Huu ndio ujanja wanaotumia waganga na wapiga ramli kuongopea watu - Jafar Abdul Rahman

  Рет қаралды 154,331

Kalamutz

Kalamutz

Күн бұрын

Пікірлер: 156
@thestonetown3302
@thestonetown3302 Жыл бұрын
Allah awape umri mrf piah awalinde na kila aina ya shari ili tuendelee kupata elimu dunia#nawapenda sana waislamu kwa ajili ya Allah ❤❤❤❤
@hamisibinti2716
@hamisibinti2716 Жыл бұрын
Alhamdulillah ndio mana me cpendi waganga wallah 😢😢😢 Allah akujalie roho hiyo nkijiona Nina shida ama maradhi namka ucku nasali Sala mbili na kufunga Ya Allah walinde kizazi Chang kiwe chenye kuamin mungu ndio klaktu Ameen yaaraby 😢😢
@kingbalozi7171
@kingbalozi7171 Жыл бұрын
Kweli kabisaa
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib Жыл бұрын
Hamisibint ni kwel ata Mimi yakizidi matatizo saa nyingine nasal
@bintsalimalbimany287
@bintsalimalbimany287 Жыл бұрын
Subhanallah 🥺Lahauwalakuwwataillabillah Yarab tuepushe na dhambi yakukushirisha kwa kujua n kutokujua😥Sheikh hii katika swadakatunjariya yako inshaallah
@JamilaLubuva-ju5zu
@JamilaLubuva-ju5zu Жыл бұрын
Sheikh mwenyez mungu atakulipa kwa kututoa gizan
@Mohamedi-w3w
@Mohamedi-w3w Жыл бұрын
Hatar juuh yahatar
@HamisNasib-uu4zd
@HamisNasib-uu4zd Жыл бұрын
Subhannallah,,,Allah awalipe
@chemotokaula-ew1zn
@chemotokaula-ew1zn 4 ай бұрын
Mafundisho mazuri .nawafuata nikiwa magharibi mwa kenya .🇰🇪
@HamdanKanju
@HamdanKanju Жыл бұрын
INNALLAIH WAINALLAIH RAJIURRRY Allah atulinde na atuepushe na moto wa jahhanam
@adijamuke8590
@adijamuke8590 Жыл бұрын
Subuhanallah Allah akulipe kilalakheri fidunia wali akhera shekhe na azidi mutuongiza 😢
@starlight8794
@starlight8794 Жыл бұрын
ndio maana mm uwa siamini chochote kuusu mganga Mungu anijalie nisiwai kwenda uko kwa mganga Ameen
@mwatimaabdalla5832
@mwatimaabdalla5832 Жыл бұрын
Masha Allah shehe jafarii Allah akuzidishie uwepo wapo uzid kuwafundisha watu na kuwatowa watu kwenye giza nene
@jastinimarukusi7803
@jastinimarukusi7803 Жыл бұрын
Big up ,Sasa imekua Kama kitendawili ila ninaomba tutegulie
@leilamohammed3018
@leilamohammed3018 Жыл бұрын
mungu akulipe kwakuelimisha hii nakuwafunguwa macho wengine
@florencekawira2212
@florencekawira2212 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu na akuingeze hekima
@rahmashabani9738
@rahmashabani9738 Жыл бұрын
Subhallah je tunajilindaje na kufulu hii
@leilamohammed3018
@leilamohammed3018 Жыл бұрын
mwezangu wee mtihani foo
@AbdallahKindamba-o3f
@AbdallahKindamba-o3f Жыл бұрын
allah akulinde
@mrok284
@mrok284 Жыл бұрын
She Othman naona unashangaa tu!!😂😂
@kyataonline5262
@kyataonline5262 Жыл бұрын
ubarikiwe sana kuamsha jamii!
