HUYU HAPA TWAHA MWAIPAYA AFUNGUKA MAZITO BAADA YA KUACHIWA NA POLICE

  Рет қаралды 36,666

IPINDA ONLINE TV

IPINDA ONLINE TV

Күн бұрын

IPINDA ONLINE TV...........Asante kwa kuchagua Ipinda online Tv..........Usisahau kusubscribe Channel yetu

Пікірлер: 74
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 28 күн бұрын
Chadema ni chama kinachohubiri haki katika Taifa letu, asante Mwaipaya ,haki itashinda Dhuluma.
@fratelltutiilaudatosi4153
@fratelltutiilaudatosi4153 28 күн бұрын
Chama la Wana Hilo hongereni makamanda
@user-ol9ot9zs1r
@user-ol9ot9zs1r 28 күн бұрын
Akili kubwa sana BAVICHA
@mahanjisanga3077
@mahanjisanga3077 28 күн бұрын
Hongera sana kamanda kwa kujiamini
@emanuelkitiku690
@emanuelkitiku690 28 күн бұрын
Chandema ni hakili kumbwa ndiomana ccm waogopa nakupenda sana Chandema
@fabby1181
@fabby1181 28 күн бұрын
Nawapenda Sana chadema wanajua kutafsiri Hali halisi ya Nchi kwa vitendo. Sasahivi siyo poroje tena kwamba Tz hakuna democracy Bali ni monocracy
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 28 күн бұрын
Vijana maselaa waiuniiii tubadilike tukapige kulaa tumchague lisuuuu tue naamaniiii
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 28 күн бұрын
Amani aipokwa lisu. amani ni sswenyewe tukitakaamani tutulie. Mungu atafupaamani. Nasi kwa Lisu
@RESTITUTAMOLLED-mp3pp
@RESTITUTAMOLLED-mp3pp 28 күн бұрын
big up chadema,chama hiki kutaleta mapinduzi na maendeleo makubwa nchi hii,2025 tutapata majibu
@kagombaEnok
@kagombaEnok 28 күн бұрын
Safi Mwaipaya akili kubwa sana
@teller_julio
@teller_julio 28 күн бұрын
Pamoja sana makamanda❤❤
@ceciliamagalabajimmy4391
@ceciliamagalabajimmy4391 28 күн бұрын
Hongereni saaana. Niliona taarifa kutoka nje siku ile ya tarehe 11 wakimwonesha yule askari, wamemshangaa sana na kumbeza kwa mambo aliyoyafanya na walishukuru kwa kuuona ujinga ule,walisema. Kama nae alijiona au kuambiwa na watu kiukweli ni aibu. Colombia waliiona hiyo move, hebu baada ya escort akitulia agugo ajione asiwe na hasira ila atajifunza kitu. Ila pesa ndio zinaliwa hasa.
@user-eo4bl3do8k
@user-eo4bl3do8k 28 күн бұрын
CHADEMA WAMESHINDA ,NA MUMEFANIKIWA KUONYESHA CCM HAWAWEZI DEMOKRASIA ,CHADEMA OYEE
@josephmbeya5973
@josephmbeya5973 28 күн бұрын
Safi kabisaaaa
@isackmachiyanshoka6754
@isackmachiyanshoka6754 26 күн бұрын
Dah polen sana CHADEMA, Mimi nipo na nynyi Kila wakati .
@AlexcpetroCpetro
@AlexcpetroCpetro 28 күн бұрын
CCM majambazi kabisa ipo siku wata juta
@CharlesAndrea-sj8xr
@CharlesAndrea-sj8xr 25 күн бұрын
Hongera sana kwa ujasiri mkubwa ulio onyesha huo ndio ukweli
@cosmaswilliam3805
@cosmaswilliam3805 28 күн бұрын
CHADEMA Mungu awatendee makuu na akanyage watesi wenu.
@rejobu9723
@rejobu9723 28 күн бұрын
Hii imeenda 🎉🎉😂
@johngibson3089
@johngibson3089 25 күн бұрын
Naipenda CHADEMA
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 28 күн бұрын
Hongereni wazalendo vijana wetu. Polisi hawa tumewajua hawana shida na watanganyika hata mara moja. Wanashida na hao foreigners warabu wasingewafanyia cho chote. Badala yake wangewalinda bila sababu yo yote.
@PrestigePrestige-w2s
@PrestigePrestige-w2s 28 күн бұрын
People is power, CCM wanachokifanya ni kuua democratic system, Waache kuharibu demokrasia ya taifa waweke silaha chini tubishane kwa hoja.
@mtakamatv
@mtakamatv 28 күн бұрын
Mungu awabariki,mungu yupopamoja nanyi na sisi tupo pamoja nanyi katika haki
@ClaudCarlos
@ClaudCarlos 26 күн бұрын
Yaani mimi ninge penda bora tufanye yatokea kama yalioo pitiaa KENYA ukoo
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 28 күн бұрын
Kwahiyo hawamini hata Dunia kuwa na maadhimisho. Hata mimi nilijua Mungu alikuwa na sababu ili muyaone hayo wanafichaficha tusinge yajua hayo. Kumbe watu wanaozea kwenye barracks za polisi. Hata mtoto mdogo anajua sheria kuwa hutakiwi kuwekwa polisi zaidi ya masaa 24.
