Huu ndio Mwisho wa ISRAEL

  Рет қаралды 43,333

Kalamutz

Kalamutz

Күн бұрын

Пікірлер: 324
@SalumMzee-cw8do
@SalumMzee-cw8do Ай бұрын
Wallah mola atawangamiza km Firauni na Jeshi lake ibakie history ya kitabu kimesomwa na kufungwa
@mummeira3887
@mummeira3887 Ай бұрын
Ipo siku Allah Atawalipia sio kama Allah hayaoni,Allah Yuko pamoja Nao.ipo ciku karibu itafikia Allah awasaidie Hawa ndugu zetu wanaumia sana.hata sisi tunaumia tukiwaona wanatoa machozi wanakufa,wanashambuliwa,nasi tunawaombea hili liishe.🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲😭😭😭😭😭😭Eeh! Allah waangalie waja wako hawa kwa huruma washinde vita hivi.mbele yako Allah.🤲🤲🤲🤲
@kanyanadjalia5128
@kanyanadjalia5128 Ай бұрын
twakuomba ya allah leta nusra kwa nduguzetu😭
@MahamuduAbasi-o1n
@MahamuduAbasi-o1n Ай бұрын
Kwani Congo Rwanda walipokuwa wakichakazwa Duniani watu walikuwa wameisha?mpaka sasa bado watu wanakufa
@AmaniLenard-w7j
@AmaniLenard-w7j Ай бұрын
Munashindwa kuomb mungu vita iishe mnavutia upande wene kama vip kawasaidie kupigan vit mana wao ndio wameanzisha hio vita
@MaryamKhamisi-d7f
@MaryamKhamisi-d7f Ай бұрын
Hiii vita ni ngumu tuishie kuona tu ila watu wanapitia magumu allh walind wapelestin😢
@MichaelAbel-m5y
@MichaelAbel-m5y Ай бұрын
Soma Josh 11:21-23,Rum 11:136, wewe ni mbegu ya mrefai huwezi elewa,Mungu ni wawote wenye mwili kasoro malaika walioasi wakaoana na wanadamu,hao ndiyo Israel inawashughurikia bila wahai utasema wapalestina,waislamu,waarabu, hakuna kitu kama hicho, ndiyo maana Mungu aliamuru wauawe wote kwa mkono wa Joshua,ispokuwa ktk Gaza,Gathi,Ashdodi; soma utaelewa uchungu utaisha.Amen
@jumakingambe4323
@jumakingambe4323 Ай бұрын
HAO MUDA WAO BADO WAISRAIL WATAANGAMIA VIBAYA
@eliyampesa4352
@eliyampesa4352 Ай бұрын
Waarabu wa hamas waliivamia israel bila kujipanga nasasa wanajutia. Na ala kawatelekeza bila msaada wowote. Inaumiza sana Kwa ndugu zetu au majirani zetu hamas lakini wamejifunza Kwa siku nyingine hawawezi Fanya hivyo😢😢😢
@almazroey2006
@almazroey2006 Ай бұрын
Hakuna kitabu Cheney ukweli na uhakika kama Quran bro ishayasema yaliopita yaliopo sasa na yatakayokuja na yote lazima yatokee hakuna Josh wala jasho soma biblia ya ukweli kabisa na usiache kurasa utaujuwa ukweli ni upi na upo wapi sio kurasa mnazoambia mtaenda soma mbinguni 😂
@almazroey2006
@almazroey2006 Ай бұрын
Hakuna kitabu Cheney ukweli na uhakika kama Quran bro ishayasema yaliopita yaliopo sasa na yatakayokuja na yote lazima yatokee hakuna Josh wala jasho soma biblia ya ukweli kabisa na usiache kurasa utaujuwa ukweli ni upi na upo wapi sio kurasa mnazoambia mtaenda soma mbinguni 😂 ziachilie mbali msizisome wanajuwa kua hizi kurasa ndio zenye ukweli mnazugwa msisome kwe biblia yenu.
@jangalaalexbubehi7658
@jangalaalexbubehi7658 Ай бұрын
Mnajiliwaza tu ,mulianza wenyewe ,pambaneni.​@@almazroey2006
@faridahalwaily85
@faridahalwaily85 Ай бұрын
In sha Allaah wana Siku zaoo Allaah Amewaaeekeeeyaaaaaa
@hanifahassan-sf1gg
@hanifahassan-sf1gg Ай бұрын
Allaah awape subra Ndugu zetu Palestine nimechoka Julia yangu Dua tu
@AgeCare-w2h
@AgeCare-w2h 25 күн бұрын
Ewe Mola, dhidi ya Mayahudi watekaji nyara, kwani hawakushindwi wewe dhidi ya Mayahudi watekaji nyara, wafanyie yale uliyowafanyia Thamud na A'di, na Firauni walioidhulumu ardhi na kueneza ufisadi humo. Mola aliwamiminia sauti ya adhabu, ee Mwenyezi Mungu, tupa chini ndege zao, lipueni mizinga yao, na mzamishe merikebu zao, wala msiwawekee silaha angani bila kuidondosha, wala silaha juu ya nchi kavu kuiangamiza, wala silaha baharini bila ya wewe kuizamisha, Ewe Mola, tuonyeshe ndani yao maajabu ya uwezo wako, ee Mungu, baraka za Mwenyezi Mungu ziwe juu ya bwana wetu Muhammad na familia yake na maswahaba zake wote, Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa walimwengu wote.