@judithnagabona342
@judithnagabona342 9 ай бұрын
2:08 2:15
@mwashalimwashali
@mwashalimwashali Жыл бұрын
alhamdulillah 🙏
@suleimanali9980
@suleimanali9980 Жыл бұрын
Sheikh umeonesha hapo sawa lakini tupe siri ya karatasi kugeuka pesa
@mohamedhozi8110
@mohamedhozi8110 Жыл бұрын
Duhh acha shirki Allah aiharamishe kwa fitna na utapeli wallahi tiba ni yakisunna tu
@ahmadmadaai1357
@ahmadmadaai1357 Жыл бұрын
Huyo anaon esha mfano babu elewa usichapie
@reemareemo2698
@reemareemo2698 Жыл бұрын
Ume juaje kama waongo 😂 asante kwaelim
@FadhiliAdam-oc2kk
@FadhiliAdam-oc2kk Жыл бұрын
Shekhe alha akulipe khe
@elvinakalu6991
@elvinakalu6991 Жыл бұрын
SUBHAN ALLAH
@sakow747
@sakow747 Жыл бұрын
Mashaalah Yumiko be right
@salamanauthar5261
@salamanauthar5261 Жыл бұрын
Subhannallah!!!
@leilamohammed3018
@leilamohammed3018 Жыл бұрын
nimecheka kwasauty wallah
@judithnagabona342
@judithnagabona342 9 ай бұрын
2:28
@soulmateasinoh
@soulmateasinoh Жыл бұрын
SubhanaAllah
@Aliobo7323
@Aliobo7323 7 ай бұрын
Mm naomba no yenu mm niko lamu Kenya tafadhali
@RitaTarimo-h9s
@RitaTarimo-h9s 10 ай бұрын
Naomba mawasiliano yako
@fammamourchy2164
@fammamourchy2164 Жыл бұрын
Subha Allah Shukran jazzir Sasa ustadh mbona hatuoni maji yalipo dondoka
@piliramadan875
@piliramadan875 Жыл бұрын
Mtihani kwa kweli
@Meshackkussaja
@Meshackkussaja Жыл бұрын
Tunashukuru kwa elimu nzuri ila mngefanya vizuri kama mngemalizia sasa kwa kutoa elimu ya njanja wanavyofanya maana mkiishia hapa tu na ninyi mtakuwa kana kwamba mnapromote uganga
@DoctorPesandegeMgangaTibAsili
@DoctorPesandegeMgangaTibAsili Жыл бұрын
Huyo mtoto kashindwa uganga awe muwazi!😮
@abdulragmababdulsalam5107
@abdulragmababdulsalam5107 Жыл бұрын
Subhanallah
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 Жыл бұрын
Shee noma anatubu kistaili Ila noma
@ZaitoniTanzania
@ZaitoniTanzania Жыл бұрын
Subuhana AIIah
@ladymuslima4956
@ladymuslima4956 Жыл бұрын
Muislam kwanza hutakiwi kulalamika matatizo yake kwa binaadam mwenzie!only to Allah PERIOD
@zainabufeka87
@zainabufeka87 Жыл бұрын
Wote ndo wale wale
@WaydaHaji
@WaydaHaji Жыл бұрын
Sasa uyo shekh mwenyewe yy anafqnyaje ht pesa zikarudi karatasi.
@EmanuelNyaki-qn7do
@EmanuelNyaki-qn7do Жыл бұрын
Mtu akikuhitaji anakupataje sheikh wengine tunamatatizo
@mothersmothersnasry9341
@mothersmothersnasry9341 Жыл бұрын
Shekhe mtakupataje
@DizoG-j9c
@DizoG-j9c Жыл бұрын
Uongoo
@maqacharaonlinetv1341
@maqacharaonlinetv1341 Жыл бұрын
zangumzia na mashehe wanao kula sadaka za waumini pia mskiti wa manyema watu wanapiga sana pessa makodi
@utalewamba4616
@utalewamba4616 Жыл бұрын
subuhan allah
@salimmohd4999
@salimmohd4999 Жыл бұрын
Allah atuepushe na vitimbi vyao
@saay4273
@saay4273 Жыл бұрын
SubuhanaAllah 😢😢😢😢😢
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib Жыл бұрын
Haha shehe nimekupenda bule ni kwel usemayo unapatikana wapi
@piliramadan875
@piliramadan875 Жыл бұрын
Yani kweli umewakomesha sana leo
@mwingwamaina8219
@mwingwamaina8219 Жыл бұрын
Sasa hayo yanaenda wapi na kichwa hakijatoboka?
