HURUMA! KIJANA WA MIAKA 22 AINGIA MTEGONI BAADA YA KUOA MWANAMKE JINI BILA KUJUA KISA TAMAA YA PESA

  Рет қаралды 11,824

King Po Tv

King Po Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 66
@cerecere5758
@cerecere5758 5 сағат бұрын
Msaada pekee n Mungu my brother, simama vizuri na Mungu uone atakayokutendea, luke1: 37 Luke 10 :19
@Sashafadhili-z2q
@Sashafadhili-z2q Күн бұрын
Pole dear kaswali sana allah atakujibu na mimi nitakuombea ushinde hii vita dhidi ya balaa lililokukuta
@PrinceMbwana-i5o
@PrinceMbwana-i5o 20 сағат бұрын
ameni ameni ameni
@MusahSakinah-m4z
@MusahSakinah-m4z 3 күн бұрын
Pole sana kakangu omba Mungu atakusaidia
@SaumuShaima
@SaumuShaima Күн бұрын
Jamani pole sana mrudie Allah ata kusaidia In shaa Allah🙏🙏🙏🙏
@PrinceMbwana-i5o
@PrinceMbwana-i5o 20 сағат бұрын
ameni ameni ameni
@Sashafadhili-z2q
@Sashafadhili-z2q Күн бұрын
Sema broo ulipoteza bahati sana huyo alikuwa jini mwema lkn ulimvuruga wew
@NeemaJosephWilliam
@NeemaJosephWilliam 2 күн бұрын
Pole sana nenda kanisan kaombewe acha kwenda kwamunganga nenda kanisan
@dorcaskarago2876
@dorcaskarago2876 3 күн бұрын
Pole sana kaka tubu dhambi zako mutegemee Mungu peke yake achakutegemea mapepo
@YorandaBonephas
@YorandaBonephas Сағат бұрын
Towa namba yako watanzania watakuchangia chochote
@NeemaJosephWilliam
@NeemaJosephWilliam 2 күн бұрын
Pole sana nenda kanisan
@MwanahawaAli-s9d
@MwanahawaAli-s9d 3 күн бұрын
Pole sana mungu Yuko pamoja nawe
@yohanamuhambe9422
@yohanamuhambe9422 3 күн бұрын
Kimbilia Kwa Yesu ndugu
@angeljoseph8103
@angeljoseph8103 Күн бұрын
Pole kabla hujafa hujaumbika nawanadamu kunawakati unapitia majaribu pole
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 3 күн бұрын
Huyo ni mwanamme sio mwanamke anajigeuza kijini tu. Omba mungu sana akuvushe mtihani huo.
@ThabitiGunge
@ThabitiGunge 3 күн бұрын
👏👏👏👏👏👏 kilosa
@PowerTv-iu6eb
@PowerTv-iu6eb 3 күн бұрын
Nitumie namba zake
@LoyiMkelelwa
@LoyiMkelelwa 3 күн бұрын
Pole sana kijana, omba Mungu akusamee tamaa uliyo kuwa nayo Hadi ukafikia kupata shida kama hiyo. Ukiomba kwa Imani atakuponya
@tanzaniawomenyouthempowerm267
@tanzaniawomenyouthempowerm267 3 күн бұрын
Hapo sijaelewa..Yan siku hyohyo na kuoa?du?
