HUYU ALITOLEWA TARBAN MCHANA PEUPE!! hadi wagithomo anacheat BUANA !

  Рет қаралды 60,812

THEE PLUTO BULLETIN

THEE PLUTO BULLETIN

Күн бұрын

Пікірлер
@PULOXAH_
@PULOXAH_ 5 ай бұрын
Sometimes naonanga nikama sinanga kitu ya kufanya😂 notification and pap! Nishafika😂😂 likes za wagithomo😂😂
@shortkashort1861
@shortkashort1861 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@MwangiMaureen
@MwangiMaureen 5 ай бұрын
😂😂😂si sorry
@its.ian001
@its.ian001 5 ай бұрын
Pluto sometimes unafanya tu mtu acheke hata kama hakuna na plan😂
@gorretwanjiru8374
@gorretwanjiru8374 5 ай бұрын
Huyu dem ameamua kuanguka nayooooo vile inafaaa 😂😂😂😂😂the Pluto's laughter weeeeeeeeuh 😂😂😂😂😂😂😂😂
@MuhandeMercy-w1l
@MuhandeMercy-w1l 5 ай бұрын
i love the way pluto enjoys kama kadama kametoka kunyonya😂😂😂😂pluto such a vibe
@anjelineodipoh2093
@anjelineodipoh2093 5 ай бұрын
Pluto:kwa hivyo hii kilemba uezi toa? Yeah siezi toa labda tu nkilala A few minutes later, Hii kitambaa umefunga ni ya nini??😂😂😂 Weeeuh kilemba imeangushwa kama finance Bill 😂😂😂😂😂😂😂😂
@CreatorsCatalyst024
@CreatorsCatalyst024 5 ай бұрын
Hii imenimaliza🤣🤣🤣🤣🤣🤣 we want more of wagithomos
@janeleennjeri7851
@janeleennjeri7851 5 ай бұрын
Msisahau wagithomo bado ni watu wakawaida tu... anyway pluto sanitizer iko top ata kama inaonekana hawako 💯
@Sharonk254
@Sharonk254 5 ай бұрын
The plutooo 😅😅😅😅 umeamulia wagithomo this round ni more fireeeeee
@WickliffeCheluget
@WickliffeCheluget 5 ай бұрын
Kilemba imetolewa kama finance bill
@sarahboriga2005
@sarahboriga2005 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂urgh
@gladwellnjeri3399
@gladwellnjeri3399 5 ай бұрын
Anguka nayo
@Susan-gx7dt
@Susan-gx7dt 5 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@tabithawanjiru3503
@tabithawanjiru3503 5 ай бұрын
​@@gladwellnjeri3399😂😂
@tabithawanjiru3503
@tabithawanjiru3503 5 ай бұрын
😂😂
@MaggieLee-nv2ge
@MaggieLee-nv2ge 5 ай бұрын
Wewe si mukurino.. kila tarban colour na meaning...white ni ya utakatifu, red ni ya angel Michael, green ni ya daktari Luka na brown ni ya final judgment yenye ni rare kupata mtu amevaa...nkt umeniboo Sana kudanganya
@lizzymuthok7971
@lizzymuthok7971 5 ай бұрын
Pluto we ni mchokozi kweli😂😂😂😂😂😂
@MaryNjogu-tp1yl
@MaryNjogu-tp1yl 5 ай бұрын
I was not to laugh 🤭,,,lkn aki vile the Pluto anacheka🤣🤣🤣🤣enyewe ruto must go,,,alafu the Pluto mwisho amewatenganisha😅
@AbdiwahidOtieno
@AbdiwahidOtieno 5 ай бұрын
Anguka nayo...kilemba imeangushwa kama finance bill 😅😅😅😅😅...
@annkariuki3281
@annkariuki3281 5 ай бұрын
Waaah our Karangu junior answering questions as if he's in a police station.Kawiraa wa papa shiradula kujia dada yakoo YEYE NIKUPEWA TU KANUSU BUT NI WA CATHOLIC
@esthernungari3861
@esthernungari3861 5 ай бұрын
Hawa ndio wa 'after all the things i have done for you''😂😂😂 mia nne ??