@RaiAkimana
@RaiAkimana 21 күн бұрын
Ameeeen
@SeifJuma-l8t
@SeifJuma-l8t Ай бұрын
Allah Aijalie Palestine 🇵🇸 🙏
@bibleknowledge-b1y
@bibleknowledge-b1y Ай бұрын
Kutokuamini Yesu Kristo ndio kunao wamaliza wengi..Yesu NI Bwana ana Mwokozi.. Je umeokolewa na hili neno la Mungu ndio Yesu Kristo au unajidanganya epuka kumsikiliza ibilisi..
@samwa9496
@samwa9496 Ай бұрын
Mmmm Africa tuna copy na kupest
@bibleknowledge-b1y
@bibleknowledge-b1y Ай бұрын
@samwa9496 Hauja Pata kuona mambo mengi yalivyo katika Bwana...
@jumakingambe4323
@jumakingambe4323 Ай бұрын
BIBLIA NI KITABU CHA AJABU SANA. UKRISTO WENYEWE KAMA DINI KWNY BIBLIA HAUKUTAJWA. CHA AJABU ZAIDI YESU ALIKUJA NA KITABU CHA INJIRI LEO KAONDOKA IMELETWA BIBLIA WAP NA WAP ??? CC WAISLAMU TUNAJIVUNIA SANA DINI YETU MAANA IMETAJWA SANA KTK KITABU CHETU.
@bibleknowledge-b1y
@bibleknowledge-b1y Ай бұрын
@@jumakingambe4323 Hata shetani au wewe unaweza kutaja dini yako kwenye kitabu chako...
@truthtv2573
@truthtv2573 Ай бұрын
Awataki kusikia
@richardboaz-mashagospel2346
@richardboaz-mashagospel2346 Ай бұрын
Msiwachokoze! Oct 7 kuwashambulia mnaowaita zayuni ilikua raha, ila ukipigwa kwa kuwachokoza mnasahau kwamba ninyi ndio chanzo. Poleni sana, mwambieni allah awasaidie
@suleim505
@suleim505 Ай бұрын
Uelewe sababu ya wapalestina kufanya vile ,, siyo kuropoka tu kwamba wamewachokoza.
@josephmasanja8584
@josephmasanja8584 Ай бұрын
asantee
@ahmedmpimbi9684
@ahmedmpimbi9684 16 күн бұрын
Duh aisee tuna kazi sana kueleweshana, kwa hyo vita yao imeanza Oct 7?
@allymbarouk5362
@allymbarouk5362 Ай бұрын
Inshallah siku za mateso Kwa ndugu zetu Ghaza zimebak chache Allah awanausuru Palestine Allah awadhalilishe madhalim wa kizayuni. Amiin
@mzanzastudio6077
@mzanzastudio6077 Ай бұрын
Allah atujaalie mwisho mwema inshallah
@ZitaJoseph-bb5wh
@ZitaJoseph-bb5wh Ай бұрын
Ajuaye palipo na mapungufu ni Allah pekee na ndiye ahusike kutenda sawasawa na ahadi zake Inshaallah!
@mohamedabdalla3217
@mohamedabdalla3217 Ай бұрын
Allah nimlezi,ikosiku mayahudi watalia mbaya sana.ya Allah palestine na Lebanon,nawaangamize mayahudi
@josephmasanja8584
@josephmasanja8584 Ай бұрын
wakati wapalestina wanavamia na kuwaua waisraeli ulisema nn wewe?? Walifanya sahihi? Walimjua Mungu, kwann leo unamtaja saana Mungu. Acha wapigwe kama walivyopiga!!!
@josephmasanja8584
@josephmasanja8584 Ай бұрын
Waangamie wapalestina kwanza
@MichaelKasonta
@MichaelKasonta Ай бұрын
Mwenyezi mungu asaidie
@AliHamaf
@AliHamaf Ай бұрын
Allah atawapa nusra wapalestina na wataipata nchi yao inshaallah
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq Ай бұрын
M.mungu atawafanyia wepesi Palestine 🇵🇸 ishaallah
@yousifyousif-p7f
@yousifyousif-p7f Ай бұрын
Allah wafanyie wps palestine🙏🤲😭ipo siku mungu ataitikia dua zetu ishaallah 🙏
@Athumanomari-e5z
@Athumanomari-e5z Ай бұрын
Allah awalaani awalaani laana ambayo haijatokea duniani
@josephmasanja8584
@josephmasanja8584 Ай бұрын
Wakati wanavamia Israel ulisema nn??
