HUU NDIO MSIMAMO WA KANISA LETU KUHUSU HUYU MWINJILISTI

  Рет қаралды 3,245

MAHUBIRI TV

MAHUBIRI TV

5 ай бұрын

Пікірлер: 17
@richmabula5223
@richmabula5223 5 ай бұрын
Moja ya mafanikio makubwa kabisa shetani ambayo ameyapata ni amewekeza kwenye Elimu dunia ambapo ni kinyume na Mungu hapo amefaulu sana leo hii wale waliopewa kweli ya Mungu yaani wasabato kwa jina nina maanisha wale wanaogozwa na General conference na kiogozi wa Teddy wilson wamemuacha Mungu na wamekataa ukweli wa Mungu.Mungu alikataa tangu mwanzo kufundishwa na elimu dunia yaani elimu ambayo haimtambui Mungu lakini leo wasabato kwa jina wamemkataa na kumruhusu shetani awafundishe kweli wanashule na vyuo lakini mitahara ni ya kidunia kinyume na Mungu wajiita tu wasabato kumbe siyo pia shetani amefaulu sana kuweka mapandikizi yaani vibaraka kuanzia juu mpaka chini leo hii kanisa halitaki kufuata shule kama zile za manabii yaani zinazofundisha sawa na Mungu. Na hawa watu walio hojiwa na mkuu wa wilaya wanaonekana kama hawana akili lakini kwa Mungu wanaakili maana wenyewe kawnza wametii kwenda mashambani na wanajifunza zaidi elimu ya Mungu Tuishike sana elimu inayotokana na Mungu siyo elimu dunia ya kupata ajira tufundishww na Bwana Isaya 54:13 leo hii unafundishwa na Shetani kupitia elimu dunia na Mungu ametuonya hiyo tusii fuate ambayo haitokani na kristo Wakolosai 2:8. Wasabato tugekuwa na shule zetu ambazo hazifuati mifumo au mitahara ya dunia hii tuge mjua zaidi Mungu kama zile za manabii soma pia kitabu wafalme na manabii cha wasabato sehemu inayoitwa shule za manabii, jinsi zilivyokuwa Wokovu kwa sasa hivi ni mmoja mmoja ukisubiri kanisa utakuwa umechelewa sana shetani amewatazamisha washiriki kwa viogozi ambao baadhi yao amewaweka yeye ili kuharibu kweli ya Mungu badala ya kusoma biblia inasemaje. Tunatakiwa tuwe na shule zetu ambazo hazifuati mitahara ya dunia hii. na viogozi walivyo waoga kwa serikali walisimama kupinga kweli ya Mungu hadharani huku wakiwakana wale watu wa Natumbo district kwa sababu ni viogozi vipofu na wanatete maslahi yao binafsi Isaya56:10, Yohana 10:12 . Kimbieni kutoka baberi mifumo yote ya Elimu,biashara,kazi na kadhalika mjiokoe nafsi zenu lasivyo ghadhabu ya Mungu inawagonjea wana wa uasi mmekataa maagizo ya Bwana na kutekwa na shetani kwa sababu anampa maslahi Sauti ya Mungu inawataka watu wote watubu wa muabudu Mungu katika roho na kweli huwezi kumwabudu Mungu wakati unafundishwa na elimu dunia Hizi shule za wasbato ni zilezile tu za kiidunia maana zinafundisha kinyume na Mungu yaani binadamu ametokana na nyani na mafundisho ya uongo mengi hizo shule ni baberi mbele za Mungu badilisheni mitahara lasivyo mtaangamia msipotubu asante.
@user-ko6pb5ik1p
@user-ko6pb5ik1p 5 ай бұрын
Good God bless you Our Elder for good massage.
@carinethebosslady3722
@carinethebosslady3722 5 ай бұрын
