The best interview ever. Mimi mwalimu na nimeisevi hii ili nije niwasikilizishe wanafunzi wangu💪💪💪
@clara-ri9wt3 жыл бұрын
Hongera sana......unajua kujieleza na tukaelewa uhalisia wa unachokiongea ......happy for you broh
@loishiyesamwel1374 Жыл бұрын
Hongera David unanifurahisha Sana, kwanza unaongea kiswahili kizuri bila kuchanganya na lugha za kigeni,eti kwa kuwa wewe ni rubani.
@HadijaSachu8 ай бұрын
Asante kwa maherekezo yote nilitamani kuwa rubani nanitakua Heiman
@otiliahaule51803 жыл бұрын
Mungu akubariki sana Rubani Devid Na tangazaji pia mpo vizuri sana Namuheshim sana rubani✈️ maisha Mwangu mana wanakazi kubwa kwakweli From oman Arabun
@bas2823 Жыл бұрын
PROUD OF U DEAR SON👌 MY SON IS A COMATIONAL PILOT ALSO! STUDED IN NEW ZEALAND👍 CONGRATULATINS SON👌 SUPER GREAT👍
@zahraramadhan23734 жыл бұрын
WOW oooo napenda watu kama Hawa amakweli elimu ni ufunguo wa maisha love you so much. Laki naogopa kazi hii nakuombea kila la heri katika kazi yako h 💖💖💖💯💯😀😀🖐️🖐️
@abdulmalikhamadi86344 жыл бұрын
Congratulations brother kwa mfano sisi tuna kwama wapi kwa mfano tuamkeni vijana wale wasoma comment nipeni like zangu niongezee ada🏃🏃🏃
@raineryduwe75884 жыл бұрын
Vipindi kama hiki ni muhimu sana Kwani vinatoa hamasa kwa watu kujuwa afanye nn ili aweze kuwa rubani 'big up'
@abdulmalikhamadi86344 жыл бұрын
@@raineryduwe7588 kweli kabsa my dear
@suleimansoud45753 жыл бұрын
mauwAj yapembAchmba
@Msafirimakini2 ай бұрын
Unawaza like 😅😅😅😅 hapo ndo unafer
@vijiliamwakyelu12953 жыл бұрын
Nimeipenda sana hii natamani wanangu wapigane mpaka hapa,congratration to you kaka
@jaffjeff69128 ай бұрын
Kikubwa nia malengo na kujipanga kumuomba Mungu
@reginapeter16253 жыл бұрын
Hongera sana sana David.ume relax wakati wa kuelezea na kujibu maswali pia nimejifunza mambo mengi ambayo pia nilikuwa siyajui.Mungu azidi kukulinda na kukufanikisha zaidi
@nestoryremy80882 жыл бұрын
Hongera sana David mungu akupe maisha marefu na nataka there una roho nzuri ya kusaidia watu na taifa la Tanzania umetupatia mwanga wa kujuwa kuhusu gharama za urubani na ajira zake mungu akubariki sana.
@husnajuma59193 жыл бұрын
Wangap wamependa kaka akiongea pia yuko vzr
@neemamajana30783 жыл бұрын
Nimetiwa moyo sana, Mungu nakuomba umujalie Eliya Mwanangu kwani kusomea Urubani ndiyo ndoto na maono yake. Mungu tunakuomba utujalie sisi Wazazi wake neema ya uzima, afya njema, uhai na kuishi miaka mingi ili tuweze kumfikisha Eliya kwenye malengo yake. Mungu tunakushukuru kwani umefanya tayari umesikia Anima.
@hustlertv12712 жыл бұрын
Ushamba huu kwan ndio mpak uunyeshe uma kuwa unaomba
@jaffjeff69128 ай бұрын
In Shaa Allah amiin thumma amiin
@marymwasiga6 ай бұрын
AminA,,
@mussabinford98723 жыл бұрын
Kipind kizuri snaa mtangazaj na pilot wtee mpoo vzr I have enjoyed much
@priscakabeya11843 жыл бұрын
Natamani angekuwa Mwalimu wavijana wenzake, ni role model nzuri sana kwa vijana Wenye ndoto kama hii
Wow uko vizuri Rubani wetu, unajua kujieleza....Hongera sana
@margrethemanuel75014 жыл бұрын
Very smart n calm...kuna vijana wadogo but very calm, bright
@Williamjamessr3 жыл бұрын
Kipindi kizuri sana, nampongeza sana Mtangazaji kwa kuuliza maswali vizuri yenye mashiko pia nimpongeze David kwa uweledi mkubwa alionao katika taaluma yake ya urubani! 👏👏👏
@yusuphmathias47294 жыл бұрын
hongera sana kaka nimefurahi umeereza vizuri sana mungu akutangurie katika kazi yako
@abellabv4 жыл бұрын
Lovely. God bless you mightily Captain David Matonya. You are a good role model for aspiring youth.