@ibrahimfarha3853
@ibrahimfarha3853 Ай бұрын
Allah Akbar unasema ukweli Mola wetu na suluhu iko kwako
@DottoRajab
@DottoRajab Ай бұрын
Allah iko cku duwa zitafanya kazi yake
@SaweLukanda
@SaweLukanda Ай бұрын
Allah atawafikisha mwisho inshallah Allah Akbar
@omarynamkape-cg8qx
@omarynamkape-cg8qx Ай бұрын
Allah anaweza
@RahemaOman
@RahemaOman 19 күн бұрын
Amakweli leomwacheka kesho mtalia kwauchu ngumnoo sikuipo hainajina 😢😢😢 emola wangu walehem wotewalio uwawa kikatili 😢😢
@SeveriniTemu
@SeveriniTemu Ай бұрын
🎉hakuna. Damu mungu aliumba akasema myahudi na huyu muarabu kwa jiulizeni wanuwania Nini aridhi je Dunia imeshaja pale ni ushetani tuuu ukiondoa mambo. Ya kidunia watu kutafuta umungu Dunia ndio shida wanaokufa pale ni watoto wamama wasiokua na dini kwa faida ya nani waflme wapo mjumbani watoto wa masikini wanauwana kisamzayuni eee muarabu meishowe amri usihukumu usiuwe usitamani isioiumba
@ahmedmpimbi9684
@ahmedmpimbi9684 16 күн бұрын
Mkuu hem jifunze walau siasa za dunia zinavoenda na pia utafakari
@AdamMgandila
@AdamMgandila Ай бұрын
Hapo n kwao someni vzr vitabu vya kale
@BofuMlanzi
@BofuMlanzi Ай бұрын
Allah humlipa mtu kwa kila anachokichuma muda unakaribia.
@josephmasanja8584
@josephmasanja8584 Ай бұрын
wapalestina wanalipwa walichokitafuta, acha waipate wasirudie ujinga huo
@MuremboVipi-bn5or
@MuremboVipi-bn5or Ай бұрын
Poleni Sana dada
@hanifahassan-sf1gg
@hanifahassan-sf1gg Ай бұрын
In shaallaah 🙏🇰🇪🇱🇧
@JohnBayo-t5w
@JohnBayo-t5w Ай бұрын
Umejidanganya besti Mungu yuko na Hilo Taifa teule
@HamadAlly-ki8lr
@HamadAlly-ki8lr Ай бұрын
Endelea kujipa moyo na taifa teule lako ilikua kipindi teule kipindi chao sasa hivi ni taifa la mauaji
@richardboaz-mashagospel2346
@richardboaz-mashagospel2346 Ай бұрын
​@@HamadAlly-ki8lranajipa moyo? Wakati wanawachapa ninyi😂 hebu acheni kujifariji. Ongea na watu wa Gaza, wako vile sababu waarabu wanapanda mbegu za chuki kwa watoto wadogo, wakikua basi wanaona wale adui na ngumi zikipigwa mnalia tena😂
@HamadAlly-ki8lr
@HamadAlly-ki8lr Ай бұрын
Ndio nikakwambie sio taifa teule tena ni taifa la mauaji hebu elewa kile nilichokisema
@richardboaz-mashagospel2346
@richardboaz-mashagospel2346 Ай бұрын
@HamadAlly-ki8lr Mohammed aliua kuliko kiasi
@WaziriHassan-u2d
@WaziriHassan-u2d Ай бұрын
Yesu mwenywe alizaliwa Palestine...mnaongea nn wajukuu wa yesu
@dutchkijiko5296
@dutchkijiko5296 Ай бұрын
Mtakaa sana isrel is apointend country
@WaziriHassan-u2d
@WaziriHassan-u2d Ай бұрын
Mjinga wewe aya mambo yaliisha kabla ya wewe mbwa haujazaliwa
@nassoromngazija0
@nassoromngazija0 Ай бұрын
Of course Israel is appointed country
@asiaswalehe
@asiaswalehe Ай бұрын
Allah atawadhi kilamwenyekufanya dhulima😢😢
@LikapuYahaya
@LikapuYahaya 26 күн бұрын
Yesu sio mungu
@RahmaIddi-s2s
@RahmaIddi-s2s Ай бұрын
Subhana Allah 😭😭 laa illah haillah 😭😭 Yarrab 🤲
@rashidmollel529
@rashidmollel529 Ай бұрын
Subuhhana llah
@magrethmagonza186
@magrethmagonza186 Ай бұрын
Yaani mdidumbuke na hawo mnawaita mayaxuni hao ndio taifa teule mungu alianza nao na atamaliza nao don't west na mdidanganyike no one atakae washinda. Ombeni tu amani iwepo lakini wale hawadhindwi anaowaalani atalaaniwa
@MaryamIssa-y7v
