HUU MTEGO MBAYA KWA YANGA | TFF YAMUADASHA KAYOKO

  Рет қаралды 1,043

MATOLE TV

MATOLE TV

Күн бұрын

Пікірлер: 23
@KenedyGodwin
@KenedyGodwin 9 сағат бұрын
Mmemdhurum Azam,Costal kümbe panauma
@lucymsheshi5871
@lucymsheshi5871 10 сағат бұрын
😂😂😂😂😂 vipi mechi ya zanziba azam hawakuonewa 😂😂😂😂😂 Bado yani mpaka msemeeee😂😂😂 hameni nchi
@kasokawilliam
@kasokawilliam 10 сағат бұрын
Huyu siyo muchungaji wakaninsa muchungaji wahamasa yasimba
@jumamakame3978
@jumamakame3978 10 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂unatia huruma kwakweli
@namfukamaismailna8203
@namfukamaismailna8203 10 сағат бұрын
Kwanza walisema timu imeshajipata, mfano mshabiki GB alisema SIMBA ilishajengwa hakuna cha kuhitaji muda, kwa sasa hana hiyo habari, hamuoni ni MIHEMUKO?
@jackmabirangacharles9398
@jackmabirangacharles9398 10 сағат бұрын
Mchungaji nenda Kanisani Mambo ya MPIRA ni Ya Shetani Mbona huongelei Penart ya Yanga halafu nakuomba nasema kasokee Ukocha halafu ndio Urudi kwenye vyombo vya Habari
@kasokawilliam
@kasokawilliam 10 сағат бұрын
Acheni kulala mikasana kwamba munawonewa, Kumbukani zanzibar mulikochifanya na azamu
@NgasaLuhamba
@NgasaLuhamba 10 сағат бұрын
Hamna timu timu libovu mnajipa faraja tu
@MussaRqjqbu
@MussaRqjqbu 10 сағат бұрын
Ndio shida ya kucheza na mabunga ambayo hata dhulma yanashangilia
@iddfundikira2817
@iddfundikira2817 10 сағат бұрын
Ateba alishikwa miguu wapi we liongo bwana mchungaji gani we wa hovyo na muongo.
@alexsakilu2650
@alexsakilu2650 7 сағат бұрын
Nyie Simba ni watu wa ajabu sana mnalalamika hata aibu hamna
@razacklazaro6678
@razacklazaro6678 8 сағат бұрын
Ulitaka achukue vip mpira miguun mwa ateba,Zaid ya alivyofanya
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 5 сағат бұрын
Hyu mchungaji anafanana na magori au ndugu!? Afu mchungaji tafuta kanisa mpira hauna dini
@SalmaKimwaga
@SalmaKimwaga 8 сағат бұрын
😂😂😂😂
@BaruaniBakari
@BaruaniBakari 4 сағат бұрын
Hayo.maneno.ya.mkosaji.mme.cheza na azam mme wafunga azam.magoli.ya of said mbona wenzenu wame tulia na msemaji wenu aka tamba sana kuwa.kuna watu washa anza.kulalamika mapema. Mbona mwalalamika.nyie tena
@frankphiri9132
@frankphiri9132 9 сағат бұрын
Tengenezeni Timu wanasimba ateba alishikwa miguu na kipa kweli wewe ni mchumgaji au mi mchungaji wa ngombe?
@imraniqbal00765
@imraniqbal00765 4 сағат бұрын
Huyu sio mchungaji Mchungaji hatakiwa kua na mihemuko tunakuomba bwana mchungaji tunaomba pia tuelekezee marefa walichezesha mechi ya azam na simba kule zanzibar Ulikua wapi bwana mchungaji
@namfukamaismailna8203
@namfukamaismailna8203 10 сағат бұрын
Hivi simba akilalamika ndo TFF wanafikiria adhabu? Mbona vichekesho, wanashindwa kuelewa hii ni EMOTIONS tu, sababu hata marefa ulimwenguni hukosea ndo maana ya VAR, TFF msiingie mkengeni, hao wamechanganyikiwa na kufeli kwa UBAYA UBWELA 😂
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 5 сағат бұрын
Mlifurahia of side mbili za azam mkafurahia penalty ya mchongo ya dodoma mkafurahia refa kupuliza filimbi baada ya coastal kuwa kwenye motion ya goli sa nyie mnataka mfurahi nyie tu😂😂😂😂
@mettanahonyo3345
@mettanahonyo3345 10 сағат бұрын
Kolozidad vs Azam - Kolo alibebwa Kolozidad vs Dodoma - kolo alibebwa Kolozidad vs Coastal Union - Kolo alibebwa Tuanze kuongelea mechi hizo tatu alafu ndo tuje ya tarehe 19 October, 2024😅😅😅😅
@achillebanga2492
@achillebanga2492 9 сағат бұрын
ulisema wewe ni mchungaji malalamiko ya nini tena
@jimmymnuano7165
@jimmymnuano7165 6 сағат бұрын
Mchungaji mimi nimekushutukia kumbe wewe huwa unatafuta kiki si ulisema wewe usiku utauzunguuka uwanja na ushindi kwa Simba 100 kwa 100 vipi sasa ? Au ulizunguuka ili Simba ifungwe goli moja nini ?
UCHAMBUZI: JUSTIN KESSY | YANGA IMESHINDIKANA
24:13
MATOLE TV
Рет қаралды 12 М.
Mom had to stand up for the whole family!❤️😍😁
00:39
Human vs Jet Engine
00:19
MrBeast
Рет қаралды 117 МЛН
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 47 МЛН
SISTER EXPOSED MY MAGIC @Whoispelagheya
00:45
MasomkaMagic
Рет қаралды 13 МЛН
MCHOME UNATAKIWA UPEWE MAUA KAKA HUJAWAHI KUWA MNAFIKI
9:01
NGULIKA TV
Рет қаралды 2,3 М.
Nje awon baba wa ni ile yoruba jagun?
24:59
Tani Olohun
Рет қаралды 9 М.
PROF KABUDI ASHANGAZA WENGI KWA HOTUBA YAKE
37:31
Ngasa Tv
Рет қаралды 192 М.
MASAI APAGAWA NA CHAMA | NAMPA MKE WANGU
20:00
MATOLE TV
Рет қаралды 18 М.
MBOTO AMCHANA ATEBA | ALIKUWA ANAFANYA DORIA TU
8:15
MATOLE TV
Рет қаралды 40 М.
UCHAMBUZI: JUSTIN KESSY | YANGA KAYOKO KAWAPONZA
18:17
MATOLE TV
Рет қаралды 2,4 М.
Mom had to stand up for the whole family!❤️😍😁
00:39