Duuu wanapoelekea wenzetu wallah tena ni kuangamiza wengne…maarifa yanahtajika sana kpnd hk xha mwisho la sivyo weng wataangamia kwa kukosa maarifa🙌 Mung wa mbinguni awasaidie watu wake aliowaumba kutoka kwenye upotofu wa waz kama huu🙌
@theresiagideon2178
@theresiagideon2178 5 ай бұрын
Kanisa lenyewe linitwa country living, sasa usabato hapo umeingiaje? Na asingesoma hilo jina la kiinglish angelipata wapi jamani, hilo ni tatizo la afya ya akili asaidiwe.
@danielthomasmsigwa31
@danielthomasmsigwa31 5 ай бұрын
Shetani analiandaa kanisa kuwasaliti Akina Yohana WA sasa!
@kelvinmtawa6276
@kelvinmtawa6276 5 ай бұрын
Bado wasabato hatujamfahamu MUNGU
@theresiagideon2178
@theresiagideon2178 5 ай бұрын
Yeye ndio hajamfahamu Mungu, binafsi namfahamu Mungu, bila elimu hiyo biblia angeisomaje? Huo ni upuuzi tuu wa mtu binafsi
@lawimanumbu5103
@lawimanumbu5103 5 ай бұрын
Wasabato wanamfahamu mungu vzr ndomaana hawajatangua torati na bado wanatimiza. Kwanini wana ahule za chekechea za msingi sekondali na sasa wanakatibia kufungia chuo kikuu. Wakala wa shetani kulichafua kanisa.
@danielthomasmsigwa31
@danielthomasmsigwa31 5 ай бұрын
Matukio Ya akina Makenzi yanapangwa ili kuwachukia wasio na hatia Kama hawa; waadventista walipaswa kuwa na mfumo wao maalumu, lakini elimu ileile ya kidunia inapatikana ktk shule zetu hivyo hivyo tutarajie akina Yohana wengi zaidi kujitenga na ulimwengu
@MARIE-iy4bx
@MARIE-iy4bx 5 ай бұрын
Makenzie wa Tanzania,,wa kenya bado yuko kifungoni...
@selinalucaschatta5216
@selinalucaschatta5216 5 ай бұрын
Aisee hii mtu come from Makenzie doh anadharirisha Kanisa la MUNGU
@alexraymond1623
@alexraymond1623 5 ай бұрын
Tatizo ni tafsiri ya kile alichokisoma alikielewaje ni wa kumuombea tu na kumfanyia canceling
@purityruwa6536
@purityruwa6536 5 ай бұрын
Kwani kakake Makenzie wa mombasa au nini?
@MjakaziGladys
@MjakaziGladys 5 ай бұрын
Makubwa ni haya
@user-oz5fi2cf9l
@user-oz5fi2cf9l 5 ай бұрын
Huyo mtu anachafua kanisa la mungu mañana kiukweli hatujui siku sala Sala ya kuna kwake yesu ingawa dalili zipo
@peter_dockit
@peter_dockit 5 ай бұрын
Huyu mnaongelesha bure pelekeni hii mtu kotini. We don't need such people
HOW DID HE WIN? 😱
00:33
Topper Guild
Рет қаралды 42 МЛН
孩子多的烦恼?#火影忍者 #家庭 #佐助
00:31
火影忍者一家
Рет қаралды 50 МЛН
버블티로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 124 МЛН
THE POLICE TAKES ME! feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
00:31
PANDA BOI
Рет қаралды 25 МЛН
UKIWEZA HILI UTASHINDA UMASKINI
25:52
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 13 М.
Ruto's Biggest Mistake Firing Attorney General Muturi?
14:27
KimathiTV
Рет қаралды 58 М.
CHEKESHA : MPOKI NA BALAA KWA BABA MWENYE NYUMBA.
15:11
CHEKESHA
Рет қаралды 10 М.
Kijana oa mapema
5:25
Injili Tv
Рет қаралды 11
MKUU WA WILAYA MOMBA AMEKUJA NA VIJANA WAKE HAPA.
5:54
KAYUNI ONLINE TV
Рет қаралды 1,8 М.
HOW DID HE WIN? 😱
00:33
Topper Guild
Рет қаралды 42 МЛН