@MaryamIssa-y7v 2 күн бұрын
Nyinyi endeleeni kukaririshwa mashairi ya Mfalme Coatantino WA Roman empire na kuwadi wake Paulo utakuja kuelewa ata ukifa vitukuu vitakuja kushuhudia
@SarazieliHezekia
@SarazieliHezekia 26 күн бұрын
Mungu awe nanyi
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 Ай бұрын
Yaani mashia mnaichukia sana Israel 🇮🇱 Mtapigwa vibaya sana mpaka
@YalkinAlkindy-nt2hf
@YalkinAlkindy-nt2hf Ай бұрын
Sio mashia tu yaan waislamu wote
@YalkinAlkindy-nt2hf
@YalkinAlkindy-nt2hf Ай бұрын
Yaan hakuna mwislamu anaewapenda waisrael wanaoipiga gaza ,na mwislamu yeyote atakae isapo Israel huyo ni kafiri km makafiri wengine tu
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 Ай бұрын
@YalkinAlkindy-nt2hf yaani wewe ndio kafiruna mkubwa kuliko wote maana unaunga mkono uvunjifu wa amani duniani, maana kafiri ni mpinga amani wewe ni kafiri kabisa Magaidi wenzako wanapigwa sana huko Gaza na Lebanoni
@fahadsaid9616
@fahadsaid9616 Ай бұрын
Shida wagalatia hawana akili ya kumjua mungu na kujua ukweli kuhusu dini,nyie mnaabudu mtu,sisi tunamuabudu mungu,nyie mnafata mila za makafiri wa ulaya sisi tunafata mila za mitume wa kweli,nyie mnamitume mpaka wabongo,sisi tunaabudu mungu Kwa lugha Moja duniani nyie hamuwezi kuwa wamoja mkiingia congo tu au Zambia hamtaweza kusali pamoja,hii ndiyo maana ya mungu mmoja lugha moja
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 Ай бұрын
@@fahadsaid9616 Wewe kaa na dini yako ya Shia kutoka Irani. Endelea na Hezbollah na Hamas Magaidi wote
@AmourHamza-m3j
@AmourHamza-m3j Ай бұрын
Maneno mazito sana ustz ila kwa mwenyeakili
@makhanguwakhutu2408
@makhanguwakhutu2408 Ай бұрын
In Shaa Allah
@allymuhammad8956
@allymuhammad8956 Ай бұрын
Tuna huzunika sanna Waislamu ila dua, kila, baada ya, swalaa tuombeeee 😢😢😢😢ila NUSRA ya Allah ipo inshallah tusikate tamaa
@josephmasanja8584
@josephmasanja8584 Ай бұрын
Utaomba saana, Ujinga ni wa wapalstina kumvamia baba yao!!!
@NgoshaJaphet-zo4sq
@NgoshaJaphet-zo4sq Ай бұрын
Hamna kondoo nje ya Kristo Yesu,
@moxasaidi3398
@moxasaidi3398 Ай бұрын
Umekusudia nini?
@athumanisudi891
@athumanisudi891 Ай бұрын
Huyu nae katoka wapi njoo katika uislam upate nusra ndugu.
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Ай бұрын
Na hakuna kondoo kweli mana waisilam tunaakili hatuezi kufanana na kondoo
@RashidBusanya
@RashidBusanya Ай бұрын
Maneno ya Allah lazima yatimie subira yahitajika sana
@neemamarisamarisa-rd7cq
@neemamarisamarisa-rd7cq Ай бұрын
@@RashidBusanya Huyo ala mbona hafanyi lolote kuwasaidia wapalestina wake!!
@mashakabundala9955
@mashakabundala9955 Ай бұрын
Kafiri ni kafiri tuu
@HassanJaphari-rx7jy
@HassanJaphari-rx7jy Ай бұрын
inshaAllah ☝️🕌🙏🙏🙏
@binsaid2484
@binsaid2484 Ай бұрын
Inshaallah 🤲🤲🤲🤲 yaarabii
@dutchkijiko5296
@dutchkijiko5296 Ай бұрын
Usiimchoze god choosen
@MonaID-h6n
@MonaID-h6n Ай бұрын
Huu ni Firauni na wayahudi na ukatiri wao , sisi tunaumia sana netanyahu anatumaliza na watu wake . Emungu tuondelee mayahudi kwetu , watu wabaya sana hapa ulimmwengu huu😢😢😢
@josephmasanja8584
@josephmasanja8584 Ай бұрын
Dunia hii sio ya waarabu wala waislamu, ni ya watu wote Wakati Israeli inavamiwa na watu kuuawa ulisema nini??