@Kindlizn8594
@Kindlizn8594 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂aki nimecheka na nguvu hadi watu wakanishangaa😂
@Dolphinebosibori-um7gi
@Dolphinebosibori-um7gi 5 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 wagithomo sasa hatakua mgoroki Asha tolewa kilemba au inakuanga chocha ..kuthinoshi n lazima bbygal come down 😂😂
@MiriamNyoro-hd2ij
@MiriamNyoro-hd2ij 5 ай бұрын
Pluto hawa wako sawa😅😅sasa wakieza ona umesema wa yuko sawa kabisa💔
@academicwriter-x8q
@academicwriter-x8q 5 ай бұрын
Hajasema poa
@MaryMbithi-nw5sr
@MaryMbithi-nw5sr 5 ай бұрын
Hawa kweli awako 💯 ju wah me ningemyonga na hio kitambaa tu 😂😂😂😂😂 no wonder nko solo 😂😂😂😂singepea pluto chance ya kucheka ju wah hio kicheko 😂
@sharonayako1400
@sharonayako1400 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@StanzMakau
@StanzMakau 5 ай бұрын
Pluto unakuaga na ujingasana walahi 😅😅😊😂,,eti nirefuaje
@VENAHNYAUNDI
@VENAHNYAUNDI 5 ай бұрын
I like your work Pluto😂😂😂😂aty vile alikua amefunga kilemba😂😂😂😂 hii n noma😮😮
@janeleennjeri7851
@janeleennjeri7851 5 ай бұрын
Woishe boy child 😢😢 justice for wagithomo aki..if ningekua huyo boy wallai huyo dem angejua hajui
@ruthngina5599
@ruthngina5599 5 ай бұрын
Aki Pluto u make me laugh like crazy watu job wanaonanga ni kama pia mimi siko 100
@DinahMuswachi
@DinahMuswachi 5 ай бұрын
Wueh karibu nishtuke eti 9yrs of dating 😂😂😂Si rahisi hvo nowadays 🤣
@Susan-gx7dt
@Susan-gx7dt 5 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣anguka nayo enyewe mtu ananguka na kitu ameshka ady slaps
@Ann-oi8bl
@Ann-oi8bl 5 ай бұрын
Waah pluto anauwanga mtu na kicheko😂😂😂😂😂😂
@evamugus9185
@evamugus9185 5 ай бұрын
😅😅😅hii n Kali Pluto tuangushie prank moja kwa fel
@christinenduta-p5d
@christinenduta-p5d 5 ай бұрын
We pluto unafanya to mtu acheke 😂😂😂 ati anaamka anafungwa kila siku😂😂😂 walisema anguka nyo uyu ameichukulia serious 😂 akaanguka n kiremba y wagithomo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@TeresaAchieng-pu6vm
@TeresaAchieng-pu6vm 5 ай бұрын
Anguka nayo ....😅😅😅😅😅mapenzi.shikamoo
@naomimwaura1671
@naomimwaura1671 5 ай бұрын
Pluto unafanya nicheke involuntarily 😂😂😂😂aaah so funny
@EuniceKamau-i5r
@EuniceKamau-i5r 5 ай бұрын
Atty kila siku unaamka unafungwa😅😅😅aki ww pluto unaenjoy wagithomo sana😂😂😂
@winniemwikali6205
@winniemwikali6205 5 ай бұрын
Thee Pluto:kwani hii kitambaa nirefu aje😂😂😂😂
@annahinaina9012
@annahinaina9012 5 ай бұрын
Anguka nalo 😅😅😅kiremba iko chini kaa finance bill 😂😂😂
