HUU NDIO MWISHO WA CCM KUTAWALA TANZANIA WAMEMTUKANA MUNGU EV PASCHAL CASSIAN

  Рет қаралды 30,623

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL  YOUTUBE

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE

Күн бұрын

#0766998994 #call0688199370

Пікірлер: 175
@jacksonlucas2064
@jacksonlucas2064 Ай бұрын
Yuko sahihi huyu mtu wa Mungu. Hajihusishi na siasa ila anajaribu kueleza ukweli ulivyo na kutoa ushauri na angalizo kwa watanzania namna ya kupata viongozi bora. Nimemuelewa sana. Ubarikiwe sana mtu wa Mungu.
@geraldmakalala6091
@geraldmakalala6091 Ай бұрын
Huyu ni mtumishi ane nitia moyo sana
@mutabebwa-bm6pm
@mutabebwa-bm6pm Ай бұрын
Nani asiyekuwa mtu wa Mungu? i. Watu wa mungu ni wapi na wasiokuwa wa Mungu ni wapi? Tunawaona wanaojidai kuwa watu wa Mungu kumbe ni utafutaji wa hela. Prof.P.Lumumba amesena Biblia xaxa inatumika kama zana ya biashara. Maneno wawili au matatu ya Biblia alafu kinachofuta ni toa "sadaka" hamna kitu hapo ni hela inatafutwa tu.
@hajiameir8688
@hajiameir8688 21 күн бұрын
Ushindi wa ccm mungu akitaka asitake ni ushindi tu je ni sahihi?
@TabuKhaday
@TabuKhaday Ай бұрын
mtumishi wa Mungu naomba ubaki kwenye neno la Mungu, mambo haya ya siasa yatakuharibia CV ya utumishi wako, nabarikiwa sana na nyimbo na mafundisho yako bali kwa siasa sikuungi mkono
@matiredms917
@matiredms917 Ай бұрын
Nakubaliana na ushauri unaompa huyu mtumishi ambaye anaanza kujiingiza kwenye siasa.
@mackfasonmoshi4629
@mackfasonmoshi4629 Ай бұрын
​@@matiredms917It's True. Ev. P C, Politics leave to Politicians....Keep going preaching the True Gospel of Jesus Christ...
@Word649
@Word649 Ай бұрын
Ninyi amjuwe mahandiko Yohana alimkea herode yasu ali Mkemeya herode eliya alimkemeha ahabu Samweli alimkemea sauli someni neno enyi wetu wa Mungu.
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 Ай бұрын
Hakika napongeza your coment😅
@Word649
@Word649 Ай бұрын
@@bonifasiemanueli21 kibaya ni kukemaya ama kuya ongeleya bila kiyausisha katika mahandiko ama kuyazungumziya kimtazamo wako wewe unaonaje kuhusu siasa ya nchi hapo ndipo waubiri wengi wanapofeli.
@DainesKanenile
@DainesKanenile 26 күн бұрын
Mungu tunaomba tujalia Amani hekima na mioyo ya hofu kipindi hiki yanayoendelea yanaumiza mioyo, barikiwa mtumishi
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 Ай бұрын
Kwa kuwa tunamuomba Mungu na kujitegemeza kwake, pamoja na sera nzuri, Mungu atatuinulia wa Chadema atakayemwona yeye. Tunalaani wala hatuhitaji tena kutawaliwa na ccm kilichomkufuru kwa uongo, uonevu,mateso na kushindwa kulinda uhai wa watu wake mauaji yakatawala na kufitinika mbele zake. Mungu mbariki mama Tanganyika na watu wake.
