Gari hii nimewah iona mara moja tu tena mwaka 2015 nadhan, ilipaki mtaa wa kuelekea BM saloon kam unatokea studio, nliipiga picha nnayo geto, sijaiona tena toka siku iyo mpk leo.
@Brilumna4 жыл бұрын
How about Dodge challenger srt demon & hellcat redeye
@sethsindamka84655 жыл бұрын
Nilijuwa washamba wako vijijini kumbe asili haipotei unashangaa gari,,,,,🤣🤣😃😂😃😃😃🤗
@kencantv76927 жыл бұрын
I have a dodge charger but my best is the challenger. Canada has lots of this.
jackson nkwama No sir,the one presented above is a V6 engine model,4.8 L with only 400 hp
@experiencetz7 жыл бұрын
Zacharia John should we call it Muscle Car too? damn too weak.
@theinsider64627 жыл бұрын
jackson nkwama Not weak,still a v8 engine with less power than it's predecessors but i guarantee isn't weak
@theinsider64627 жыл бұрын
Yes.....,A muscle car 🚘!
@experiencetz7 жыл бұрын
Zacharia John no. Too weak
@muiggz847 жыл бұрын
Njoo Kenya ziko mingi zaidi
@afropanorama47307 жыл бұрын
Holly Kenyan aje kenya kufanya nini nilijua unayo ya kwako kumbe zipo tu
@muiggz847 жыл бұрын
afro panorama hujuma,sio?
@agnestamajaliwa1427 жыл бұрын
afro panorama lol aahahahah
@onlinemateustv19256 жыл бұрын
Wakenya bwana
@husseinyahya9275 жыл бұрын
Cjaona kenya hii
@jessicabrown58854 жыл бұрын
Hawa wakenya wamejazana humu Nyie si muangalie vitu vyenu Comments kina mkenya ana dodge
@Razkenya0017 жыл бұрын
Zimejaa hapa Marekani. hata hazina kazi... zinatupigia kelele tu
@agnestamajaliwa1427 жыл бұрын
RAZ KENYA nawe unayo?
@Razkenya0017 жыл бұрын
Agnesta Majaliwa siitaji..
@machintangachibwena59225 жыл бұрын
Huyu mshamba alikuwa south Afrika kazi yake kutuonyesha barabara tuuu
@abdulaziznazir99894 жыл бұрын
marekebisho, gari hiyo ya fast and furious sio dodge challenger.. hiyo ni Plymouth hemi.. ila si mbaya kwani zote mfumo wake una lingana sana ila, salute the challenger
@buye54364 жыл бұрын
1971 Plymouth GTX
@justineconrady211 Жыл бұрын
That's a challenger,HEMI ni type of engine.go search for more info
@faustinmurasa11936 жыл бұрын
iyo dodge ata si kali kama unavo isema kuna model zk kali zaid njoo apa kenya uone sema umeimind tu mwenye
@ismailjuma99595 жыл бұрын
faustin murasa bifu
@seniroya78345 жыл бұрын
Fast and furious sio movie ya kuchezwa na gari ya kitoto 😂
@eliamgina57605 жыл бұрын
Seni Roya ya kawaida mbona
@anoldcharles49charles175 жыл бұрын
bei gan
@philip7887 жыл бұрын
Mkanganyiko kidogo, mtangazaji unasema engine ni 4200CC wakati kwenye video tunaona engine cover imeandikwa 3.6L. Hujui unachokitangaza au kipi sahihi?
@frankebella67625 жыл бұрын
Mtangazaji hajtambui
@manmachocarworks54424 жыл бұрын
Zikifumuka mafundi wapo?
@sabrinakassam99996 жыл бұрын
Price yake ngapi
@davis66926 жыл бұрын
Amna bana lile la fast and furious lilikua na manual transmission
@emmanuelmahenge024 жыл бұрын
Anayoendesha vin ni auto Usichanganyikiwe kuona namba nyingi
@sundymolls96735 жыл бұрын
Tuache ushamba watanzania dodge ni gari ya kuelezea common in US
@nzukiaccountant73505 жыл бұрын
4200cc ??????? engine cover says 3.6l..not adding up......haya mambo ya magari mimi siyajui hebu nijipe shughuli
@lastseen68156 жыл бұрын
Njoo kenya uone wakina mama wanazitumia kwenda nazo sokoni
@jamesotienoochieng16836 жыл бұрын
Kenya ya wapi? Shetani wewe
@onlinemateustv19256 жыл бұрын
Mama yako analitumia kwendea sokon hongera basi hii video wewe haikuhusu kabisa
@onlinemateustv19256 жыл бұрын
Hiyo Kenya wananchi wake wakiwango hicho ninachokifaham unazingua unaleta usanii ndani ya jumba la sanaa
@jumabajurah63465 жыл бұрын
Haha ona ulivyo boya ndomana alshabab hawaishi kuwaua kwa ujinga wenu
@ahmedsalim58057 жыл бұрын
hatari saaanaa one day yes tochi utakuwaa unazipitaa na kuziachia manyoyaa tuu
@makambajr10107 жыл бұрын
gar kali mnooo
@chrisrush97105 жыл бұрын
Watanzanian.ni washamba??????????
@BosibleOmy7 жыл бұрын
Gari ya police America Bongo ndio ya kifahari hehehhe
@ibrahshowtz7 жыл бұрын
mohammad omar wew uko america au bongo heheheh?? Wakat Dar Noah ni luxury, mikoan ni daladala.. Sa na apo utasemaje mzee.. Stop hating
@paulkafit47046 жыл бұрын
+Mogul premier hahah lol
@dannygroening35476 жыл бұрын
Nop
@kidsSingwithmekids5 жыл бұрын
gari mbn zipo nyingi tu unazingua bro
@kbmhd7 жыл бұрын
😂😂😂😂dc n gar ya kifahari 😂😂😂😂
@zuhurambaraka17085 жыл бұрын
Marayang yakwanza kuiyonagarhii niliiyona keener game ya need for speed most wanted
@mickdadyissa84127 жыл бұрын
Jere unazengua mm mwenyew ninayo
@samuelmwangi97805 жыл бұрын
Dodge Challenger iko Kenya pia. And not the standard type like that one. Its the Dodge Challenger SRT Hell cat. And their is also a Lamborghini and a Bugatti Veyron in Kenya. And the one of fast and furious is a model of the 1970's that was modified.
@AK-is9xi5 жыл бұрын
Buggati veyron in kenya is not true.
@samuelmwangi97805 жыл бұрын
@@AK-is9xi it is true. Search it. Its among the list of the Most Expensive cars in Kenya. It costs 200'000'000 KSH. And not to forget, their is a 2016 Cadillac Escalade in Kenya, a Dodge charger is also in Kenya, Porsche 911 is in Kenya, Rolls Royce phantom is also in our country, a Bentley continental is also there, Mercedes Benz maybach is there. Not one but two. One is for the CEO of Sport pesa and the other one is for Uhuru Kenyatta our President. There are countless number of ford mustang sport cars and Chevrolet Camaro.
@samuelchipindula17105 жыл бұрын
Tanzania there is Tesla Model 3 for Mr. Mo The number 1 Youngest billionare in Africa
@samuelmwangi97805 жыл бұрын
@@samuelchipindula1710 the billionaire of Africa is a Nigerian. His net worth is 10 billion dollars.
@iviejustified81096 жыл бұрын
Cruise control?? Haimoo?
@saidmohd25757 жыл бұрын
Nyasi tu hiyo saiv
@D-Man.B-Free5 жыл бұрын
Brain 🧠 zero,kawaida saana
@iddimtimbwila44075 жыл бұрын
amakweli mpambe ananguvu.
@msabisimion84317 жыл бұрын
mwandishi unatuaibisha kuna vitu vya kimsingi vingi kuzungumzia
@sadaomari70534 жыл бұрын
dodge sio gar ya kawaida
@patrickhart48566 жыл бұрын
None c
@donnieyen84137 жыл бұрын
Dodge challenger srt demon 820hp 0 to 60 in 2.3 seconds
@stephenernest78974 жыл бұрын
@Donnie Yen,thats Not a demon, its a mere 360hp, stock kit, not tuned