@annwamiti
@annwamiti 4 ай бұрын
Eti kwani ni refu aji 😂😂😂😂😂😂😂
@AmAm-xt1og
@AmAm-xt1og 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nimecheka kw sauti vile ulitaka Pluto
@fridahkongara4962
@fridahkongara4962 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂sijui mbona naskia kucheka jameni😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@AnisaHillow-g3c
@AnisaHillow-g3c 5 ай бұрын
😂😂😂😂aki pluto wee unaweza fanya mtu acheke 😂😂😂
@ruthruto3918
@ruthruto3918 5 ай бұрын
😫😫😫when pluto laughs i laugh more 😫 uyo atafanya nione hevean kwa viusasa😫
@linetmwongeli7566
@linetmwongeli7566 5 ай бұрын
Pluto niue 😂😂😂 your laughter makes everything funny😂😂💔
@VirginiaMutie
@VirginiaMutie 5 ай бұрын
😂😂😂dem ameanguka n kilemba #anguka nayo😂😂
@sarahnduta7599
@sarahnduta7599 5 ай бұрын
Wagithono Ana nunua p2 but hawezi tumia mrembo pesa ya nywele.. woooiii kiremba imetolewa kama sufuria moto😂😂😂😂😂😂😂🎉😂😂😂😂😂
@TeresaAchieng-pu6vm
@TeresaAchieng-pu6vm 5 ай бұрын
Anguka nayo 😂😂
@SusanOchieng-p1u
@SusanOchieng-p1u 5 ай бұрын
Pluto, 😢 ety boychild anaeza nyolewa na makasi noma😅😅
@aishahahmeddy9288
@aishahahmeddy9288 5 ай бұрын
Aki Pluto wewe😂😂😂Hiyo kilemba inaeza kuwa meter ngapi 😂
@mwakinjocyber670
@mwakinjocyber670 5 ай бұрын
am laughing with no reason aki Pluto wewe.........wacha kuchekelea huyu jamaa sana
@BostonMusungu
@BostonMusungu 5 ай бұрын
Thee Pluto uko na mambo Sasa tafuta woriya 😂😂😂😂😂
@nastychic
@nastychic 5 ай бұрын
You don't want peace atatemewa kikohozi😂😂😂
@BostonMusungu
@BostonMusungu 5 ай бұрын
@@nastychic kazi yake kucheka tu 🤔😂😂😂😂😂
@dennismwangi3578
@dennismwangi3578 5 ай бұрын
Eti nini ​@@nastychic
@annabell-uz5dh
@annabell-uz5dh 5 ай бұрын
Dem alichukulia anguka mayo seriously... design ameanguka na hiyo tarban😂😂😂😂
@milkahwanja8577
@milkahwanja8577 5 ай бұрын
Uuuiiiiiiii😅😅😅hadi mtoto wa wenyewe ameaibika😂😂😂
@siliviaDali
@siliviaDali 5 ай бұрын
Pluto unapenda kuchocha walai😂😂😂😂😂😂
@mutahimuriithi
@mutahimuriithi 5 ай бұрын
Shukuru Mungu that The Meru girl did not have a panga at hand, but ametumia the available kilemba vizuri.
@MonicaPeter-py7ob
@MonicaPeter-py7ob 5 ай бұрын
Hapo 😂😂😂😂kwa wakatoleki wanaeza date wakorino imenibamba Tu kwani ni vibaya Pluto wewe
@GirlOfTheAfricanSoil_001
@GirlOfTheAfricanSoil_001 5 ай бұрын
Rose is patient. Ningekuwa nilizamba huyu jamaa makofi ajabu. I can't keep repeating the same thing to a fool trying to hide openly.