@EzekiaKabuje
@EzekiaKabuje 12 күн бұрын
Balikiwa mtumishi nimekuelewa nilikua napotea asante kwaujumbe nataaazima
@AffectionateBaseball-or5qd
@AffectionateBaseball-or5qd Ай бұрын
Upo sahihi kabisa unafundisha Neno la Mungu pia unafungua akiri za vichwa wenda wazimu wapo watakao kubeza sana mtumishi songa mbele hao ni mbwa Koko tu hawajui neno pia hawana ufahamu wowote juu ya nnchi hii ko watasongoka midomo na kucomet upuuzi kama zilivo akiri zao Nia Yao wakuvunje moyo WASHINDWE KATIKA JINA LA YESU PEPO WACHAFU AWO
@calvinmwabungulu9672
@calvinmwabungulu9672 14 күн бұрын
Mtumishi mi nakuomba Wew endelea na kuliombea taifa Kisha mungu atajibu tuu
@SocialactionandJusticefoundati
@SocialactionandJusticefoundati Ай бұрын
Hongera sana Mtumishi kwa neno na mafundisho mazuri. Mungu akubariki sana.
@Mosesndahani
@Mosesndahani Ай бұрын
Kasiani kwenye ushauri wako kwenye hili umepoteza mwelekeo. Kaa na kutulia kwenye uwanja wa injili achana na siasa Mungu atakushusha.
@masheyn
@masheyn 23 күн бұрын
Duh et sio mungu akipenda
@StephanoJohn-p9k
@StephanoJohn-p9k Ай бұрын
Asipokemea na kutoa mwongozo tutapotea cassian mtumishi katika hili uko sawa fyeka misitu ukiona Roho mtakatifu anakusukuma kufanya jambo fanya ila lisiwe la dhambi.uko sawa umeteuliwa naBwana Yesu kristo uwe sauti ya wengi tukinyamaza wote hatutafika.fyeka misitu ya giza watu tuione nuru Mtumishi wa Bwana Yesu Kristo.
@brightergermanus2163
@brightergermanus2163 26 күн бұрын
KASIANI. SIKUELEWI KABISAAAA KATIKA KAULI YAKO HIII NA MUNGU AKUKEMEE KWA JINA LA YESU KRISTO AMIN AMIN
@MGALILAYABillionaire
@MGALILAYABillionaire Ай бұрын
Mungu pekee atawale katika taifa lake la tanzania 🇹🇿. Wanao sema sio mpaka Mungu apende wajue basi lolote latendeka kwa kuwa Mungu ameruhusu liwe. Mungu ndiye upeana utawala kwa mtu yeyote yule haupatikani kwa kifua wala kwa wanga. Mungu akaitunze Amani ya Tz muhimu ni kwamba kila mmoja amtazame Mungu asiweke tegemeo kwa mwanadamu! Note this watanzania nduguzanguni msipokee hela kutoka kwa wanasiasa walio na nia mbaya ya kuiteganisha Tz. Msilipwe na mkasababisha damu kumwagika katika taifa hilo lipendwalo sana. Ombe mungu pekee na atasimama nanyi.🙏🙏
@JonasMathias-s6m
@JonasMathias-s6m Ай бұрын
SSI TUNATA HIVI VYAMA VIPOKEZANE,MADALAKA KAMA ILIVYO KUWA,AMERIKA NA UONGEREZA ,HIYO NDO MAANA Y A DEMOKRASIA KITENDO CHA KUWAIBIA KURA WENZAKO,HIYO SIYO DEMOKRASIA,Suala Nani atakuwa kiongozi Bora hayo nimasuala ya MUNGU siyo sisi
@ProphetIsayakihingi
@ProphetIsayakihingi 22 күн бұрын
Balikiwa Baba uko sahihi watu wawe na lmani kwa mungu sio kwa wanadamu au chama chochote
@goodluckkamaghe3871
@goodluckkamaghe3871 Ай бұрын
Mtumishi fanya kazi ya Mungu liombee Taifa mengine hayo naona unataka kujichafu ya (SIASA)
@emmanuelcharles4600
@emmanuelcharles4600 Ай бұрын
Mchungaji wa michongo! Pole km Umetumwa!
