Mungu jmn hutoa karama kwa watoto wake, huyu nae anakitu fulani ndani yake ambacho BWANA alipendezwa na hata akaruhusu mwanae huyu amtukuze kwa namna hii ya pekee.
@eilyneantipas36794 жыл бұрын
Angel ana juhud binafsi ndo imemfikisha hapo alipo tofauti na waimbaji wengine kwa wasabato kuna vipaji
@eunicesam28053 жыл бұрын
Angel you a power house for God, i tap into this anointing
@lizzybahati98333 жыл бұрын
Mungu akupe maono zaid na zaid madam
@sarahryoba10113 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@shebaombura81063 жыл бұрын
Love you Angel
@shebaombura81063 жыл бұрын
😍😍😍😘😘😘😘
@eliemoses1384 жыл бұрын
Ameuaa
@dinnahjacob32042 жыл бұрын
P
@thegospelmessage50394 жыл бұрын
huyu mwanamke anaimba kama ameingiwa na mapepo. maana wasabato hatufanyi hivi.anaingiza namna ya upagani
@shynahesther59183 жыл бұрын
Ukiuvaa wimbo ukaiachia nafsi na akili yako kuzungumza na Mungu kupitia kile unachokiimba utaelewa anachokifanya. Lakin ukibaki na kuimba kwa kuwa umekariri maneno ya wimbo hutokaa useme hayo. Tuombeane neema ya kuelewa na kupokea ujumbe uliopo ktk nyimbo zaidi kuliko kukariri namna ya uimbaji na kukosoa.
@josephodero64443 жыл бұрын
Huu ni ufarisayo......ndugu we ulitaka aimbe vipi..?? Mungu atusaidie hekima tuache ufarisayo hadharani Dada angel magoti yuko sawa as she feels whats the sing
@thegospelmessage50393 жыл бұрын
@@josephodero6444 wewe ndio mfarisayo
@johnlemomo34743 жыл бұрын
@@thegospelmessage5039 acha udini na kukariri mambo. Wapo Bible inaelekeza kuimba umesimama kama sanamu? Zaido sana najua mfalme Daudi aliimba kwa kucheza mbele za Bwana mpaka nguo zake kumpaa. Huyu dada hajafikia hata robo ....
@thegospelmessage50393 жыл бұрын
@@johnlemomo3474 nipefungu linalosema daudi alicheza mpaka nguo zake zikampaa.mimi nitakupa fungu linalokataza.iwapo tu utanipafungu ambalo daudi alicheza