@jangalaalexbubehi7658
@jangalaalexbubehi7658 Ай бұрын
​@@josephmasanja8584Wanafikiri Wa Israel Hawana roho. Kama nyie mnavyoumia na WA Israel walitumia hivyo hivyo. Onjeni utamu wa kuvamia wenzenu.
@Leila9773-l4c
@Leila9773-l4c 29 күн бұрын
Mungu yupo nasisi wagaza
@c.r.mtechnology2322
@c.r.mtechnology2322 Ай бұрын
Ukitaka kujua mungu hafananishwi na chochote ni pamoja na hili tukio la gaza waisrael wanawaua sana na kuharbu Mal lkn kwakua mungu Hana hasira za karb Kama ilivyo Kwa SS binadam bac ipo cku atajbu Kwa namna yeyote Ile yani katka hili waislam Amin Allah atajibu Kwa muda wake zetu Dua tu
@josephmasanja8584
@josephmasanja8584 Ай бұрын
Utasubiri saana, Dawa ni kutowachokoza waisraeli
@Martindavid-g5x
@Martindavid-g5x 28 күн бұрын
Shida nyie hamtaki kuamini ukwel mnaenda kinyume Mungu awaonyeshe njia ya kweli
@AbduHamid-hj1fr
@AbduHamid-hj1fr Ай бұрын
Allahumma khusunul khaatima 🙏🙏🙏
@josephmasanja8584
@josephmasanja8584 Ай бұрын
Utaongea kila lugha Mkong'oto uko palepale
@AlyKimbunga
@AlyKimbunga Ай бұрын
Vita inaumiza. Lakini mayaud. Nao wanahaki ya kujilinda bila kua na nguvu wiki Moja wangepotezwa na jamii wanayopamban nay
@josephmasanja8584
@josephmasanja8584 Ай бұрын
Asante bwana
@josepheriah5977
@josepheriah5977 Ай бұрын
Vita vmesitishwa
@neemamarisamarisa-rd7cq
@neemamarisamarisa-rd7cq Ай бұрын
Sio kweli, nchi ni yaa wayàhudi walipewa nchi hii zaidi ya miaka 6000 iliyopota.
@salminisaleh9249
@salminisaleh9249 Ай бұрын
Acha Uongo
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 Ай бұрын
Sasa ikiwa nchi niya mazayuni kweli 🤔ndo uhalalishwa kuuwa watu hivi?sema wewe ukweli nafurahika na haya mauaji?maana hutetei roho za watu watetea nchi na mazuyuni na ukatili wao
@paschalmartin9598
@paschalmartin9598 Ай бұрын
​@@aairraahseif5648october 7 hamas waliua mbuzi kule israel?
@neemamarisamarisa-rd7cq
@neemamarisamarisa-rd7cq Ай бұрын
@@aairraahseif5648 Mm cfurahii haya mauaji. Tena na chukia Hawa wanaowagombanisha Israel na wapalestina. Kaminei yupo Iran yy na familia yake na wote wanaoshabikia huu ugomvi, netanyahu na watoto wake amewaficha mbali halafu anawapambanisha watoto wa watu wadogo wanapoteza maisha wakwake wanakula Bata marekani. Lakini tuwaambie watu ukweli kuwa Ibrahim alipewa nchi hiyo yeye na uzao wake. Cha msingi Hawa wapalestina baada ya Nabii Joshua alivyowaacha hakuwaua maana walikuja kwa Hila Nate aliwaapia kwa Mungu kuwa hata waua. Mungu alisema hata yeye hatawaondoa, lakini watakuwa miiba mbavuni mwenu. Hivyo Mungu awasaidie waishi kwa amani.
@hamadikombo1492
@hamadikombo1492 Ай бұрын
​@@paschalmartin9598Unazungumzia Oktoba 7 tukio Moja tu,hao Mashetani wamefanya Matukio mangapi before Oktoba 7 tangu 1948
@JuliethMohammed
@JuliethMohammed 26 күн бұрын
Tuwaombee tu hakuna dini Wala kabila ni binadamu hao tuombe Mungu wapatane waishi kwa Upendo na kuvuka
@myaudimazarahu3532
@myaudimazarahu3532 9 күн бұрын
Allah anachuki na wayaudi
@VeronicaMakere
@VeronicaMakere Ай бұрын
Mungu uinisuru Israel ni atu wako
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 23 күн бұрын
Nimewaelewa kumbe mnawachokoza na kuwawinda mnawateka na kuwachukia mnawaita mazayuni wakijilinda mapiga kelele mnakuja juu na kupiga kelele sasa mnataka muwauwe wao wasijilinde kweli mnashangaza waislamu ni wagonvi mwisho wa matatizo acheni kuwawinda na wao wataacha kujilinda watatulia ninyi ni wagonvi wazoefu mnajulikana kwa ugaidi wa kila aina vizazi vyote
@pinielefraem4159
@pinielefraem4159 25 күн бұрын
Allah uwasaidia wenye haki na sio maneno na chuki
@captainenough681
@captainenough681 Ай бұрын
Wacha Manyang'au yauane Maana waafrika tumetawaliwa na ujinga wa Udini Kongo wanakufa kimya,Sudani vile vile kimya sijui izi hazina Imani au hazina Dini. Lakini hayo Manyang'au yakiuana tunamaindi ikiwa Afrika kwetu atupigi kelele kuhusu ndugu zetu
@johnndimbo5082
@johnndimbo5082 Ай бұрын
Kuacha kushambuliana ndio suluhu pekee waache kushambuliana waache kisasi, mnapigana halafu mnaomba Mungu awasaidie hapo dawa ni kuweka silaha chini na kufanya maridhiano, vita sio suluhu.
