ya kiheshma
@themaestro-24
@themaestro-24 7 ай бұрын
Bahati mtu uzaliwa nayo
@agustinofhoty5985
@agustinofhoty5985 2 жыл бұрын
Rais samia alikua pis kali sana nimempenda bure mungu ambariki aishi maisha marefu dada yetu
@boazmwashemele4937
@boazmwashemele4937 2 жыл бұрын
Hongera mama kwa historian yako na uongoz
@ahmoha706
@ahmoha706 5 ай бұрын
Kama mKenya, naskia wivu sana kutokuwa na rais kama mama Samia. MUNGU AKUHIFADHI.
@FabianTebeka
@FabianTebeka 4 ай бұрын
Acha ujinga sisi tunaangaika alafu wewe unasema rais mzuri, mda wote anasafiri pasipo na faida kwa fedha za wananchi
@abilahirufai8269
@abilahirufai8269 7 ай бұрын
Mmetoa history nzur ya Rais Samia lkn sijasikia majina ya wazazi wake
@JacquelineNdanga-nx5sz
@JacquelineNdanga-nx5sz 7 ай бұрын
MES RESPECTS MAMAN SAMIIA NAKUPENDA SANA JUU UNAONESHAKA GISI MAMA ANAPASHWA KUJIKAMATA ASANTE SANA MAMA PRESIDENTI
@mgalami
@mgalami 7 ай бұрын
Hongera sana Mama.
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 2 жыл бұрын
"Nitaendelea kulinda heshima ya mwanamke wa Tanzania.". Mungu akujalie uyatekeleze hayo.
@lovenessferdinand3664
@lovenessferdinand3664 2 жыл бұрын
Asante mwandshi kwa mkusanyiko mzr wa hbr Kuhusu rais wetu
@ZanzibarKamiliTV
@ZanzibarKamiliTV 2 жыл бұрын
Asante sana dada Loveness kwa ujumbe wako🙏
@benedictmrisho5947
@benedictmrisho5947 2 жыл бұрын
Mwalmu alitofautisha Urais na familia yake. Hii ilimjengea heshima na leo hata mjane wake na familia wanaheshimika. nchini
@salahhddindasuvic6447
@salahhddindasuvic6447 Жыл бұрын
Tunakupenda raisi wetu,mchapakazi ,muadilifu,mkweli na mwenye huruma na Imani Kwa watanzania.
@ausonjustinian4673
@ausonjustinian4673 8 ай бұрын
A haaa kumbe tukikupa kura hawamu ya 2 utawajari wanakijiji.....
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA 2 жыл бұрын
Safi sana samia rais wetu wa Tanzania kila lenye kheri kwako
@christian-jw4zb
@christian-jw4zb 2 жыл бұрын
President of Tanzania come to Jesus. Jesus Christ is the Son of God. he can save us. Acts 17:30
@ruwaruwa1
@ruwaruwa1 Ай бұрын
Stupid
@EmmanuelMagadula-f1y
@EmmanuelMagadula-f1y Жыл бұрын
Wajinga tu ndo watakubali nakumpenda ama kujipendekeza
@esterester4373
@esterester4373 2 жыл бұрын
Kwan magufuli hakua nafamilia em 2tolen ujinga wen,yan m2 ndokwanza hat mwak han mal 2naon post zawatot wke mar mume familia yke ina2hus nin sas,,mfyuuu
@malikajohnson8897
@malikajohnson8897 2 жыл бұрын
Magufuli ndo nani? Kwendeni zenu. Mkitaka tafute chaneli mkamuelezee huyo mtu wenu. Kwani kuna kosa gani kumuelezea Samia? Basi kila saa magu magu hebu tuacheni na yetu tupumue. Kuna TV zipo zina Wasifu wa Mwendazake nendeni mkatizame. Hamjaitwa hapa. Hamjalazimishwa. Hapa wamemzungumzia Samia. Ujinga wenu hukohuko. Mfyuuuuuu
@malikajohnson8897
@malikajohnson8897 2 жыл бұрын
@Firoza Braxeda Urojo twala kwa raha zetu. Tena tunajifakharisha nao. Kazi kwenu mnaodhani Magu alikuwa malaika🤣🤣🤣🤣
@vallerinejesse2299
@vallerinejesse2299 2 жыл бұрын
Tena wajinga Sana!!!
@vallerinejesse2299
@vallerinejesse2299 2 жыл бұрын
Akili zimejaa urojo na ubuyu kuna kitu tena!! Ndio kubonyezana kizenji bonyee!
@malikajohnson8897
@malikajohnson8897 2 жыл бұрын
@@vallerinejesse2299 wee na wafuasi wenzio mnaodhani Magu alikuwa malaika nyie akili zenu ziko matakoni kabisaa. Sasa ashakufa mkitaka kunyweni sumu mumfuate👌
@Ba63828
@Ba63828 2 жыл бұрын
Asante kwa somo hilo la our beloved President
@SaraMalando
@SaraMalando Ай бұрын
Mmmmmhh Kaz anayo
@halimajamaniamekuwamndeme9617
@halimajamaniamekuwamndeme9617 2 жыл бұрын
Dada yangu Rais wangu yaani nakupenda sana dada yangu
@JasmineMushi-bs8pm
@JasmineMushi-bs8pm Жыл бұрын
Ongera Sana mheshimiwa rais wetu hatutaacha kukpongeza mwanamke wa jembe mungu akuweke inshaallah
@MerlinaKubadesha
@MerlinaKubadesha 2 ай бұрын
Hakuna cha raisi hapo ni ubaya ubwela😂🎉🎉🎉
@mohamedally2077
@mohamedally2077 Ай бұрын
Rais awe mama ako muuza pombe za kienyeji?
@MerlinaKubadesha
@MerlinaKubadesha Ай бұрын
@@mohamedally2077 acha utumbavu kama huna Cha kuongea sawa
@ludaba2323
@ludaba2323 7 ай бұрын
Mama ssmia watanzania tunajivunia ushupavu wako.hongera mama❤
@MagembeMakoye-g7m
@MagembeMakoye-g7m 2 күн бұрын
😂😂😂😂😂🎉
@maikoandrew58
@maikoandrew58 2 жыл бұрын
Eti napiga goti ?. Kazi hiyo, Mwanamke mtanzania wa Zanzibar kupiga goti ?. Hapana
@machetebogota4218
@machetebogota4218 Жыл бұрын
Labda km mzanzibar mnyamwez ndo anaweza hivyo fotaut na hapo ni uongo kweli😅
@ausonjustinian2080
@ausonjustinian2080 2 жыл бұрын
Mdg waandishi nashauli mpate jp picha zake za utotoni km mlivyofanya kwa maraisi wengine.
@hassannasir4561
@hassannasir4561 2 жыл бұрын
Maa shaa Allah Mwenyeezi Mungu akulinde Rais wetu mpendwa Mama wa Taifa
@idrisamohamedhaji2484
@idrisamohamedhaji2484 2 жыл бұрын
Ameen
@aminahamad1113
@aminahamad1113 Жыл бұрын
Mama kama mama ❤️ hongera sais wetu mwanamke wa kwanz kua rais ni historia tunakupend sana rais weru🤩🤩
@NorahFrank-w5m
@NorahFrank-w5m Жыл бұрын
Ulianza vizuri bali ulikotupeleka kunatisha.
@anwarambar6141
@anwarambar6141 Жыл бұрын
Allah akulinde akupe afya njema, hekima, uwaongoze ndugu zetu wa Tanzania, Kwa njia nzuri, Mimi ni mkenya nafurahi Sana, pongezi Sana mama yetu Samia
@EsterPaul-uc7ny
@EsterPaul-uc7ny 4 ай бұрын
Hongeraa sanaà mama angu nimekupendaa bureee mama
@bebbybebby655
@bebbybebby655 2 жыл бұрын
Am in love with her dressing code. MashaAllah
@aishamusamusa9089
@aishamusamusa9089 Жыл бұрын
Munguamulazepenyewemamzeemagufuli
@carolineseda4127
@carolineseda4127 2 жыл бұрын
Mama mchapakaz., Ubarikiwe.
@zamdauseni9787
@zamdauseni9787 7 ай бұрын
Namu mama samiya eshina kwa mume
@RayaRashid-dc2hn
@RayaRashid-dc2hn 4 ай бұрын
Napenda mavazi yake mama
@NadyaSudi
@NadyaSudi Жыл бұрын
Allah akusimamie Kila hatua rais wangu kiukweli Nakupenda sana rais wetu
@kursumsicobok5938
@kursumsicobok5938 2 жыл бұрын
Aslm mum wa taifa za ramathan uposalama za mdaa shikamoo mum uposalama hukoo dar
@joycengei6083
@joycengei6083 7 ай бұрын
Do we have Christian Churches in Zanzibar or Tanzania?
@ZanzibarKamiliTV
@ZanzibarKamiliTV 7 ай бұрын
What do you mean? There are churches in both Zanzibar and mainland Tanganyika.
@joycengei6083
@joycengei6083 7 ай бұрын
I asked that because all I hear from Tanganyika/Tanzania is to do with Islam
@joycengei6083
@joycengei6083 7 ай бұрын
Is there any thing wrong with me asking?
@zulfabupale485
@zulfabupale485 2 жыл бұрын
Nyie nao niwaongo amezaliwa 1960 ameolewa 1978 kwahiyo hakusoma???
