Ni kwel shekh ila ni wachache sana wanaoelewa kuwa ndio mwisho wa dunia Allah atusaidie 😢
@RahmaIddi-s2s9 ай бұрын
Laa haula wala quwata ila billahi ,,tumrudie Allah
@ramaaman40204 ай бұрын
Shukran Shekhwetu,Allah akulipekhery
@Hemeddymeddy9 ай бұрын
Mawaidha mazuri saaana ktk zama hizi tunazoishi hakika mwisho u jirani sana tuombe sana na tumrudie Allah na tuwe na hofu ya Allah… Allah Ibariq Sheikh 🎉🎉
@NaodaNaoda-du3xg9 ай бұрын
Wa aleykum salam,sheikh Kipozeo yupo hai@ShamimWanjiru
@abdallamohamedabdalla9 ай бұрын
Shukraan jazillah
@RahmaIddi-s2s9 ай бұрын
Ni kweli Sheikh kipezeo hiz Ni zama za mwisho ,,waislam tuzindduken jamn na matukio tunazinduliwa tumejisahau na duniya Ni Mapito,,
@ismailsoud36348 ай бұрын
Sheikh kipozeo yupo hai mzima wa afya.
@HajiK-i9e9 ай бұрын
Swadakta shekhe upo sahihi
@roudhamahmoud7639 ай бұрын
Jazaka llah kher wabilah taufiq
@ismailsoud36347 ай бұрын
Wanasema mabadriko ya tabianchi badara ya kusema mabadiriko tabia binadamu.
@omarikessy23399 ай бұрын
Shukrani sheik
@Husna34562.9 ай бұрын
AMIIN 😢
@hamadimadisa93469 ай бұрын
Sheikh dhulma ndio sababu ya majanga yanayo tokea
@ShamimWanjiru-bm6ve9 ай бұрын
Watanzania salam aleikhum jamani mniambie huyu Sheikh Kipozeo yu hai au vipi manake yalienea sana huku Kenya kwamba kaaga?nitafurahi sana nikijua bado yu hai,napenda mawaidha yake sana
@SabraAbdilnasir9 ай бұрын
Waaleykum msalam yuhai alhamdulilah Allah amjaliye umri mrefu
@ShamimWanjiru-bm6ve9 ай бұрын
@@SabraAbdilnasir Waleikhum Salam nimeshukuruns kufutahi sana kwa kuniambia Yu hai Allah atujalie umri InshaAllah pamoja na Sheikh wetu,nawe pia shukran sana kwa kuchukua muda wako kinijibu,Allah akutimizie haja zako InshaAllah👍SHUKRAN!!
Wa'allahykum sallaam warrahmatullah wabbarrakatuh Sheikh Kipozeo yupo hai. Ila kuna mtu alikuwa na jina kama la kwake na pia alikuwa sheikh. Lakini hakuwa anatumia vyombo vya habari kama hivi. Huyo ndio amefariki, alikuwa anaishi Mafia.