@MercyWanjiku-vw2eg
@MercyWanjiku-vw2eg 6 күн бұрын
Kwenda uko pluto wako Mia Mia nivile pengine wako ushango Sana ,,,umezoea wachuachi sana😢😢😢😢
@worrylesstv
@worrylesstv 5 ай бұрын
Alafu msisahau kupitia uku kwangu please nime apload 😂😂😂
@Venah-w7e
@Venah-w7e 5 ай бұрын
Hii nayo pluto amesema anawaachanisha 😅😅❤
@zanlee-r9r
@zanlee-r9r 5 ай бұрын
apo pa tarban nashuku hajui🤣🤣🤣anyway sijui pia but ,,,,,,
@maurinenyakundi1458
@maurinenyakundi1458 5 ай бұрын
Wee watu wa Anguka nayo si mkam slowly 😂😂😂
@iamherma
@iamherma 5 ай бұрын
Ati kwani kilemba ni ndefu aje 😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣aaah
@CYNTHIANJERU-oh5uw
@CYNTHIANJERU-oh5uw 5 ай бұрын
Anguka na......anguka nalo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@JoyNgugi-ty9yv
@JoyNgugi-ty9yv 5 ай бұрын
😂😂😂😂😅
@kinwolf8520
@kinwolf8520 5 ай бұрын
Kalemba ana shy off juu alifunga kilemba akidhani pia kichwa n private part 😂😂😂😂😂😅😂😅😂😅😅😂😅😂😂 Anguka nayo
@marywanjiku350
@marywanjiku350 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂nacheka na Pluto akicheka ju ya kilemba kutolewa
@fatuuhndunekuvuna9242
@fatuuhndunekuvuna9242 5 ай бұрын
Aki hii kali yni mechek hadi nikajisahuhu nikanyamba😅😂 kitambara kimetolewa😢
@Triple_m3_Njish
@Triple_m3_Njish 5 ай бұрын
Pluto maeamua ni kureject kila kitu...waaah😂😂😂
@wamboiwamboh
@wamboiwamboh 5 ай бұрын
we pluto c tarban😂😂😂n turban😮😮😮nmerudia hapo nione hyo kidole inapoint kamili kamili😅😅😅akh mapenzi wewe niuwe😅
@MitchelleJustin
@MitchelleJustin 5 ай бұрын
Instead Pluto amsaidie anamuuliza nindefu aje 😂😂😂😂😂
@eddydevvy
@eddydevvy 5 ай бұрын
Wagethomo watanimaliza one day iyo tumbo iko kama yenye iko na mtoi kam watatu ivi😂😂😂 pluto u will finish me na kicheko😂😂😂😂
@JacklineKathure-jt4ov
@JacklineKathure-jt4ov 5 ай бұрын
Ni pombe imefanya ikuwe hivyo . . ..I come in peace
@MarieShaayjah
@MarieShaayjah 5 ай бұрын
the laughter though 😂😂😂😂😂😂 pluto jameni
@evamugus9185
@evamugus9185 5 ай бұрын
😅😅😅camera man anazoom.kiremba hadi karibu niikule kwa screen
@Anitahhuwazi
@Anitahhuwazi 5 ай бұрын
Unafanya nacheka after disappointment pale examroom😢😮
@AtsengahJamillah
@AtsengahJamillah 5 ай бұрын
😂😂😂for us watching while reading comments 😅 👍
@sarahnduta7599
@sarahnduta7599 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂pluto hiyo kicheko wacha tu dating 9yrs weeee.....siongei kuna pin moja ineharibika mahali
@JoyceWambui-co5po
@JoyceWambui-co5po 5 ай бұрын
Pluto unacheka mtu akitolewa keremba😅😅😅
@Official_kahuriashow.
@Official_kahuriashow. 5 ай бұрын
Because it's so interesting
@SamsonMakenzi
@SamsonMakenzi 5 ай бұрын
Kiremba ni kitamba tu but humans are the same
@roseanngithaiga-gv2ho
@roseanngithaiga-gv2ho 5 ай бұрын
True
@Kiwso2525
@Kiwso2525 5 ай бұрын
Mbona anaficha kichwa😂😂😂😂😂kumbe n kitambaaa I thought n kofia
@DavyMwash-ub6re
@DavyMwash-ub6re 5 ай бұрын
I was chilling the boom kiremba 😅😅😅😅
@josephmugo7404
@josephmugo7404 5 ай бұрын
Anguka nayo ...wagithomo 🎉😅
@laurahunja9571
@laurahunja9571 5 ай бұрын
😆😆😆violence
@Staisysimiyu
@Staisysimiyu 5 ай бұрын
Hiii kucheat Iko too much 😂😂😂.Gen z's shida ni ninj
@Odenyoeveline
@Odenyoeveline 5 ай бұрын