@ZanzibarKamiliTV
@ZanzibarKamiliTV 2 жыл бұрын
We nawe usiropoke kama hujui mambo. Ameolewa na miaka 18 akiwa kashamaliza kidato cha 4. Elimu ya juu kajiendeleza kidogokidogo akiwa mke na mama wa watoto. Hadi akafikia kupata shahada. Makala inaeleza lkn sijui mwenzetu kichwa kizito sana🙄
@AbassKhamis-lc3ts
@AbassKhamis-lc3ts Жыл бұрын
Mungu akusimamie ktk kuliongoza taifa letu mama yetu
@Big-Lunya
@Big-Lunya 7 ай бұрын
huyu mama namkubali sana asee
@williammbuzimai5744
@williammbuzimai5744 2 жыл бұрын
Ahsante Kwa history zr,
@janneytemu1389
@janneytemu1389 2 жыл бұрын
Mungu akujalie maisha marefu mama
@salamashabani7922
@salamashabani7922 2 жыл бұрын
HONGERA SANA MAMA WA TAIFA, MUNGU NISAIDIE NAMIMI KIZAZI CHANGU KIWE BORA ZAIDI YA MAMA WA TAIFA INSHAALLAH🙏
@khadijajacob2214
@khadijajacob2214 2 жыл бұрын
Allahumma amin
@RaphaelSemizigi-bn1wh
@RaphaelSemizigi-bn1wh Жыл бұрын
Hongera mama Samia kila kitu kinawezekana,God bless
@AdamSaffi211
@AdamSaffi211 10 ай бұрын
Üzeni nchi yetu, Ahsanteni sana!
@benedictmrisho5947
@benedictmrisho5947 2 жыл бұрын
Historia nzuri Hongera.
@aishamusamusa9089
@aishamusamusa9089 Жыл бұрын
Mashaallahmamasamiamwenyezimungunaakuweke
@amanisomi8784
@amanisomi8784 2 жыл бұрын
Aijumbuke iyo mada ya Katiba mpya kama ndoto yake
@calvinjohn1882
@calvinjohn1882 2 жыл бұрын
MBONA FAMILIA YA MGUFULI HAUKUPOST,.,,, ACHENI KUJIKOSHA
@malikajohnson8897
@malikajohnson8897 2 жыл бұрын
Hujaitwa hapa. Magufuli mfuate TV za Tanganyika. Mbona vipo vyombo haviripoti viongozi wa Zanzibar? Si lazima kila pahala aatajwe Mwendazake 🙄
@shadyakimaro3245
@shadyakimaro3245 2 жыл бұрын
@@malikajohnson8897 Na wee mwanae nn!??
@malikajohnson8897
@malikajohnson8897 2 жыл бұрын
@@shadyakimaro3245 ndiye miye mwana wa Samia kindakindaki.
@binrashidsalim5667
@binrashidsalim5667 2 жыл бұрын
Wacheni ujinga kwani magufuli ni malaika au Mtume kuwa Kuwa kila kitu aanze magufuli kwani na yy c Alikuwa na staili yake ile ya kutumbua tumbua wa hadharani mambo ambayo Marais WA nyuma hawakufanya Singapore mbele mama
@malikajohnson8897
@malikajohnson8897 2 жыл бұрын
@Firoza Braxeda kama unavowashwa wewe na ufala wako.
@hellenmaiyo2516
@hellenmaiyo2516 Жыл бұрын
Heko sana,raise wa Tanzania Samia suluhu.
@helencasmir5457
@helencasmir5457 7 ай бұрын
We mean the Transcript
@bibianamassawe4731
@bibianamassawe4731 6 ай бұрын
Kazi iendelee
@christalgrandberry9283
@christalgrandberry9283 2 жыл бұрын
Safi-sana
@lawmaina78
@lawmaina78 7 ай бұрын
Nakupenda sana mama.
@adiladil345
@adiladil345 2 жыл бұрын
Watanganyika msizingue nyie ikifika chaguzi mwatuletea jeshi zenj wacha chinga wazalilishwe zamu yenu sasa mara hi uchaguzi ujao samia jeshi lote la zanzibar atalileta uko muteswe
@johnmhoja3193
@johnmhoja3193 2 жыл бұрын
Hana maajabu jaribuni na mama yenu muone cha moto kitakachotokea
@EmmanuelMagadula-f1y
@EmmanuelMagadula-f1y Жыл бұрын
Mhhhh, aaaaaah
@kassimbashir3899
@kassimbashir3899 2 жыл бұрын
Hongera mama Tz
@moreenonesmo-jz2ws
@moreenonesmo-jz2ws 9 ай бұрын
Furaha ya Mama
100 Identical Twins Fight For $250,000
35:40
MrBeast
Рет қаралды 49 МЛН
Do you choose Inside Out 2 or The Amazing World of Gumball? 🤔
00:19
Поветкин заставил себя уважать!
01:00
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 6 МЛН
Electric Flying Bird with Hanging Wire Automatic for Ceiling Parrot
00:15
PENZI LA MTOTO WA BOSS 💕💕 NA WAKE WENZA PART 1-5 love story
1:00:14
KWA NINI NIMESILIMU 22 August 2024
29:36
Abu Shuraim
Рет қаралды 101 М.
SNURA NA MUMEWE USO KWA USO NA SHEIKH KISHK AL-HIKMA FOUDATION
18:56
Kishki Online TV
Рет қаралды 110 М.
100 Identical Twins Fight For $250,000
35:40
MrBeast
Рет қаралды 49 МЛН