@JamesKatoto-b6s
@JamesKatoto-b6s 27 күн бұрын
Hatuungan Ng,o hakuna inchi yenye shereh mbili shereh kitaifa ilikuwa n Zanzibar nynyi n waharifu t2
@TomasiklistophaMwinuka
@TomasiklistophaMwinuka 28 күн бұрын
Poleni sana makamanda wetu ilo nisomo kuelekea uchaguz waserikar zamitaa mojakwamoja huo uchaguzi niishara tosha kuwa utakuwa uchaguz ambao utakuwa wakihuni sana
@FrankMwakatundu-cu6bd
@FrankMwakatundu-cu6bd 26 күн бұрын
Inasikisha Sana kuona polisi wetu Tanzania wamepoteza weredi wa kazi yao badala take wamekuwa CHAWA wa CCM!!!!
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 28 күн бұрын
Pole raisi wetu wa 2025. Nakupenda kwa sababu wewe unapenda haki kufuata mtu alivyo. Kama Mwambukusi wameshindwa amekuwa hata wewe Lissu utakuwa Raisi karibuni 2025 siyo mbali na tutahakikisha hii Inchi itatawaliwa na sheria kwa kila mmoja. Lakini kwa mafisadi wache che wa CCM watapata shida kwa sababu miaka mingi wametunya watumwa najua watalalama kwa sababu wengine hawajui haki na sheria. Wanajua kuumiza watu na ufisadi, na uchawa. Kama wanamuangusha mwenzao kwa sababu hakuweza kuwa chawa kwa watawala wenzao. CHADEMA HONGERA SANA MUNGU AWE NANYI AWAZIDISHIE HEKIMA KAMA YA KING SELEMAN.
@mohamedimfyomi5767
@mohamedimfyomi5767 28 күн бұрын
Respect for you mwamba mwaipaya
@user-im4jv9he2t
@user-im4jv9he2t 28 күн бұрын
@@mohamedimfyomi5767 ndugu yangu kongamano limefaana kuliko Bora walitufukuza na Sasa Dunia nzima.wanajua
@RahmaMwamwezi
@RahmaMwamwezi 27 күн бұрын
Kamanda tumechaguliwa na mungu tanzania itetewe japo ni maumivu kwa wenzetu waliopata madhara madogo madogo ila nafurahishwa na kauli ya wenzetu tusiwape pole bali hongera
@user-sp2pp9yl8g
@user-sp2pp9yl8g 26 күн бұрын
NYINYI MMESEMA ITAKUWA KAMA KENYA
@user-lm8ji4tz2r
@user-lm8ji4tz2r 25 күн бұрын
Hanifaoman kumamako tutakufira
@mohamedally121
@mohamedally121 27 күн бұрын
Siungi mkono police wala siungi mkono chadema, tatzo matamshi ya baadhi ya viongozi wa chama yanayolenga kuvunja aman kwa ref ya kenya
@dillonfoya
@dillonfoya 27 күн бұрын
Kamanda Mwaipaya nimefurahia tafsiri ya kamata kamata ya Vijana kwenye sherehe yao kuwa haijatokea pengine popote duniani polisi kutoa maeneo yao kwa sherehe za vijana na wao polisi kwenda kukaaa viwanjani kulikoandaliwa kwa kongamano ni mafanikio ya aina yake na tafsiri ya aina yake namna ilivyofanikiwa Tumepata somo
@user-md7sd3hk6l
@user-md7sd3hk6l 28 күн бұрын
hongela mwamba mwai paya dunia ime kuona bland ya chama ina tanuka wali zani wame komoa kumbe wame itangaza chadema
@laurianmodest7372
@laurianmodest7372 28 күн бұрын
Wewe na domo lako ndiyo umesababisha vurugu.
@ShamteMohmed-ed2kk
@ShamteMohmed-ed2kk 28 күн бұрын
Si mlisema ingekuwa kama kenya.
@emmanuellugata3019
@emmanuellugata3019 28 күн бұрын
Mbwa ww
@matukutajuma156
@matukutajuma156 25 күн бұрын
VIJANA TUNAWAPENDA MNO SISI WAZAZI WENU! KAMWE HATUPINGI MABADILIKO YENU LAKINI SIASA ZA MAJIMBO NI KUIGAWA TANGANYIKA CHONDECHONDE
@laurianmodest7372
@laurianmodest7372 28 күн бұрын
Huyu mpumbavu askari wametumiaje silaha za moto. Nani ameuliwa. Kulindwa ndiyo kutumia kusema wametumia risasi za moto.
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 28 күн бұрын
Ingetokea kama kenya ndiomaana polis wakalinda mbeya nzima
@gellangi9694
@gellangi9694 27 күн бұрын
Unafikiri vijana wa Gen Z Kenya wanakosea kudai Haki zao?
@alexnato3086
@alexnato3086 28 күн бұрын
Yaani mbeya imekosa pesa nyingi sana za vijana waliokuwa waje hapo mbeya ila mtu mmoja amekosesha mapato mkoa
@odoieriasmonga6591
@odoieriasmonga6591 28 күн бұрын
yaani sisisem na polisi wenu mnawaimarisha Chadema kwa kasi kubwa sana na msichoke endeeni tu