@leilamohammed3018
@leilamohammed3018 Жыл бұрын
namba zako shkh
@piliramadan875
@piliramadan875 Жыл бұрын
Umenichekesha sana Leo
@MchaFakih-ij8kh
@MchaFakih-ij8kh Жыл бұрын
Duh! Balaaa
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 Жыл бұрын
HAHAHAHA hatariii aisee
@hamzankongogo457
@hamzankongogo457 Жыл бұрын
Shekhe mganga sio mbaya mbaya ni mshirikina
@leilamohammed3018
@leilamohammed3018 Жыл бұрын
kweli Mimi siwataki ata kuwasikiya Tena isipokuwa makini utatafuta mengine
@bentybenty2343
@bentybenty2343 Жыл бұрын
SUBHANALLAH 😢
@piliramadan875
@piliramadan875 Жыл бұрын
Subuhana aallah
@abdulrazack9577
@abdulrazack9577 Жыл бұрын
Dah
@piliramadan875
@piliramadan875 Жыл бұрын
Hata mimi nimeumia sana
@ligwalambakondeo5199
@ligwalambakondeo5199 Жыл бұрын
Hapo ukimaliza unauza vidawa vyako. Hii dunia balaa. Mwamba ngoma huyo
@selemoud600
@selemoud600 Жыл бұрын
Na wewe umeumia au nawe mganga🤣
@mutulasafari7664
@mutulasafari7664 Жыл бұрын
Ninyi WA Islam Munauganga Sana Kuliko waganga wenyewe
@zainabumilanzi2909
@zainabumilanzi2909 Жыл бұрын
Huyu shehe alikua mganga kawdanganya watu wengi Sana Sasa anatubu kwa mungu wake alijuaje? Nimesikia atoka Tanga kwa mandondo jamaniii waganga wote musikie mganga mwenzenu anavyo tubu achani kutudanganya mmeumbuka huku
@zenaahmedi8857
@zenaahmedi8857 Жыл бұрын
SubhanAllah
@leilamohammed3018
@leilamohammed3018 Жыл бұрын
watu tunamatatizo ukienda wanazidi kukumiza nakama unataka presha zipande mfate mganga
@abuuarqam255
@abuuarqam255 Жыл бұрын
Uislam haihitaji maigizo
@maryamalli9090
@maryamalli9090 Жыл бұрын
Anaonyesha uhalisia wa mambo watu waelewe utapeli na uongo wao wewe vipi
@KanulaKanula-hf3du
@KanulaKanula-hf3du Жыл бұрын
kwan nyie uislam mnaosoma ni mmoja na ule unaosomwa na wengine au ambao kila kitu hakifai?.Au mjomba mganga nn
@kingbrazioanticlockwise3667
@kingbrazioanticlockwise3667 Жыл бұрын
Sheikh na we fund
@starlight8794
@starlight8794 Жыл бұрын
yaonekana ulikuaga mganga ww na jindi unavyo igiza😂😂
@aligmoha9015
@aligmoha9015 Жыл бұрын
Subuanah allah
@MwanaishaHamisi-bv8gk
@MwanaishaHamisi-bv8gk Жыл бұрын
Sheh ww mwenyewe nitapel unaponda wngn wakat mwenyewe ndio kz zako
@twahamdoe5730
@twahamdoe5730 Жыл бұрын
WAganga wapo ila baadhi ndio waongo
@piliramadan875
@piliramadan875 Жыл бұрын
Kama waganga wapo hapo umewakomesha kweli
@GentilButoyi-o8j
@GentilButoyi-o8j Жыл бұрын
Wengi w0a waongo nipe nimbari Zenu
@mussaomary6626
@mussaomary6626 Жыл бұрын