@annettemalechela7543
@annettemalechela7543 2 күн бұрын
Kimbilia kwa Yesu nakusihi
@Sashafadhili-z2q
@Sashafadhili-z2q Күн бұрын
Sijaelewa lakini yaan siku hiyohyo amekubali na umeoa duuuh lkn so mbaya shetani hupitia njia yoyote allah yupo nawe inshallah
@MirajiHemedi
@MirajiHemedi 2 күн бұрын
Msaada hakuna . Nenda kwa kanisa linalohubili wokovu ukatubu na kusalishwa sala ya toba ,kisha ubatizwe ubatizo wa maji mengi, umkili Yesu kuwa Bwana na mwokozi wako. Utapona,
@PrinceMbwana-i5o
@PrinceMbwana-i5o 20 сағат бұрын
ameni ameni ameni
@halimashaban3858
@halimashaban3858 3 күн бұрын
king po kwajili ya matukio ya kishilikin tu 😢😢
@EvelynOdero
@EvelynOdero 2 күн бұрын
Itisha maombi kwa mpigo brother and all will be well😢
@FatmaKombo-y8e
@FatmaKombo-y8e 2 күн бұрын
Tamaa imekuponza kaka baada ya kupata huyo mdada uliona bora utafute na wanawake wengine yule wa hakukufaa tena
@إبراهيماحمد-ه7ن5ه
@إبراهيماحمد-ه7ن5ه 3 күн бұрын
Msaada peke n yesu enda kanisani uombewe hilo jini lina Kenyonya damu hiyo sio ugojwa n damu unanyonywa
@ThabitiGunge
@ThabitiGunge 3 күн бұрын
Kama mimi ningeenderea nae safiii tuuuy
@modestasanga4529
@modestasanga4529 3 күн бұрын
Sasa kwaumalaya wenu hatukusaidiii mpkaumfuate aliko acheni huoupumbavu watoto wetu hapo utakuta hatamamayako ulikuahumusaidii kazituu kudili wanawake umekuwa matha mwaipaja hiinishida
@FatmaKombo-y8e
@FatmaKombo-y8e 2 күн бұрын
Ndio mnashikishwa adabu ivo kwa sababu mukipata wanawake hamuwatafitii wazee wao
@Salhamohamedimwampagatwa
@Salhamohamedimwampagatwa 3 күн бұрын
Muache ujeuli mmezidi kuwanyanyasa watoto wawatu unapata mwanamke unamnyanyasa unaenda kutafuta wanawake wengine ndiyomkome sasaleo umekutana nakibokoyako nabado utayapata makubwa zaidi yaayo ivi kwanini binadamu uwa atutosheki wala atuna sukulani jamani ulichokipana ulistaili uyapate ayo tena wewe jini zidi kumtesa zaidi yaapo wengine wajifunze kupitia yeye
@DamagaMbiti
@DamagaMbiti 20 сағат бұрын
Ndugu yngu kama huna cha kupost unacha, usipende kumcheka mwanadam, kwa nawe hujuwi kesho yko unaweza kupata zaidi ya huyo
@CikeTanzania
@CikeTanzania 12 сағат бұрын
Tamaa zao wanaume mmmh
@TaiyaJuma
@TaiyaJuma 3 күн бұрын
Amini tu kaka nenda kafanyiwe maombi utafunguliwa
@PaulineOdhiambo-h8u
@PaulineOdhiambo-h8u 3 күн бұрын
Maombi ndio itakusaidia tafuta mungu zaidi peke yako hauta weza
@chekachuma2252
@chekachuma2252 2 күн бұрын
Watoto wa siku hizi hamna subra kila mwanamke mnamtaka hata hamchunguzi mradi tu kakuvutia.
@hancybaruti3956
@hancybaruti3956 5 сағат бұрын
Makini hayatolewi Siri utakufa kaka,acha hizo habari nakuomba
@VickyKalomo
@VickyKalomo 2 күн бұрын
Nakushauli nenda Kanisani Kimara Temboni kwa Kuhani Musa shida yako hiyo itatatuliwa
@ashahassan2120
@ashahassan2120 2 күн бұрын
Kwli umeongea
@angeljoseph8103
@angeljoseph8103 Күн бұрын
Nenda kanisani kwenye maombi hayo yote yataisha
@SharifaMohammed-el3ug
@SharifaMohammed-el3ug Күн бұрын
Nenda kea mwamposa
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 3 күн бұрын
Mtafute
@omanoman2044
@omanoman2044 3 күн бұрын
Taam ndo zinawaponza na mambo ya dunia achen ufala tafuten kaz zakufanya umuache tamaa
@ZinabAlzinab
@ZinabAlzinab 3 күн бұрын
Wanaume wa tz hawatobowi kimaisha kwa umalaya wa kuhonga honga pesa ovyo
@josephkajinga6967
@josephkajinga6967 3 күн бұрын
Nenda kanisani ukaombewe. Pete jini itatoka.
@AnnaNgobola-pm7fz
@AnnaNgobola-pm7fz 3 күн бұрын
Jesus ndiyo Mazda pekee
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 3 күн бұрын
Wahuni wote mkome
@namungolubala1788
@namungolubala1788 3 күн бұрын
UKOMEKWANZA MKIPATA WANAWAKE MNARINGA MWISHO WAKO NI KUFASASA PESAMINGI ZILIKU LEWESHA 😮😮😮😮
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 3 күн бұрын
Tabia za Kiafrika ameiba amepata akawa anafanya ZINAA akawa anamgeuka mwanamke aliyempatia Mali.
@JohnBernad-r7z
@JohnBernad-r7z 3 күн бұрын
Ww mbona auwelwk
@BahatiLodi
@BahatiLodi 3 күн бұрын
Je Alisha mpa unyumba
@omanoman2044
@omanoman2044 3 күн бұрын
Tamaa zilikuponza na ujinga wako muone kwanza
@modestasanga4529
@modestasanga4529 3 күн бұрын
Kwani ùnsema alikua nijinì ebutwambie uliyokuwa unafanya wewe yalikuwa sahihi shida watoto .hamnaadabu kujiiliza mbona wakatisinahuyudada nilikuwa sipati ninahuyu napata swali kwanini hukujiiiza hayo
@مريممريم-ت7ج2ي
@مريممريم-ت7ج2ي 3 күн бұрын
poleyko wenzio wanaishino bil at y shd wee umekwm wpi
@Mary-hx9yn
@Mary-hx9yn 2 күн бұрын
Tafuta askofu mkuu elibariki sumbe arusha atakuombea
@EstherKabika-b4v
@EstherKabika-b4v 3 күн бұрын
NENDA KAOMBEWE. KWA WALOKOLE. HATA HIYO PETE. ITATOLEWA. KIDOLENI. KWA JINA LA YESU
@AIKABAHATI
@AIKABAHATI 2 күн бұрын
Ata kwa wa kristo pia.❤
@ZinabAlzinab
@ZinabAlzinab 3 күн бұрын
Umalaya kumbe umekuponza
@ZinabAlzinab
@ZinabAlzinab 3 күн бұрын
Atapokuja usingizini muombe msamaha
@kilogreek4050
@kilogreek4050 3 күн бұрын
ALIVYOONDOKA AJAKWAMBIA UKIMTAKA UMWITE KWA NJIA YOYOTE KWA SAA KUJA ????
@NelsonMwakyeja-e6e
@NelsonMwakyeja-e6e 2 күн бұрын
muombe msamaha
@AliDinanga-jr4co
@AliDinanga-jr4co 3 күн бұрын
Ujinga mtupu ! Umeokota mtu barabani unamtia ndani bila kujali familia yake, historia yake, marafiki zake !
@DanielPius-b8m
@DanielPius-b8m 18 сағат бұрын
Ungea na hyo Pete ww omba msamaha
@omanoman2044
@omanoman2044 3 күн бұрын
Hilo pete sii ulitupe naujinga wako na bado
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 3 күн бұрын
Ujinga huo.Ndio ukome.Ujanja wa kijinga.Kwanini ulimufukuza
BSS 2024 SE15 EP02 MWANZA | FULL SHOW
1:01:31
BongoStarSearch
Рет қаралды 201 М.
To Brawl AND BEYOND!
00:51
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 62 МЛН
To Brawl AND BEYOND!
00:51
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН