Huu ndio UTAJIRI Unaweza kuupata kwa kununua HISA! Fahamu ya muhimu kuhusu soko la Hisa la Dar

  Рет қаралды 32,848

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

4 жыл бұрын

Пікірлер: 79
@amonirwiza3935
@amonirwiza3935 3 жыл бұрын
Kwa mambo anayoyajua huyo jamaa ni zaidi ya phd holder. Usomi ndio huu sasa, keep it up bro.
@sayunitv8378
@sayunitv8378 Жыл бұрын
Ni kweli
@gideoneustacerwabona8843
@gideoneustacerwabona8843 Жыл бұрын
It is 2023 but I found this content helping. Thank you for sharing
@abdallahmzuzuri3527
@abdallahmzuzuri3527 3 жыл бұрын
Classmate wangu duh kweli. Maisha ni kitu cha Ajabu sana. Big up broo
@shubackmashinga3535
@shubackmashinga3535 4 жыл бұрын
Hii ni moja kati ya interview bora kwangu kuwai kutokea na sky God bless you both
@deusntobi1450
@deusntobi1450 2 жыл бұрын
Hongera kwa kwake na hongera kwa Sns kwa kuendelea kutuhabarisha mambo mhimu na adimu
@yakuza4731
@yakuza4731 Жыл бұрын
Asante Sana Kwa elimu ya hisa kiukweli nimejifunza mengi Sana na nitaendelea kujifunza mengi Zaid ninamatumain kuwa nitakuja kununua hisa na kuwa mwekezaji nzuri wa hisa ...
@hawashamasi9115
@hawashamasi9115 2 жыл бұрын
Hii video wanaanglia wenye lengo la kutoka tuuuu..
@Thisislilian
@Thisislilian Жыл бұрын
This is guy is something else, very genius
@latriciah01augustino67
@latriciah01augustino67 4 жыл бұрын
Jamaa yupo njema na anajua nini anachoongea mixer mifano hai🙌🏽 kwa kifupi nimejifunza kitu kuhusu HISA🙏🏽
@narumbahanje9393
@narumbahanje9393 4 жыл бұрын
I love the contents of this channel. Shout-out to sky walker
@johnstonemwesiga236
@johnstonemwesiga236 Жыл бұрын
Vipande ni uhuru wako waweza kuchukua au ukaamua kuacha viendelee kuwepo kwenye uwekezaji. Hisa pia unaweza kuuza zote ukiona umekuza mtaji na ina bei nzuri. siyo kwamba utamiliki milele kampuni labda uache kuuza
@kifanyaliwengi2281
@kifanyaliwengi2281 2 жыл бұрын
Interview bora zaidi... Hongera sana... Bwana Mwenda
@joerosay
@joerosay 4 жыл бұрын
kijana yuko vizuri sana..kaelezea vizuri
@sleimbh
@sleimbh 2 жыл бұрын
Daaa Huyu Dogo yupo Vizuri 🙌🏽🙌🏽
@montanaprime
@montanaprime 3 жыл бұрын
Aisee SnS mop vizuri sana. Keep up the good work
@beatricemonji5392
@beatricemonji5392 Жыл бұрын
Big up boy...love yr book, very educative.
@kevinkambona218
@kevinkambona218 3 жыл бұрын
Content nzuri sana 🔥🔥
@montanaprime
@montanaprime 3 жыл бұрын
Aisee inabidi huyu Fundi mumuwekee kipindi chase cha investment business na uchumi hapa kwenye SnS. Itakuwa poa sana
@ashaally5883
@ashaally5883 2 жыл бұрын
Kitabu tunakipataje wengine tupo nje ya nchi
@deotv503
@deotv503 4 жыл бұрын
Daaah good interview wotebwanaongeaa vizurii na kwa kujiaminii
@unyama2023
@unyama2023 Жыл бұрын
Valluable lesson
@mkakampole7802
@mkakampole7802 3 жыл бұрын
Wagogo wana akili sana sema tu shule hawapelekwagi. Sijui kwanini hawa jamaa ni balaa wapewe nafasi aise. Wakisoma wanakuwa watu wabad sana
@barakanyamafu5937
@barakanyamafu5937 3 жыл бұрын
Kweli
@tadeonkonya1656
@tadeonkonya1656 2 жыл бұрын
Too deep. The guy is good in what he is doing.
