Hustler: Idrisa Magesa - Muuzaji wa Uji aliyeupa THAMANI na anayevutia wateja wengi vijana wa mjini

  Рет қаралды 19,696

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Idrisa Magesa ni #Hustler anayefahamika zaidi kama Idrisa Muuza Uji. Amefanikiwa kuifanya biashara yake ya uji uitwao Habpab kuwa habari ya mjini Dar es Salaam. Habpab sio ujio kama uliouzoea gengeni, ni uji mtamu unaochanganywa na vitu mbalimbali kuufanya uwe na ladha ya kipekee.
Kutokana na ubunifu wake katika kuuza ujio wa #Habpap, watu wengi hususan vijana humiminika kwenye kibanda chake mida ya jioni kuunywa na huku wakiendeleza soga. Ifahamu zaidi safari yake na matarajio yake makubwa kuufanya uji wa Habpap kuwa bidhaa itakayopatikana kimataifa

Пікірлер: 49
@rashidmohamed8864
@rashidmohamed8864 5 жыл бұрын
Nimefurahi.. pamoja sana.. nawatakia maxuri zaidi.. na sie wakenya pia utufikie uji mtamu huo. Big up kaka...
@jeniphadamiani8519
@jeniphadamiani8519 7 ай бұрын
Wao hata mm nauza na mm nitaboresha uji wangu
@rashidmohamed8864
@rashidmohamed8864 5 жыл бұрын
Ni kutaka kujua na kufahamu zaidi.. kwani skuizi mambo kwa ubunifu.. kama kakaetu alivyotudokeza.. so dida uscheke.. uji wa kileo huo.. MashaaAllah :
@zanfastfood7300
@zanfastfood7300 2 жыл бұрын
Dah hongera sana ...nmepnd mtaj wa creativity ..na jins ulivoongea khs mtaji hilo ni kweli....big up bro
@science_fact93
@science_fact93 5 жыл бұрын
Good idea, invesion but I think they need to know more on how infection prevention and control on processing the product
@emmanuelhelman7286
@emmanuelhelman7286 5 жыл бұрын
Hongera sana Ndg Idrisa,Mungu akutangulie
@rashidmohamed8864
@rashidmohamed8864 5 жыл бұрын
Its good.. pia naona kila mwenye kikombe ako na pakiti ameskilia.. hio nayo ni chapoo au product gani nzuri.. naomba ufafanuzi pls. Hongera kaka..
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti 5 жыл бұрын
Yes hizo ni chapati
@fatumahengo6849
@fatumahengo6849 5 жыл бұрын
Mashaalah kazi nzuri sana
@ashanalinga8719
@ashanalinga8719 5 жыл бұрын
Hongera Sana kaka Uwo ndo ubunifu 🙌🙌
@danterey
@danterey 5 жыл бұрын
I just love his idea,good job he has just inspired and am thinking of doing the same or more
@arabhadpoint6920
@arabhadpoint6920 4 жыл бұрын
Congratulation bro keep it up nmependa idea yako 👌
@nasryathabit6863
@nasryathabit6863 5 жыл бұрын
mashallah
@catherinenoor5196
@catherinenoor5196 5 жыл бұрын
all the best #habpab
@joshuaisrael9321
@joshuaisrael9321 3 жыл бұрын
More blessings
@janeypheremmanuel9844
@janeypheremmanuel9844 5 жыл бұрын
nimependa sana hongera kaka vijana tujifunze hapa
@jamil1547
@jamil1547 5 жыл бұрын
Inshaallah Allah bless you
@khadeejaabdullah7083
@khadeejaabdullah7083 5 жыл бұрын
MashaAllah
@arabhadpoint6920
@arabhadpoint6920 4 жыл бұрын
Mashallah
@niriacatering172
@niriacatering172 3 жыл бұрын
Hongera sana. Nice job
@estheliajames3627
@estheliajames3627 2 жыл бұрын
