Ogapa sana mwanaume anaependa msamaha, ni wazi hawez kubadilika, rich ni kama bado limbukeni wa Kila kitu, alafu anaumalaya ule wa asili wa watu wapole, na hua ipo hiv sio kama anapenda au anashabikia yaan akishafanya ndo akili inarud anaanza kujuta, rich ni ile type ya wanaume wakuzaa Kila sehem, anakua na hela na hakuna kitu anafanya mpaka anakua mtu mzima ni hivyo hivyo, kama jack akiondoka ni sawa kabisa na ataishi Kwa aman na akiamua kubaki Walee watoto ni lazima ajipange kisaikolojia afumbie macho Kila aina ya uchafu na upuuzi, other wise ni trauma na depression vitamsumbua I'm talking from experience
@caritasmushi88967 сағат бұрын
Kwa kweli suala hili linasikitisha sana sana. It is to early to experience such things
@AshuraHabibu-x6z4 сағат бұрын
Rich Jamani bado sanaaaa Nadhani Ujana mnaujua. Wolper atulie tuuu
@SalhMdogoСағат бұрын
Jamani mie da may nashindwa hata niseme nini wallah!
@AbeleBausingi16 сағат бұрын
Afu ukimuona mpole uyo
@JudithJulius-b2t3 сағат бұрын
Ndio maana mimi niliolewa na mume ananizidi miaka 10.hivyo ananiongoza kwa kila kitu.sasa Richie bado ujana unamsumbua inamaana jack Ana akili ya kikubwa.soo jack azidi kumuombea atoke huko
@rachelmuhehe77892 сағат бұрын
Una akili kama zangu japo sijabahatika kumpata
@mwanamkeshujaabongoflavama71807 сағат бұрын
Kama Richi mambo yote hayo anafanya yaku kesha kwenye starehe ya wanawake na yeye ndo msababishi waku vunja ndoa , inakuwaje aseme yeye ndo abaki kwenye nyumba alee watoto inakuwaje hata kama mahakama ita amua hivo , kama wolper ndo alo husika kwenye hile nyumba na nyumba kawa patia watoto yeye ana haki kukaa pale zaidi
@LailyaRashidi9 сағат бұрын
mhuuu
@rehemamsuya22635 сағат бұрын
Unaumbea wewe kah
@salomeshongola16972 сағат бұрын
Huyo kwa umbea.kila kitu inasemekana,Una ushahidi?
@rehemamsuya2263Сағат бұрын
@salomeshongola1697 yani huyu mai anapenda sn habari za watu japo ndo kupata kula lkn kazidi