@ismaelgadiye4488
@ismaelgadiye4488 Ай бұрын
Kumbe ushindi wa ccm siyo mapenzi ya mungu ni hata kama mungu hapendi mwanadamu wa kawaida anasema mungi akipenda huyo mama anasema siyo lazima mungu apende ee mungu penda usipende ccm kumbe haikujui
@AntonyHango
@AntonyHango 18 күн бұрын
You're real seavert of god
@deusmwita2192
@deusmwita2192 Ай бұрын
Duniani hakuna haki mtumishi mwenzetu uko vizuri lkn kumbuka utawala wetu uko juu kwa Mwenyezi Mungu
@willymdeka6034
@willymdeka6034 Ай бұрын
Nacheka sana eti mbowe ana wema wema upo alionao?
@chachanyawaya9810
@chachanyawaya9810 17 күн бұрын
Mbuzi, unabweka sana. What's your opion?????
@GraceNaftal-x3j
@GraceNaftal-x3j Ай бұрын
Mmmmh Paschal Kasiani wakolini wasingetoka kama wakinanyelele wangesema tuombe tu tusipambane na serikali ya ukoloni tuombe Mungu
@Pendopasilika
@Pendopasilika 21 күн бұрын
MUNGU BABA tusaidie wakati mgumu umetufikia barikiwa mtumishi😢😢
@EmmanuelSimkwai
@EmmanuelSimkwai Ай бұрын
Mimi nasema atawale Mungu ndani ya Tanzania vyama vyote vinamsaidia shetan kazi yake
@blandinajoseph1291
@blandinajoseph1291 Ай бұрын
MUNGU hawezi kutawala mwenyewe,anatawala na mtu,so lazima awepo mtu
@GodenBMDaniel
@GodenBMDaniel Ай бұрын
Amina, ubarikiwe
@matiredms917
@matiredms917 Ай бұрын
Tuviombee isipokuwa CCM ambayo imemwaga damu za Watanganyika wengi. Hakika CCM ni lazima iangamie kuzimu.
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 Ай бұрын
Huyo mmama amechemka ktk maongezi ktk kusema Mungu akipenda
@AlexMnane
@AlexMnane 19 күн бұрын
​@@matiredms917unakubuka kisa cha Saudi kuwa mfalme katika ya Yese alipataje ufalme kasome
@RaheliMollel-v3d
@RaheliMollel-v3d 21 күн бұрын
Hongera mtumishi nikweli
@NdeshaPaul-uz9bw
@NdeshaPaul-uz9bw 23 күн бұрын
Mamlaka yote hutoka kwa Mungu ila unahitaji kumwomba Mingu akuongoze jinsi ya kuongoza kwa hekima na busara. La sivyo bila maombi utayimba na mwisho kuvuruga nchi maana kukumwomba Mingu akuongoze. "!Bwana asipoijenga nyumba waijengao wanajisumbua bure"
@samwelnevele7796
@samwelnevele7796 26 күн бұрын
Mtakesha sana ccm baba laoooooo
@josephbundala1475
@josephbundala1475 26 күн бұрын
Chadema? Hello Mother
@NdeshaPaul-uz9bw
@NdeshaPaul-uz9bw 23 күн бұрын
Huenda huko Chadema kutatokea kiongozi anayemwomba Mungu aongoze nchi. Lakini kama kuna mapungufu yameshaonekana kwa nini watu waendelee kuharibika?
@ChristmasMaheri
@ChristmasMaheri Ай бұрын
Haya unayoyasema ni ya kwako au ya Mungu? Haya tunayoyaona siyo ya aibu?
@Word649
@Word649 Ай бұрын
Ninyi amjuwe mahandiko Yohana alimkea herode yasu ali Mkemeya herode eliya alimkemeha ahabu Samweli alimkemea sauli someni neno enyi wetu wa Mungu.
@GiftMlaki
@GiftMlaki Ай бұрын
Mpumbavu tu ,Hana logic atuambie tubaki CCM au twende chadema, wewe umeiona ana kemea nini
@AnjelaMatiya
@AnjelaMatiya Ай бұрын
Mungu simama kwa Tanzania
@AnethMushi-c3e
@AnethMushi-c3e Ай бұрын
Sadaka wanapelekewa hadharan wataachaje kupiga kura?
@CharlesMisungwi-f8t
@CharlesMisungwi-f8t 27 күн бұрын
Historia yadunia zinaonyesha kuwa nindoto kushindwa vitanimataifa makubwa duniani sambamba hata vyama vyenye nguvu. yaani hugawanyika menyewe hata vyama hivyohivyo Hivyo watawala wanchi hii watatoka CCM. Kamawapinzani watagawanyika kwahaya malalamiko yawana wanchihii viongozi wa CCM wangetawala kwahekima na maalifa kama baadhi yawatanguliziwao waliokuwa nauchunguwa nchi nawananchi wasisingizie kilakitu uwrkezaji na utandawazi lazimawatumie maalifa huo niutumwa mamboleo unatumikia uchumi wanchi zawenzetu ukiwa nchinikwakofaidakubwa zinaenda kwao weweunaachiwa minazimitatu naunaona umepata gawio kubwa wao wanatepeleka tobotatukwao .
@stanslausbernard5950
@stanslausbernard5950 Ай бұрын
Kuna wanafiki ndani ya CCM hususan kwenye nafasi za juu. Kwa sababu wameonesha usaliti mkubwa baada ya kifo Cha magufuli. Aidha, awamu ya sita imeegemea matajiri akawasahau wanyonge ambao ndiyo wapiga kura. Wananchi wengi hawaupendi utawala wa awamu ya sita.
@MisheckNgapulila
@MisheckNgapulila Ай бұрын
Mtumishi sisi ndiyo watowa ajira hapa tusimame na katiba ili Twente sawa.
@marandoruzali1946
@marandoruzali1946 Ай бұрын
Ukweli kabisa mtumishi
@alphadreammedia
@alphadreammedia Ай бұрын
Uko sahihi chadema yenyewe sioni mwaminifu
@MwakingweHabibu
@MwakingweHabibu 27 күн бұрын
kenge mmoja
@CharlesLutandula-y3c
@CharlesLutandula-y3c Ай бұрын
Hapana bora chadema naowatawale ccm wamejisahau sana
@vicentnyanda828
@vicentnyanda828 Ай бұрын
Neno halilipi mtumishi?
@GiftMlaki
@GiftMlaki Ай бұрын
Acha habari za siasa, waeleze watu habari za MUNGU, Naamini ukijitoa kwake lazima atakubariki tu, acha kimoja eidha Utumishi au siasa
@Cramvevobackap
@Cramvevobackap Ай бұрын
Taifa linaongozwa na MUNGU anae anae ongoza taifa inatakiwa awe muwàkilishi toka mbinguni.... hivo yupo sahihi
@estachengula3902
@estachengula3902 Ай бұрын
Kwahiyo mtumishi unasemaje kuhusu watu wanao tekwa na kufa tusaidie
@lwelenjalferdinand671
@lwelenjalferdinand671 Ай бұрын
Hueleweli
@estachengula3902
@estachengula3902 Ай бұрын
Mtumishi kemea uovu ulio jaa Tanzania kuiba kura sio dhambi
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x Ай бұрын
Huyu mshenzi mpuuzeni sisi tunajua chadema ndio mkombozi wetu Kama TANU ya Nyerere ilivyokua mkombozi wetu
@MeshackErnest-qt6xi
@MeshackErnest-qt6xi Ай бұрын
Kwahio. Hata Wachungaji sio wote wameitwa na Mungu Tunajua itakua hivyo lakini Imani ya wa Tanzania ipo Chadema kwa sasa
@MGALILAYABillionaire
@MGALILAYABillionaire Ай бұрын
Mchunge sana kusiwe na umwagikaji wa damu katika taifa la tanzania. Imani yenu ipo chadema ina maana hicho chama ni Mungu wenu?
@SubiranTimo
@SubiranTimo 26 күн бұрын
Mchungaji umenena vyema sasa twendelee kuvumilia utekaji
@EdwardBayyo
@EdwardBayyo Ай бұрын
Wewe ni wakala wa ccm?