@maihussein35534 жыл бұрын
Weeeeeeee wagogo tupoooo mbali akina matonya
@mrsdeborahurio4 жыл бұрын
Mungu akubariki mwanangu David! Mungu timiza ndoto za kijana wangu pia...amina!
@muniradaudi4404 жыл бұрын
Amin
@mariethangoma6317 Жыл бұрын
Congratulatoins Boy...your drea m has come true...be blessed❤and all the best in your journey to drive a big one❤
@10gb274 жыл бұрын
interview nzuri sana, nime enjoy kuiskiliza. David anaonekana ni mtulivu kiakili licha ya umri wake, ni taswira inayohitajika kwa mapilot. inaleta amani unapopanda ndege ukakutana na utulivu huu. nina swali moja, unaushaur wowote kwa anaetaka kuingia kwenye u-pilot akiwa na umri above 35
@deucecadico18794 жыл бұрын
Very interesting,nimefurahi kusikia kijana mdogo Kama David Matonya akinieleza with more confidence kubwa kiasiki hiki... Good boy utafika mbali na Mungu akubariki Sana...
@ashashaban6484 Жыл бұрын
MASHALLAH MASHALLAH. ALLAH AKULIPE KILA LA KHER INSHALLAH NDUGU YETU MUNGU AKUONGOZE INSHALLAH
@tumajunior60804 жыл бұрын
Ubarikiwe kijana mungu akilinde kwenye kazi yako akuweke mukononi mwake nikiwa nakijana mwenye ndoto ya urubani
@MrTouch-rm4rh4 жыл бұрын
Congratulations bro wish you all the best mungu akubaliki upate mstari wa 4
@alexernestmalimamahadjle47613 жыл бұрын
A
@christinakomba35244 жыл бұрын
Asante Sana nimejifunza kitu maana nilizani kua rubani mpaka usomesana kumbe atakidato cha 4 Asante Kaka umejieleza vizuri Sana bilahata majivuno barikiwa Sana.
@ivanmwaluko1043Ай бұрын
Hongera sana nilifurahia flight yako nikitika Grumet airstrip hadi Lobo nikashuka Seronera! Keep it up brother utafika mbali zaidi Dr Ivan Mwaluko, Serengeti
@zacharianicodemas1843 жыл бұрын
David ungetutajia range ya mishahara ya ma rubani pia na masono yanayohusiana na urubani but thank you in All 👏👏👏👏👏👏
@SmwelMbando19 күн бұрын
David nimefurahishwa sana unavyojieleza. Umetulia sana.
@muznahmuznah86014 жыл бұрын
Mtoto wng wa kwanza wa kiume pia ana ndoto ya kua rubani wa ndege hv sasa yko ktk mitihan ya kumaliza 4 baba yke alimuahidi akimaliza 4 atampeleka kusomea hicho anachokitaka ktk nchi yyte itakayotoa mafunzo vzr nasubir aje akimaliza mitihan yke nimuoneshe hiki kipindi ili aone kijana mweziwe
@MCKombo-l6l3 жыл бұрын
Good job from DCT Sec to South Africa. Mgogo wa kwanza kuwa rubani😁😁😁
@teresiamgimba5498 Жыл бұрын
Asante sana kwa elimu nzuri nimejifunza mengi
@joelagala8914 Жыл бұрын
Ooo9h!!!! So nice jmn lazma ndoto tutimizeeeeeeeeee❤❤❤❤❤❤ love u gud role model
@muniradaudi4404 жыл бұрын
Mashallah mungu akuzidishiye elimu yko n akupe maisha marefu sana akuondolee husdaa Inshllah hongera sana 😍😍
@amnegharib51963 жыл бұрын
Mashaallah Allah akuongoze....
@is-hakabinruweikh3833 Жыл бұрын
Ebwaba kwnz nimekufanyia uchunguz una akili sana u are so skilled big up xana
@sophiakaaya82903 жыл бұрын
Hongera sana Mungu akusaidie sana na akuongoze katika maisha yako umetimiza ndoto zako.