@JumanneMnete
@JumanneMnete 25 күн бұрын
Hakika mtakuwa na kiburi kiburi kikubwa kabisa quran tukufu inasema kuhusu wanadhami waisraeli majadiliano yanatokea wapi hapo
@victorgasper7563
@victorgasper7563 Ай бұрын
amna kitu hapo ni kichapo kwenda mbele nyinyi waislam waongo sana
@Stillrunlikeaball
@Stillrunlikeaball Ай бұрын
Wakiristo hawana Akili Vichwa vyao Vimejaa Mavii Ukitaka kujua hilo angalia hizo Messages zao Ndio Utajua kila Mabaya Maovuu kwao Nimazuri 😷
@josephmasanja8584
@josephmasanja8584 Ай бұрын
Wenye akili endeleeni kuomba mungu, lakini ujue ukristo haukopeshi, unabanwa palepale!!!!
@mtume_wa_wengi
@mtume_wa_wengi Ай бұрын
😂😂😂😂😂 giza nene
@elmiaxmed6870
@elmiaxmed6870 Ай бұрын
Kuma la mama ako
@BenjaminBatano
@BenjaminBatano 22 күн бұрын
Israel si mgeni ni mwenye nchi
@truthtv2573
@truthtv2573 Ай бұрын
Si unona nyie ndo mnachochea vita, af nyie ndo mlieanza kushambulia. Ona sasa mnaanza kutia huruma. Mnawaponza wamama na watoto wenu😢
@davisnyandindi4917
@davisnyandindi4917 Ай бұрын
Najarb kumsikilza huyu ostadh sjui shekhe mh sidhan kama kwel n mtumish wa Mungu nilifikiria atasema Mungu awapatanishe hawa watu waish kwa pamoja na aman kwa kila mtu na dn yake et anasema hawa wawl hawatakiw kuish pamoja, kwann leo ww tanzania upo unaish na dn mchanganyiko,,, sisi sote n ndugu iman zetu zisiharbu undugu wala kutoa umoja wetu,, kama umefuatilia vzur historia ile sehem n ya nan jib unalo tuwaombee iman ndugu zetu hii vta ifke iishe na sio kuongea porojo tu hapa
@charlesemmanuel9434
@charlesemmanuel9434 Ай бұрын
hili ni gaidi....
@sports007tv4
@sports007tv4 Ай бұрын
Wale wa wazayun wanachofanya ni sawa eeeh kuua watu ​@@charlesemmanuel9434
@jessieboaz4293
@jessieboaz4293 15 күн бұрын
Hana ufahamu hata chembe,ostadh tende na halua labda.
@YorandaBonephas
@YorandaBonephas Ай бұрын
Mtaongea sana na mtapoza mda wenu buke usiraeli ni inchi teule bibilia haibadiki kama vitabu vingine lilisha tabiliwa nalitatimia tu atakae pigana na isiraeli atapigwa tu nahuo ndo dalili za mwisho wadunia waisalamu mnapotea ukristo ndodini acheni kudanganyana hata mimi nilikuwa mwisilamu ila nilishatoka huki
@iddihassan2677
@iddihassan2677 Ай бұрын
Yesu ni binadamu kma binadam mmi na ww utamfta peke yko mbwa ww
@kiluiWanguvu
@kiluiWanguvu Ай бұрын
Madhali imesema Qur-an mimi sina shaka itakuwa hata kama mmbeze wote
@JoriphaMgata
@JoriphaMgata Ай бұрын
Mliwachokoza wenyewe mkawaua na kushangiria haya shangirieni tena
@SamiriMansour
@SamiriMansour Ай бұрын
Kwel mama angu maana waislam wanafiki
@ElizabethDaudi-b6v
@ElizabethDaudi-b6v Ай бұрын
Ogopa mwiizraeli,halafu kumbuka hiyo nchi ya ahadi inalindawa na mungu sana,Kila apiganae anapigwa na mkono wa mungu💪,hivyo punguza maneno ya kashifu yakukaahifu ukristo wetu,🙏🙏
@suleim505
@suleim505 Ай бұрын
Amini ivoivo, na kuficha uhalisia kama wanavyofanya na vyombovyao😂 manake bado hujaamka ulipolala
@FelixMurishi
@FelixMurishi 24 күн бұрын
Wewe Mzee mbona hueleweki,?