@EzekiaMichael-jn5np
@EzekiaMichael-jn5np Ай бұрын
Mmmmmm hiiii kali
@CharlesMisungwi-f8t
@CharlesMisungwi-f8t Ай бұрын
Mwenye macho naaone mwenyemasikio asikie nampofu asione na kiziwi asisikie. Neema yaMungu ituongoze.watuwengi hawanakalama zauongozi ndani yachamatawala.nimamiakwa malfuwalopokahovyo kama waliokatwavichwa .
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Ай бұрын
Chadema ni Saccoss tunachotaka ni Amani tu
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x Ай бұрын
Anawapotosha ndugu Wakati Nyerere anatafuta uhuru ukombozi hamjusema ni sacoss
@HonorataMafala
@HonorataMafala 25 күн бұрын
Sasa unataka kusema je?
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 Ай бұрын
Huyo mmama wa ccm kakosea, halafu mbona l3o mtumishi umejiingiza kweñy3 siàsa nà kukosoa vyama,
@michaelmagwaza-bc6mk
@michaelmagwaza-bc6mk Ай бұрын
Ukiwa kwenye umoja wa Wenye Zuruma Wewe pia Nimdhurumaji, CCM ukijaribu kukosoa Ukiwa CCM unashughurikiwa Kama MPina.
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 16 күн бұрын
Mnaropoka tu bure hamuwezi kuishinda hata kwa miujiza .viongozi wenu wahuni wote
@yohanalaizer5706
@yohanalaizer5706 Ай бұрын
Huyo Mungu mnaemdhihaki mtaipata
@charleskilala3678
@charleskilala3678 Ай бұрын
Tupinge dhambi,dhuluma na uovu ktk nchi mambo ya uzuri au ubaya wa ccm au chadema hautusaidii. Dhambi ni Aibu kwaTaifa
@ZainabuBakari-yb4vj
@ZainabuBakari-yb4vj Ай бұрын
Upo sahihi
@ErickMacha-sb2ot
@ErickMacha-sb2ot Ай бұрын
Daud alikuwa mtumishi wa MUNGU naalikuwa mwanasiasa siasa niutumishi mzuri ukitenda Kwa haki
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz Ай бұрын
Nikweli mtumishi ila ccm wamezidi Sana kuteka watu siyo
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 Ай бұрын
Kweli mpaka malaya anaongea Kweli wametala wa wauwaji
@veronicamnico4773
@veronicamnico4773 Ай бұрын
Yaani wewe baba nakupenda bure
@AbdallahMnyiwe-he2zu
@AbdallahMnyiwe-he2zu Ай бұрын
Wewe ccm
@ezralameck4150
@ezralameck4150 Ай бұрын
Bora tubadilishe2 kam watazngua sawa2 kuliko wale wale miaka yote mateso2😢
@EsitaDavid2-wp1uf
@EsitaDavid2-wp1uf Ай бұрын
KABISA ,MUNGU ATAWÀLE NA AONGOZE WATU NA HOFU YAKE IWE JUU YA NCHI
@FidelisiKidungu
@FidelisiKidungu Ай бұрын
KATIBA MPYA VIONGOZI WACHA MUNGU WAJALIO HAKI NI SULUHU KWA TAIFA
@winniefridamutakyawa5943
@winniefridamutakyawa5943 Ай бұрын
.Mungu ametupa akili kutambua mema na mabaya. So waache watu watambue hayo.
@gracewilfred7276
@gracewilfred7276 Ай бұрын
Cassian ya Kaisari waachie wa kaisari, wewe shughulika na Roho za watu zinazopotea kila sekumde kwenda motoni.