Si afikiani nae bana waganga kila.mganga anatumia taaluma.yake huyu kakariri matapeli sio waganga wa kweli aje nimwonyeshe uganga wa kweli sio sanaa hizo na uganga sio sawa na udaktari una kanuni no kila mtu anakanuni zake za ramli ache nae kuwainhiza chaka watu waganga wa kweli wapo?vipi wao.wanaotumia kujiita dua hayo anayosema hapo sijawahi ona hao ni wale wa kko ila waganga wa kweli wapo
@MedenMuthama-yb9gf
@MedenMuthama-yb9gf Жыл бұрын
Kaka naomba uniunganishe na mganga wa kweli nimetapeliwa ya kutosha😢
@bonnysure8706
@bonnysure8706 Жыл бұрын
Acha kuwadanganya watu unamwaga maji chini 😅😅
@rehemamkandawile3915
@rehemamkandawile3915 Жыл бұрын
sasa kwani waganga na mazingaombwe yao wanafanyaje? hapa anatupa somo ili tujue waganga wanavo kula Ela zetu
@jecnita7289
@jecnita7289 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂❤
@Drswaleh-fd3mu
@Drswaleh-fd3mu Жыл бұрын
Hajasema nikilamganga siyowote wakohivo wala haujarogwa vilevile unapoumwa unaenda kwa dactar wakizungu ndo kunaugonjwa ungine lazima uende kwamtabibu kwamganga
@leilamohammed3018
@leilamohammed3018 Жыл бұрын
unahitaji zawadi kabisaaa
@DizoG-j9c
@DizoG-j9c Жыл бұрын
Yaani huyu jamaa ilikua ni mbinu yake Sasa kumebuma anatoa Siri za wenzake aliyajuaje Kama hakupitia
@piliramadan875
@piliramadan875 Жыл бұрын
Kweli kwa kwe endima mgosi
@samsonhaule3647
@samsonhaule3647 Жыл бұрын
Sheikh Unatoa Elimu Nzuri, ila sio wote matapeli, Kuna Vibabu vingine vikikutibu Mwenyewe Utampelejea zawadi yake. Jinsi utakavyo ona.
@AnnaMakalla-be4ch
@AnnaMakalla-be4ch Жыл бұрын
Ni kweli usemayo.
@allymugenzi46
@allymugenzi46 7 ай бұрын
Wewe hauna utaalamu huo. Acha uongo. Na wewe ni muongo.
@princeofaragon728
@princeofaragon728 Жыл бұрын
Hapo kwa hela sasa,kabadilisha vipi??
@SalumMzee-mu7zt
@SalumMzee-mu7zt 10 ай бұрын
Mitihan tu hio ulijuaje km sio mipango unaijua na ww
@stephanothebig6940
@stephanothebig6940 Жыл бұрын
Je, uchawi upo au haupo?
@georgenyasudi4060
@georgenyasudi4060 Жыл бұрын
Haupo na haitakuwepo.
@shaibumuya7121
@shaibumuya7121 Жыл бұрын
Mmm
@maxmudjunior7301
@maxmudjunior7301 Жыл бұрын
Kuna amani huko
@christaoman8890
@christaoman8890 Жыл бұрын
Uchawi upo na waganga wapo pia ila kuna waganga wakweli wanaosaidia watu na kuna matapeli pia
@ibrahimsalim7247
@ibrahimsalim7247 Жыл бұрын
Point yko ni?
@asmahassan5661
@asmahassan5661 Жыл бұрын
Kwl mmy km hujawah kurogw utakataa haupo uchaw
@cadabra7402
@cadabra7402 Жыл бұрын
Msaada mkubwa ni Mungu tu.