Anguka nayooooooo😂😂😂😂😂😂😂kutoa kilemba
@MargretCheptoo
@MargretCheptoo 5 ай бұрын
😂😂😂the pluto si ufike Thika road sasa 😅
@Maryqueenshii_
@Maryqueenshii_ 5 ай бұрын
Hio kicheko ya Pluto inafanyanga mtu tu afeel kucheka ady Kama hataki 😂😂
@happyhappie.5117
@happyhappie.5117 5 ай бұрын
Lakini huyu boy😂😂😂😂😂😂anyway camera manii😂😅😅
@elphasmangi8225
@elphasmangi8225 5 ай бұрын
Na hii kitu huanga ndefu 😂😂
@EstherKamau-zr2cq
@EstherKamau-zr2cq 5 ай бұрын
Pluto unacheka badala usaidie wagithomo kufunga kilemba 😮😮
@janeashley5079
@janeashley5079 5 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣
@aishabosibori2780
@aishabosibori2780 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@albrightann40
@albrightann40 5 ай бұрын
Anguka nayo in action 😅😅😅😅😂
@snazzyshii8988
@snazzyshii8988 5 ай бұрын
Mukurino naye anaruka Esteria😂😂
@AlexMwenda-wy5fw
@AlexMwenda-wy5fw 5 ай бұрын
😂pluto big up u kept me waiting yesterday
@IRENENZULA-xh1hm
@IRENENZULA-xh1hm 5 ай бұрын
Wambua umanwa na itambaa we😂😂😂😂😂
@Tarry_wendy44
@Tarry_wendy44 5 ай бұрын
😂😂😂kwa hii kiremba n refu ajy😂😂
@MaxwellGregory-c3b
@MaxwellGregory-c3b 5 ай бұрын
pluto nataka ku santiziwa na mpoa wangu 😂😂😂its about to go down
@wamboiwamboh
@wamboiwamboh 5 ай бұрын
utaachwa peupe kiroko😂😂😂
@jamesnjiru5928
@jamesnjiru5928 5 ай бұрын
Umevuta chats.
@jonfalez1620
@jonfalez1620 5 ай бұрын
Wagithomo leo amethomwo🤣🤣🤣
@nicolkareh8820
@nicolkareh8820 5 ай бұрын
Aaaah😂😂😂😂
@josclairecarey
@josclairecarey 5 ай бұрын
Pluto wenawee nonginya ūcagacie ndeto eti 200 5 months 😂😂 I've learnt something..akūrino ni stingy.."some''
@getrudecharles8869
@getrudecharles8869 5 ай бұрын
😀😀😀😀😀😀😀 kicheko cha pluto jamanii😀😀😀
@naseriankimoyo9291
@naseriankimoyo9291 5 ай бұрын
Chunga asinyongwe na kilemba yake😂😂😂😂
@eunicemurira
@eunicemurira 5 ай бұрын
😂😂😂😂Hawa Wakurinu... Better I stay single
@ptahmulti254
@ptahmulti254 5 ай бұрын
🤣🤣🤣😅😅pluto hio kicheko yako mwh🤣🤣🤣
@Christine-c4c
@Christine-c4c 5 ай бұрын
Aki hii itaniuwa walai ameokoka zangapi lkn heri mtu kukaa single ikfka hapo 😅😅😅
@MaurineMaruti
@MaurineMaruti 5 ай бұрын
Pluto spare my ribs😅😅ati hawako Miamia(in Arabic accent)🤣🤣🤣🤣
@EstherMunjalu
@EstherMunjalu 5 ай бұрын
Pluto unacheka sana😂😂😂😂
@MairieMarie
@MairieMarie 5 ай бұрын
Na kwani hii kitu ni mrefu aje😂😂😂waaa
@FentonOrlando
@FentonOrlando 5 ай бұрын
😂😂😂kitamba sio....ni bestee
@SurprisedBirdBath-qh2nn
@SurprisedBirdBath-qh2nn 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 kilembe imeanguka kama financial bill reject bill kilembe
@christabeladuda1382
@christabeladuda1382 5 ай бұрын
Angusha kilemba kama finance bill 😂😂😂
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН
This couple impressed me!! 🥰
20:23
Thee Pluto Show
Рет қаралды 431 М.
abatumirwakuri  nsengimanatv 0788874012
17:28
Nsengimanatv
Рет қаралды 175
This must have been a match made in helll ✅🚀🔥
38:50
THEE PLUTO BULLETIN
Рет қаралды 167 М.
Tears of a man truly in love who does anything to make sure you eat...
32:55
Utapakaje Ndimu kwa Miaus ati ndo isipate infection? 😂
31:07
THEE PLUTO BULLETIN
Рет қаралды 60 М.
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН