Msiwe na wivu kupitiliza mnamsingizia dada wa watu kajibadilisha siyo kweli huyo ni mwanamke msichana mzuri mno.❤
@edgercyprian9645 күн бұрын
Wasanii mnafeli wapi? Mnatakiwa muoe nyumbani Tz sawa kubadilisha mazingra haya kataliewi ila mbezi nyumbani hawa mnao waacha huku mnataka waolewe na kina nani jamani mnawashusha thamani Sana maana wao wa dada wa Tz hawafai au
@aidaharuna554912 күн бұрын
Kwakweli walmuonyesha ukarimu oa jux
@fatumamfumia450710 күн бұрын
I LOVE IT
@mustamimmushajara899212 күн бұрын
Kwaiy kaka juma kuingia tu kw pesa 😂😂😂😂
@RajabuMkonje12 күн бұрын
Dah wanawake bwana😂 kuna mtu kaachwa alaf jux akashika nafasi😂😂😂😂😂