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Жыл бұрын
@@asmahassan5661, uchawi upo lkn Allah amekuekea njia maalum ya kujitibu nasio kumshirikisha/ushirikina. Mganga yyte anaepiga ramli, mizimu au kuhusisha chchte kile ambacho cha kishirikina basi haifai.
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Жыл бұрын
@@asmahassan5661, hata km utaona inakusaidia lkn unaangamia mbele ya Allah. Mana Allah ameshaahidi dhambi ya kumshirikisha ni motoni moja kwa moja km hujatubia. Ssa imagine umekufa kwa mganga na hujatubia au umekufa ppte lkn hujatubia itakuaje??? Si utakua umechana dunia yako kwa kutia viraka akhera yako? Namaana umeutaka uzima wa dunia ambao ni wa mda mfupi tu na umeuvuruga uzima wako wa akhera ambao ndio wa milele???
@MudiTz-ex7lm
@MudiTz-ex7lm Жыл бұрын
eti kuna mtu ashawai kuagizwa dagaa na nganga😂
@leilamohammed3018
@leilamohammed3018 Жыл бұрын
hahahaaa
@leilamohammed3018
@leilamohammed3018 Жыл бұрын
kiboko yao mama chogo tu aliwamviya maharage hamtaki munataka kuku wanawazimu hahahahaa aliondoka Apo apo
@WaydaHaji
@WaydaHaji Жыл бұрын
Kw iyo na uyo shehe na yy anafanya mazingaumbwe
@josephcharles6315
@josephcharles6315 Жыл бұрын
We niliongo ulijuaje kama na we sio walewale
@johnmeshack4431
@johnmeshack4431 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@MukijumaBasho
@MukijumaBasho Жыл бұрын
Kwa hyo unataka kutuaminissha kwamba wewe ndio mkweli na mwenye kutujaali sana cndio?today uko na ww mwenyewe ni mwz vlevle
@isayajerad
@isayajerad Жыл бұрын
Sasa nyinyi wafasivwa mhamad hivi waga mnamwabudu mungu gani maana huko kwenu hakuna badiriko wafunga majini mizimu majambazi waganga magaid mataperi Nini kinacho fudishana Sasa kwanini msifugiwe nyinyi majambazi wa mhamad
@msanifame4104
@msanifame4104 Жыл бұрын
jifunze kuandika kwanza
@tumawaziri3022
@tumawaziri3022 Жыл бұрын
Kweri shee hata Mimi yashanikuta
@omarybasho2341
@omarybasho2341 Жыл бұрын
Potasiam paramangnet
@MohamediHabasi-qd2mr
@MohamediHabasi-qd2mr Жыл бұрын
Afu acheni uongo nyie wenyewe wez tu amna chadini wala nini
@piliramadan875
@piliramadan875 Жыл бұрын
Yupo rafiki yangu haongei na mama yake kisa kaambiwa mama mchawi
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Subuhanallah msihi asifanye hivyo waganga waongo wao ndiyo wachawi
@chullymastertv5778
@chullymastertv5778 Жыл бұрын
Leteni sehem ya pili
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 42 МЛН
KISA CHA KIPOFU NA MGONJWA - SHEIKH ALLY Abdallah MPENDU
21:40
KISA CHA MALAIKA WALIOKUJA KUFUNDISHA UCHAWI- NO 1 //SHEIKH OTHMAN
29:15
arkas online tv
Рет қаралды 243 М.
UTAFURAHI SHEIKH SHAFI ALIVYO KUTANA NA WAHUNI WAKATI WA KUZIKA
10:05
ISLAAH ISLAMIC TV
Рет қаралды 83 М.
HIZI NI ZAMA ZA MWISHO //SHEIKH KIPOZEO
18:11
arkas online tv
Рет қаралды 10 М.
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН