TENGENEZA UTAJIRI KUPITIA HISA na Emilian Busara

  Рет қаралды 46,868

Edmund Munyagi

Edmund Munyagi

3 жыл бұрын

Emilian Busara ana taaluma ya uhasibu na ni muwekezaji na Mtaalam wa uwekezaji kwenye soko la hisa.
Katika video hii, Emilian Busara ameelezea historia yake kwenye uwekezaji katika hisa, umuhimu wa kuwekeza kwenye hisa, jinsi ya kuchagua hisa za kununua nk.
Hakika ni mafunzo muhimu kwa kila mtanzania.

Пікірлер: 97
@Thisislilian
@Thisislilian Жыл бұрын
Kwa mara ya kwanza nimeielewa hisa vizuri Kwa kurelax Bila kutumia nguvu nyingi, appreciate nyingi Sana kwako mkuu Ubarikiwe mno🙏
@joe_nkwabi
@joe_nkwabi 16 күн бұрын
Umechambua vizuri sana hata kwa mtu asiye na msingi wa elimu ya uchumi anaweza kuelewa.. Asante sana kwa hioi darasa zuri..
@JaphetGabriel-kt2sw
@JaphetGabriel-kt2sw Ай бұрын
Asante sana nimepata mwanga pamoja na matumani mungu akubaliki sana
@geofreyedwin5062
@geofreyedwin5062 Жыл бұрын
Haya ndio mambo yakuangalia sio mambo ya kwa mwamposa tu kila siku. Hongera sana matumizi mazuri ya muda na mtandao.
@Harrison-zh9sb
@Harrison-zh9sb Жыл бұрын
Sasa mwamposa anahusianaje hapa boss??
@legacytrainingservices
@legacytrainingservices Ай бұрын
Hahaa watakujia juu😢
@STANLEYKISANGA
@STANLEYKISANGA Ай бұрын
Nmeipenda sana hii❤
@primedynamicstanzania9465
@primedynamicstanzania9465 Ай бұрын
Ahsante sana kwa maelezo mazuri
@paulinacherement2534
@paulinacherement2534 2 жыл бұрын
Asante na mungu aendelee kukuhifadhi. AMIIIN
@eagleeleven5619
@eagleeleven5619 2 жыл бұрын
AH I NEED THIS TODAY
@edwardpeter8569
@edwardpeter8569 2 жыл бұрын
Very interesting one
@user-bk7vy3yj6g
@user-bk7vy3yj6g 9 ай бұрын
Thank you soo much Sir
@getrudaemmanuel9912
@getrudaemmanuel9912 Жыл бұрын
Ni nzuri lakini Kwa wakati mwingine tuone na ubaoni Ili tuelewe zaidii🙏
@jacobnduya798
@jacobnduya798 5 ай бұрын
Asante sana kwa darasa nzuri sana, sasa nimepata mwanga wa kutosha kuhusu hisa, Mungu akubariki sana, natamani kama unaweza kutupa mawasiliano yako. last but not list, naomba wakati mwingine, huyo anayerekodi awe anachukuwa kila kitu siyo kumulika sehemu moja katunyima uhundo sana🥲
@manish-fp1fb
@manish-fp1fb 2 жыл бұрын
Uliyerekodi hii una ujinga mwingi sana, concentrate na slides na sio presenter
@shabaniissa5522
@shabaniissa5522 Жыл бұрын
Maisha sio magumu hivyo relax
@onesmomassawe30
@onesmomassawe30 5 ай бұрын
Ni miyeyusho kweli kweli
@PaulJoseph-ik9uj
@PaulJoseph-ik9uj 3 ай бұрын
Mungu akubariki sana mpendwa ,niwachache wenye moyo kama wako ubarikiwe sana sana na umenipa matumaini sana
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 2 жыл бұрын
Thanks
@paulinacherement2534
@paulinacherement2534 2 жыл бұрын
God is good for all the time
@dinodaudy7540
@dinodaudy7540 Жыл бұрын
Shukran sana ndugu umetufungua akili
@benjamininyambaso5041
@benjamininyambaso5041 2 жыл бұрын
Nashukuru kaka
@zuberysalim7498
@zuberysalim7498 Жыл бұрын
Pamoja sana ndugu
@gustavofocus-jc9mt
@gustavofocus-jc9mt Жыл бұрын
Nice
@veronicawilsonmbwambo1054
@veronicawilsonmbwambo1054 11 ай бұрын
Asante
@hosianaminja7034
@hosianaminja7034 16 күн бұрын
Nimeanza mwezi wa nne mwaka huu na Hisa 100000 tayari. Week tano kila week nanunua hisa 200 CRBD. Umekuwa ulevi. Km kamari fulani nacheza.
@sindabahabwoyaanacret660
@sindabahabwoyaanacret660 2 күн бұрын
Asee una nunua wapi nipe uzoefu
@innocentlongino5664
@innocentlongino5664 Жыл бұрын
Ok vizr
@wabiwaamuri3130
@wabiwaamuri3130 Жыл бұрын
Hisa ni zuri inaweza kumuinua mtu kutoka ulipo na kuelekea ahali pennine kwangu mimi ni zuri
@hendrylema5640
@hendrylema5640 Жыл бұрын
aliechukua video kazingua sana hatuonyeshi slide
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 2 жыл бұрын
Ahsante Hisa zina bima
@EdmundMunyagi
@EdmundMunyagi 2 жыл бұрын
Hapana hazina bima na unaweza kupoteza pesa hivyo lazima ujikite kwenye kujifunza au utumie wataalam kukupa ushauri kabla ya kununua.
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 2 жыл бұрын
@@EdmundMunyagi safi sana
@Kanyawela
@Kanyawela 10 ай бұрын
Je naweza kuweka hisa mara Ngapi katika kampuni moja?
@syliviakaigarula1250
@syliviakaigarula1250 3 ай бұрын
​@@EdmundMunyagi hi, samahani hao wataalamu nawapata wai
@upendohaonga4369
@upendohaonga4369 2 жыл бұрын
Nashukuru kwa Elimu nzuri ila nahitaji msaada zaidi wa Elimu nakupataje?
@Chibemono
@Chibemono 3 жыл бұрын
Tunashukuru sana kaka...
@EdmundMunyagi
@EdmundMunyagi 3 жыл бұрын
Karibuni sana...
@saidimaya3958
@saidimaya3958 2 жыл бұрын
Thanks a lot, I have been looking for a channel with this kind of contents.
@EdmundMunyagi
@EdmundMunyagi 2 жыл бұрын
Karibu sana.. 🙏🏿
@hansperson1012
@hansperson1012 2 жыл бұрын
Asante
@qualifyreferencesmedia6804
@qualifyreferencesmedia6804 2 жыл бұрын
Edmund ni vizur pia ukitoa lecture ya jinsi ya kucheza game ya Cashflow game km hautajali unaweza nishirikisha tusaidiane kidogo
@EdmundMunyagi
@EdmundMunyagi 2 жыл бұрын
Unazungumzia Game ya Cashflow 101 kutoka kwa Kiyosaki?
@qualifyreferencesmedia6804
@qualifyreferencesmedia6804 2 жыл бұрын
@@EdmundMunyagi ndo hilo hilo
@qualifyreferencesmedia6804
@qualifyreferencesmedia6804 2 жыл бұрын
@@EdmundMunyagi pia itawafungulia mengi katika elimu ya uwekezaji
@aloycejumbe9300
@aloycejumbe9300 2 жыл бұрын
Hellow naomba kufundishwa juuu ya hisa in deep
@qualifyreferencesmedia6804
@qualifyreferencesmedia6804 2 жыл бұрын
@@aloycejumbe9300 fuatilia vizur video za Edmund na pia km ukiweza tafuta game ya Cashflow ili uelew kwa urahis zaidi
@saidimaya3958
@saidimaya3958 2 жыл бұрын
I need a good broker, Im itching to start
@EdmundMunyagi
@EdmundMunyagi 2 жыл бұрын
Check with Orbit Securities.
@mwanaidihaji8290
@mwanaidihaji8290 3 жыл бұрын
Great and educative content!! Post more of the videos
@EdmundMunyagi
@EdmundMunyagi 3 жыл бұрын
Thank you! Will do!
@ereneusmujuni6380
@ereneusmujuni6380 3 жыл бұрын
How do we find speaker phone number
@ereneusmujuni6380
@ereneusmujuni6380 3 жыл бұрын
How do we find speaker phone number
@EdmundMunyagi
@EdmundMunyagi 3 жыл бұрын
Ereneus Naomba unicheki kwenye 0755518289
@ereneusmujuni6380
@ereneusmujuni6380 3 жыл бұрын
@@EdmundMunyagi thanks a lot
@sleimbh
@sleimbh 2 жыл бұрын
Safi sana hizi Slides zinapatikana kwa public ?
@EdmundMunyagi
@EdmundMunyagi 2 жыл бұрын
Hapana.
@michaelpatrick9137
@michaelpatrick9137 Жыл бұрын
Mafundisgi masuri sana,,nawesa pata wasap nambayako tafafhali
@redcharlie2385
@redcharlie2385 3 жыл бұрын
Hello, thanks for sharing . Una video za UTT and Bonds?
@EdmundMunyagi
@EdmundMunyagi 3 жыл бұрын
Yes videos zipo kwenye channel hapa hapa.
@borissmbanga6154
@borissmbanga6154 2 жыл бұрын
Sorry, nawezaje kupata uptade za kila siku za sokonla hisa?
@EdmundMunyagi
@EdmundMunyagi 2 жыл бұрын
Kwenye website ya DSE dse.co.tz
@leonardmyoka2558
@leonardmyoka2558 2 жыл бұрын
Sorry ninaomba namba zako za wsp
@wadauwasizoni
@wadauwasizoni 2 ай бұрын
Nataka namba zake
@calvinjoseph
@calvinjoseph Жыл бұрын
Broker gani mzuri ktk investment ya shares
@prospermunga3642
@prospermunga3642 2 жыл бұрын
Naanzaje sasa kununua hisa
@EdmundMunyagi
@EdmundMunyagi 2 жыл бұрын
Inabidi uwasiliane na broker wako wa karibu, au download app ya DSE inaitwa Hisa Kiganjani..
@juliusmantago4511
@juliusmantago4511 2 жыл бұрын
Naomba no kwa ushauli binafsi
@EdmundMunyagi
@EdmundMunyagi 2 жыл бұрын
0755518289
@haisammariam2016
@haisammariam2016 2 жыл бұрын
Samahani naomba kuuliza unawekeza je?
@RuthNyalagu
@RuthNyalagu 2 ай бұрын
Naanzaje kununua hisa?
@haisammariam2016
@haisammariam2016 2 жыл бұрын
Hisa inanunuliwa je?
@shabanisalum116
@shabanisalum116 3 ай бұрын
Je unaweza kuwekezq ukiwa na laki moja
@mbatatakiazi1678
@mbatatakiazi1678 3 ай бұрын
inawezekana sana tena kwenye UKWASI ndiyo kianzio
@naipendaafyayangu3826
@naipendaafyayangu3826 2 жыл бұрын
Hellow brother mungi aah nimeona una reply, sory naweza nikapata contact zako napenda kuwekeza kwenye isa na napenda kuji jengea uchumii binafsi aah naomba your contact..
@EdmundMunyagi
@EdmundMunyagi 2 жыл бұрын
0755518289. Karibu sana.
@pharmacistantykamaleki5642
@pharmacistantykamaleki5642 Ай бұрын
Hivi kweli hizo channel zipo alafu tunapoteza mbs zetu bure kule😅
@kelvingodfrey8800
@kelvingodfrey8800 2 жыл бұрын
kaka mimi natumia pc nawezaje kununua hisa
@EdmundMunyagi
@EdmundMunyagi 2 жыл бұрын
Nenda kwenye website ya DSE
@paschalbenefactornunu5127
@paschalbenefactornunu5127 4 ай бұрын
Mimi Niko Drc ndawezaje kuwekeza kwenye hisa?
@justinemasweta2877
@justinemasweta2877 Жыл бұрын
dah inaudhi kamera man ubaoni mbona haurekodi
@R.Dickon
@R.Dickon 2 жыл бұрын
Naweza kupata mawasiliano yake Mr Busara? Kiongozi...
@mohdmohd8428
@mohdmohd8428 3 ай бұрын
Content nzur ila caption co nzur
@juliusappornaly215
@juliusappornaly215 11 ай бұрын
Camera man hayuko sharp 😢
@AnnastaziaJOtama
@AnnastaziaJOtama 2 жыл бұрын
Naomba kujua mtu akiwa nje ya nchi anaweza kuwekeza hisa Tanzania
@EdmundMunyagi
@EdmundMunyagi 2 жыл бұрын
Ndio anaweza kuwekeza kwenye hisa Tanzania. Ni kuwasiliana na Broker wa Tanzania na kupata namna ya kutuma pesa Tanzania ambazo zipo njia nyingi siku hizi.
@rehemaothuman3764
@rehemaothuman3764 2 жыл бұрын
Broker tunampataje
@EdmundMunyagi
@EdmundMunyagi 2 жыл бұрын
@@rehemaothuman3764 ukienda kwenye website ya DSE dse.co.tz kuna sehemu ina liat ya brokers.
@johnrogath1066
@johnrogath1066 20 күн бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅
@philipocharles713
@philipocharles713 2 жыл бұрын
Nipo mwanza-sengerama Hawa brokers nawapataje napenda kununua hisa za DSE Tcc,TbL,nisaidie kaka angu nataka kuwekeza sasa
@EdmundMunyagi
@EdmundMunyagi 2 жыл бұрын
Wasiliana nami kwa 0755518289
@Maisha-Halisi
@Maisha-Halisi 2 жыл бұрын
Tunaomba uwe unaonyesha slide zaidi kushinda presenter
@santinachengula1541
@santinachengula1541 Ай бұрын
Kampuni gani
@nicolassamuel438
@nicolassamuel438 4 ай бұрын
MBONA SIJAJUA HIVI VITU MAPEMA
@mengishabanilyimbo8138
@mengishabanilyimbo8138 3 жыл бұрын
Sorry naitaji msaada katika uwekezaji namba yangu ya whatsap ni 0628969140
@geofreyedwin5062
@geofreyedwin5062 Жыл бұрын
Nimepata namba yako nitakutafuta kaka nahitaji hii elimu yako ubarikiwe sana.
JINSI YA KUCHAMBUA KAMPUNI KABLA YA KUNUNUA HISA Na Emilian Busara
1:39:30
JINSI YA KUJENGA MIKONDO MINGI YA KIPATO na Edmund Munyagi
21:18
Edmund Munyagi
Рет қаралды 27 М.
Vivaan  Tanya once again pranked Papa 🤣😇🤣
00:10
seema lamba
Рет қаралды 32 МЛН
버블티로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 108 МЛН
NERF WAR HEAVY: Drone Battle!
00:30
MacDannyGun
Рет қаралды 50 МЛН
The child was abused by the clown#Short #Officer Rabbit #angel
00:55
兔子警官
Рет қаралды 24 МЛН
UWEKEZAJI WA PAMOJA KWENYE MIFUKO YA UTT Na Daudi Mbaga
50:09
Edmund Munyagi
Рет қаралды 15 М.
JINSI YA KUKABILIANA NA MADENI By Denis Simon
33:42
Edmund Munyagi
Рет қаралды 4,8 М.
Uwekezaji wa Hisa | Elimu ya Awali | Ezekiel Kuhoga | Mindsetting Initiative
21:12
BUILDING WEALTH WITH REAL ESTATE by Larry Lyayuka
33:03
Edmund Munyagi
Рет қаралды 5 М.
Jinsi ya kuweka malengo na kufanikiwa
1:05:12
Joel Nanauka
Рет қаралды 434 М.
Huwezi Kufanikiwa Kifedha Bila Kuyajua Haya - Edmund Munyagi
14:27
Vivaan  Tanya once again pranked Papa 🤣😇🤣
00:10
seema lamba
Рет қаралды 32 МЛН