@erisonguonahom6984
@erisonguonahom6984 4 жыл бұрын
Video nzuri
@denisjoseph1118
@denisjoseph1118 3 жыл бұрын
Kinachokera video za kitanzania Sasa my anaongea huo mziki unaopiga unatia kelele ndo nn Sasa unakera Kwan hamuwez ongea bila kuweka hako kamziki
@asinathasinath5090
@asinathasinath5090 4 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏baba aliyah
@4logocanxel661
@4logocanxel661 2 жыл бұрын
Mungu ambariki Sana bwana ndahani
@sayunitv8378
@sayunitv8378 Жыл бұрын
Uko vizuri sana Kaka..
@francisfutta-oe4ek
@francisfutta-oe4ek Жыл бұрын
Fantastic 👍
@khizralghawy9489
@khizralghawy9489 4 жыл бұрын
Tumeelewa somo💖
@khadeejaabdullah7083
@khadeejaabdullah7083 4 жыл бұрын
Ahsante sns
@user-bj6ej6gm4u
@user-bj6ej6gm4u Жыл бұрын
Sky walker una NEEMA kubwaaaaaaa. Keep it up
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 2 жыл бұрын
Safi
@mwanahamisimsangi4949
@mwanahamisimsangi4949 4 жыл бұрын
Good
@ibrahimurichard377
@ibrahimurichard377 Жыл бұрын
Inteview ni nzuri sana but Background huo mziki kuna namna unapoteza usikivu wa mtazamaji!!!
@dn.n4983
@dn.n4983 10 ай бұрын
Nice
@cassieantujael
@cassieantujael Жыл бұрын
Bro interview nzuri na elimishi mno, napendekeza nyingi kama hizi.. Asante na well done..
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti Жыл бұрын
Thanks Cassie
@yakuza4731
@yakuza4731 Жыл бұрын
Naweza kupatana na huyo kaka sky
@jjazzmanjj
@jjazzmanjj 3 жыл бұрын
Kitabu kinapatikana kama E-Book? Asante.
@christophermanyanga756
@christophermanyanga756 6 ай бұрын
God bless Kijana anajua
@shubackmashinga3535
@shubackmashinga3535 4 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🔥🔥
@EmmanuelKabipe-nr1np
@EmmanuelKabipe-nr1np Жыл бұрын
Habari,Naitwa Emmanuel niko Mwanza,nahitaji hicho kitabu,nakipataje
@sarahtaste2876
@sarahtaste2876 6 ай бұрын
Yuko vizur sana 🎉
@evalinemsengi1962
@evalinemsengi1962 3 жыл бұрын
Napataje kitabu hicho na naweza ongea na wewe kwa mawasiliano
@MwesuaMganga
@MwesuaMganga 8 ай бұрын
Dah very powerful I want to buy a book. How can I get it I live in Finland? Asante
@emmanuelanael6934
@emmanuelanael6934 2 жыл бұрын
Hicho kitabu ninawezaje kukipata ? Mimi Niko Arusha, town
@jacksonmkuye7739
@jacksonmkuye7739 2 жыл бұрын
Kaka sky nawezaje kupata kitabu online
@salimfea
@salimfea 3 жыл бұрын
Nakipataje sana
@ramadarema1519
@ramadarema1519 3 ай бұрын
Naitaji kitabu Niko manyara bassotu nitapataje
@abdulmalickabdillah6739
@abdulmalickabdillah6739 3 жыл бұрын
Kitabu tu jamani atoe mawasiliano
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 Жыл бұрын
Wengine tumenununua hisa za kampuni moja tz mwaka wa 2 hakuna gawio,wala hisa hazitembei Teh teh
@mercilornajonathan7188
@mercilornajonathan7188 3 жыл бұрын
Hello tunaomba namba ili tununue kitabu. Jamaa nimemuelewa Sana. Hii elimu niliitafuta muda Ila sikujua naioataje
@CharamKabul
@CharamKabul 2 ай бұрын
Atoe mawasiliano ili kupata icho kitabu
@lameckbenjamin7584
@lameckbenjamin7584 27 күн бұрын
Tatizo pesa
@williamjuma1571
@williamjuma1571 3 жыл бұрын
Number ya tafadhali ili tukutumie kama mentor
@abbumwaipopo2940
@abbumwaipopo2940 4 ай бұрын
Contact please boss
@emmanuelmwaikuju5684
@emmanuelmwaikuju5684 2 жыл бұрын
Asante kwa maelezo. Nawezaje kuagiza kitabu hicho cha muongozo? Asante.
@wizzgane9396
@wizzgane9396 3 жыл бұрын
Sijamuelewa namna yakununua hissa
@PESSAKAPALE-gb1ct
@PESSAKAPALE-gb1ct 6 ай бұрын
SnS naomba namba yake
@AM_LARSSON
@AM_LARSSON 10 ай бұрын
Napataje kitabu
@learntoearn9588
@learntoearn9588 3 жыл бұрын
Nawezaje kupata hicho kitabu?
@mwalimuwawalimu6184
@mwalimuwawalimu6184 3 жыл бұрын
Nakipataje kitabu
@Shaibujulius-eg2ui
@Shaibujulius-eg2ui 6 ай бұрын
Zc
@munarjafu9886
@munarjafu9886 2 жыл бұрын
Mimipia nitawekeza nikija bongo
@fazalkassim4934
@fazalkassim4934 3 жыл бұрын
Hko kitabu kinapatikanaje
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 2 жыл бұрын
Huyu jamaa napataje namba yake
@bsrabbitfarm
@bsrabbitfarm Жыл бұрын
Napataje hiko kitabu kuhusu HISA?
@samwelsengati1369
@samwelsengati1369 3 жыл бұрын
Napataje kitabu na nakupataje ww
@yonmngaziah3029
@yonmngaziah3029 2 жыл бұрын
tunafanyaje kupata hicho kitabu
@munarjafu9886
@munarjafu9886 2 жыл бұрын
Nimejifuza slukraan
@user-dr7ug7iv9s
@user-dr7ug7iv9s 4 жыл бұрын
Nipo na skiliza hapa utajiri na hisa
@mwazanmohamed8267
@mwazanmohamed8267 Жыл бұрын
Nipen jawabu
@laurentdeusdedith8603
@laurentdeusdedith8603 2 жыл бұрын
dah nmepata bonge la somo...kuna watu wanajua wanachokifanya kwa kweli.
@kasigahamisi354
@kasigahamisi354 3 жыл бұрын
Nitapataje kitabu
@abdulmalickabdillah6739
@abdulmalickabdillah6739 3 жыл бұрын
Kitabu tu jamani atoe mawasiliano
@mwazanmohamed8267
@mwazanmohamed8267 Жыл бұрын
Kampun gan yenye faida kubwa nikawekeze
TENGENEZA UTAJIRI KUPITIA HISA na Emilian Busara
57:11
Edmund Munyagi
Рет қаралды 48 М.
SHAJARA || Uwekezaji katika soko la Hisa
19:29
Azam TV
Рет қаралды 2,1 М.
DO YOU HAVE FRIENDS LIKE THIS?
00:17
dednahype
Рет қаралды 115 МЛН
Каха и суп
00:39
К-Media
Рет қаралды 6 МЛН
LIJUE SOKO LA HISA LA DAR ES SALAAM - DSE.  TBC 1  EP 05
27:48
FEDHA UCHUMI
Рет қаралды 12 М.
Jinsi ya Kununua / Kuuza hisa
5:26
SOLOMON Stockbrokers
Рет қаралды 6 М.
Kununua na Kuuza Hisa  DSE
11:03
UKWASI MEDIA
Рет қаралды 207
NJIA SAHIHI ZA UMILIKI WA HISA  NA UHAMISHAJI WA HISA ZA KAMPUNI
15:03
BRELA ONLINE TV
Рет қаралды 1 М.
HATUA SABA ZA UHURU WA KIFEDHA - DR. AMINA ABDUL
57:09
Edmund Munyagi
Рет қаралды 12 М.