@adaNahimana-y7b
@adaNahimana-y7b Ай бұрын
Waisilamu Ni Jamii ya Hao makafiri. Hujakosea Ukusema M/ MUNGU Hayuko kukusaidia Bali Kaweka Sheria. Akisema Akusubiri Utapofika Kwake
@naomikrause1762
@naomikrause1762 Ай бұрын
GOD LOVES 🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱❤️♥️❤️♥️🙏🙏🙏💪💪💪💪💪
@elmiaxmed6870
@elmiaxmed6870 Ай бұрын
Kuma la mama ako
@jeffkonki8279
@jeffkonki8279 Ай бұрын
Mungu Hana dini sisi ndio tuna dini mm ni mkristo lakini nawapenda sana mashekhe wapatanishi na wachungaji wapatanishi wasio na ubaguzi sisi sote ni binadamu nawote tunakwenda njia Moja eti dini ndio zitubague kweli? Mm nasema mungu hatujaalie wote tuwe na mwisho mzuri kati yetu wote waislamu na wakristo sisi sote ni ndugu kikubwa tutende yaliyo mema katika dini zetu
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 Ай бұрын
@@jeffkonki8279 hujakosea uko vizuri,sisi sote ni ndugu kabla dunia kuisha Mtume Issah atarudi tunavyo amini Islam,na ndie atatuunganisha kuwa dini moja! Nakabla ya mwisho wa Dunia hao wanao jiita taifa teule zayonist nawafuasi wa shetani wote watalia na kusaga meno
@HassanJaphari-rx7jy
@HassanJaphari-rx7jy Ай бұрын
Naam umenena yaliyo kweli Tena upo kama Mimi mana mi mwenyew ni muislamu ila huwa napenda na kusikiliza mahubiri ya kikiristo ambayo hayana chuki isipokuwa yanatukumbusha yaliyo mema. Alhamdulillah ☝️🕌♥️♥️♥️
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 Ай бұрын
@@HassanJaphari-rx7jy hakika, swadakta 👌
@sadikimtega4135
@sadikimtega4135 Ай бұрын
Mwenyre nyumba ni nani sasa hapo?
@AbubakarSwaheeb
@AbubakarSwaheeb Ай бұрын
Ishallah shehe upo sawa ila mtaona mbona wanapiga laki mateka awawaoni kwani wako wapi wamewekwa wapi?
@LazaroMathis
@LazaroMathis 27 күн бұрын
Awo wapalestn mashet huwez kuwafuga wahalif nchi kwak kwa nn wasiwFukuz wakapigania makwao ngoj wafa wasenge aw
@jacksonpetro495
@jacksonpetro495 Ай бұрын
Israel ni taifa teule la Mungu aliye hai, hakuna anayeweza kulifuta hata wafanyeje hilo haliwezekani.
@ransonlema3916
@ransonlema3916 Ай бұрын
Lakini kumbuka nchi hiyo Mungu aliwapa Irael kwa upanga waliingia wakiongozwa na Nabii Yoshua, na kila Mwisraeli alipokuwa anafuata maelekezo ya kudai chake upanga ulitumika
@MpokiMwakaje
@MpokiMwakaje Ай бұрын
Jamani naogopa ,
@Thecrownchurch
@Thecrownchurch 26 күн бұрын
SIO KWELI, ISRAELI ITADUMU MILELE
@hidayahidaya-vd3ze
@hidayahidaya-vd3ze Ай бұрын
Mmarekani ndiye anae wapiga wapalesteina
@josephmwakalobo7104
@josephmwakalobo7104 Ай бұрын
Hiyo Dua ya kuku kwa mwewe huyo ni islaeli mwenye kumlani ataraniwa na mwenye kumbariki atabarikiwa mungu ibariki islaeli maadui zako wawe maadui zako
@azzaliy8109
@azzaliy8109 Ай бұрын
Wewe huna ujualo! Kaa kimya ndugu yangu!
@azzaliy8109
@azzaliy8109 Ай бұрын
Upeo wako wakufikiri mdogo! Subiria adhabu ya Mungu ukifike wewe pamoja na ilo taifa takatifu Teule lililobarikiwa na MUNGU WAKO YESSU !!! Jitathmini!
@prochesernest5439
@prochesernest5439 Ай бұрын
Wavamizi wanaondolewa hawna kibali hapo walipo mwenye heneo kaja unaitaji uruma ya Nini? Funga uondoke
@muhammadmrmj6228
@muhammadmrmj6228 Ай бұрын
Acha ukafiri
@hamadikombo1492
@hamadikombo1492 Ай бұрын
​@@prochesernest5439Kwanza kajifunze lugha Yako ya Taifa Kiswahili hlf ndo uje ubishane
@liam8955
@liam8955 Ай бұрын
Baadhi ya Warabu... Si wote!
@Jerry-w6b
@Jerry-w6b Ай бұрын
Israeli the chosen one God's God children
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 Ай бұрын
Ninyi mnaunga ugaidi
@HerryMwampashi
@HerryMwampashi Ай бұрын
Allah hana uwezo wa kuwasaidia ila ninyi ndio mnapambana kumtetea Allah
@mamenpac
@mamenpac Ай бұрын
allah ndye aliyekuumba wew kwann unamkazbisha
@HerryMwampashi
@HerryMwampashi Ай бұрын
@mamenpac kwanza Allah ndiye nani
@NgoshaJaphet-zo4sq
@NgoshaJaphet-zo4sq Ай бұрын
Israel ni taifa la Mungu na ndio taifa pekee ambalo litakuja kupigana na Masihi dahjan
@aminimushi6945
@aminimushi6945 Ай бұрын
Mataifa mengine je?
@GideonNzige-k7i
@GideonNzige-k7i Ай бұрын
Mkome kuchokoza mnapodanganywa muwe mnakataaa lsrael hapo walipewa na Mungu
@MaryKihiyo-p2s
@MaryKihiyo-p2s Ай бұрын
Shida ni kwamba Israel ni taifa teule la MUNGU... Unaposhinda na Israel anashinda na MUNGU
@Ezekielndulugo
@Ezekielndulugo Ай бұрын
Kuna mambo mengine ya kitoto Mungu asababishe watu wanwasi alafu awangamize
@Alpha-wm8uv
@Alpha-wm8uv Ай бұрын
God bless Israel 🇮🇱🇮🇱🇮🇱🙏
@seifmohd5357
@seifmohd5357 Ай бұрын
Ukisapoti israel umesapoti ushoga uendelee mana israel ndio kitovu cha ushoga duniani
@SeifJuma-l8t
@SeifJuma-l8t Ай бұрын
Wew Choko mpuuz kwel unasapot ujinga
@hamisimanja5089
@hamisimanja5089 Ай бұрын
Inaonekana muda si mrefu watageuzana kwenye majumba yao ya ibada kuwaiga wa Israel
@VicentSangwa
@VicentSangwa Ай бұрын
Kulingana unabii wa biblia hakuna wa kumuondoa tena Israel katika nchi yake ya kale Hadi ujio wa Yesu kristo mara ya pili
@sonnyr1899
@sonnyr1899 Ай бұрын
Kwani Yesu aliuliwa na Hamas?
@benomdaile7081
@benomdaile7081 Ай бұрын
watu wanakufa watu wanakua vilema watu wana ishi maisha ya siyo na matumaini alafu ninyi mnaleta udini baada ya kuombea dunia iwe na amani ndo kwanza mnaleta chuki za udini huu ni ujinga ulionpitiliza Mungu katuumba tupendane sisi kazi chuki tuu za kidini Mungu hapendi ata kidogo wewe kujiona bora kuliko mwenzio tuwache ujinga wale ni watu kama sisi kosoro rangi tuwaombe wenzetu Amani iwe juu yao na siyokuendeleza chuki za udini.
@ramadhaniswami6152
@ramadhaniswami6152 Ай бұрын
Dunia ya baba yako!! acha watu wapigane dunia sio ya kwetu Sasa ivi atukai myaka mingi tuna kufa kwaiyo acha uoga mwanaume
@reallystationary7171
@reallystationary7171 Ай бұрын
Wewe unaonekana nizayuni pia maana ukweli umekuu d hi
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 Ай бұрын
@@benomdaile7081 Aiseeee! Toeni kelele mtandaoni ninyi ni wanaume waoga ndiyo maana hamja enda Gaza au Lebanoni mbafuuu
@abdullipunjaje9603
@abdullipunjaje9603 Ай бұрын
Nyie ni mabingwa wa makala
@josepheriah5977
@josepheriah5977 Ай бұрын
Was mchokoze
@henryh.mwasongwe6931
@henryh.mwasongwe6931 Ай бұрын
Ni vizuri kuishi kwa Imani ukiona mambo magumu
@OswardPyankati
@OswardPyankati 27 күн бұрын
Waislam mmekaa kupotosha wapotosheni wenye uwelewa mdogo
"XUUTIYIINTA OO WEERARAY CIIDAMADA MARAYKANKA" | IRAN VS ISRAEL
27:31
BRIT SOMALI TV
Рет қаралды 2,6 М.
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН
Subhanallah!Namna Mji wa Sodoma ulivyo leo hii
10:35
Kalamutz
Рет қаралды 140 М.