@RajabKAMIS3 жыл бұрын
Asante sana kwa lesson nzuri David. Tumejifunza mengi kwenye hiyi interview. Mungu awe nawe katika carrier yako God bless 👍
@sarahkinyashi62133 ай бұрын
Hongera sna,hakika Mungu amekuchagua🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️
@abdillaahimatthew94144 жыл бұрын
Maashallah nimeipenda hii interview imetulia sana, big up bro even me I wish it but there is no way. Therefore I'm so grateful to hear it. 👏
@bensonkaaya92143 жыл бұрын
P
@sudaydaudi10793 жыл бұрын
Congratulation brother david plus udoba family,,msalimie sana aunty lucy
@wakuwaumizatz76263 жыл бұрын
Mgogo
@suleimanmrita199211 ай бұрын
so nice to you umejielezea vizuri sana na akili yako ipo tumamu sana ndomaana ukawa rubani nimekupenda sana na kz yko ni nzuri sana komaa bro uwakika wa maisha upo sawa kwako mungu akuongoze sana
@priscakabeya11843 жыл бұрын
Yuko vizuri sana congrats to his parents 👌
@masundelwa4 жыл бұрын
Jamaa yupo smart sna
@NuruKabia-bx9nh Жыл бұрын
Daaaah can't believe congratulations dav
@andrewkazungu6542 Жыл бұрын
Yes., continue 🇹🇿🎧🎤🌟
@EuniceMmari4 ай бұрын
Amejibu vizuri sana mungu akujalie kaka
@joyceassey234710 ай бұрын
Dear Lord, you blessed me with two kids son & daughter,,, please and please one of them if not both should be a pilot in Jesus name I pray.Amen.
@paschalmugabe22263 жыл бұрын
Hongera mtangazaji na pilot wetu kiukwel mpo vizur mno
@pioustrevol34682 жыл бұрын
All the Best Brother. Always simamia Kile unachokitaka Ndo unawezq kua tofauti na Wengine Na kupokea mafanikio yako Kutoka kwa mungu
@rogasianmarandu5374 жыл бұрын
Hongera sana kijana kwa kusimamia ndoto yako yakusomea urubani angalia Mungu alivyo mwema umefanikiwa Mungu azidi kuku onyesha njia zaidi
@fatmaahamadabass80802 жыл бұрын
Mashallah mashallah Mungu akulinde mdogowa.
@-zj2zd Жыл бұрын
Daah yani brother unauliza maswali vizuri sana 🙏
@AnnaLucas-dh7dg8 ай бұрын
❤❤❤ hongera Yako mwenyezi Mungu akulinde
@happyfabian73994 жыл бұрын
Nimempenda uyu kaka anaongea vizur
@ashuraselemani59794 жыл бұрын
Mashaalahh mungu akusimamie kila la kher mtoto mzur
@mariamagoa76863 жыл бұрын
Interview nimeipanda sana. Imeniamsha mno
@kanaanimkisi52902 жыл бұрын
Napenda Sana kuskiriza Story Za Maruban Jinsi Ya kuendesha Ndege Sjui Kwann yaan Ningekuwa Na Uwezo wa Hela Ningeenda Kusomea
@sultanalnaamani21564 жыл бұрын
Hongera sana co pilot jitahidi uwe full pilot Mungu atakujalia utafika unapopataka muombe Mungu sana pia uwemwangalifu unadhamana ya roho nyingi katika ndege.
@koudrashabani19124 жыл бұрын
Mashallah
@enterenter77982 жыл бұрын
Maa shaa Allah hongera San
@kingelieshabani72355 ай бұрын
Asante sanaaa kwa majibu yako rubani
@kimsamir9653 жыл бұрын
Mungu ambariki David matonya mungu akuzidishie kiwango namtakia kla la gheri dereva ndege.
@mlengineeringconsultancylt52503 жыл бұрын
Umetisha
@mzeemuhsin78914 жыл бұрын
Good Job David .Kwa kweli umetufungua sana katika kutimiza ndoto za vijana ambao wangependa kufikia hapo ulipo.Mwenyezimungu akuongoze kufikia malengo yako..
@elynekaakyoo31423 жыл бұрын
Kaka mungu akupe maujuzi zaidi barikiwa
@JacknJacksosanga5 ай бұрын
Brother hongera sana
@carenkachecheba55384 жыл бұрын
Hongera sana David.. Mungu akutangulie ktk kila hatua maishani mwako
@maureenkemei9254 Жыл бұрын
Asante sana mwanangu ana ndoto huo wa kuwa rubani.
@SafinaRajabu Жыл бұрын
Hongera sana kijana wetu💯💯💯💯
@deouskulinduka57172 жыл бұрын
Safi sana mdogo wangu umesom lakini haujisikii unaongea kiswahili kizuri San hakika wew in mtanzania halisi Mungu awe nawe ktka maisha yako yote
@deogratiustimoth40702 жыл бұрын
Dogo rubani name kukubali sana unajielezea vizuri sana katika fani yako
@rose44ngotee334 жыл бұрын
Hongera sana kijana mwenzangu am really proud of you
@mamounmamoun78774 жыл бұрын
Safi sana Mungu akubariki na azidi kukuongoza
@abdallaabedi23544 жыл бұрын
Inapendeza sana kusema ukweli.maana kuanzia anaehoji na mhojiwa wote wamejieleza vizuri mno na hakika mm binafsi nimeenjoi sana kipindi 👊👊
@salehsalumsaleh4253 жыл бұрын
Nice dialogue I appreciate
@josephtaletian12423 жыл бұрын
Good job our young.
@andrewmsenga3083 жыл бұрын
Jamaa anajua sana kunyoosha maelezo 👊
@MohammedAli-rh5si3 жыл бұрын
Hongera sana pia ahsante kwa kunitia moyo kijana wangu ana ndoto hyo ila changamoto ndio hyo pesa ila tangu ana miaka 2 alianza kuonyesha hicho kipaji hadi sasa japo bado mdogo ila bado yupo ktk hyo ndoto
@MuhammadiMnyawi4 ай бұрын
Masha a llah kila hatua dua
@mwanakombojuma90293 жыл бұрын
Kweli kabisa maisha yanataka uvumilivu🥰
@RoseBogwa8 ай бұрын
Mtangulize Mungu unakuwa. Juu zaidi
@stephenmanyala7377 Жыл бұрын
Hongera sana Rubani Matonya.
@balizahuibrahim31873 жыл бұрын
Asante sana kwa kutushawishi na sisi tunatamani kuwa marubani
@mwahiyalitunaisubiriykwaha95034 жыл бұрын
Hongera sana kk mungu akutangurey kwakirakit
@PatsonGeoffrey6 ай бұрын
❤brother unajua
@azizahamadi84142 жыл бұрын
Hongera sana mungu akuongeze kaka ang katika kazi yako
@SmilingLavenderFields-gz2jo3 ай бұрын
May god bless us the same
@radar413 жыл бұрын
You Did it Bro... Ila kwa gharama hiyo watoto wa buza wataishia kurusha ungo tu asee haina jinsi
@naomibenjamini20883 жыл бұрын
Hahaaaaaaaaaa
@desderathalyamuya88563 жыл бұрын
😁😁😁😁😁
@aliceudoba3672 Жыл бұрын
Unawanga wee basi tania weka hata imoj ya kucheka unajifanya uko sirias
@zawiajuma7153 жыл бұрын
Hongera sana Allah akuhifadhi
@victormtani71702 жыл бұрын
Mtangazaji nimekukubali sana na hakika David Matonya uko smart kwa kujibu maswali ya Mtangazaji na nikupongeze tu kwa hiyo hatua uliyofikia. Japo ni gharama watoto wangu wataenda kusomea Urubani na pia Family yetu kuna Mdgo wangu anasomea Uruban na kuna Uncle wangu anasomea Uruban pia. Japo mipesa ni mengi msikate tamaa yupo Mungu anayejibu Maombi na Vision ya watoto wetu itafanikiwa. Hongera sana David Matonya uko vizuri kwa kuwapa vijana wengi wa kitanzania wajue njisi ya kuendesha ndege
@innocentjoseph90294 жыл бұрын
Poleni kwa kazi ngumu na ya hatari.Ulisema unahakikisha uzito wa abiria na mizigo.Baadaye ukasema hupimi ila unakadiria.Vipi kuhusu makadirio yoko kama hukupatia sawa sawa na kwa Bahati mbaya uzito ukawa umezidi, nani atawajibika
@swafiyamansur43264 жыл бұрын
Mashallah
@HarunaAdamu-dl5mw Жыл бұрын
Dhaa divi hongera sana mie Haruna mwanao sana tumeishi nyumba moja airport
@aishahassan98124 жыл бұрын
Masha Allah Masha Allah nakuombea kher hongera san
@azizaawadhi32392 жыл бұрын
Yaaah nimependa hii interview
@yahyadaud-b1l Жыл бұрын
Hongera sana mdugu nijambo zuri
@ramlazuber60383 жыл бұрын
Hongera sana. Ilaa usisahauu kuwashukru sanaaaaa WAZAZI WAKOO. KWA BILA WAOO USINGEWEZAA
@rehemamgongwe3002 жыл бұрын
Umefanya vizuri mwanangu huo niujasiri mzuri
@bosssyedmund87853 жыл бұрын
Amepresent vizur sana
@rosemary38162 жыл бұрын
Mashallah asante
@leonardjohnlawrence16282 жыл бұрын
Hongera sana David, mwanangu pia David ana maliza shule soon atajiunga chuo
@Summerbtz3 жыл бұрын
Dah nimependa sana hii interview ngoja niwaombee wanangu wanangu waje kuwa marubani