@DanielYusuph-071
@DanielYusuph-071 Ай бұрын
Mtumishi casian umeongoa point sana Mungu akuinue
@HASSANMKUYASALUM-wu4ey
@HASSANMKUYASALUM-wu4ey Ай бұрын
CHADEMA WENYEWE WANAHUSIKA NA HAYA ULI NCHI ISITAWALIKE NI MOJA YA KAMPENI YAO
@GraceNaftal-x3j
@GraceNaftal-x3j Ай бұрын
Huyo anaongea alicho tumwa na wakubwa wake CCM ni uchafu tu KASIANI ninaelekea kukuchukia kiukweli huwezi kuitetea CCM kwa haya useme si mpango
@MkulimaTarimo
@MkulimaTarimo Ай бұрын
UNAHAMA KWA MUNGU CASSIAN.UNAJIPENDEJEZA KWA WATAWALA.ONGEA HAKI ACHA KUPINDISHA MANENO. HUJASIKIA KAULI ZAO WACCM.KWANINI HUJAWAKEMEA KWA MANENO YAO.
@CatherineMbatta
@CatherineMbatta Ай бұрын
Mimi maadamu makonda yupo hai,slaa yupo hai ,chalamila yupo hai ,hayo mengine sijui Mimi ,
@geraldmaleko8390
@geraldmaleko8390 Ай бұрын
Kwani ni lini Chadema walitawala halafu tukawapima? Huyu ni chawa tuu anajificha nyuma ya kanisa hakuna lolote
@masheyn
@masheyn 23 күн бұрын
Hahaha
@LucyVenant
@LucyVenant Ай бұрын
Mbona ueleweki
@NdeshaPaul-uz9bw
@NdeshaPaul-uz9bw 23 күн бұрын
Wengine wanaedea matumbo na kuwa matajiri
@mmsfuzzsba3816
@mmsfuzzsba3816 29 күн бұрын
MTUMISHI NI VIZURI KUTOMALIZA MANENO UNA PRE AMPTY NA UNAONA NEGATIVITY TU
@makongoronyerere1564
@makongoronyerere1564 17 күн бұрын
Kemea watu kutekwa,
@MLIMA-WA-MINISTRIES
@MLIMA-WA-MINISTRIES Ай бұрын
Amen
@marthanatumwa
@marthanatumwa Ай бұрын
Hiyo barabara iache nakushauri,hivyo hivyo walianza wenzako,mwisho wa siku wakapoteza mafuta matakatifu.
@ZephaniaNdaki-vq1ti
@ZephaniaNdaki-vq1ti Ай бұрын
Kama unakiri kuwa Kuna maovu ccm, na hapohapo unathibitisha kuwa Chadema hakuna zuri litakalotokea hata wakishika uongozi wa Nchi, tufanyeje sasa? Tubaki na hawa wauwaji na wadhalimu! Hasha, Chadema wakipewa nafasi kutulia na nafuu vitakuwapo, pamoja na kuwepo kwa waharibifu. Pia Kwa upande wako ukijielekeza kwenye mambo ya kusemea vyama/siasa utachafuka muda si mrefu.
@albertinamichael6123
@albertinamichael6123 Ай бұрын
MUNGU hasikilizi maombi ya waovu.
@PatrickLembeli
@PatrickLembeli 29 күн бұрын
Mi simo mwez huu najiendea zangu marekan kwa miguu nitafika tu😅
@muharamijuma1569
@muharamijuma1569 28 күн бұрын
Acha kele MAMA mitano Tena
@cellinamuro6872
@cellinamuro6872 26 күн бұрын
Hovyoooo mshenzi kama washenzi wengine wewe huna cho choteMungu humjui kibaka
@NdeshaPaul-uz9bw
@NdeshaPaul-uz9bw 23 күн бұрын
Lakini kama mnajua kila chama kin mapunngufu basi acha tuome tena chama .kingine. kwa nini king'ang'ania nyoka anayekumeruhi? Iwe isiwe Mungu ataingilia kati atachagua maana yeye ajua yote.Acheni mane o mengi ya kuvutia matumbo yenu.hamjui hata ulichukua ulimwengu mzima wawez kuuacha hata kwa dk. 3?