@leocadianjau7410
@leocadianjau7410 28 күн бұрын
Naombeni mjitahidi haya maadhimisho yasiachwe yaende hivyohivyo fanyeni tu jamani...
@Ernestlaiza
@Ernestlaiza 28 күн бұрын
Kuna siku nitaingia police na silah nitampiga woteee niko na hasira mapolisi Ccm
@user-tv7gd7ll6b
@user-tv7gd7ll6b 28 күн бұрын
Nchi yetu siku ikipata maarifa ndipo maendeleo ya kweli yatakuja
@fidelludemwa7223
@fidelludemwa7223 28 күн бұрын
Mbona husemi kama ulisema iwe kama mbeya bwege wewe hamtafanikiwa
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 28 күн бұрын
Amyn. Mm siwapendi hawawoote chadema kwakweli wahuni wanapenda nchiyetu iingie machafuko nawao watotowao wapoulayakikinuka. Waowanakimbia
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko 28 күн бұрын
Siku ya jeova Hanabadilisha
@victorsanga2229
@victorsanga2229 28 күн бұрын
Jeshi la police linafanya kazi bila weledi. Tulia yupo juma ya upuuzi huu
@gabrieljohn6422
@gabrieljohn6422 28 күн бұрын
Tulia
@VenaEliki
@VenaEliki 28 күн бұрын
Tuko pamoja chadema 4:37
@badrulindundu
@badrulindundu 28 күн бұрын
poa kamanda
@DiwaniMwafongo
@DiwaniMwafongo 28 күн бұрын
Nimewahi lala kituo Cha polisi mara mbili. Since then sijawahi kumuogopa Hawa mbwa Koko wa CCM, mapolisi!!
@SeverinepauloPeter
@SeverinepauloPeter 28 күн бұрын
Big brain mwaipaya
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 28 күн бұрын
KAMA KUNAHATAR POLICE WALIIONA BAS N HARAL YAO KUCHUKUA HATUA
@fredrickmwakalinga6390
@fredrickmwakalinga6390 28 күн бұрын
Hawa polisi ccm hawajielewi wala wajitambui mbaya kuongozwa na mamuma
@SundaySteven-bz4yq
@SundaySteven-bz4yq 28 күн бұрын
Hawa ccm anguko lao litakuwa kama la muti ulio angushwa na upepo maana wana wasiwasi hawajiamini
@danielkanso
@danielkanso 28 күн бұрын
Akili ndogo inaongoza akili kubwa shida sana bado vijana wa Tanzanian wanatumia busara kubwa sana kulinda utulivu wa nchi yao lakini police na ccm wanachokonoa watu walio lala hii siyo jambo jema watu wakishindwa kujizuia watawajibika wakati ukifika kama watawala hawajabadili mwelekeo wao
@mgayagesimba2238
@mgayagesimba2238 28 күн бұрын
Wenzangu na mimi munisaidie ivi Mwaipaya ni yule aliekuwa mwana habari redio one?
@evaemil856
@evaemil856 28 күн бұрын
Mbeya imekosa pesa du
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 28 күн бұрын
Mabolice tumechoka hatuwaogopi
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 28 күн бұрын
Wewe ndio kauli zako zimewaponza wenzio! Mbona maandamano hayakuwahi kuwa na mizengwe?? Tunaipenda amani yetu!😢😢
@isackphilipo9870
@isackphilipo9870 28 күн бұрын
Hapa sasa nina ujasiri sana sana sijawahi ingia lockup. Wakizingua tuliamshe
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 28 күн бұрын
Huyu simwani anaongea kama kameza Redio 😂😂😂
@henryndosi2002
@henryndosi2002 28 күн бұрын
Acha ujinga nyumbu wewe
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 28 күн бұрын
Shida ilianzia kwako ulitaka kuleta fujo kama za Kenya. Chunga sana huo mdomo wako usituharibie Amani ya Tanzania.
@FikiriniMwaluko
@FikiriniMwaluko 28 күн бұрын
Wewe nimpumbavu tu yeye pekeake angeweza kuwashinda police!!?
@gangan4618
@gangan4618 28 күн бұрын
Acha ukenge wa MA-CCM na POLICCM.
@justicebridge
@justicebridge 28 күн бұрын
Tena ni vituo vote tanzania hayo masaa 24 awayekelezi tena dhamana ni mpaka itself pesa
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 13 МЛН
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 208 МЛН
Alat yang Membersihkan Kaki dalam Hitungan Detik 🦶🫧
00:24
Poly Holy Yow Indonesia
Рет қаралды 11 МЛН
MBOWE ATOA KAULI NZITO MBELE YA WAZIRI MASAUNI
11:48
IPINDA ONLINE TV
Рет қаралды 1,1 М.
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 13 МЛН