►Instagram / stbongotv ►TikTok / stbongotv.tz ►Facebook / stbongotv ►Twitter / stbongotv ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder
Пікірлер: 214
@GtGt-rc4yoАй бұрын
Atafanya Dunia iwe Salam kwake. neno tamu sanaa ❤❤❤🎉
@alexsikab6433Ай бұрын
Haaaaaaaaaa😂😂😂😂😂😂 huyu Kaka anabalaa lake apewwe mauwa yake
@EmmanuelLaurent-n4k5 күн бұрын
Huyu jamaa kweli number one🎉🎉🎉🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩☝️☝️☝️
@OmanShinas-w4kАй бұрын
Hiii nimeipenda sanaaaaaaa kwamara ya kwanza wakaowane kweli mungu ajaalie maisha marefuu yenye furaha na upendo namafanikio mengi sana❤
@ManziPeter-i4o2 ай бұрын
Urimwiza cyaneeeeeee❤❤❤❤❤
@SaraGervas14 күн бұрын
Nipeni maelekezo ya kuingia na me nipte mr right kama hyo yuko smart balaaa❤❤❤
@HanceDavid2 күн бұрын
@@SaraGervas njoo
@EnnoConque5 күн бұрын
Mr ametulia sana huyo si mkenya 😂😂😂😂😂ni congo
@HappyCityMap-vs2trАй бұрын
Wameendana sana jamen,❤❤❤❤ maua yenu🎉🎉🎉🎉
@oluochkevo268629 күн бұрын
Vaibu za wabongo zimekashiz kashiz😅 Nawalombotove from 🇰🇪
@Rtyf48 күн бұрын
Iko 🔥 nimetokea kunipenda 🥰🥰
@SalhaAyub-z1v21 сағат бұрын
Nimependa sanaaa jamn na mm had natamn nipate wangu❤❤❤❤
@edwardpaulo33512 ай бұрын
😅😅😅katuwakilisha vyema mr
@M.e.g.a-ec2mi9 сағат бұрын
Eliza hamna kitu hapo 😂😂😂
@ClarisseMartine-b3wАй бұрын
❤❤❤❤❤ napenda kazi yenu
@EnezerMarithanga-ks6rvАй бұрын
sidhani kama anaweza kutokea mr right mwingine wa kuvunja record ya huyu jamaa inaonekana mpaka anapanda kwenye stage ya mr right alishajipanga vzr unaniinspire sana bro
@HakizimanaShaka-cw7bj13 күн бұрын
Hhmmm awo wa Dada duuuu. Ya mungu ni mengi Hhmmm
@Godchila032 күн бұрын
Nipo mara ya pili apa
@مدينةشعبانسيف18 күн бұрын
Namimi nawasha taa Yangu 💡
@GetruderMnosiАй бұрын
Wahehe oyeeeeee
@irenekerepiniАй бұрын
❤❤nataman ningelikuwa apo nimempend San uyo kaka 🎉🎉
@Aljentina18 күн бұрын
Ila ney ni mbaya jaman lakn marngo sasa daaah😮😮
@ShabaniKazii9 күн бұрын
Na sis tunao koment tujuane vzr
@Platymoh172 ай бұрын
This is my best show since i started watchin mr.right show.❤
@EstherJoseph-u6m14 күн бұрын
😂😂uyu sizaniiiii😂
@SellinaMorris-p1j2 ай бұрын
Duuuuh Mr wine Yuko vizuri anajiamini na anajielewa❤
@richard-god3 күн бұрын
Vraiment kipindi iki kina tu furaisha sana apa congoDR tena kalemie ivi si uje uanzishe pia Apa nyumbani kalemie 🎉❤
@mchellenmbunge55Ай бұрын
Huyu jamaa maelezo yake yamefanya nimkumbuke Dr Shika, Watanzania tunaamini watu haraka sana
@Cynthiadickson-y8o19 күн бұрын
Love it❤
@LatifaMbwana-y8h14 күн бұрын
Wahehe safiii
@SamLagat-wm4xe12 күн бұрын
Shada la maua🎉🎉 kazi nzuri
@mariamabraham-q5x2 ай бұрын
Tunaomba tuwe tunaona live hii kitu jamn 😂😂
@ثامركعبي-ي1قАй бұрын
😂😂😂wanawake kusu maokoto nhtr
@JoshuaNyiti11 күн бұрын
Ney ni mpuuzi kweli. Kwa hy msela akiyumba anasepa. Pumbavu kabisa.
@josephpeter262728 күн бұрын
Kwa ushauri pia mngekuwa mnafatilia na maisha wakichukuan wanaendeleaj
@elibarickmayo717322 күн бұрын
@@josephpeter2627 nilishawahi jiuliza hili pia, au wangewa wanakuja kufanya Anniversary hapa hapa
@Jackline-i7b4 күн бұрын
@@josephpeter2627 😄😄 kweli
@alinemananzigamira38233 сағат бұрын
Ni kweli
@stellamrema89942 ай бұрын
Nice 😂
@mariamabraham-q5x2 ай бұрын
Hivi johar alikubaliwa au kaamua kwenda kula Christmas 😂😂
@rayahamisi1182 ай бұрын
😂😂😂
@sharifusaidi1603Ай бұрын
@@rayahamisi118 mm nahisi alienda kula sikukuu
@IddyAmir-n6t12 күн бұрын
Kiukweli nimempenda bure Mr right naomba mungu mwanaume atakae nioa awe kama huyu inshallah
@PhilimonPaul9 күн бұрын
Kijana yupo gud kabixa anajielewa uhakika bro
@LucyKashindi7 күн бұрын
Unaniinspire sana bro
@bernardmlenda98002 ай бұрын
Nice couple 🎉
@HappynessFaustiniАй бұрын
Uwiiiih uyo kaka jomon nimempenda ile kinoumah
@KevooRespect2 күн бұрын
Nltaka kujua kama hawa huwa wanawafuatilia maisha yao au ndo ikiisha hapa ndo badi
@MussaSelafiniКүн бұрын
Ahaaa njo kwang
@dariusshukuru8490Ай бұрын
Kikubwa zaidii Mr Right yupo smart,na ni mtu mweye kujielewa kbs Kuna mudaa munatuletea wa Mr Right ambao hawaji elewi,mudaa mwengine seule linashangia kikubwa
@ShedrackEmmanwel2 ай бұрын
Wame mechi🎉
@EstherKilegu3 күн бұрын
Wakipenda wanapenda aswaa
@FaridaMzee8 күн бұрын
Neno atafanya dunia iwe tam patamu hapo majibu ya kisomi jaman ❤❤❤❤❤❤
@JoyceMarwa-h2t9 күн бұрын
Yuko vizur sana
@NafisaHeradi-o1zАй бұрын
Eeeeh Nawa pendant Sanaa💐🫶🇨🇩
@godfreylwiza2071Ай бұрын
@@NafisaHeradi-o1z na laki nane tajiri
@dariusshukuru8490Ай бұрын
Nikiwa Drcongo Lubumbashi ❤ Yeah brot anatulia kama Mukongo kweli,hashituki kitu kutoka kwa hawa mademu.. makofi kwako mdogo yangu
@FaridaMzee8 күн бұрын
Kaka yupo vizur halaf kwa muonekano wake yupo vizur huwez amin kama ni msomi kias hicho jaman mungu mkali
@hawababy1202 ай бұрын
Wanapendezana mashaallah ❤
@ShebbyTheparadiso-hf6fz7 күн бұрын
Golden girl alikuwa nani?
@FaridaMzee8 күн бұрын
Neno atafanya dunia iwe tam patamu hapo majibu ya kisomi jaman ❤❤❤❤❤❤❤ 29:53
@IssaamchrissАй бұрын
Jameni tunamuombea kaka huyo mwandalie zawadi yakutoka wakwanza kwa kuvunja record ya taa.tunawapata kuto Burundi rumnge.eliza leo kamufie😂😅natamani angekuwa mimi niwe na Eliza namupenda sn
@MathiasMwibeleca-f8n2 ай бұрын
Big up sana brow,
@PILLYJUMBE-h5oАй бұрын
nyie uyu kaka mbona duniaa kua sehem salama pakuish daaaa😊
@KIDNESS11782 ай бұрын
Uyu jamaa ana ngusa Dawa sio bure 🤧🤧
@RayChausa-g6m2 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@RayChausa-g6m2 ай бұрын
Ndio apendwe ama???
@lilianakeya986813 күн бұрын
😂😂
@OthiamboMgovano18 күн бұрын
Mwambaaa amejua sanaaa kuchagua safiii sanaa mnyalukolo
@RaiyaanRasheedRay2 ай бұрын
Nimempenda huyu kaka siwez ish bila yeye
@Thatgurl-l8nАй бұрын
😂😂😂
@AishaZuber-z6gАй бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😂😂kwisha habar yako
@AsinaRashid8 күн бұрын
Zarishi atampata nan😂😂😂
@beatricemorice9269Ай бұрын
Huyu kaka mm kwangu naona redflag jamani😂😂😂
@maryjoseph585514 күн бұрын
Nakuungaa😅😅😅
@lilianakeya986813 күн бұрын
Exactly 💯😂😂😂
@lilianakeya986813 күн бұрын
Maringo ndio mingi kwa huyu kaka na mwenye kujipenda
@NamiriNamiri-oz4xsАй бұрын
Muwe mnawapima kwanza ili pasiwe na wingi wa maambukizi kabla ya kuowana muwapime
@jamesbanziabedi3 күн бұрын
Taweza djee kufika apo n'a mm nipate mke niko congo
@esthermalamsha28472 ай бұрын
Aaliya yuko smart sana!❤❤❤
@leeboy48142 ай бұрын
KACHA NYASHI YA NEY KWELI🥹 #NIMELIASANA😢
@MsumenoKelvin2 күн бұрын
Ametisha
@hawababy1202 ай бұрын
Hivi Eliza kweli alipata mtu na mdomo wake ?😂😂😂
@NiyonkuruJuvenal-k8u2 ай бұрын
@@hawababy120 sijuwi kweri kamarifanikiwa Eliza hatamimi
@NiyonkuruJuvenal-k8u2 ай бұрын
Jamani mimi nimukazi waburundi iraniriwahi kuishi Tanzania 🇹🇿 ♥️ miaka 21 kwahiyo niipenda Tanzania jewa nawarundi wanaruhusiwa Kuja kwa kucaguwa?