Congratulations
@petajane6188
@petajane6188 7 ай бұрын
Naweza kupata namba yako mm npo njombe nataka kufungua cafe ya vinywaji joto
@asinathasinath5090
@asinathasinath5090 5 жыл бұрын
Nakubali bro kazi kazi
@happymsuya5676
@happymsuya5676 Жыл бұрын
💪💪💪
@asinathasinath5090
@asinathasinath5090 5 жыл бұрын
Nice 👍 Nice 👍 Nice
@rahmajumaa1707
@rahmajumaa1707 4 жыл бұрын
Nakupataje kwenye mitandao ya kijamii, nashida sana na ww kaka
@MZIZE
@MZIZE 3 жыл бұрын
Habpab
@lynusjacob6727
@lynusjacob6727 5 жыл бұрын
Vijanaa tunawezaa tuachee uwogaa.. habpap inapendezaa kwel kweli
@leahamani1267
@leahamani1267 2 жыл бұрын
Kaka nisaidie namba tafadhari
@rashidmohamed8864
@rashidmohamed8864 5 жыл бұрын
Mambo mazuri bro.. but nauliza tu huo uji unakuwa ni moto au baridi coz naona wanywika ata ukitoka frijini. Kila la kheri kaka.
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti 5 жыл бұрын
Ni wa moto kama umetoka kwenye sufuria mzee!
@khadijakhadija6212
@khadijakhadija6212 5 жыл бұрын
Rashid unachekesha aiseee
@rashidmohamed8864
@rashidmohamed8864 5 жыл бұрын
Khadija Khadija na pia ni funzo zuri.
@khadijakhadija6212
@khadijakhadija6212 5 жыл бұрын
@@rashidmohamed8864 saiv watu weng mtaan kwet wanauz uji wanatembeza kila jion wa mchele
@rashidmohamed8864
@rashidmohamed8864 5 жыл бұрын
Khadija Khadija MashaaAllah.. ni mtaa upi huo wenye maendeleo. Furaha kubwa.. hongera
@adredandorero2911
@adredandorero2911 3 жыл бұрын
Sean
@aminaabdallah3644
@aminaabdallah3644 5 жыл бұрын
Sorry to ask uji wa nini I mean nguo gani au gani I never see this before coz it's look like Ice cream 😗
@maryammaram2612
@maryammaram2612 5 жыл бұрын
💛💪💛😋
@semanasitv8303
@semanasitv8303 5 жыл бұрын
well
@floraritha1454
@floraritha1454 3 жыл бұрын
Ongera kaka, naomba namba yako nataka nataka kuongea na wewe
@portinagodson3836
@portinagodson3836 3 жыл бұрын
AHSANTE KAKA NIMEJIFUNZA KITU KIKUBWA SANA.
@hammylove1268
@hammylove1268 5 жыл бұрын
Mnao dislike hii video ni wanga sio bure
@stormyleysly9823
@stormyleysly9823 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@ashnuhu1420
@ashnuhu1420 4 жыл бұрын
😂😂😂 roho mby tu zimewajaa ndo man wanfnya ivo
She's very CREATIVE💡💦 #camping #survival #bushcraft #outdoors #lifehack
00:26
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57
HANDSOME AFUNGUKA ANAVYOPIGA PESA KWA KUUZA UJI MTAANI!
14:30
Global TV Online
Рет қаралды 9 М.
KAZI NI KAZI | Utamu wa makande-nyama uko hapa
24:31
Azam TV
Рет қаралды 4,5 М.
'Nimempeleka mwanangu chuo kikuu kwa kuuza uji mitaani'
2:26
BBC News Swahili
Рет қаралды 3,5 М.
Njia 4 Kubwa Unazoweza Kutumia Kumshawishi Mteja.
7:01
Joel Nanauka
Рет қаралды 105 М.
MREMBO AMESOMA MASTERS MAREKANI ILA ANAUZA MAKANDE MWANZA
18:47
Millard Ayo
Рет қаралды 597 М.
JINSI YAKUPIKA UJI MTAMU WA LISHE.
7:15
Ika Malle
Рет қаралды 3 М.
She's very CREATIVE💡💦 #camping #survival #bushcraft #outdoors #lifehack
00:26