@mwamrasahamaro8473
@mwamrasahamaro8473 Ай бұрын
Kwahiyo unataka kutuambia ni heri tuendelee na maccm? kwa hilo pamoja na kwamba wewe ni mtumushi wa MUNGU,Nina ujasiri wa kukuambia NOOOOOOOOOO!😮😮😮 Mi nadhani ungetuambia tuzidi sana kumlilia MUNGU atuinulie viongozi wenye Hofu ya MUNGU na mpenda haki na Taifa lake bila kujali anatoka wapi
@barakamusapolekidoti957
@barakamusapolekidoti957 15 күн бұрын
Katiba huru ndio tunahitaji
@stellamwasenga6205
@stellamwasenga6205 Ай бұрын
Tanzania udwanzi mwingi xana
@matukutajuma156
@matukutajuma156 29 күн бұрын
HAKUNA MBADALA WA CCM ila ni kuvua haya mgamba kuanzia BUNGENI
@ThomasMichael-w3b
@ThomasMichael-w3b Ай бұрын
Sasa makanisa mnayafanya ni mjengo ya siasa
@CalistiNicetas
@CalistiNicetas Ай бұрын
Wewe ni matako
@mariaanthoniangowi9376
@mariaanthoniangowi9376 Ай бұрын
Wewe nyang'au kaa kimya kama umepewa takrima kale ikukabe kooni
@SophiaMogitu
@SophiaMogitu Ай бұрын
Uwii ndyo tutaingia kingi
@Omarimakuka
@Omarimakuka 28 күн бұрын
Hatuwataki chadema kamwe
@martinahlighare6495
@martinahlighare6495 Ай бұрын
Mmmm, hakuna cha Mungu kuweza. Inamaana hata kuishi kwake ni kwa nguvu zake wala sio nguvu za mwenyezi Mungu. Hapo ni wizi utafanyika. They've already made themselves pallot papers and already marked them, 45:14 and they prevail during counting time. Politics is a dirty game played to win for personal gain. God intervene not to shade blood.
@zakariamakumba5042
@zakariamakumba5042 27 күн бұрын
Kasiani,umechoka kiroho,umewasema wachungaji sasa umeanza siasa,wewe kweli ni fisadi
@abnermailos8043
@abnermailos8043 Ай бұрын
Ole kwa atakayekutwa na laana hiyo
@denisSokho
@denisSokho Ай бұрын
UMEKOSEA KUIHUKUMU CHADEMA INAONEKANA BADO UNADOSARI YA KUOGOPA KUSEMA KWELI JUU YA UOVU WA NCHI
CASAIAN AWATAJA WANAO TEKA NAKUUWA CCM JITAFAKARI EV PASCHAL CASSIAN
41:15
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 26 М.
SIRI YA FICHUKA NABI MKUU ANAVYO IBA KUUWA WAUMINI WAKE KATIKA ROHO  EV PASCHAL CASSIAN
48:32
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 25 М.
The selfish The Joker was taught a lesson by Officer Rabbit. #funny #supersiblings
00:12
Funny superhero siblings
Рет қаралды 10 МЛН
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,4 МЛН
Kluster Duo #настольныеигры #boardgames #игры #games #настолки #настольные_игры
00:47
Epic Reflex Game vs MrBeast Crew 🙈😱
00:32
Celine Dept
Рет қаралды 11 МЛН
MWAMPOSA ATAKUFA KISHA ATA HUKUMIWA EV PASCHAL CASSIAN
44:23
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 6 М.
CASSIAN AWAGEUKIA&ROZI  NA PASTA EZEKIELHAKUNA ALIE KAMILIKA EV PASCHAL CASSIAN
39:30
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 3,5 М.
Simu ya sifa yachukuliwa na mchungaji | mbarikiwa atema nyongo...
53:05
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 38 М.
ТИПИЧНЫЙ ТАКСИСТ В СОЧИ #юмор #прикол #сочи #ржака
0:59
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
0:15
家庭搞笑日记
Рет қаралды 10 МЛН
哈莉奎茵教学正确跟错误 #joker #cosplay#Harriet Quinn
0:17
佐助与鸣人
Рет қаралды 17 МЛН