Vipa laini kama mrenda ni sign ya kuonyesha kuwa hata huyo bi mkubwa ameregea 😢. Ukiona mtu vipaja vyake tepwere ujue mpaka huko Ikulu yake tepwere, mapata ya mwanamke yawe yamejishika basi mpaka misuli yake ya huko Ikulu imekaza. Funikeni vipaja vyenu mnasomwa
@RAHELIDARABE10 күн бұрын
Hapo hakuna waoaji wala waolewaji yaani kumchagua mke au mume wa maisha kama nyanya za sokoni
Hiki kipindi wengi wanakuja ili waonekane tuu humu mtandaoni ila wengi wanakuja sio waoaji yanı kijana miaka 22 au 23 kweli inaujia kichwani anataka mke. Sangap kajipanga kama sio kutaka mtu wakuzuga nae
@aksasmon79987 күн бұрын
OK DUNIA NIIFURAHIE MIE😅😅
@ChachaMwita-i1h4 күн бұрын
Kwan jinsi wanavyo kuja hapo ndo badae maisha yanaendelea hivo hivo au Kuna sinto faham
@EnnoConque5 күн бұрын
Tanzania vipi kwani hamna maneno ya kuwapa wa dada mjini au vijijini nyie lazima mkapewe kama bursary 😂😂😂😂😂😂😂mwaokota kama nyanya sokoni 😂😂😂mwajiaibisha sana
@jemshidkhamis6158Ай бұрын
second best cuple of mr right show for me
@NasmaKibayasi-o6sАй бұрын
Alf leo naona hawajasema wanamtaka mwenye hofu ya mungu
@زيتونتنزانياАй бұрын
Yanı mtu miaka 22 au 23 anasema anataka mume au mke kweli mi naona wengi wanakuja hapa kutaka tuu kuonekana mtandaoni
@allymakasi8425 күн бұрын
Nipeni mwongozo nije nisepe na kijiji na mimi.😁😁
@magrethkasaba8926Күн бұрын
Jaman. Mbona hamjasema goldn girl. Alikua. Nan?
@dariusshukuru8490Ай бұрын
0scar mtu mwenye Malengo sana
@Robertdeus-z3o4 күн бұрын
aya mambo yanafanyikaga seem gani
@Thatgurl-l8nАй бұрын
😢😢kwangu its a NO
@majaliwamussa13432 ай бұрын
Alyaaaa katisha
@zipporahmibei900714 күн бұрын
Good luck
@ImmakhanSamson-e3w3 күн бұрын
saw kwa mr light kujielezea kwa yaliomkuta na kwakila kitu sasa je kwann na hao wanawake wasijielezee nature yao
@hermenstarimo179225 күн бұрын
Mimi sijawahi kuelewa ni Muvi au maana sielewi
@LilianLilian-bx1ecАй бұрын
Eliza atazeeka jmn😂😂😂
@IbrahimKamir-l6w22 күн бұрын
Jambo n'a mimi munitafutiye murembo wa ki Tanzanie
@ChristinaMeshack-f4yАй бұрын
❤❤
@gloriouslameck690922 күн бұрын
😅miak 27 washaanza kutafuta wenza mm najion mdg😅
@lilianakeya986813 күн бұрын
Tulia vile ulipo hii SI njia nzuri kutafuta nr right
@MusaMkembela-ex6ev10 сағат бұрын
Mhehe wetu
@RamadhaniNgongite20 күн бұрын
Yan wanawake hawana thaman yan wamejipanga kama nyanya dahhhhh
@patrickalfred3680Ай бұрын
Kaka uwage anaangalia macho .sasa hata havui miwani kweli....ukimkuta na jicho moja
@AishaZuber-z6gАй бұрын
Kavua miwan jaman😢
@SalmaAmlani-s6y10 күн бұрын
Napenda kipindi chenu
@alexcaspary72267 күн бұрын
lolo🥰🥰
@SumaRungo-o6mАй бұрын
Je kama mm nahitaj hii nafax ya kuchagua ninaempenda hapa❤ je nn naweza fanya
@ItambuАй бұрын
Mahusiano sio ngonjera
@josephmarwamarwakebokero9529Күн бұрын
Kweli katisha huyu jamaa
@Mathayo-m4t8 күн бұрын
Hivi nikweli wanaolewa kweli au nimchozo tu
@mariamhakim146316 күн бұрын
Anaitikia rabeka yy nimwanamke😮
@SaidaShaibu11 күн бұрын
@@mariamhakim1463 embu tuelewe jaaman abehee ni mwanamke rabeka ni mwanaume